×

Habari

Serikali Yaagiza Televisheni Kufungwa Mahospitalini

Serikali imewaagiza Waganga Wakuu wote nchini kuweka Televisheni na vipeperushi katika vituo vya kutolea huduma za afya hususani majengo yanayowahuduma...

READ MORE

Ruto Ajitetea Kupata Chanjo ya Sputnik-V Badala ya AstraZeneca

Naibu Rais wa Kenya, William Ruto, ametetea uamuzi wake wa kutumia chanjo ya Sputnik-V badala ya AstraZeneca kama serikali yao...

READ MORE

Dkt. Abbas Akabidhi Ofisi kwa Msigwa – Video

Aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi leo Aprili 16, 2021 amekabidhi ofisi ya Mkurugenzi wa Idara ya Habari...

READ MORE

Tabasamu: Hamtaki Kuajiri Walimu, Futeni Mtaala wa Ualimu

Mbunge wa Jimbo la Sengerema (CCM), Hamis Hussein Tabasamu, amesema licha ya uwepo wa upungufu wa walimu na waliosomea kuwepo...

READ MORE

Watumishi 90,000 Kupandishwa Madaraja

Serikali inatarajia kupandisha madaraja watumishi wa Umma 90,000 nchi nzima lengo likiwa ni kutimiza takwa la kisheria linalotaka watumishi waliokidhi...

READ MORE

Hawa Ndio Watu 30 tu Watakaomzika Prince Philip

  WATU 30 pekee ndiyo watakaoshiriki mazishi ya aliyekuwa mume wa malkia Elizabeth II wa Uingereza, Mwanamfalme Philip.    ...

READ MORE

Lugangila Alia na Ofisi ya Waziri Mkuu “Tuambieni Mtafanya Nini?”

MBUNGE wa Viti Maalumu (CCM) kupitia Kundi la Asasi za Kiraia nchini (NGOs) Mhe. Neema Lugangira ameiomba Serikali iikaribishe Sekta...

READ MORE

Marekani Yaiahidi Neema Tanzania

MAREKANI imeahidi kushirikiana na Tanzania kukuza mitaji na kuvutia uwekezaji kutoka nchini humo ili kuchochea zaidi uchumi na huduma za...

READ MORE

Upanuzi Anglo Gold Ashanti Kuimarisha Mahusiano Uchimbaji Nchini

Kwa kuzingatia mpango wa kuongeza mchango endelevu katika uchumi wa jamii inayozunguka mgodi, Kampuni ya Anglogold Ashanti imeingia ubia na...

READ MORE

Mwanafunzi Form IV Afariki kwa Kupigwa na Radi

Mwanafunzi wa kidato cha nne wa shule ya sekondari Kabugalo iliyopo Bukoba mkoani Kagera Gisera Oswardi (18) amefariki dunia kwa...

READ MORE

Fahamau Alichokifanya Mkaguzi Mkuu wa Migodi GGML

  Geita Gold Mining Limited (GGML) imepokea ruhusa ya mpango wa uchimbaji madini wa mwaka 2021 unaohusisha uchimbaji wa wazi...

READ MORE

Gwajima Aliamsha: Nape Umenidukua, Tunahitaji Ajenda ya Taifa – Video

Mbunge wa Kawe (CCM), Josephat Gwajima ametaka Tanzania kuweka tafsiri ya maendeleo ambayo kila rais atakayeingia madarakani atatakiwa kuitekeleza jambo...

READ MORE

Nape Acharuka: Mwacheni Mama Aandike Kitabu Chake Mwenyewe – Video

Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye amesema kwa mujibu wa nyaraka za chama hicho tawala, kukosoa na kujikosoa ni silaha...

READ MORE

Mawaziri Waweka Mambo Sawa Maagizo ya Rais Samia Kuhusu Online TV

WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wamefanya kikao...

READ MORE

Visima Hivi Kupunguza Shida ya Maji Buchosa

KAZI ya uchimbaji wa visima inaendelea katika Vijiji vya Jimbo la Buchosa ili kutimiza ahadi ya Mbunge wa Jimbo hilo,...

READ MORE

Utafiti Kwa Wateja Kujua Wanachokipenda, Fungua Hapa

Our company is conducting a customer survey for the purpose of understanding our customers needs and improve our service to...

READ MORE

Hasunga Aitaka Serikali Kuwaongezea Mshahara Watumishi

Mbunge wa Vwawa (CCM), Japhet Hasunga ameitaka Serikali kuongeza mishahara kwa watumishi wa umma ili waweze kuishi maisha mazuri.  ...

READ MORE

Makamba: Tusihukumiane, Mtu Anapokosoa Asionekane Msaliti – Video

Mbunge wa Bumbuli, January Makamba amesema kifo cha Magufuli kimeleta kipindi cha mpito chenye wasiwasi ila Rais Samia Suluhu ameanza...

READ MORE

Chikota Ataka Utekelezaji Mchuchuma na Liganga Uanze

Mbunge wa Nanyamba (CCM), Abdallah Chikota, ameiomba serikali kuanza kutekeleza mradi wa makaa ya mawe wa Mchuchuma na Liganga ili...

READ MORE

Basata Watoa Onyo Kwa Wasani Kudhalilishana

Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), limekemea vikali na kutoa onyo kwa wasanii wanaoendele na malumbano, kukashifiana, kutoleana lugha zisizo...

READ MORE

Breaking: Wachimbaji Wanne Wafariki Busega

Wachimbaji wanne wamepoteza maisha huku mmoja akijeruhiwa baada ya kufukiwa na kifusi katika mgodi wa dhahabu wa Namba Mbili uliopo...

READ MORE

Zuma Atakiwa Kuchagua Adhabu kwa Kudharau Mahakama

Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma amepewa mpaka Jumatano kupendekeza adhabu ambayo mahakama kuu ya nchi hiyo inapaswa...

READ MORE

Mwenyekiti wa Chadema Lupembe na Wanachama 150 Watimkia CCM

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasiana Maendeleo (CHADEMA) jimbo la Lupembe mkoani Njombe Enocent Gwivaha pamoja na wanachama 150,wamehama Chama hicho...

READ MORE

Songwe: Mlipuko Wazua Taharuki

Mlipuko unaodhaniwa kusababishwa na baruti umetokea jana Jumanne, Aprili 13, 2021 katika Kata ya Saza Wilaya ya Songwe na kusababisha...

READ MORE

Waziri Ajiuzulu Kwa Sababu ya Uchovu

WAZIRI wa Afya wa Austria, Rudolf Anschober ametangaza kuachia wadhifa huo huku akibainisha kuwa  sababu kuu ya kuamua kufanya hivyo...

READ MORE

Shabiby: Watoke Hawa Wameiba Hela Sana – Video

Mbunge wa Gairo (CCM), Ahmed Shabiby agoma kupokea taarifa ya waziri alipokuwa akizungumza bungeni jijini Dodoma katika mjadala wa kupitisha...

READ MORE

Mrembo Aliyepata Ugonjwa Wa Ajabu Afika India Kwaajili Ya Matibabu -Video

 MREMBO Hawa Hussein Ibrahim ambaye mwanzoni mwa mwaka huu aliwaomba Watanzania msaada ili aweze kufanyiwa matibabu ya ugonjwa wa...

READ MORE

Musukuma Adai Usomi wa Prof. Muhongo Hauna Faida – Video

Mbunge wa Geita Vijijini (CCM), Joseph Musukuma amemshukia mbunge wa Musoma Vijijini (CCM), Profesa Sospeter Muhongo kwamba usomi wake hauna...

READ MORE

Majaliwa: Tutayaenzi Maono ya Hayati Magufuli – Video

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesisitiza kwamba Serikali itaenzi na kuendeleza jitihada, maono na juhudi za aliyekuwa Rais wa Awamu ya...

READ MORE

Rais Mwinyi Atengua Uteuzi wa Makamanda Watatu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametengua uteuzi wa Makamanda watatu wa Idara...

READ MORE

Lusinde: Samia ni Magufuli, Wasimchafue Marehemu – Video

  Mbunge wa Jimbo la Mvumi Livingstone Lusinde amesema kamwe Amani na Utulivu kwa watanzania hauwezi kuwepo kama kuna baadhi...

READ MORE

Yacouba, Saido Wana Jambo Lao Yanga

WACHEZAJI wawili wa kikosi cha Yanga, Said Ntibanzokiza ‘Saido’ na Yacouba Sogne, pacha yao inaonekana kuendelea kutusua hata chini ya...

READ MORE

Serikali Kuenzi Maono ya Hayati Dkt. Magufuli – Video

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesisitiza kuwa Serikali itaenzi na kuendeleza jitihada, maono na juhudi za Hayati Dkt. John Magufuli hasa...

READ MORE

Bashungwa Atoa Tamko Wanahabari Kuwekwa Chini ya Ulinzi na DED

  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa amesema Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo inafuatilia malalamiko...

READ MORE

Karibu Ramadhani, Ni Nguzo ya Nne ya Uislamu!

    Baada ya shahada, swala tano, kutoa zaka, ni kufunga Ramadhani na kuhiji Makka. Kwa wasioswali, hawatoi zaka, hawaendi...

READ MORE

Hotuba ya Waziri Mkuu Bungeni Dodoma Leo – Video

Waziri Mkuu ameliomba Bunge liidhinishe TZS bilioni 116.8 kwa ajili ya Ofisi ya Waziri Mkuu na taasisi zilizo chini yake...

READ MORE

Hai Mmepata Mbunge, Mbowe Alikuwa Mzururaji

Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema Jimbo la Hai limepata Mbunge hivi sasa, akiongeza aliyekuwepo kabla ya hapo...

READ MORE

Jambazi Akamatwa Akitubu Dhambi Zake Kanisani

  Kijana aitwaye Abraham Nduba, mwenye umri wa miaka 26 kutoka kaunti ya Murang’a nchini Kenya amekamatwa na kutupwa jela...

READ MORE

Mtoto wa Darasa la Tatu Afariki kwa Kujaribu Kujinyonga

Mwanafunzi wa darasa la tatu shule ya msingi Ikelu iliyopo Makambako mkoani Njombe, Claud Florence (9) amefariki dunia baada ya...

READ MORE