MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam, Amos Makalla Mei 26, 2021 ameelekeza ulipaji wa fidia ya wananchi Mto Ng’ombe...
READ MOREMkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Simon Sirro amesema Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni unaongoza kwa Uhalifu hapa Nchini. Ametaja...
READ MOREWATU wawili Pwani wamekufa katika matukio mkoani Pwani likiwemo la mwanafunzi wa kike mwenye umri wa miaka 14 aliyepoteza maisha...
READ MOREWatu watatu wanashikiliwa na Polisi mkoani Morogoro kwa tuhuma za kufukua mwili wa Rehema Michel, aliyezikwa Jumapili na kutoa viungo...
READ MOREBAADA ya timu yao kutinga hatua ya nusu fainali ya mashindano ya Kombe la FA, Kocha wa Makipa wa Yanga,...
READ MORERais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma amekana mashtaka yote 18 ya ufisadi anayokabiliwa nayo katika mahakama ya Pietermaritzburg...
READ MORETIMU ya wataalamu kutoka Tanzania imekutana na timu ya wataalamu kutoka Kenya Jijini Arusha kujadili njia za kuondoa vikwazo visivyo...
READ MORERAIA 29 wa Burundi wanaodaiwa kuuza kahawa aina ya alkasusu na kahawa ya kawaida, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...
READ MOREMbunge wa Chalinze, Mhe. Ridhiwani Kikwete amekanusha taarifa za sintofahamu zilizosambaa kupitia mitandao ya kijamii zikimhusishia baba yake mzazi na...
READ MOREMwanamke mmoja kutoka kaunti ya Pokot Magharibi nchini Kenya amemtema mumewe kwa madai kwamba aliagizwa na Mungu kufunga ndoa na...
READ MOREMwanamke mmoja ambaye ni Mganga wa Kienyeji nchini Nigeria ameweza kuolewa na wanaume saba tofauti, amesema wanaume wake hawawezi kumsaliti...
READ MOREMAPEMA tarehe 26 mwezi Mei utakuwa katika wakati maalum. Kupatwa kwa mwezi mwaka 2021 kunafanyika huku mwezi ukitarajiwa kuwa mkubwa...
READ MOREDAKTARI Bashiru Ally, Mbunge wa Kuteuliwa na Rais, jana tarehe 25 Mei 2021, amesimama bungeni kwa mara ya kwanza na...
READ MOREMDAU wa Masuala ya Maendeleo na Usawa wa Kijinsia, Carol Ndosi amesaema ni hatua kubwa kwa Tanzania kama Taifa kuwa...
READ MOREKESI ya ufisadi dhidi ya Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma inatarajiwa kuanza leo, baada ya kuahirishwa mara...
READ MOREKatika kuelekea maandalizi ya siku ya kimataifa ya mazingira duniani, Mkurugenzi wa Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation, Rosalynn Mworia...
READ MOREMBUNGE wa Viti Maalum (CCM), Jacqueline Msongozi ameomba kupanda juu ya meza akiwa kwenye ukumbi wa Bunge ili kuieleza dunia kuwa...
READ MOREMwenyekiti UBA Group na Mwanzilishi wa Taasisi ya Tony Elumelu Foundation, Tony Elumelu aliwaongoza viongozi wengine wa kimataifa wa Afrika...
READ MOREMTANDAO wa Elimu Tanzania (TEN/MET) umetangaza kufanya maadhimisho ya Juma la Elimu (Global Action Week for Education-GAWE) kwa mwaka 2021...
READ MOREKutokana na changamoto ya madereva boda boda na pikipiki aina ya miguu mitatu kutomiliki vyombo vyao vya kazi, Benki...
READ MOREKamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Camilius Wambura, amesema jeshi hilo limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa kadhaa wa matukio...
READ MORETIMU ya Yanga imefanikiwa kufuzu hatua ya nusu fainali ya michuano ya kombe la shirikisho (ASFC) baada ya leo kuilaza...
READ MORERais Samia Suluhu Hassan leo Mei 25, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje ya Saudia...
READ MOREMHUDUMU wa chumba cha kuhifadhia maiti ‘Mochwari’ Francis Mtebezi Kutoka Hosptali ya Rufaa ya Mount Meru Mkoani Arusha amezungumza na...
READ MOREMfanyabiashara Caft Kileo na Wakulima Wanne, Godfrey Samuel, Richard Andrea, Moses Paul na Benjamin Richard wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu...
READ MOREMFANYAKAZI wa nyumba ya Kuhifadhia Marehemu Katika Hosptali Ya Mount Meru iliyopo Mkoani Arusha ameleza changamoto aliyoipitia wakati wa wimbi...
READ MOREKiongozi wa kitamaduni nchini Zimbabwe ameaamuru kwamba mabaki ya rais wa zamani wa nchi hiyo Robert Mugabe yafukuliwe na kuzikwa...
READ MOREJACOB Oulanyah, Mbunge wa Kaunti ya Omoro Kaskazini mwa Uganda, ameteuliwa kuwa Spika wa Bunge la 11. Alishinda uchaguzi kwa...
READ MORESERIKALI imesema kuwa kuanzia Julai mosi mwaka huu Bodi ya Mikopo (HESLB), itafuta tozo ya asilimia 6 ya kulinda thamani...
READ MOREMaafisa wa kijeshi wa Mali waliokasirishwa na mabadiliko ya baraza la mawaziri wanamshikilia Rais na Waziri Mkuu katika kambi ya...
READ MOREWaziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema yapo malalamiko kuwa baadhi ya Walimu wanaojitolea wanawasilisha barua feki zinazosema wanafanya hivyo wakati...
READ MOREWatu wasiojulikana wamefukua mwili wa marehemu aliyefahamika kwa jina la Rehema Michel aliyefariki kwa ajali ya gari, tarehe 23/05/2021, na...
READ MOREUHABA mkubwa wa vyakula umeanza kushuhudiwa katika mji wa Goma, Jamuhuri ya kidemokarsi ya Congo wakati ambapo idadi kubwa ya...
READ MOREWalimu wametakiwa kujiendeleza kwa kukopa mikopo nafuu, yenye tija na kuwawezesha kutatua changamoto zinazowakabili ili kuweza kunufaika na kufurahia...
READ MOREMganga wa kienyeji aliyefahamika kwa jina la Robert Masumbuko (47) mkazi wa Kibirizi Kigoma aliyefariki kwa kunywa sumu wakati akijaribu...
READ MOREWizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imetangaza Operesheni Maalumu lengo ni kukomesha uhalifu ambao umeanza kurejea taratibu baada ya...
READ MOREMKUU wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla leo May 24 ameanza rasrmi majukumu yake kwa kukutana na...
READ MOREMKUU wa Mkoa wa Mwanza, Albert Chalamila amewaomba wakuu wa idara na watendaji wa Serikali mkoani humo kumuazima busara akidai...
READ MOREMfanyabiashara Fred Ngajiro maarufu kama Fred Vunjabei jana tarehe 23 May 2021 amepitishwa na Baraza kuu la UVCCM kuwa Mwenyekiti...
READ MOREKATIBU Mkuu Ndugu Daniel Chongolo amekutana na kuzungumza na Makamu Mwenyekiti Mstaafu wa CCM Mzee Pius Msekwa katika Ofisi Ndogo...
READ MORE