Kampuni inayojihusisha na Mchezo wa kubahatisha ya Meridian Bet imetoa msaada wa vitu mbalimbali kwa walemavu wanaosali katika kanisa la...
READ MORERAIS Dkt John Magufuli amesema hatua ya kusainiwa kwa mradi wa uzalishaji madini ya Nikeli kati ya Serikali na kampuni...
READ MOREMkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Bandari Tanzania(TPA), Eng. Deusdedit Kakoko, kuna watumishi wachache wa bandari bado hawajabadilika ambapo wapo baadhi yao...
READ MOREUPANDE wa Mashtaka katika kesi inayowakabili wabunge wa viti maalum akiwemo, Halima Mdee na Ester Bulaya na wafuasi 27 wa...
READ MOREWATUMISHI watano wa Hospitali ya Wilaya ya Nansio Ukerewe wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi wa vyombo vya maadili ya utumishi wa...
READ MOREKUELEKEA kwenye mchezo huo, kocha wa Taifa Stars, Mrundi Etienne Ndayiragije amesema “maandalizi yameenda vizuri, wachezaji wapo sawa. Kuhusu korona...
READ MOREMvua mkubwa iliyoambatana na upepo imesababisha maafa ya kuezuliwa paa katika madarasa matano, ofisi mbili na stoo moja kwenye shule...
READ MOREKWA mara ya kwanza wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz ametoa kauli baada ya mama yake mzazi, Bi Sandrah kusema kuwa...
READ MOREMsemaji wa serikali ya Uganda, Ofwono Opondo, ameishutumu Marekani kwa kujaribu “kupindua matokeo ya uchaguzi”, kwa mujibu wa chombo cha...
READ MOREJeshi la Kujenga Taifa (JKT) limesitisha kwa muda mafunzo ya kujitolea ya JKT kwa mwaka 2020/2021 yaliyokuwa yaanze hivi karibuni...
READ MORESpika wa Bunge, Job Ndugai juana Januari 18 amefanya utuezi wa wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge 17. Taarifa...
READ MORENi rasmi sasa ile zawadi ya Sh milioni 300 ambayo mabosi wa Yanga waliwaahidi wachezaji na benchi la ufundi la...
READ MORESPIKA wa Bunge, Job Ndugai, jana Januari 18 amefanya utuezi wa wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge 17, huku...
READ MORECharity Group Tabora wameuanza mwaka kwa kuungana na kituo cha kulelea watu wenye mahitaji maalum cha Sisters of Charity kilochopo...
READ MOREWASEMAJI wa jeshi na polisi nchini Uganda wamesema mpinzani wa rais Yoweri Museveni Robert Kyagulanyi Bobi Wine ataendelea kukaa katika...
READ MOREKUFUATIA kusambaa kwa video katika mitandao ya kijamii ikimuonyesha kijana mmoja ambaye hajafahamika jina wala makazi akiwa amechuchumaa huku utumbo...
READ MOREINAELEZWA kuwa mabosi wa Simba wamemwaga dola 70,000, ambazo ni sawa na Sh milioni 162 za Kitanzania, kukamilisha usajili wa...
READ MOREMKURUGENZI wa Manispaa ya Ubungo, Beatrice Dominic, amesema kuwa ameyapokea maagizo ya Rais John Magufuli, na kwamba walikwishaanza kuchukua hatua...
READ MOREMWANAMME aliyejulikana kwa jina la David Makerege Mluli (80) amekutwa amefariki dunia ndani ya Hoteli ya Mbezi Garden iliyopo Mbezi...
READ MOREMAZOEZI ya kuapishwa (rehearsal) kwa Rais wa Marekani, Joe Biden na makamu wake, Harris Kamala yameahirishwa leo Jumatatu, Januari 18,...
READ MOREMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Abubakar Kunenge ametembelea Shule ya Msingi King’ongo iliyopo Manisapaa ya Ubungo kujionea uhalisia...
READ MOREMKUU wa Wilaya ya Kahama Annamringi Macha amepiga marufuku biashara ya nyama ya nguruwe na usafirishaji wa nguruwe wenyewe baada...
READ MOREWanaikolojia wametoa taarifa zaidi juu ya umuhimu wa eneo la makaburi lililogulika la Saqqara, katika eneo la kale la Misri,...
READ MOREBilionea wa kampuni kubwa ya vifaa vya kielektroniki nchini Korea Kusini, Samsung, Lee Jae-yong amerejeshwa gerezani baada ya mahakama nchini...
READ MOREKiongozi wa upinzani Urusi, Alexei Navalny alikamatwa jana katika uwanja wa ndege wa Moscow wakati akijaribu kuingia nchini humo akitokea...
READ MOREMCHUNGAJI wa kanisa wilayani Nyamagana, jijini Mwanza na binti yake wameuawa kikatili kwa kuchomwa kisu na mtoto wake wa kiume...
READ MOREWananchi wa eneo la Kitunda Mtaa wa Bunju B, Kata ya Mabwepande, Kinondoni, Jijini Dar es Salaam, wameiomba serikali kuwasaidia...
READ MORERAIS John Magufuli, akiwa katika ziara mkoani Kagera, leo Januari, 2021, ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Chuo cha...
READ MOREUCHAGUZI wa Wenyeviti na Makamu wenyeviti wa Kamati za Kudumu za Bunge 14 utafanyika leo, baada ya vikao vya kamati...
READ MORE“UKIFIKA hotelini, kama huna fedha, utaishia kununua maandazi.” Joackim Mwakalobo, mkazi wa Mbalizi mkoani Mbeya, analalamika kuhusu gharama kubwa...
READ MORESaidi Kihundwa (98), Mkazi wa Kijiji cha Mlangoni katika Kata ya Gararagua, Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, anadaiwa kuuawa kikatili...
READ MOREPOLISI Mkoa wa Shinyanga inamsaka mganga wa jadi, Dela Megejuwa Lwaho (44), kwa kusababisha kifo cha mtoto wake, Juma Dela...
READ MOREKIJANA mmoja mkazi wa kijiji cha Igunila kata ya Ziba wilayani Igunga mkoani Tabora, Sharif Idd Maganga (28) amekamatwa na...
READ MOREWAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, amesema askari watakaoshindwa kuwabaini wahamiaji haramu hususani maeneo ya mipakani wanapoingilia...
READ MOREWAANDAMAJI nchini Marekani wamekusanyika nje ya majengo ya serikali kuunga mkono madai yasiyo ya msingi ya rais Donald Trump ya...
READ MOREMAZIKO ya Msanii wa Bongo Fleva, Ilunga Khalifa maarufu C Pwaa yamefanyika jioni ya leo kwenye makaburi ya Mwinyi Mkuu...
READ MORERais John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Matumizi ya Ardhi, Dkt. Nindi, taarifa ilioyotolewa...
READ MORE MSANII Mkongwe katika tasnia ya Muziki Tanzania, Ilunga Khalfa maarufu kama C PWAA Amefariki dunia alfajiri ya leo Januari...
READ MOREMultiChoice Tanzania Januari 16, 2021 imetangaza promosheni maalum kwa wateja wa DStv ambapo kwa kipindi cha miezi mitatu itakuwa ikiwapandisha...
READ MORERais Dkt. John Magufuli leo Januari 17, 2021 ameanza ziara ya kikazi mkoani Kagera ambapo ataweka mawe ya msingi na...
READ MORE