×

Habari

Msimu Wa Sikukuu Waanza Rasmi: Vodacom Yaiburudisha Magomeni kwa Zawadi na Upendo

Vodacom Tanzania PLC imezindua rasmi Msimu wa Sikukuu za Mwisho wa Mwaka kwa kushirikiana na wateja wake na wafanyabiashara, wakiwasilisha...

READ MORE

Benki Ya Stanbic  Yatoa Vifaa Tiba Vyenye Thamani  Ya  Shilingi Milioni 27.2 Katika Hospitali Ya Rufaa Bombo Mkoani Tanga

Mkuu wa mkoa wa Tanga, Balozi Dkt. Batilda Burian (wapili kushoto) na Meneja wa Benki ya Stanbic Tawi la Tanga,...

READ MORE

Bunge la Tanzania, UAE Kuanzisha Kamati Maalum ya Ushirikiano

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu akiwa na Balozi wa Tanzania katika Umoja wa...

READ MORE

Benki Ya Stanbic Yatoa Misaada Ya Vifaa Tiba Mkoani Mwanza

Mwanza Novemba 27,2025. Benki ya Stanbic imekabidhi vifaa tiba ikiwemo vitanda, mashuka na viti mwendo vyenye thamani ya zaidi ya...

READ MORE

Sababu 8 Zinazowafanya Watu Wapende Magari ya Toyota Zaidi ya Magari Mengine

Toyota imejijengea jina la ubora, uthabiti, na thamani ya muda mrefu, hali inayowafanya wengi kuipendelea ikilinganishwa na makampuni mengine ya...

READ MORE

Trump Acharuka Baada ya Shambulio kwa Wanajeshi karibu na Ikulu ya White House

Wanajeshi wawili wa Ulinzi wa Kitaifa (National Guard) wamejeruhiwa vibaya baada ya kushambuliwa kwa risasi karibu na Ikulu ya White...

READ MORE

Ushindi na Burudani Yote Katika Mikono Yako kupitia Gates of Halloween Ya Meridianbet

Meridianbet inakupeleka moja kwa moja kwenye ulimwengu wa Gates of Halloween, mchezo ambao unachanganya hofu, shangwe, na ushindi mkubwa. Hapa,...

READ MORE

Vodacom M-Pesa Yazindua Huduma ya Malipo ya Kimataifa

Vodacom M-Pesa Yazindua Huduma ya Malipo ya Kimataifa Popote Ulimwenguni! Kuleta mapinduzi katika biashara na urahisi wa malipo kwa wateja...

READ MORE

Video: Jeshi la Polisi Laanza Uchunguzi Dhidi ya Kauli ya OCD Chunya

Jeshi la Polisi Tanzania limesema linafanya uchunguzi kuhusu taarifa inayoenea kwenye mitandao ya kijamii ikidaiwa kutolewa na Mkuu wa Polisi...

READ MORE

Mfanyabiashara Chipukizi Pedima Ang’ara Katika Ubunifu na Uongozi

Mfanyabiashara chipukizi, Peter Didas Mallya maarufu kama PEDIMA, ameendelea kuibua mvuto mkubwa katika tasnia ya biashara nchini kutokana na ukuaji...

READ MORE

Vodacom Tanzania Yazindua Msimu wa Sikukuu: Yagawa Makapu 600

Dar es Salaam, Tanzania – 26 Novemba 2025: Vodacom Tanzania PLC leo imezindua msimu wa sikukuu kama kipindi cha kusherehekea...

READ MORE

Waziri Simbachawene Atembelea Vituo Vya Polisi Vilivyochomwa Moto Oktoba 29 Dar

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. George Simbachawene, amewasihi wananchi kudumisha amani na kushirikiana na Jeshi la Polisi...

READ MORE

Vodacom Tanzania Yarejesha Furaha Kwa Jamii Dodoma

Mkuu wa Kanda ya Kati wa Vodacom Tanzania PLC, Chiha Nchimbi (wa pili kushoto), akikabidhi kapu la zawadi kwa Rehema...

READ MORE

Naga Games Kuwa Mlango Mpya Wa Ushindi Ndani Ya Meridianbet

Meridianbet inaendelea kutunisha misuli yake na awamu hii imepiga hatua nyingine kubwa kwa kukuletea Naga Games, mtoa huduma mpya anayekupa...

READ MORE

Trump Atangaza Ziara ya Beijing Baada ya Mazungumzo na Rais Xi Jinping

Rais wa Marekani, Donald Trump, amethibitisha kwamba anakubali kutembelea Beijing mwezi Aprili, na pia kumwalika Rais wa China, Xi Jinping,...

READ MORE

Niffer na Mika Chavala Warudishwa Gerezani, Kesi yao Kutajwa Desemba 3

Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) ameondoa mashtaka dhidi ya washtakiwa 20 waliokuwa wakikabiliwa na shtaka la uhaini katika Mahakama ya...

READ MORE

Wafanyabiashara Wakubwa Toka Korea Waja na Fursa za Biashara Kwa Bidhaa za Made in Tanzania

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imeratibu na kushiriki kongamano la Biashara baina ya Makampuni ya Tanzania na Waagizaji...

READ MORE

Kilombero Sugar Yashirikiana na Upendo Ifakara Bakary Katika Mpango wa Free Bread Kusaidia Jamii

Kampuni ya Sukari Kilombero imeingia katika ushirikiano wa miaka mitatu na Ifakara Bakery na Mpango wa Free Bread Fund, kwa...

READ MORE

PM Mwigulu Atoa Takwimu Zilizotikisa Taifa Baada ya Vurugu Oktoba 29 – Video

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Novemba 25, 2025 amesema kiwango cha uharibifu kilichotokea katika maeneo mbalimbali nchini haikubaliki na...

READ MORE

Msando: Serikali Haina Ajenda ya Siri Dhidi ya Askofu Gwajima – Video

Serikali imesisitiza kuwa hakuna mtego wala mpango wowote wa kumkamata Askofu Dkt. Josephat Gwajima kufuatia hatua ya kufunguliwa kwa Kanisa...

READ MORE

Mwanamke Aliyedhaniwa Amefariki Azinduka Ndani ya Jeneza Thailand

Mwanamke mmoja nchini Thailand aliwashangaza na kuwaogopesha wafanyakazi wa hekalu baada ya kuanza kusogea akiwa ndani ya jeneza lake akiwa...

READ MORE

DPP Afuta Kesi, Washtakiwa 47 wa Uhaini Waachiwa Huru Kisutu

Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) amewafutia kesi na kuwaachia huru washtakiwa 47 waliokuwa wanakabiliwa na mashtaka ya kula njama na...

READ MORE

Betway Yatoa Elimu ya Kubashiri Barani Afrika

Betway yatoa elimu ya kubashiri kwa uwajibikaji Barani Afrika. Betway imetoa wito kwa wachezaji wote kutafakari juu ya tabia zao...

READ MORE

Rais Mwinyi Azuia Vikao Kufanyika Hoteli za Kitalii, Aagiza Udhibiti wa Matumizi ya Serikali

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameagiza makatibu wakuu wa wizara kusitisha mara...

READ MORE

Ridhiwani Kikwete Aitaka Sekretarieti Ya Ajira Kuharakisha Kuweka Wazi Mchakato Wa Ajira 12,000 Zilizotangazwa Na Rais Samia

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete ameitaka Menejimenti ya...

READ MORE

Airtel Afrika, Telesonic na Nokia Wajenga Mtandao Mkubwa wa Mkongo wa Mawasiliano

Airtel Africa, mmoja wa watoa huduma wakubwa wa mawasiliano na huduma za fedha kwa njia ya simu katika nchi 14...

READ MORE

Breaking News: Makanisa Ya Askofu Gwajima Kufunguliwa, Agizo La Mwigulu – Video

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba ameielekeza Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kulifungulia Kanisa la Ufufuo na Uzima, na...

READ MORE

Waziri Mkuu Mwigulu Avamia Kimara: Akagua Uharibifu wa Vurugu za Oktoba 29

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Novemba 24, 2025 amekagua miundombinu ya usafiri wa mwendo kasi pamoja na mali nyingine...

READ MORE

Polisi Wakamata Wahamiaji Haramu 14 Kwenye Gari la Abiria – Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikilia wahamiaji haramu 14 raia wa Burundi waliokamatwa wakiwa wameingia nchini kinyume cha sheria...

READ MORE

Xiaomi Yazindua “Festival Vybes Promotion” , Mwezi Mzima wa PROMOTION NA Zawadi Kemkem Tanzania Nzima 

Dar es Salaam, Tanzania Xiaomi imezindua rasmi kampeni yake kubwa ya mwisho wa mwaka, Xiaomi Fest Vybes, Kampeni hii inaleta...

READ MORE

Soma Hapa… Mwongozo Mpya wa Monetization Facebook 2025 – Fanya Page Iwilipe!

Kama malengo yako ni kuanza kutengeneza pesa kupitia Facebook Page, basi huu ndio mwongozo sahihi wa mwaka 2025. Facebook imeendelea...

READ MORE

Uzinduzi wa Mpango wa Taifa wa Mama Lishe: Stanbic na GIZ Kuwawezesha Wafanyabiashara 2,000

Benki Ya Stanbic Na Giz Wazindua Mpango Wa Taifa Wa Mama Lishe Ili Kuwawezasha Wanawake Na Vijana Elfu Mbili Wanaojishughulisha...

READ MORE

Usiyoyajua Kuhusu RAV4 2025: SUV Inayotumia Umeme na Mafuta, Soma Hapa

Toyota imezindua rasmi RAV4 Plug-In Hybrid 2025, toleo jipya la SUV linalotumia mfumo wa mchanganyiko wa umeme na mafuta (PHEV),...

READ MORE

Waziri Ulega Awasimamisha Watumishi wa TANROADS Kufuatia Foleni Kubwa Mikese

Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameagiza kusimamishwa kazi kwa watumishi wa Wakala wa Barabara wa Taifa (TANROADS) waliohusika na uzembe...

READ MORE

Video: Mume Aliyekatwa Nyeti Afunguka Mazito ‘Nimemsamehe Mke Wangu’

Baraka Melami (40) mkazi wa Kitongoji cha Juhudi katika Kijiji cha Olevolosi, Arumeru, Arusha aliyedai kukatwa nyeti na mkewe usiku...

READ MORE

Msigwa: Serikali Imeumizwa na Upotoshaji wa Vyombo vya Habari vya Nje – Video

Dar es Salaam, Novemba 23, 2025 — Serikali imevitaka vyombo vya habari, hususan vile vya kimataifa, kuzingatia maadili, usawa na...

READ MORE

Tuzo za Wakuu na Watendaji wa Makampuni 100 Bora Zinalenga Kuvutia Uwekezaji Nchini

Waziri wa Kazi na Uwekezaji Zanzibar, Shariff Ali Shariff (katikati), amesema tuzo za Wakuu na Watendaji wa Makampuni 100 Bora...

READ MORE

Polisi Kigoma Wakanusha Taarifa za Padri Kutekwa

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma limekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni zikidai kuwa Padri Josephat Misigaro, Paroko wa Parokia ya Nguruka...

READ MORE

Waziri Bashiru Akutana na Wafugaji, Aahidi Mageuzi ya Sekta

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa amekutana na Sekretarieti ya Chama cha wafugaji nchini ikiwa ni...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Novemba 23, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE