Rais wa Marekani, Joe Biden na wapinzani wake Rais Vladimir Putin wa Urusi na Xi Jinping wa China watakutana...
READ MORETUMUOMBEE!Ndivyo walivyosikika baadhi ya waombolezaji waliokuwa kwenye ibada ya mazishi ya Hayati Dk John Pombe Magufuli kwenye Uwanja wa Magufuli,...
READ MORETUME ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza Ratiba ya uchaguzi mdogo wa Ubunge wa Jimbo la Muhambwe, mkoani Kigoma baada ya...
READ MOREVINARA wa Ligi Kuu Bara Klabu ya Yanga, wanajiandaa kuanza mazungumzo ya kumpa mkataba mpya mlinda mlango wao, Metacha Mnata...
READ MOREIMEELEZWA kuwa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli alimuaga mama yake mzazi, Bi Suzana...
READ MOREDakika chache kabla ya umauti kumkuta Hayati John Magufuli, aliomba maombi matatu. Msikilize msemaji wa familia Ngusa Samike.
READ MOREMeli ya ‘Ever Green’ inayomilikiwa na Kampuni ya ‘Evergreen Marine Corporation’ kutoka nchini Taiwan imekwama katika mfereji wa ‘Suez’ uliopo...
READ MOREMAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Philip Mangula ameeleza mafanikio wakati wa utawala wa Dk John Magufuli...
READ MORERAIS Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi amewataka Watanzania kumuenzi Dk John Magufuli kwa vitendo katika mambo aliyokuwa akisisitiza kuondoa umasikini na...
READ MORERais Mstaafu wa awamu ya Pili Mzee Ally Hassan Mwinyi amesema katika kipindi cha uongozi wa aliyekuwa Rais wa Tanzania...
READ MOREWASANII mbalimbali wa muziki wa kizazi kipya wameandika ujumbe mzito kumuaga Rais wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli aliyemaliza...
READ MORENi zaidi ya wiki moja sasa tangu Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan alipotangaza kuwa Hayati Rais John Pombe Magufuli...
READ MOREKOCHA Mkuu wa Simba Mfaransa, Didier Gomes amesema kuwa amepanga kumaliza hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika bila ya...
READ MORE HII ni Makala fupi inayomuelezea Rais Mpya wa Tanzania, Samia Suluhu Hssan, ambaye ameapishwa siku chache zilizopita kuchukua nafasi...
READ MOREHATIMAYE Mwili wa Hayati Magufuli, umezikwa jana Ijumaa, Machi 26, 2021, katika makaburi ya familia yake yaliyopo wilayani Chato mkoani...
READ MORERais mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete amesema alimuamini zaidi rais wa awamu ya tano Hayati Dkt. John Magufuli na ndio maana...
READ MOREMWILI wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Magufuli, Ijumaa, Machi 26, 2021, umepumzishwa katika...
READ MORERais Uhuru Kenyatta leo ameongoza maafisa wakuu wa serikali kupokea chanjo ya corona katika Ikulu ya Nairobi. Baada...
READ MOREMwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Magufuli, leo Ijumaa, Machi 26, 2021, umepumzishwa...
READ MORERais wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameagiza mchakato wa kuifanya wilaya ya Chato kuwa mkoa, ambao tayari umeshaanza, uendelee...
READ MOREMkuu wa Majeshi nchini Tanzania (CDF), Venance Mabeyo ameomba kuonana na Rais Samia Suluhu Hassan ofisini kwake akibainisha kuwa kuna...
READ MORERAIS Mstaafu wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete amesema kuwa waliomsema kuwa hakukata...
READ MORERAIS mstaafu wa awamu ya nne wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema ana imani...
READ MOREWAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amesema mama mzazi wa Hayati Rais Dkt.John Joseph Magufuli...
READ MOREMkuu wa Majeshi Tanzania Jenerali Venance Mabeyo amesema hadi sasa nchi na mipaka yake ni salama na wataendelea kumlinda Rais...
READ MORERais mstaafu, Jakaya Kikwete amesema alimuamini zaidi Rais wa awamu ya tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli na ndiyo...
READ MORESpika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amemhakikishia Rais wa sita wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ushirikiano wa chombo...
READ MOREMbunge wa zamani wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa amesema atamkumbuka Rais wa Awamu ya Tano Hayati John Magufuli...
READ MOREBaraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limemuahidi ushirikiano Rais Samia Suluhu Hassan katika kutekeleza majukumu ya kuliongoza Taifa. ...
READ MOREASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu la Mwanza, Renatus Nkwande amesema bungeni ni mahali patakatifu na si pa kwenda kufanya mzaha...
READ MOREWANAMUZIKI wanaounda kundi la ‘Tanzania All Stars’ walioimba wimbo wa ‘LALA SALAMA’ wamefika wilayani Chato mkoani Geita kwa ajili ya...
READ MOREMBUNGE wa Viti Maalum (Chadema) Halima Mdee, amefika wilayani Chato mkoani Geita kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya Hayati Magufuli.
READ MOREWABUNGE wa Viti Maalum kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Halima Mdee pamoja na swahiba wake, Esther Matiko wamefika...
READ MOREAkiwakilisha Bodi, Menejimenti na Wafanyakazi wa Benki ya NMB, Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB, Ruth Zaipuna na baadhi ya viongozi...
READ MOREBunge la New Zealand limepitisha Sheria inayowapa Wanawake pamoja na wenza wao Haki ya kupewa mapumziko yenye malipo pale ujauzito...
READ MORELithuania, Latvia na Estonia ambazo ni Wanachama wa Umoja wa Ulaya (EU) zimeitaka Urusi kuruhusu kutolewa kwa huduma za Afya...
READ MOREFamilia ya Kifalme ya Zulu nchini Afrika Kusini imemteua Mke wa tatu wa Mfalme Goodwill Zwelithini kushikilia nafasi ya Uongozi...
READ MOREMahakama ya Wilaya ya Temeke imewahukumu Hemed Salum na Musa Musuni kifungo cha miaka 30 jela kutokana na kosa la...
READ MORELeo tunapompumzisha mpendwa wetu Hayati Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kwenye nyumba yake ya milele, kwa niaba yangu binafsi...
READ MOREJeshi la Polisi Mkoani Mbeya linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kukejeli kifo cha Hayati Dkt. John Magufuli kwa kupika...
READ MORE