×

Habari

Simiyu: Adakwa Akisafirisha Kobe 400 Kwenye Mabegi

Jeshi la polisi mkoani Simiyu linamshikilia mtu mmoja (jina linahifadhiwa) miaka 35 Mkurya mkazi wa Wilaya ya Bunda mkoani Mara...

READ MORE

Rais Samia Amng’oa Bashiru Ukatibu Mkuu Kiongozi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi wa Tanzania nchini Japan, Hussein Yahaya Kattanga...

READ MORE

Breaking: Rais Samia Afanya Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri – Video

KUFUATIA Uteuzi wa aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya...

READ MORE

Dkt. Mpango Aapishwa Kuwa Makamu wa Rais – Video

Makamu wa Rais mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt .Philip Isdor Mpango ameapishwa kuwa Makamu wa Rais mbele...

READ MORE

Watano Wahukumiwa Kunyongwa Njombe

WASHTAKIWA watano waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya mauaji namba 84 ya mwaka 2014 ya Alice Mtokoma (56), mkazi wa kijiji...

READ MORE

Video: Mwili wa Mtangazaji wa ITV, Blandina Sembu, Waagwa Dar Leo

 MWILI wa aliyekuwa mtangazaji wa ITV, Blandina Sembu, umeagwa leo Machi 31, 2021 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili na...

READ MORE

Breaking: Shamimu na Mumewe Wahukumiwa Kifungo cha Maisha -Video

Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi maarufu kama Mahakama ya Mafisadi, Dar es Salaam leo Machi 31, 2021 imewahukumu kifungo...

READ MORE

Mambo Kumi Usiyoyajua Kuhusu DK Mpango

DK Philip Isidor Mpango (63) ambaye alikuwa Waziri wa Fedha na Mipango katika Serikali ya Awamu ya Tano jana akateuliwa...

READ MORE

Mume Ampiga Risasi ya Tumbo Mke Wake – Video

JESHI la Polisi mkoa wa Kilimanjaro, linamshikilia mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka ( 61) mkazi wa wilaya ya Hai...

READ MORE

Mchina Akamatwa kwa Kuwacharaza Bakora Watanzania

JESHI la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia raia wa China Xiao Yong (33) kwa tuhuma za kuwashambulia kwa kuwacharaza viboko madereva...

READ MORE

Magufuli Kukumbukwa kwa Kuinua Elimu

RAIS wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli  ametajwa kuwa mzalendo na shujaa aliyepania kulisaidia Taifa la Tanzania kwenda mbele...

READ MORE

Dkt. Mpango Azungumza na Watumishi Wizara ya Fedha

MAKAMU wa Rais Mteule, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, amekutana na Watumishi wa Wizara ya Fedha na Mipango na kuwasisitiza...

READ MORE

Shigongo: Magufuli Alijitoa Sadaka Maisha, Uhai Wake – Video

  MBUNGE wa Buchosa, Eric Shigongo, ameeleza maazimio yake kama mbunge na mwananchi wa Taifa hili katika kuenzi utendaji wa...

READ MORE

Basi la Machame Laua 6 kwa Ajali, 19 Wajeruhiwa

Watu 6 wamefariki dunia huku wengine 19 wakijeruhiwa baada ya basi la Machame Investment walilokuwa wakisafiria kutoka Dodoma kuelekea Arusha...

READ MORE

Baba Ajinyonga Baada ya Kuwaua Mke, Mtoto

JESHI la Polisi mkoani Kagera linaendelea kuchunguza tukio la vifo vya watu watatu lililotokea Machi 26, 2021, saa 9:00 usiku...

READ MORE

Rais Samia Afanya Uteuzi wa Viongozi 4

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi 4.     Kwanza, Mhe....

READ MORE

Dkt. Mpango Kuapa Kesho Dodoma

Makamu wa Rais mteule Dkt. Philip Isdor Mpango kuapishwa kesho March 31, 2021 kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya...

READ MORE

Bunge Lamthibitisha Mpango Kuwa Makamu wa Rais – Video

ALIYEKUWA Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango amethibitishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Makamu...

READ MORE

Wasifu wa Makamu wa Rais Mteule Dkt. Mpango

o Dk Philip Mpango ni Waziri wa Fedha na Mipango katika Serikali ya Awamu ya Tano, ameteuliwa katika baraza la...

READ MORE

Kauli ya Dkt. Mpango Baada ya Kupendekezwa Kuwa Makamu wa Rais

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amempendekeza Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip...

READ MORE

Viongozi Wakuu wa CCM Wakutana Dodoma

               

READ MORE

Breaking: Rais Samia Ampendekeza Dkt. Mpango Kuwa Makamu wa Rais

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Samia Suluhu Hassan amempendekeza Dkt. Phillip Mpango...

READ MORE

CAF Yatajwa Ujio Kocha Mpya Mfaransa wa Yanga

MEFAHAMIKA kuwa Yanga imefikia maamuzi ya kumleta kocha raia wa Ufaransa, Sebastian Migne kwa ajili ya michuano ya Caf ambayo...

READ MORE

Virafanga 185 vya Kobe Vayakamatwa Vikisafirishwa

Maafisa wa forodha nchini Ecuador wamepeta watoto 185 wa kobe waliokuwa wamefichwa ndani ya begi lililokuwa likisafirishwa kutola visiwa vya...

READ MORE

Mchungaji Amlaumu Rais Kenyatta kwa Kusambaa kwa Corona

Siku kadhaa baada ya serikali ya Kenya kuweka vikwazo vikali dhidi ya biashara na usafiri katika majimbo matano ili kuzua...

READ MORE

Breaking: Mkurugenzi TPA Akamtwa na TAKUKURU

TAKUKURU inamshikilia kwa mahojiano Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Mhandisi Deusdedit Kakoko aliyesimamishwa kazi na Rais Samia...

READ MORE

Tanzia: Nabii Bushiri Ailaumu Serikali Kifo cha Mwanaye

MHUBIRI maarufu wa Afrika wa Kanisa la Enlightened Christian Gathering (ECG) la kutoka Malawi, Shepherd Bushiri, ametangaza kifo cha binti...

READ MORE

🔴#Live Bunge la Bajeti Laanza Dodoma kwa Kumuenzi Magufuli

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeanza mkutano wa Bajeti kuanzia leo Jumanne, Machi 30 hadi Juni 30 ambapo...

READ MORE

Obama Aomboleza Kifo cha Bibi Yake

Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama amesema yeye binafsi na familia yake wanaomboleza kifo cha bibi (nyanya) yao, Sarah...

READ MORE

Mkulima na Dereva Kortini Meno ya Tembo ya Mil 173

WATU wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakikabiliwa na mashitaka ya kukutwa na kujihusisha na...

READ MORE

Bunge la Bajeti Kuanza Leo Dodoma

Mkutano wa Tatu wa Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unaanza leo jijini Dodoma. Pamoja na mambo.mengine,...

READ MORE

Wataalamu wa Mazingira Wasio Waaminifu Kudhibitiwa

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Ummy Mwalimu amesema Serikali imepitisha kanuni itakayowadhibiti washauri...

READ MORE

Serikali Yatangaza ‘Combinations’ Mpya Kwa Kidato Cha 5

SERIKALI imetangaza kuanza kwa Tahasusi (Combination) mpya tano kwa ajili ya Wanafunzi watakaoingia Kidato cha Tano mwaka 2021 ili kuondoa...

READ MORE

TANZIA: Rais wa Zamani wa Madagascar Didier Ratsiraka Afariki

RAIS wa zamani wa Madagascar Didier Ignace Ratsiraka amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 84, rais wa nchi hiyo...

READ MORE

Mugalu Akomaa Asitoke First Eleven Simba

MSHAMBULIAJI tegemeo hivi sasa Simba, Mkongomani, Chris Mugalu, amesema kuwa nafasi anayoendelea kupewa ya kuanza katika kikosi cha kwanza, imempa...

READ MORE

TANZIA: Bibi Yake Obama Afariki Nchini Kenya

Bibi wa Kambo wa Rais wa zamani wa Merekani Barack Obama, Sarah Obama amefariki leo Machi 29, 2021 katika Hospitali...

READ MORE

ATCL Yapata Hasara ya Bilioni 60 – Video

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu Serikali, Charles Kichere amesema Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limetengeneza hasara ya Shilingi...

READ MORE

Takukuru Yapunguza Matukio ya Rushwa Kwa 89.8%

Mkurugenzi Mkuu Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Brigedia Generali John Mbungo amesema wamefanikiwa kutekeleza mapambano dhidi ya...

READ MORE

Video: Mtangazaji Wa ITV Akutwa Amekufa, Polisi Wafichua Mazito

 KAMANDA wa Mkoa wa Kipolisi, Kinondoni, ametoa taarifa ya tukio la Mtangazaji wa kituo cha ITV na Redio 1...

READ MORE