×

Habari

Vita ya Biden na Trump Yazidi Kukolea

RAIS mteule wa Marekani, Joe Biden, amelaani kitendo cha, Donald Trump kutokubali kuwa ameshindwa katika uchaguzi wa rais na kwamba...

READ MORE

Katibu Tawala Arusha Asisitiza Waajiri Kuweka Mifumo Madhubuti Ya Kuwalinda Wafanyakazi Dhidi ya Magonjwa

Katibu tawala Mkoa wa Arusha Mhe. Richard Kwitega amewasisitiza waajirimkoani Arusha kuweka mifumo madhubuti ilikuwalinda wafanyakazi dhidi ya magonjwa na...

READ MORE

Mfumo wa Kuuza, Kununua Hisa Kwa Njia ya Simu za Mkononi Wazinduliwa

MAMLAKA ya Masoko ya Mitaji na Dhamana(CMSA)imezindua mfumo wa kuuza na kununua hisa kwa njia ya simu za mkononi katika...

READ MORE

Kisa Fumanizi, Mrembo Atimuliwa Kijijini

UONGOZI wa kitongoji cha Namayana katika Kijiji cha Namayana wilayani Arumeru Mkoa wa Arusha, umetoa siku saba kwa mkazi mmoja...

READ MORE

Sven Atoa Masharti Magumu Simba

KOCHA mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck anatarajia kukichuja kikosi chake kabla ya msimu wa sikukuu ya kuanza kwa michuano ya...

READ MORE

Baba Amkata Sime Mwanaye, Kisa Ushirikina

MTOTO mwenye umri wa miaka tisa, mkazi wa Kitongoji cha Batini, wilayani Gairo, mkoani Morogoro, amenusurika kifo baada ya kukatwa...

READ MORE

Georgia Yarudia Kuhesabu Kura, Biden Amgaragaza Trump Tena

  RAIS Mteule wa Marekani, Joe Biden (78),  ametangazwa rasmi kuwa mshindi wa Jimbo la Georgia baada ya zoezi la...

READ MORE

Jamii Yatakiwa Kuungana Kupinga Ukatili kwa Wanawake na Watoto

Kuelekea siku maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kati ya Novemba 25 hadi Desemba 10, mwaka huu,...

READ MORE

GGML, NEEC Waanzisha Mafunzo kwa Wafanyabiashara 500 Geita

Katika jitihada za kuwapatia maarifa na ujuzi wajasiriamalimkoani Geita juu ya mchakato wa manunuzi yanayofanywa na Kampuni ya Geita GoldMining...

READ MORE

Live: CCM Yapitisha Majina Haya Umeya

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimepitisha majina ya madiwani walioomba kuwania umeya wa majiji, manispaa na wenyeviti wa halmashauri katika maeneo...

READ MORE

Tanzania Yakanusha Kuwekewa Vikwazo na EU – Video

  BALOZI  wa Tanzania nchini Ubelgiji, Jestas Nyamanga, amesema taarifa zinazoendelea kusambaa kwenye mitandao ya kijamii, kwamba Bunge la Umoja...

READ MORE

Yanga Yatangaza Bosi Mpya, Yaanika Sakata la Morrison, Kabwili – Video

  UONGOZI wa Klabu ya Yanga SC, leo Novemba 20 umemtangaza Hajji Mfikirwa kuwa Kaimu Katibu Mkuu  mpya ambaye anachukua...

READ MORE

Watumishi Wasio na TIN Namba Hatarini Kukosa Mshahara

MKURUGENZI wa Elimu kwa Mlipa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Richard Kayombo, amesema serikali imetangaza kuwa mfanyakazi ambaye...

READ MORE

Fahamu Kuhusu Tai Nyekundu, Blue, Zambarau Rais JPM Akiapishwa, Kufungua Bunge

UWANJA wa Diplomasia tumepokea maswali mengi kuhusu tai alizovaa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli wakati...

READ MORE

Ukimposti Mwanamke Milioni 50

UKICHEZA na mwanamke kwa sheria za sasa utaozea jela au kupigwa faini ya mamilioni ya fedha. Kama unabisha sema: “suuu”...

READ MORE

Mwalimu Matatani Ulawiti wa Wanafunzi 24

KIJANA Arnold Mlay almaarufu Big (31), mkazi wa Semtema A, Manispaa ya Iringa, ameingia matatani baada ya kuhukumiwa kifungo cha...

READ MORE

Kigogo Afumaniwa na Mke wa Rafiki Yake Usiku

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, mtumishi mmoja anayefanya kazi idara ya kilimo Kata ya Itumba wilayani Igunga mkoani Tabora, aliyefahamika...

READ MORE

Wakurugenzi Wawili Kizimbani Kwa Makosa 45 Yakiwemo Ya Utakatishaji wa Sh Bil 1.6

Wakurugenzi wawili wa Kampuni ya Vinywaji Vikali (BEVCO) akiwemo Raia wa Ufaransa, Melaine Philippe wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...

READ MORE

Fahamu: Bunge la Tanzania Liliwahi Kufanya Vikao Kwenye Jengo la Freemason

WASOMAJI kadhaa wa gazeti la UWAZI wameomba Historia ya Bunge letu ambalo limezinduliwa na Rais Dk John Magufuli Novemba 13...

READ MORE

Chama Amerudi Huko

NYOTA wa Kimataifa wa Simba akiwemo Clatous Chama na Meddie Kagere, leo Jumanne wanatarajia kurudi Tanzania na kujiunga na kikosi...

READ MORE

Mo Aleta Kifaa Kipya Simba SC

  MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’, ameleta kifaa kipya kutoka nje ya nchi...

READ MORE

Mwanamke Aliyefungwa Akituhumiwa Uchawi Aokolewa

MWANAMKE anayeitwa Gladys anapata matibabu katika hospitali ya Orerokpe iliyopo katika jimbo la Delta , kusini mwa Nigeria, baada ya...

READ MORE

Rais Ramaphosa Amsaka Aliyemtorosha Nabii Bushiri

RAIS wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, amesema kuwa kutoroka kwa Nabii wa Malawi na mke wake nchini humo ni jambo...

READ MORE

BoT Yachukua Usimamizi Benki ya China

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imetangaza kuchukua usimamizi wa Benki ya Biashara ya China (China Commercial Bank Limited) ambayo ina...

READ MORE

7 Wafariki Uchaguzi Uganda 2021, Wapinzani Wasusia Kampeni

WATU saba wamefariki dunia nchini Uganda kufuatia maandamano yaliyofanyika jana Jumatano ya kupinga kukamatwa kwa mgombea wa urais Robert Kyagulanyi...

READ MORE

Metacha Mnata Amempoteza Manula

METACHA Mnata, kipa namba moja ndani ya Yanga, amempoteza jumla kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula kwenye idadi ya...

READ MORE

Simba Wamfuata Ntibazonkiza

UMAFIA! Hivyo ndivyo utakavyosema baada ya kufahamika kuwa mabosi kadhaa wa Simba wamevamia nchini Burundi kufuata saini ya kiungo mshambuliaji...

READ MORE

Rais Mwinyi Amsubiri Maalim Seif Ikulu – Video

RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema, anasuburi uamuzi wa Maalim Seif Sharif Hamad na chama chake cha ACT...

READ MORE

Vodacom na Infinix Wazindua Simu Mpya ya Infinix NOTE 8.

KAMPUNI ya simu za mkononi inayoongoza kidijitali nchini, Vodacom Tanzania PLC, kwa kushirikiana na Infinix leo imetambulisha rasmi simu mpya...

READ MORE

IGP Sirro: Lissu, Lema Rudini Tujenge Nchi – Video

  INSPEKTA Jenerali wa Polisi (IGP), Simon Sirro, amewataka wanasiasa waliokimbia nje ya nchi kwa madai ya kutishiwa usalama wa...

READ MORE

Rais Mwinyi Atengua Uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Afya

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Afya...

READ MORE

Babu Kuozea Jela, Kuchapwa Viboko

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Nzega mkoani Tabora, imemhukumu kifungo cha maisha jela na kumchapa viboko sita, mkazi wa...

READ MORE

Mwinyi Abaini Madudu Kwenye Hospitali, Atoa Miezi 3

Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amefanya ziara ya kushtukiza katika hospitali ya Mnazi Mmoja na kuutaka  uongozi wa...

READ MORE

Wahamiaji Haramu 36 Wakamatwa Dar, RC Kunenge Atoa Onyo

Vyombo vya ulinzi na usalama Mkoa wa Dar es salaam vimefanikiwa kuwatia mbaroni Wahamiaji haramu 36 raia wa Ethiopia na...

READ MORE

Rais Mwinyi Kutangaza Baraza la Mawaziri Kesho Nov. 19

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi kesho, Novemba 19, 2020, anatarajiwa kutangaza baraza ...

READ MORE

Soma Kitabu Sahihi, Wakati Sahihi ‘How To Restore A Lost Hope’

Kitabu hiki kimeandikwa na  M.N Masala ili kumpa mwongozo wa vitendo msomaji juu ya namna ya kurejesha tumaini lililopotea. Dhamira...

READ MORE

Serikali Yafunga Kamera 306 Mgodi wa Mirerani

  Kwa mara nyingine tena Ukuta unaozunguka Migodi ya Tanzanite Mirerani wenye urefu wa kilomita 24.5 umeingia kwenye historia nyingine...

READ MORE

Wanafunzi 5,168 wa Mwaka wa Kwanza Wapangiwa Mikopo ya Tsh Bil 19.9

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza orodha ya wanafunzi 5168 wa awamu ya pili wa...

READ MORE

NMB Yazindua ATM ya Kwanza Yenye Uwezo wa Kubadilisha Fedha za Kigeni Nchini

Benki ya NMB leo imezindua mashine ya kutolea fedha (Automated Teller Machine ATM) ya kwanza nchini Tanzania yenye uwezo wa...

READ MORE