×

Habari

Kiungo Mkenya amalizana na Yanga

YANGA inatajwa kumalizana na kiungo mshambuliaji na nahodha wa Gor Mahia ya Kenya, Kenneth Muguna kwa kumpa mkataba wa miaka...

READ MORE

Serikali Yatoa Mwongozo Mpya Kupambana Na Corona

Serikali kupitia Wizara ya Afya imewataka wananchi kuendelea kujikinga na Corona kwa kufuata maelekezo ya wataalamu wa afya ikiwemo kuvaa...

READ MORE

RC Makalla: Fedha za TASAF Wasipewe Wajanjawajanja

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amewataka Watumishi wote wanaokwenda kutekeleza na kuhakiki Kaya maskini kuhakikisha...

READ MORE

Kachero Ofisi ya DCI Afa Kwenye Send-Off

Kachero mmoja kwenye Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) nchini Kenya maarufu kwa jina la Shiru,...

READ MORE

Majina ya Madaktari Walioajiriwa na Serikali Julai 2021

Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Idara Kuu ya Afya, Prof. Abel Makubi, amesema...

READ MORE

Dk. Mpango Apongeza Udhamini wa NBC Maonyesho Sabasaba

Makamu wa Rais, Dk. Philip Mpango, ameipongeza Benki ya NBC kwa udhamini wake mkuu wa maonyesho ya biashara ya kimataifa...

READ MORE

Wastaafu Watembelea SGR Morogoro

Viongozi wastaafu wakiongozwa na marais wastaafu wa awamu ya pili na ya nne, Ali Hassan Mwinyi na Jakaya Mrisho Kikwete,...

READ MORE

Watoto Wamuua Baba Yao, Watupa Mwili Wake Kisimani

Katika hali ya kushangaza huko nchini Kenya Watoto wawili wamemuua baba yao huku chanzo cha mgogoro kinatajwa kuwa ni kugombea...

READ MORE

Moto wa Ajabu Waibuka Kwenye Ibada ya Mazishi ya TB Joshua

MOTO umezuka na kuzua taharuki kwa waumini na waombolezaji katika Kanisa Kuu la Kikristo la Mataifa la mhubiri wa kimataifa,...

READ MORE

Simanzi Mazishi ya Eng. Mfugale

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson amewaongoza Viongozi mbalimbali na Waombolezaji kutoa salamu...

READ MORE

Mwanafunzi Akutwa Ameuawa Chumba cha Kupanga

MWANAFUNZI mmoja wa Chuo cha KMTC mwenye umri wa miaka 23 amekutwa amefariki kwenywe nyumba yake aliyokuwa amepanga huko Oriang...

READ MORE

Simba Yaifanyia Umafia Yanga, Yaondoka na Nyota Wawili

KLABU ya Simba inasemekana baada ya kufungwa na Yanga, Julai 3, 2021 imeanza kuifanyia umafia timu ya Yanga, kwa kuwasainisha...

READ MORE

Majaliwa: Tumedhamiria Kuendeleza Zao La Zabibu

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Julai 5, 2021 ametembelea Kituo cha Utafiti wa Kilimo Tanzania(TARI) katika eneo la uzalishaji miche...

READ MORE

Pacha Alivyookoa Maisha ya Mwenzake Akipumulia Mashine

Ushawahi kusikia kuwa mapacha wana nguvu kubwa sana za kiroho? Ingawa Wanasayansi bado hawajasema kitu kuhusu hilo, kuna watu wanaosema...

READ MORE

Ukatiri: Amuua Mpenzi Wake na Mtoto Kisa Elfu 80

Mkoani Geita, Mwanamume aliyemuua mpenzi wake baada ya familia kushindwa kumlipa pesa alizotumia kumtunza baada ya kuwekeana nadhiri ya ndoa...

READ MORE

Wawili Wafariki, 16 Wanusurika Hifo kwa Kula Chakula Harusini

  WATOTO wawili wamefariki dunia na wengine 15 wamenusurika kifo baada ya kula chakula ambacho kinadhaniwa kuwa na sumu katika...

READ MORE

Mbaroni kwa Kumiliki Karakana ya Silaha

JESHI la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kumiliki karakana ya kutengeneza silaha za kienyeji aina...

READ MORE

Ulega Ataja Mkakati Wa Kuthaminisha Zaidi Dagaa

NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega Julai 3, 2021 amesema serikali imejipanga kuhakikisha inaboresha uvuvi wa dagaa hasusan...

READ MORE

Kifo cha Mwamba Aliyeoa Wake 20 na Wasemacho Madaktari

Hija Nulu Ssemakula anayeaminika kuwa na familia kubwa ya watoto 115, wake 20 na wajukuu 300, amefariki dunia Julai Mosi...

READ MORE

Aliyejijengea Kaburi la Bilioni 1 Afariki

MGANGA wa jadi, Dk. Anthony Mwandulami, mkazi wa Kijiji cha Wangama, Kata ya Mtwango wilayani Njombe mkoani Njombe, aliyekuwa anajijengea...

READ MORE

TIGO na Infinix Waja na Infinix HOT 10i

Kampuni namba moja ya huduma za Kidigitali hapa nchini Tigo pamoja na Kampuni ya Simu za mkononi Infinix  wametambulisha simu...

READ MORE

Makamu wa Rais Atoa Maagizo 8 Sabasaba

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Isdory Mpango ameagiza Wizara za Viwanda na biashara Bara...

READ MORE

Dkt. Mpango Aipongeza Global Publishers

MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango ameipongeza Kampuni ya Global Publishers & Enterprises Ltd wachapishaji wa magazeti ya...

READ MORE

Rais Samia Afanya Uteuzi Mpya

Rais Samia Suluhu Hassan, leo Julai 5, 2021 amemteua Bi Fatma Ayoub Mwinyimvua Simba kuwa Kamishna wa Kitengo cha Kudhibiti...

READ MORE

Baba Mbaroni kwa Tuhuma za Kumbaka Mwanaye

JESHI la Polisi wilayani Geita linamshikilia Vicent Said (27) mkazi wa Kata ya Magenge kwa tuhuma za kumbaka mwanaye wa...

READ MORE

Mazishi ya TB Joshua Kuanza Leo

Tukio la kuwasha mishumaa linalotarajiwa kufanyika leo (Jumatatu) litaanzisha rasmi utararibu wa mazishi ya aliyekuwa muhubiri mashuhuri wa Nigeria na...

READ MORE

Wanaodai Katiba Mpya Walikimbia Bunge la Katiba

MBUNGE wa Ngega Vijijini, Dkt. Hamisi ameamua kuvunja ukimya na kufunguka kuhusu baadhi ya wanasiasa wanaodai mchakato wa katiba mpya...

READ MORE

Bilionea Jeff Bezos Ang’atuka Amazon

BILIONEA namba mbili duniani, mwanzilishi na mmiliki wa Kampuni ya Amazon, Jeff Bezos on leo Jumatatu, Julai 5, 2021, atakabidhi...

READ MORE

Injinia Mfugale kuzikwa leo

Maziko ya aliyekuwa Mkuu wa TANROADS (WAKALA WA BARABARA TANZANIA), Mhandisi Patrick Mfugale yatafanyika leo Julai 5, 2021 nyumbani kwao...

READ MORE

Aliyemsifia Mama Yake Kuliko Mkewe Afunguka

Kutoka mitandaoni kuna ‘video clip’ ili-trend ikimuonesha Michael Jackson akimsifia mama yake mzazi kwenye harusi kuliko mkewe ambapo baadhi ya...

READ MORE

Zuma Agoma Kwenda Jela: Sijisalimishi Ng’o

Rais wa zamani wa Afrika Kusini aliyeagizwa kujisalimisha mwenyewe kwa polisi ili kuanza kifungo cha miezi 15 jela kwa kupuuza...

READ MORE

Mzee Aliyejichimbia Kaburi Sasa Kajinunulia Jeneza

MWANAUME mwenye umri wa miaka 74 kutoka Maragua, Kaunti ya Murang’a, nchini Kenya ambaye alitamba mitandaoni baada ya kujichimbia kaburi...

READ MORE

Kiwanda cha Chanjo ya Corona Kutengenezwa Nchini

SERIKALI imeanza mchakato wa kutengeneza chanjo ya Virusi vya Corona hapa nchini ili kupunguza gharama ya kuagiza nje ya nchi...

READ MORE

Bashe: Wakulima Milioni Mbili Wasajiliwa Kupitia Mfumo Wa Digitali

  Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema wizara imefanikiwa kutekeleza agizo la Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu utambuzi wa...

READ MORE

Mfumo wa BOLT Ulivyowanufaisha Watanzania

  “Nafurahia zaidi uhuru ninaopata kufanyakazi kupitia mfumo wa Bolt. Nina uhuru wa kufanya kazi masaa ninayotaka na wakati ninaotaka....

READ MORE

NMB Yawa ya Kwanza Kutekeleza Rasmi Mpango wa Ushirika Afya

  Benki ya NMB imekuwa taasisi ya kwanza kutekeleza rasmi mpango wa bima ya afya kwa wakulima nchini baada ya...

READ MORE

Wafuasi wa Rais Zuma Wazingira Nyumbani Kwake Asikamatwe

WAFUASI wa rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma wametengeneza kile wanachokiita ‘ngao ya binadamu’ nje ya nyumba yake...

READ MORE

Serikali kuifanyia marekebisho ya Vyama vya Ushirika

Na Mwandishi wetu Serikali inafanya marekebisho ya sheria ya vyama vya ushirika nchini ili kuhakikisha kuwa mali na shughuli zote...

READ MORE

TIGO na SAMSUNG Waja Kivingine Sabasaba Hii

    JULAI 5, 2021 Kampuni namba moja ya Huduma za Kidigitali hapa nchini Tigo kwa kushirikiana na wabia wake...

READ MORE

IFC Yataja Mkurugenzi Wa Mawasiliano Vodacom Kinara Sekta ya Huduma za Kifedha

Taasisi ya kifedha IFC imemtaja Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC,Rosalynn Mworia kuwa ni miongoni mwa wanawake...

READ MORE