×

Habari

Hili Ndo Gari la Gharama Zaidi Duniani, Sawa na Nyumba 600

KUMILIKI gari zuri, yawezekana ni ndoto ya kila mtu duniani, pamoja na mambo mengine kama nyumba, ardhi, kazi na vitu...

READ MORE

Rais Samia Atoa Maelekezo Sakata la Tozo za Miamala – Video

  Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Julai 19, ametoa taarifa ya miamala ya simu na kusema...

READ MORE

CCM Yashinda Ubunge Jimbo la Konde

Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeshinda uchaguzi katika jimbo la Konde visiwani Zanzibar, baada ya mgombea wake Sheha Faki kujipatia kura...

READ MORE

Ditopile: Tumuunge Mkono Rais Samia Tozo Miamala ya Simu

MBUNGE wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile amewataka watanzania nchini kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan kwa...

READ MORE

Ufaransa Waandamana Kupinga Chanjo ya Corona

ZAIDI ya watu laki moja wameandamana kote Ufaransa kupinga hatua za hivi karibuni za serikali za kuwashinikiza watu kwenda kuchanjwa....

READ MORE

Katambi Afunguka Makato Miamala ya Simu

MBUNGE wa Shinyanga Mjini Patrobas Katambi, amewataka wananchi wasilalamike juu ya makato ya miamala ya simu na ongezeko la bei...

READ MORE

Aliyeua na Kujiua Dar Alikuwa Mhasibu

ALEX Korosso kwa jina maarufu la Simba anayedaiwa kuua na kisha kujiua, alikuwa mhasibu wa Chama cha Waigizaji Tanzania (TDFAA),imeelezwa....

READ MORE

Neno la Mwisho la Aliyeuawa kwa Risasi Sinza

Edga Kombe ambaye ni mdogo wa Marehemu Gift Mushi, analiyeuawa kwa kupigwa risasi Sinza mkoani Dar es Salaam juzi, Julai...

READ MORE

Spika Mstaafu Anne Makinda Aipongeza HKMU Kwa Kuendelea Kujipanua

  SPIKA mstaafu, Anne Makinda amepongeza upanuzi unaofanywa na Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki (HKMU) maeneo ya Boko...

READ MORE

NMB Yatoa Msaada wa Sh. Mil 68 Kwa Mkoa wa Mara

Benki ya NMB imetoa msaada wenye thamani ya zaidi ya Sh. milioni 68 kwa ajili ya kusaidia Sekta za Elimu...

READ MORE

Live: Shigongo Anazungumza na Wanahabari Muda Huu

MBUNGE wa Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Eric Shigongo anazungumza na waandishi wa habari kuhusu masuala...

READ MORE

Ujenzi wa Majengo Mapya ya Chuo Cha Ualimu Kabanga Kuendelea Kuboresha Mazingira ya Utoaji Elimu

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Philip Isdor Mpango amesema ujenzi wa majengo mapya ya Chuo...

READ MORE

Biashara Kufanya Usajili wa Kibabe CAF

BIASHARA United imesema kuwa, kuelekea michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika iliyo chini ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF), imepanga...

READ MORE

Mpango Awataka Watanzania Kuombea Viongozi, Taifa

MAKAMU wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango pamoja na mkewe Bi. Mbonimpawe Mpango hii leo Julai 18,2021 wameshiriki katika Ibada...

READ MORE

Mauaji Sinza: Mfanyabiashara Ampiga Risasi Mwenzake – Video

 Wengi wetu tumeona video na picha zilizosambaa za tukio la mtu kupigwa risasi akiwa Baa Sinza kwa Remi Dar...

READ MORE

Neymar Afunguka Sababu ya Kulia

STAA wa Brazil, Neymar amesema kuwa alimwaga machozi baada ya mchezo wa Copa Amerika kwa kuwa Wabrazili wote walikuwa nyuma...

READ MORE

Shigongo Acharukia Wizi Fedha Serikalini – Video

Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, amegeuka mbogo kwa kile alichokiita kuwepo kwa baadhi ya watendaji wanaoiba fedha serikali....

READ MORE

Mwanza: Askofu Mwamakula, Lwaitama na Wengine 127 Watiwa Mbaroni

Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linawashikilia watu 128, akiwemo Askofu Emmaus Mwamakula, Dkt. Lwaitama pamoja na baadhi ya viongozi wa...

READ MORE

Makamu wa Rais Azungumza na Wanakijiji Alipozaliwa Kigoma

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango hii leo Julai 17, 2021 amewatembelea na...

READ MORE

Watu 212 Wauawa Kwenye Ghasia Afrika Kusini

IDADI ya waliokufa kutokana na ghasia zinazoendelea nchini Afrika Kusini imepanda na kufikia watu 212 kutoka vifo 117 vilivyoripotiwa siku...

READ MORE

Al Ahly, Kaizer ni Vita ya Wasauzi

Leo ndiyo leo kwani lazima mbabe ajulikane kati ya miamba ya soka Afrika, Kaizer Chiefs dhidi ya Al Ahly ambapo...

READ MORE

Shigongo Amuomba Rais Samia Amuondoe Mkurugenzi – Video

MBUNGE wa Buchosa, Eric Shigongo, amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan amuondolee Mkurugenzi wa Halmashauri ya Buchosa, Crispin Luanda kwani ameshindwa...

READ MORE

Rais Mwinyi Afanya Uteuzi Mpya

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Mwinyi amemteua Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufaa, Mbarouk...

READ MORE

Kigogo Jeshi la Polisi Auawa

WATU wasiojulikana nchini Nigeria wamempiga risasi na kumuua mmoja wa vigogo wa jeshi la nchi hiyo, Meja Jenerali Hassan Ahmed....

READ MORE

Tanzania Kuanza na Chanjo Nne za Corona

WAKATI shehena ya chanjo za aina nne ikiwa njiani, Serikali imebainisha makundi yatakayoanza kukingwa maambukizi ya virusi vya corona.  ...

READ MORE

Nchi ya Tanzania na Rwanda Kuendelea Kujengeana Uwezo Kiteknolojia ya Mawasiliano

  WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk Faustine Ndugulile amesema nchi za Tanzania na Rwanda zitaendelea kushirikiana na...

READ MORE

Varane Aanza Kutafuta Nyumba Manchester

BEKI wa Real Madrid ambaye anawindwa na Manchester United, Raphael Varane, ametajwa kuwa anatafuta nyumba ya kuishi kwenye Jiji la...

READ MORE

Mrembo Amchoma Moto Mpenzi Wake Mpaka Kufa – Video

MWANAUME aliyefahamika kwa jina moja la Khamisi maarufu (Zungu), amefariki dunia baada ya mpenzi wake Neema Mushi waliokuwa wanaishi naye...

READ MORE

Hali ya Watanzania Afrika Kusini

Balozi wa Tanzania nchini Afrika ya Kusini, Meja Jenerali (Mst) Gaudence Milanzi, amesema kuwa hadi sasa bado hajapokea taarifa rasmi...

READ MORE

Jafo Asitisha Shughuli Za Uchenjuaji Mtambo wa Double F

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Selemani Jafo amesitisha shughuli za uchenjuaji wa dhahabu...

READ MORE

Askari Polisi Auawa

ASKARI Polisi wa Kenya Caroline Kagongo ambaye amekuwa akisakwa kwa wiki mbili kwa tuhuma za kuua watu wawili wanaodaiwa kuwa...

READ MORE

Maumivu Kodi Mpya Miamala ya Simu, Vilio Kila Kona

NI maumivu, ndivyo unavyoweza kueleza kilio kilichojitokeza kwa baadhi ya watumiaji wa simu za mkononi nchini baada ‘kodi ya uzalendo’...

READ MORE

Jafo Aupa Tano Mradi wa Umeme wa Julius Nyerere

  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo ameridhishwa na uzingatiaji wa Sheria...

READ MORE

Rais Samia Alivyowasili Ikulu Bujumbura Burundi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa katika ziara ya kitaifa ya siku mbili nchini Burundi...

READ MORE

Kesi ya Sabaya ya Unyang’anyi Yafutwa, Mapya Yaibuka – Video

KESI no 66/2021 ya Jamuhuri dhidi aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili, Silivester Nyegu...

READ MORE

Rais Samia Ahutubia Burundi “Hakuna Haja ya Kwenda Ulaya” – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameanza  ziara ya kitaifa ya siku mbili nchini Burundi kuanzia...

READ MORE

Vodacom Yashinda Tuzo ya Kampuni Bora ya Mawasiliano

Kampuni ya Mawasiliano Vodacom imeshinda Tuzo ya Kampuni Bora ya Mawasiliano kwenye maonesho ya sabasaba jijini Dar es Salaam. Vodacom...

READ MORE

Rais wa Zanzibar Ateua Mkurugenzi wa Tume Uchaguzi Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amefanya uteuzi wa Wakurugenzi kama ifuatavyo:

READ MORE

Mashahidi 66 Kesi ya Sabaya – Video

Mashahidi wa kesi namba 66 ya jinai ya mwaka 2021 wanatarajiwa kutoa ushahidi katika mashtaka mawili ya unyang’anyi kwa kutumia...

READ MORE