×

Habari

Teksi Zageuka Kuwa Mashamba ya Mboga

KATIKA maegesho ya gari nchini Thailand katika mji mkuu wa Bangkok, utaona mbogamboga zikiwa zimeota katika paa ya magari ya...

READ MORE

SGA Security Kuendelea Kudhamini Michezo Nchini

      SGA Security ambayo ni moja ya makampuni ya ulinzi yanayoongoza nchini imetangaza kuwa itaendelea kudhamnini michezo nchini....

READ MORE

Rais Hichilema Asepa Marekani Kwenye Mkutano wa UN

Rais mpya wa Zambia Mh Haikainde Hichilema , ameelekea Marekani kwenye Mkutano wa UN kwa kutumia usafiri wa watu wote...

READ MORE

Rugemalira Atoa Ahadi kwa Serikali

MFANYABIASHARA James Rugemalira, aliyeachiwa huru na mahakama dhidi ya kesi ya uhujumu uchumi, amemshukuru Mungu kanisani pamoja na serikali na...

READ MORE

Uwanja wa Ndege Burundi Washambuliwa

KUNDI la waasi wa Burundi wanaofahamika kama RED-Tabara wamesema eneo la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bujumbura umeshambuliwa kwa...

READ MORE

Mbunge Kawawa Apata Ajali

MBUNGE wa Jimbo la Namtumbo, Vita Kawawa amepata ajali katika eneo la Nalasi wilayani Tunduru akiwa kwenye ziara ya Naibu...

READ MORE

Simon Msuva Aipa Nafasi Yanga Kusonga Mbele

WINGA machachari wa Wydad Casablanca ya nchini Morocco, Simon Msuva, amesema licha ya Yanga kupoteza katika mchezo wake wa kwanza...

READ MORE

Tanzia: Muhidini Ndolanga Afariki Dunia

Medani ya soka nchini imepata pigo kufuatia kifo cha aliyewahi kuwa Rais Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Alhaji...

READ MORE

Daraja la Selander Kukamilika Disemba

  WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, amesema ujenzi wa Daraja jipya la Selander lililopo jijini Dar es...

READ MORE

Lwandamina Amaliza Mchezo kwa Wasomali

KOCHA Mkuu wa Azam, George Lwandamina, ameweka wazi kuwa wana matumaini makubwa ya kupata matokeo mazuri katika mchezo wa marudiano...

READ MORE

Waziri Ndaki Aagiza Msako Wahusika wa Vifo Zaidi ya Ng’ombe 270

  WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi  Mashimba Ndaki ameagiza maafisa mifugo na madaktari wa mifugo, Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu,...

READ MORE

Rais Bouteflika wa Algeria Afariki Dunia

Rais wa zamani wa Algeria, Abdelaziz Bouteflika, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 84 baada ya kuugua kwa muda...

READ MORE

Tabora: Amuua Mkewe na Watoto Wawili Kinyama – Video

Jeshi la Polisi mkoani Tabora linamshikilia mwanaume mmoja kwa tuhuma za mauaji ya mkewe na watoto wawili wanaodaiwa kuuawa kwa...

READ MORE

Madaktari TZ Wapendekeza Chanjo Corona Kuwa Lazima

IKIWA ni mkakati wa kuimarisha mapambano dhidi ya ugonjwa wa Uviko-19, waganga wakuu wa mikoa wameishauri Wizara ya Afya, Maendeleo...

READ MORE

Mjamzito Ajifungua Kalunguyeye Simiyu – Video

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida mwanamke mmoja, Regina Frednand (46) mkazi wa Mtaa wa Butiama Kata ya Sima katika Halmashuari...

READ MORE

Mbaroni kwa Kumchezea Mtoto Sehemu za Siri – Video

JESHI la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Antony Lugendo (34)mkulima,mkazi wa Mlandizi kwa kosa la kumdhalilisha mtoto mdogo wa kike...

READ MORE

Nsekela Atajwa Miongoni mwa Viongozi Bora 50 wa Kibenki Afrika Mwaka 2021

  KAMPUNI ya kiutafiti ya Reputation Poll International LLC, imemtaja Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela kuwa miongoni...

READ MORE

Mastaa Warudisha Chimbo La Samaki Samaki

Mastaa na watu mbalimbali wamerudisha chimbo la mgahawa wa Samaki Samaki,uliopo Mlimani City, jijini Dar,baada ya kuizundua upya mgahawa huo...

READ MORE

Rais Samia Kuelekea Marekani

RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajia kusafiri kesho Jumamosi, Septemba 18, 2021 kwenda New York nchini Marekani kuhudhuria Mkutano wa 76...

READ MORE

Walimu Watano Mbaroni kwa Kuvujisha Mitihani

WATU sita wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Morogoro kwa tuhuma za kuhusika na njama za kuvujisha mtihani wa kuhitimu...

READ MORE

IGP Sirro Apangua Makamanda wa Polisi

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amepangua baadhi ya Makamanda wa Polisi wa Mikoa na kupanga makamanda...

READ MORE

Afande Mahita Aeleza Alivyoshiriki Kuwakamata Makomando

MKAGUZI wa Polisi, Mahita Omary Mahita, ameieleza Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, kuwa alipigiwa simu...

READ MORE

Tanzia: Profesa Luhanga Afariki Dunia

ALIYEKUWA Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Matthew Luhanga (73) amefariki dunia jana Alhamisi, Septemba...

READ MORE

Ajali ya Coaster Yaua 6 Mbinga

BAD NEWS: Watu sita wamefariki katika ajali ya gari iliyotokea usiku wa kuamkia leo Ijumaa, Septemba 17, 2021 katika wilaya...

READ MORE

Manara: Yanga Tumejiandaa Kisaikolojia – Video

Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara amesema maadalizi ya mchezo wao wa marejeano, hatua za awali dhidi ya Rivers...

READ MORE

Afande Mahita Aanza Kutoa Ushahidi Kesi ya Mbowe

Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi imeanza kupokea ushahidi kwa Mkaguzi wa Jeshi la Polisi, Mahita...

READ MORE

Tanzania Yatahadharishwa Homa ya Meningitis

SERIKALI ya Tanzania imesema kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika kupitia mitandao...

READ MORE

Jaji Ahairisha Kesi ya Mbowe kwa Dakika 15

MASHAHIDI wa Jamhuri katika shauri dogo la kupinga maelezo ya onyo ya mshtakiwa wa pili, Adam Kasekwa yasitumike kama kielelezo...

READ MORE

Hali Ilivyo Mahakamani Kesi ya Mbowe – Video

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake leo Ijumaa wakifikishwa katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya rushwa na Uhujumu...

READ MORE

Buchosa Wakubali Kuhamia Mkoa wa Geita

  Buchosa. Madiwani wa halmashauri ya Buchosa Wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza wameridhia kuhamia Mkoa wa Geita kwa sharti...

READ MORE

Tanzia: Mke wa Mzee Mrema Afariki Dunia

Mke wa Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Augustine Mrema, mama Rose Mrema amefariki dunia.   Taarifa kutoka...

READ MORE

Mashahidi 20 Kesi ya Sabaya

KUTOKA ARUSHA: Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na watuhumiwa wenzake sita wanaoshtakiwa katika kesi ya uhujumu...

READ MORE

Tanzania Yang’ara Ulimwenguni Uhuru wa Kujieleza

Ripoti iliyotolewa na Kituo cha Utafiti cha Pew Research Centre chenye Makao Makuu yake Washington D.C nchini Marekani kimeiorodhesha Tanzania...

READ MORE

Rugemalira Afika Kanisani Kumshuku Mungu

  MFANYABIASHARA maarufu nchini ambaye ni Mkurugenzi wa Kampuni ya VIP na aliyekuwa mmiliki mwenza wa IPTL, James Rugemalira na...

READ MORE

Wanafunzi Wampa Kipigo Mwalimu Wao

Wanafunzi watatu wa kidato cha nne katika shule ya upili/sekondari ya St John Sikinwa kaunti ya Trans Nzoia nchini Kenya...

READ MORE

Papa Francis: Wanaotoa Mimba ni Wauaji

KIONGOZI Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis amesema kuwa utoaji mimba ni “mauaji”, hata muda mfupi baada ya kupata...

READ MORE

Kesi ya Mbowe Yashindwa Kuendelea

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe na wenzake watatu imeshindwa kuendelea kusikilizwa...

READ MORE

Breaking: James Rugemalira Aachiwa Huru

  Mkurugenzi wa Kampuni ya VIP na aliyekuwa mmiliki mwenza wa IPTL, James Rugemalira aliyekuwa akikabiliwa na kesi ya uhujumu...

READ MORE

Sabaya na Wenzake Kortini Tena Leo

ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita leo wanatarajiwa kusomewa hoja za awali ya kesi...

READ MORE