×

Habari

Mhariri wa Star TV Nathan Lwehabura Afariki Dunia

  Mhariri Mkuu wa zamani wa Star TV Nathan Lwehabura amefariki dunia leo Juni 13, 2021 asubuhi Jijini Mwanza. Nathan...

READ MORE

Rais Samia Anza Ziara ya Siku Tatu Mwanza Leo, Mamia Wampokea -Video

 Wakazi wa Jiji la Mwanza, viongozi na watendaji wa taasisi na mashirika ya umma wamejitokeza kwa wingi kumlaki Rais...

READ MORE

Mfanyakazi Akamatwa Akituhumiwa Kumuua Mama na Watoto Wake

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limesema kuwa linamshikilia kijana mmoja aliyefahamika kwa majina ya Shedrak Kapanga...

READ MORE

Dkt. Ndugulile Ajionea Huduma Ya Elimu Kwa Njia Ya Mtandao

  Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk Faustine Ndugulile amejionea huduma ya elimu kwa njia ya mtandao inayotolewa...

READ MORE

Polisi Wa Nigeria Wakabiliana Na Waandamanaji

Jeshi la Polisi nchini Nigeria, limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya mamia ya waandamanaji walioingia barabarani leo katika maandamano ya...

READ MORE

Jol Master Amuumbua Coy Mzungu!

KIMEUMANA! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mchekeshaji Jol Master kumuumbua laivu Bosi wake, Coy Mzungu, kwenye ukurasa wake wa Instagram....

READ MORE

Rais Samia Kuboresha Maslahi ya Madaktari

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, ameupongeza uongozi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI),...

READ MORE

Breaking News: Fredwaa Afariki Dunia leo Dar

MTANGAZAJI Fred Fidelis maarufu kama Fredwaa leo Juni 12, 2021 amefariki dunia Dar es salaam, amefariki baada ya kupata ajali...

READ MORE

Faru Emma Asafiri Kutoka Taiwan Hadi Japan Kutafuta Mapenzi

UNGEFIKIRIA ni binadamu pekee ambaye angeweza kufanya safari ya mwendo mrefu kutafuta mpenzi au hata mapenzi, Lakini   hata wanyama kumbe...

READ MORE

Breaking: Jeff Bezos Arejea Namba Moja Kwa Utajiri

Jeff Bezos, mwanzilishi wa Amazon ambao ni mtandao wa biashara, amerejea katika nafasi yake ya kuwa tajiri namba moja duniani,...

READ MORE

Prof. Mkenda Akutana na Vigogo Wa Uwekezaji Arusha

  Serikali kupitia Wizara ya Kilimo imepitisha mbinu ya kukuza uwekezaji unaolengwa kuelekea mnyororo wa maalum wa thamani hususani katika...

READ MORE

Vivuko Viwili Vyasimamishwa

SERIKALI  imesitisha utoaji huduma za usafiri kwa vivuko viwili vya MV Athor na MV Orion vinavyofanya kazi kutoka Mwanza mjini...

READ MORE

Amuua Mumewe, Amkata Nyeti, Azikaanga

Kuna visa ukivisikia, lazima ujiulize mambo mengi sana. Dayane Machado (33); mdada wa nchini Brazil anaripotiwa kumuua mumewe kisha kumkata...

READ MORE

Mwalimu Achomwa Msumari Kichwani na Mwanafunzi

MAKACHERO wa kaunti ya Kericho nchini Kenya wanamsaka mwanafunzi wa kidato cha tatu aliyemshambulia mwalimu mkuu wake kwa kumchoma msumari...

READ MORE

Video: Afisa Wa Serikali Aiba Milioni 36 Na Kuacha Kazi Ghafla

 Inaelezwa kuwa kwenye halimashauri ya meru kuna upotevu wa pesa ya serikali zaidi ya million 48 ambapo mtumishi mmoja...

READ MORE

DCI Mpya Wambura Atoa Onyo Kali Kwa Wahalifu

  Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai nchini (DCI) Camilius Wambura amesema Jeshi la Polisi halitamvumilia mtu yeyote atakayeendelea ...

READ MORE

Chalamila Akabidhi Ofisi Kwa RC Mpya Mwanza -Picha

Aliyekuwa Mkoa wa Mwanza, Albert Chalamila leo Juni 11, 2021 amemkabidhi rasmi majukumu ya ofisi hiyo kwa Mkuu mpya wa...

READ MORE

Mahakama Yaridhia Herbinder Seth Kuletwa Kisutu Jumatatu

  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeridhia ombi la upande wa Jamhuri la kumpeleka Mkurugenzi wa Kampuni ya Kufua Umeme...

READ MORE

Nikiharibu Aulizwe Makinda- Ndugai

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Job Ndugai amesema kuwa endapo ikitokea ameharibu katika kazi zake basi...

READ MORE

Mama Maria Nyerere Amtembelea Mama Janeth Magufuli

MJANE wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere amemtembelea Mjane wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, awamu ya...

READ MORE

Mwanajeshi Ajiua Juu Ya Kaburi La Mkewe

ASKARI  wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Reginald Ruta amekutwa amekufa huku mwili wake ukiwa juu ya kaburi la...

READ MORE

Video: Kamanda Mpya DSM, Jumanne Murilo Azungumza

 KAMANDA mpya wa kanda maalum Dar, Jumanne Murilo, leo Juni 11, amezungumza na waandishi wa habari ikiwa ndio mara...

READ MORE

Mechi Za EUR0 2020 Kutimua Vumbi Rasmi Wikiendi Hii

Baada ya kuahirishwa kwa mwaka mmoja kutokana na Covid-19, sasa ni rasmi michuano hiyo kuanza wikiendi hii. Nchi Zaidi ya...

READ MORE

SportPesa Wazindua Promosheni ya Mshiko Deilee

 KAMPUNI ya ya michezo na burudani SportPesa wamezindua kampeni maalum kwa ajili ya mechi za mwezi huu. Promosheni hiyo ilizinduliwa...

READ MORE

Ndugai Atamani Mkutano wa Wanaume na Rais Samia

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai, amesema kuwa atamuomba Rais Samia Suluhu Hassan, aitishe pia...

READ MORE

Bajeti 2021/2022: Bodaboda, Bajaji Faini 10,000 Kutoka Sh30,000

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba leo Juni 10, 2021 akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya serikali...

READ MORE

Serikali Kusamehe Kodi Kwenye Simu Janja -Video

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya serikali ya Tanzania kwa mwaka...

READ MORE

Waliochaguliwa JKT Watakiwa Kuripoti Makambini

  Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Brigedia Jenerali  Rajabu Mabele amewataka  vijana wote waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya...

READ MORE

Rais Samia Akutana Na Rais Botswana Ikulu Dar (Picha +Video)

Rais Samia Suluhu Hassan leo tarehe 10 Juni, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Botswana Dkt....

READ MORE

Madiwani wa Buchosa Watembelea Bungeni, Shigongo Awapokea

Madiwani mbalimbali wa kata zilizopo Jimbo la Buchosa, Sengerema mkoani Mwanza, leo Alhamisi Juni 10, 2021 wametembelea Bunge la Jamhuri...

READ MORE

Wahamiaji Haramu 53 Kurejeshwa Makwao

IDARA ya uhamiaji Mkoa wa katavi inawashikilia jumla ya wahamiaji haramu 58 kutoka nchi ya Afrika Kusini, Burundi na Zambia...

READ MORE

Rais Wa Botswana Awasili Nchini Kwa Ziara Ya Siku Mbili (Picha +Video)

  Rais wa Botswana, Dk. Mokgweetsi Masisi amewasili nchini leo Juni 10, 2021 kwa ziara ya kikazi ya siku mbili...

READ MORE

Ndugu Wawili Wakaa Baharini Siku 21, Waokotwa

RAIA wawili wa Comoro wameokotwa katika bahari ya Hindi ukanda wa Msuka Wilayani Micheweni mkoa wa Kaskazini Pemba wakiwa na...

READ MORE

Nafasi za Masomo Kidato cha Tano St. Marcus HGL, HGK na HKL

Uongozi wa Shule za Shule za St. Marcus zilizopo Iwambi jijini Mbeya unawatangazia nafasi za masomo kwa kidato cha cha...

READ MORE

Sarafu ya Dhahabu Yauzwa Kwa Dola Milioni 20

Sarafu ya dhahabu iliyoundwa nchini Marekani mwaka wa 1993 imeuzwa mnadani kwa takriban dola milioni 20 ,kiasi kikubwa sana kilichowahi...

READ MORE

Straika Kaizer Chiefs Afunguka Kutua Yanga

MSHAMBULIAJI wa Kaizer Chiefs, Mzambia, Lazarus Kambole, amefunguka kuwa hajui chochote juu ya kutakiwa na Yanga lakini amesisitiza kwa upande...

READ MORE

Mama Ajifungua Watoto 10 Avunja Rekodi Duniani -Video

Mwanamke aitwaye Gosiame Thamara raia wa Afrika Kusini amejifungua watoto 10 kwa mpigo na kuvunja rekodi ya dunia ambayo ilikuwa...

READ MORE

Breaking: Rais Samia Amteua Jaffar Haniu Achukua Nafasi ya Msigwa Ikulu -Video

RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua Jaffar Mohamed Haniu kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais (Ikulu), akichukua nafasi ya Gerson Msigwa...

READ MORE

Ndalichako : Elimu ya Watu Wazima Ipewe Kipaumbele

WAZIRI wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako, ametoa wito kwa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Viongozi Kuaga Mwili wa Mzindakaya

Rais Samia Suluhu Hassan leo Juni 9, 2021 ameongoza viongozi kuaga mwili wa Mwanasiasa mkongwe marehemu Chrisant Majiyatanga Mzindakaya katika...

READ MORE