×

Habari

Bulaya Atema Nyongo “Tanesco Inajiendesha kwa Hasara” – Video

MBUNGE wa Viti Maalum (CHADEMA), Ester Bulaya ametoa mchango wake kwa Wizara ya Nishati leo Jumatano, Juni 2, 2021 Bungeni...

READ MORE

Tanesco Yajiendesha Bila Ruzuku – Video

Mapato ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) yameongezeka kutoka kukusanya Sh72 bilioni mwaka 2016 hadi Sh160 bilioni mwaka 2020/2021 na...

READ MORE

Mkuchika: Aanika Alivyoagana na JPM Kabla ya Kifo ‘Niliugua Pingili’

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu, George Mkuchika leo amerejea bungeni baada ya kukosekana kwa miezi mitatu huku akisema...

READ MORE

Huzuni- Pacha Wafa Baharini Wakiwa Wamekumbatiana

FAMILIA katika eneo la Gasi, Kaunti ya Kwale nchini Kenya imeghubikwa na simanzi baada ya watoto wao pacha kupatikana wamefariki...

READ MORE

Wanne Wafariki Dunia, 20 Wajeruhiwa Ajali Ya Basi Shinyanga

WATU wanne wamefariki dunia katika ajali ya basi Kampuni ya Classic lenye namba za usajili binafsi Salum Rashidi Classic (SRC...

READ MORE

Rais Mstaafu Mwinyi Amkabidhi Mama Maria Nyerere Kitabu

Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Ali Hassan Mwinyi, leo tarehe 02-06-2021 amefika...

READ MORE

Mkosoaji wa Ikulu Atiwa Nguvuni

Polisi ya Urusi imemkamata Dmitry Gudkov mmoja ya wakosoaji wakubwa wa ikulu ya Kremlin na taarifa zinasema huenda atakabiliwa na...

READ MORE

Samia Atoa Onyo Ma-RC na Ma-RAS Wanawake: ‘Nisiisikie’ – Picha,Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema ameteua asilimia 46 ya Makatibu Tawala Wanawake hivyo anataka...

READ MORE

Morogoro: Mchina Akamatwa kwa Kutorosha Dhahabu

Mkuu wa Wilaya ya Ulanga, Ngolo Malenya kwa kushirikiana na kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya hiyo wamekamata madini...

READ MORE

RC Kafulila Aanza na Fedha za Madini

MKUU wa mkoa wa Simiyu David Kafulila ameagiza uhakiki wa kiasi cha madini ya ujenzi yanayotoka katika kila halmashauri za...

READ MORE

Nimenusurika, Namshukuru Mungu

WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi wa Uganda Jenerali Katumba Wamala ametoa shukran zake kufuatia shambulio lililomlenga Jumanne asubuhi, akimshukuru Mungu...

READ MORE

Ndugai Alivyomtimua Mbunge Kisa Suruali Ya Kubana

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai jana Jumanne Juni Mosi, 2021 alimtoa katika ukumbi wa Bunge mbunge wa Momba (CCM), Condester...

READ MORE

Samia: Rais Hakosei, Msiwadharau Niliowateua – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kuna Watu walisema Rais amekosea kuteua mtu kutoka chama...

READ MORE

Samia: Sina Ujuzi wa Kuhesabu Matofali na Mabati Kama Magufuli – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema mtangulizi wake, Hayati Dkt. John Magufuli alihesabu matofali na...

READ MORE

Rais Samia Awaapisha Makatibu Tawala wa Mikoa Ikulu – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewaapisha Makatibu Tawala wa Mikoa na viongozi mbalimbali aliyowateua hivi...

READ MORE

Waziri Ummy Atekeleza Maagizo ya Rais Samia Kariakoo

Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu atekeleza maagizo ya Rais Samia Suluhu. Awasimamisha kazi viongozi wa Soko la Kariakoo, Dar kupisha...

READ MORE

Serengeti: Ngariba Nguli Atupwa Jela Miaka 5

NGARIBA nguli Mary Onyango Omega (50) maarufu Mkungu Mugesi mkazi wa kijiji cha Kitarungu Kata ya Nyansurura amehukumiwa na Mahakama...

READ MORE

Aliyempa Mimba Mwanafunzi Atupwa Jela Miaka 30

KIJANA Machage Samson (22) mkazi wa kijiji cha Nyamisingisi wilayani Serengeti mkoani Mara amefungwa miaka 30 na Mahakama ya Wilaya...

READ MORE

Museveni Alaani Shambulio Dhidi Katumba

RAIS wa Uganda Yoweri Museveni amekosoa vikali shambulizi lilifanywa dhidi ya Jenerali Katumba Wamala, katika taarifa aliyoandika kwenye ukurasa wake...

READ MORE

Live: Bunge Lapamba Moto, Spika Job Ndugai Aongoza Kikao Cha Bunge

NI mkutano wa 3, kikao cha 30, wa Bunge la 12, umeendelea leo Juni 02, katika makao makuu ya nchi...

READ MORE

Basi la Classic Lapata Ajali, Watatu Wafariki

WATU watatu wanahofiwa kufariki dunia huku wengine wengine zaidi ya 30 wakijeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Classic kupata...

READ MORE

Mbunge Hussein Nassor: Siombi Radhi

MBUNGE wa Viti Maalum, Jacqueline Ngonyani Msongozi amesimama na kuomba mwongozo kuhusu ishu iliyotokea jana Juni 1, 2021 ya Mbunge...

READ MORE

HEBO, PMI Waungana Kutoa Elimu ya Usimamizi wa Miradi

    KAMPUNI ya HEBO kupitia kitengo chake cha mafunzo na ushauri wa kibiashara (HEBO Consult) imeingia makubaliano na Shirika...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Juni 2, 2021

   Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Juni 2, 2021. Usipitwe...

READ MORE

Sakata la Mbunge Condester Kufukuzwa Bungeni, Wabunge Wacharuka

Sakata la Mbunge wa Tunduru, Condester Michael Sichalwe (CCM) kutolewa bungeni kipindi cha asubuhi kutokana na kuvaa mavazi yasiyoendana na...

READ MORE

Waziri Mkuu Akabidhi Magari 20 ya Wagonjwa

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekabidhi magari ya wagonjwa 20 yenye thamani ya sh. bilioni 2.24 ambayo yatapelekwa kwenye vituo vya...

READ MORE

Kigamboni: Watuhumiwa wa Kuiba Mafuta Yanayoenda Bandarini Wanaswa

Mkuu wa wilaya ya Kigamboni, Sarah Msafiri akiwa na kamati ya Ulinzi na usalama wamebaini nyumba iliyopo mtaa wa Ugindoni...

READ MORE

Rais Mwinyi Akutana na Viongozi wa ZSSF

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameutaka uongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya...

READ MORE

Mkazi wa Makoroboi Mwanza Apandishwa Kisutu Kwa Tuhuma za Wizi

MFANYABIASHARA, Krushna Karia (37) Mkazi wa Makoroboi jijini Mwanza, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za...

READ MORE

TANZIA: Mama Vicky Nsilo Swai Afariki Dunia

Mama Vicky Nsilo Swai aliyekuwa mke wa mwanasiasa mkongwe, mpigania uhuru na waziri wa zamani, Asanterabi Nsilo Swai, amefariki dunia,...

READ MORE

Breaking: Waziri Apigwa Risasi

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi nchini Uganda, Jenerali Katumba Wamala amenusurika kifo baada ya gari lake kushambuliwa kwa risasi na...

READ MORE

Rais Samia Afanya Ziara ya Hospitali ya Mwananyamala -Video

Rais Samia Suluhu Hassan leo Juni 1, 2021 amefanya ziara ya Kushtukiza katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa -Mwananyamala Mkoani...

READ MORE

Majaliwa: Tumieni Nishati Mbadala

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza Wizara, Taasisi, Mashirika yote ya Serikali na Sekta Binafsi pamoja na vikundi vya uzalishaji zinazotumia...

READ MORE

Spika Amtimua Mbunge Aliyevaa Suruali ya Kubana Bungeni

  Spika wa Bunge,  Job Ndugai amemtoa katika ukumbi wa Bunge  mbunge wa Momba (CCM),  Condester Sichwale kutokana na kuvaa...

READ MORE

Siku Ya Mazingira Duniani: Exim Yakabidhi Vifaa vya Usafi Dar

Benki ya Exim imekabidhi vifaa vya usafi kwa Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam  ikiwa ni sehemu ya maadhimisho...

READ MORE

Rais Samia Ambana Mkandarasi- “Mnaturudisha Nyuma” -Video

RAIS Samia Suluhu, amefanya ziara ya kushtukiza katika jiji la Dar es Salaam, ambapo ameanzia Katika soko la Kariakoo, na...

READ MORE

Rais Samia Ashtukiza Soko la Kariakoo, Asimamisha Uongozi -Video

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Juni 1, 2021 amefanya ziara katika la Kariakoo jijini Dar es Salaam na...

READ MORE

Kamishna wa Ardhi Kanda Ya Dar Ahimiza Wananchi Kulipia hati za Viwanja vyao

KAMISHNA wa Wizara Ya Ardhi, Nyumba Na Maendeleo Ya Makazi Kanda ya Dar es Salaam Bw. Idrisa Kayera ametoa wito...

READ MORE