×

Habari

Rais Kenyatta Azindua Kiwanda cha Bunduki

Rais Uhuru Kenyatta amezindua kiwanda cha utengenezaji bunduki ambacho ni sehemu ya viwanda vya vifaa vya usalama wa kitaifa eneo...

READ MORE

Makamu wa Rais Mpango Akutana Waziri Jafo

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdori Mpango, akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya...

READ MORE

Prof. Assad Adai Asilimia 60 ya Viongozi Serikalini Hawana Uwezo

Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali,  Profesa Mussa Assad amesema kuna haja ya kuanza na safu mpya ...

READ MORE

Ripoti ya CAG Yaondoka na Bosi wa Utalii

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro leo amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Devotha...

READ MORE

Tarimba Aishauri Serikali Kuwatumia Wawekezaji wa Ndani

Serikali imeshauriwa kuunda timu ya wataalamu na wafanyabiashara mashuhuri akiwemo Mohammed Dewji (Mo), ili kushauri na kutengeneza mazingira yatakayowafanya wawekezaji...

READ MORE

TANZIA: Mama Mzazi wa IGP Sirro Afariki Dunia

  Mama mzazi wa IGP Simon Sirro, Monica Nyabyamari amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili...

READ MORE

Prof. Assad: Baraza la Mawaziri Lisiwe na Siri – Video

  Aliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Prof. Musa Assad amesema ubadhirifu unaotokea kwenye baadhi ya wizara huwa hauna...

READ MORE

Mzungu na Mkewe Watupwa Jela Miaka 30 kwa Kulima Bangi

Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi imewahukumu kifungo cha miaka 30 gerezani washtakiwa Damian Krzysztof raia wa Poland na mke wake...

READ MORE

TCRA Yaanza Kupokea Maombi Leseni za Maudhui Mitandaoni

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa taarifa kwa umma kuwa kuanzia jana Aprili 9,2021 imeanza kupokea maombi mapya ya Leseni...

READ MORE

ECLA Kutoa Mafunzo ya Kuandaa Mahesabu kwa Mfumo wa IPSAS

  TAASISI ya ECLA Africa Consult yenye makao makuu yake Jijini Dar es Salaam, inayojihusisha na masuala ya ukaguzi, ushauri...

READ MORE

Ummy Afanya Maamuzi Mazito Baada ya Ripoti ya CAG

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu, ameagiza Wakuu wa Mikoa...

READ MORE

Ugonjwa wa Ajabu Waua Watu Wanane

Ugonjwa wa ajabu umeua watu wanane kwenye kijiji kidogo kilichoko katika Kaunti ya Kakamega nchini Kenya. Mamlaka husika zilithibitisha vifo...

READ MORE

Hotuba ya Waziri wa Fedha leo Bungeni

Mheshimiwa Spika, awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia uzima na afyanakuweza kukutana tena kwa ajili ya kupokea...

READ MORE

Carinhos Kuikosa KMC, Ntibazonkiza Ndani

  Kaimu kocha mkuu wa klabu ya Yanga, Juma Mwambusi amethibitisha kuwa watawakosa nyota wanne kuelekea mchezo wa ligi kuu...

READ MORE

Kimei: Serikali Ikakope Nje

Mbunge wa Vunjo, Dk Charles Kimei amesema deni la taifa ni himilivu na thamani ya shilingi ni nzuri na Serikali...

READ MORE

Polepole ataka wakulima waunganishwe na Tehama

Mbunge wa kuteuliwa na rais Humphrey Polepole amesema ili kukuza masoko kwa wakulima inabidi yafanyike mageuzi makubwa ya Teknolojia ya...

READ MORE

Dkt. Kigwangalla Asema Atashitaki

  Baada ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere kubainisha matumizi mabaya ya fedha za...

READ MORE

CAG: ATCL Haina Ndege

ACHANA na hasara ya Sh 60 bilioni iliyopata Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za...

READ MORE

Sports Pesa Yamkabidhi Mshindi wa Jackpot Mil. 500

KAMPUNI ya michezo ya kubashiri SportPesa leo Aprili 9, 2021 imemkabidhi rasmi mshindi wa awamu ya sita wa Jackpot mfano...

READ MORE

Mbunge Akerwa Watanzania Kuitwa Wanyonge

Mbunge wa viti maalum Mh. Conchesta Rwamlaza amesema Watanzania sio wanyonge bali wanauwezo wakipangiwa mipango mizuri na kuelekezwa watasaidia kuleta...

READ MORE

Serikali Kuajiri Walimu 6,000

Serikali ya Tanzania imesema itaajiri walimu wapya 6,000 wa Shule za Msingi na Sekondari ifikapo Juni 2021 ili kujaza nafasi...

READ MORE

Profesa Muhongo: Umeme wa Maji ni Kujidanganya

Mbunge wa Musoma Vijijini Profesa Sospeter Muhongo amesema uchumi wa gesi pekee ndiyo utakaoifikisha Tanzania kwenye uchumi thabiti.    ...

READ MORE

Jihisi Mwenye Nguvu Na Kasino Ya Mtandaoni Ya Meridianbet!

Mchezo wa Mini Power Roulette Wiki hii Meridianbet inakuletea mchezo bomba na wa kipekee uitwao Mini Power Roulette uliotengenezwa na...

READ MORE

Breaking: Mume wa Malkia Elizabeth, Prince Philip Afariki Dunia

Kasri ya Buckingham imesema mume wa Malkia Elizabeth II wa Uingereza, Prince Philip amefariki dunia leo Ijumaa, Aprili 9, 2021,...

READ MORE

Yanga: Tunapindua Meza, Tulieni

UONGOZI wa Klabu ya Yanga kwa kushirikiana na benchi la ufundi la timu hiyo, umeandaa mikakati mizito ya ubingwa wa...

READ MORE

El Classico Kuchezwa Wikiendi Hii!

Timu kubwa kibao kukutana katika viwanja mbalimbali wikiendi hii. Chagua Meridianbet na uweze kuwa mshindi wa kibingwa. Mchongo mzima upo...

READ MORE

Shigongo Amwaga Mifuko 150 ya Saruji Buchosa – Video

Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo kupitia kwa katibu wake Julias Butogwa amekabidhi mifuko 150 ya saruji kwa wananchi...

READ MORE

Stamina Awafungukia Wanafki Kwenye Maisha Yake

MKALIwa Hip Hop Bongo, Bonaventure Kabogo ‘Stamina’ amesema yeyote anayeleta unafiki kwenye maisha yake huwa ana mblock.   Akizungumza na...

READ MORE

Barbara Afichua Jeuri ya Simba CAF

MTENDAJI Mkuu wa Klabu ya Simba, Barbara Gonzalez, amesema kuwa moja ya vitu ambavyo vimefanya watishe kwenye michezo ya Ligi...

READ MORE

Gigy Money Aomba Radhi Tena

Msanii wa Bongo fleva na mfanyabiashara nchini, Gift Stanford, maarufu kama ‘Gigy Money’ ameendelea kuomba msamaha kwa kupunguziwa adhabu ya...

READ MORE

Jux Afunguka Mwanamke Anayemtaka

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Juma Musa “Jux “ amefunguka kuwa anatamani sana apate mwanamke mwenye akili.   Akizungumza...

READ MORE

Wanawachama wa Yanga Wakumbushwa Kulipa Ada -Video

AFISA Habari wa klabu ya Yanga, Hassan Bumbuli leo Aprili 9, 2021 amewakumbusha wanawachama kulipa ada zao za mwaka kuelekea...

READ MORE

Sven Awajibu Mashabiki Simba SC

ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck amewajibu mashabiki wa Simba kuhusu jina lake la utani ‘kishingo’. Alipojiunga na Simba...

READ MORE

Chama, Luis Waongezewa Ulinzi Misri

KUELEKEA mchezo wao wa leo Ijumaa katika Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly, uongozi wa Klabu ya Simba...

READ MORE

Tanzania Yaporomoka Viwango vya Fifa

TANZANIA imeporomoka kwa nafasi mbili katika viwango vya ubora wa soka vya Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) vya mwezi...

READ MORE

Wafungwa Waliotoroka Wajisalimisha

WAFUNGWA 36 kati ya wafungwa 1,844 waliotoroka katika shambulizi kwenye gereza mnamo Aprili 5 wamejisalimisha katika jimbo la Imo la...

READ MORE

Kocha Yanga Aahidi Ushindi Kesho na KMC – Video

Kocha wa Mabingwa wa Kihistoria Ligi Kuu soka Tanzania Bara, Juma Mwambusi ameahidi ushindi kwenye mchezo wao wa hapo kesho...

READ MORE

Bunge leo: Mawaziri Wawekwa Kikaangoni, Kipindi Cha Maswali Na Majibu -Video

 NI mkutano wa 3 wa Bunge la 12, kikao cha sita, umefanyika leo Aprili 09, ukiongozwa na Spika wa...

READ MORE

Ndugai: Mradi Bandari ya Bagamoyo Uendelee – Video

  SPIKA wa Bunge, Job Ndugai ameishauri serikali kuliangalia suala la mradi wa bandari ya Bagamoyo kama ni jambo jema...

READ MORE

Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Waibuka Kidedea Katika Mashindano Ya Masoko ya Mitaji

SHINDANO maalumu la ‘The Capital Markets, Universities and Higher Learning Institutions Challenge’ kwa wanafunzi wa vyuo vikuu na Taasisi za...

READ MORE