×

Habari

JPM Atua Bagamoyo, Asema Watakaoshindwa Wameshajijua – Video

MGOMBEA urais Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Mhe. Dkt.John Pombe Magufuli  amezungumza na Wananchi...

READ MORE

Mbaroni kwa Tuhuma za Kuua Akijaribu Kutoa Mimba

JESHI la Polisi mkoani Kagera linamshikilia Frodius Protace ‘Gafseki’ (24) mkazi wa Kijiji cha Rushe wilayani Karagwe kwa tuhuma za...

READ MORE

Infinix Waja na Ofa Kabambee, Ukinunua Simu 2 Unapewa King’amuzi buree!

Uzinduzi wa jishindie king’amuzi na INFINIX HOT LIVE PROMOTION umezinduliwa kwa kishindo huku wateja wakijipatia simu mpya ya INFINIX HOT...

READ MORE

Rais Magufuli Amjulia Hali Mama Anna Mkapa Jijini Dar Leo

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe, Mama Janeth Magufuli leo Jumapili Oktoba...

READ MORE

SGA Yatoa Vifaa Vya Michezo Shuleni

KAMPUNI ya ulinzi ya SGA imetoa vifaa vya michezo katika shule za msingi hapa nchini, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho  ya...

READ MORE

RC Kunenge Afanya Ziara ya Kushtukiza Usiku Atoa Maagizo

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge amefanya ziara ya kustukiza Usiku wa manane kwenye miradi mitatu...

READ MORE

JPM Atembelea Ujenzi wa Nyumba Maalumu Ya Kikwete

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo Oktoba 18, 2020 ametembelea na kukagua maendeleo...

READ MORE

Rais Magufuli Amkabidhi Nyumba Rais Mstaafu Mwinyi – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo Oktoba 18, 2020 amemkabidhi Rais mstaafu wa...

READ MORE

Kikwete: JPM Amewazima Midomo Wapinzani Ajenda Ya Rushwa -Video

MWENYEKITI mstaafu Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Mrisho Kikwete amesema, Rais wa Tanzania anayemaliza muda wake, John Magufuli amewazima midomo...

READ MORE

Shigongo Aendelea Kung’ara Buchosa

HARAKATI za mgombea ubunge Jimbo la Buchosa kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo, zimeendelea kung’ara ambapo Oktoba...

READ MORE

Kumbe Messi Amekataa Mabilioni Ya Madrid

LIONEL Messi amekuwa ni nembo ya Klabu ya Barcelona kwa muda mrefu tangu kuondoka kwa Ronaldinho mwaka 2008, lakini kumbe...

READ MORE

Ole Amgomea Pogba Kwenda Real Madrid

KOCHA Ole Gunnar Solskjaer amekanusha tetesi kuwa staa wake, Paul Pogba yupo njiani kujiunga na Real Madrid, baada ya mchezaji...

READ MORE

Ntibazonkiza Afunguka Alivyowatolea Nje Yanga

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Mrundi, Said Ntibazonkiza, amesema timu hiyo ilianza kumfuatilia miezi miwili hadi mitatu iliyopita kabla ya kufikia...

READ MORE

TECNO KUJUMUIKA NA MASHABIKI KWENYE UZINDUZI WA SPARK 5PRO.

Kampuni ya simu TECNO yazindua rasmi TECNO Spark 5pro. Uzinduzi wa simu hiyo umefanyika Kidimbwi Beach tarehe 18/10/2020 na kuhudhuriwa...

READ MORE

Video: Miili Ya Watu 5 Wa Famili Moja Yaagwa Leo Dar

 WATU watano wa familia moja akiwemo mama, watoto wake watatu na wifi yake, waliopoteza maisha baada ya nyumba yao...

READ MORE

Mwanafunzi Ajinyonga Kisa Kugombezwa

MWANAFUNZI aliyemaliza darasa la saba wiki iliyopita katika shule ya msingi Njungwa, Kijiji cha Ngayaki wilayani Gairo, amekutwa amejinyonga hadi...

READ MORE

Polepole: Mgombea Anawaambia Polisi ‘Nipigeni Risasi’ – Video

 KATIBU Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Humphrey Polepole, leo Oktoba 17, amezungumza na wanahabari na kutoa tathmini ya...

READ MORE

Bweni Sekondari Uchira Islamic Lateketea kwa Moto

BWENI la Shule ya Sekondari ya wasichana ya Uchira Islamic iliyoko wilaya ya Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro, limeteketea kwa moto...

READ MORE

Mbatia Apigwa ‘Stop’ Kufanya Kampeni

KAMATI za maadili zimeendelea kuwa mwiba kwa wagombea na safari hii mgombea ubunge wa Vunjo kwa tiketi ya NCCR-Mageuzi, James...

READ MORE

Infinix Hot 10 Yaja na Jishindie King’amuzi ‘Tupo Live Promotion’

Baada ya uzinduzi wa simu mpya ya Infinix HOT 10 sasa Infinix imekuja na promotion ya Infinix TUPO LIVE, kupitia...

READ MORE

Steve Nyerere: Bora Alikiba!

MSANII maarufu wa Bongo Movie, Steve Nyerere,  amempongeza msanii wa Bongo Fleva, Alikiba, baada ya kuwaombea bajeti wasanii wa Bongo...

READ MORE

Trump, Biden Wanyukana Tena Kwenye Mdahalo

WAGOMBEA wa urais wanaotajwa kuwa na nguvu zaidi nchini Marekani, Donald Trump wa Chama cha Republican na Joe Biden wa...

READ MORE

Moto Wote Wadhibitiwa Mlima Kilimanjaro

SHIRIKA  la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limesema kuwa ukaguzi wa anga uliofanywa jana asubuhi, Oktoba 16, 2020, katika Mlima...

READ MORE

Polisi Mbaroni kwa Kushambulia Waandamanaji Nigeria

MAMLAKA mjini Lagos, Nigeria, imewakamata polisi waliowashambulia waandamanaji wanaoendelea kuandamana dhidi ya ukatili wa polisi.   Vyombo vya habari vimeripoti...

READ MORE

Mapokezi ya Zitto Kabwe Aliporejea Kigoma

MGOMBEA ubunge wa Kigoma mjini kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, jana Ijumaa, Oktoba 16, 2020, amewasili mkoani Kigoma ikiwa...

READ MORE

Mwalimu Mkuu Mbaroni Manyara!

MANYARA: Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) wilayani Kiteto Mkoa wa Manyara, imemtia mbaroni Mwalimu Mkuu wa Shule...

READ MORE

Dkt. Kairuki Awapa Somo la Uzazi, Ujauzito na Ugumba Wamama wa Goba

DAKTARI Bingwa wa Kinamama, Wajawazito na Bingwa wa tatizo la Ugumba, Clementina Kairuki ambaye ni Mkurugenzi wa Hospitali ya Kairuki...

READ MORE

Vijana Wawili wa Miaka 14 Mbaroni kwa Ubakaji

POLISI mkoani Shinyanga inawashikilia vijana wawili, Boazi Shija (14)na Jakaya John (14), kwa tuhuma za kumbaka mtoto mwenye miaka sita...

READ MORE

Mama Mzazi wa Waziri Dotto Biteko, Bi. Elizabeth Biteko Afariki Dunia

Mama mzazi wa Waziri wa Madini na mgombea wa nafasi ya ubunge katika jimbo la Bukombe Dotto Biteko, Bi. Elizabeth...

READ MORE

David Silinde Azidi Kuiteka Tunduma

Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM Jimbo la Tunduma lililopo Mkoani Songwe, aDavid Silinde amezidi kuchanja mbuga katika kampeni zake...

READ MORE

ZEC Yamsimamisha Maalim Seif Kufanya Kampeni

TUME  ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imemsimamisha mgombea urais wa Zanzibar kupitia chama cha ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, kutofanya...

READ MORE

Teknolojia ya Digitali Ilivyo Msingi wa Uchumi Imara Siku Zijazo

  Wiki iliyopita ilishuhudia kutangazwa kwa habari nyingine nzuri kuhusu uchumi wa Tanzania. Kwa mujibu wa Takwimu za Benki Kuu...

READ MORE

Benki ya NMB Kutoa Mikopo Nafuu kwa Wakulima na Wafanyabishara

Benki ya NMB imesema kuwa imejipanga kuhakikisha inawasaidia wakulima na wafanyabiashara wadogo na wakubwa, katika kukuza shughuli zao za kiuchumi...

READ MORE

NEC Yakabidhi Majina ya Wapiga Kura, Karatasi ya Kupigia Kura – Video

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) leo Oktoba 15, 2020 imekabidhi vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, nakala...

READ MORE

Dudu Baya Hajulikani Alipo Siku 60 Sasa!

Msanii mtata wa Bongo Fleva, Godfrey Tumaini almaarufu kama Dudu Baya (46), mkazi wa wilaya ya Kinondoni jijini Dar, ametoweka...

READ MORE

Wanasayansi Watahadharisha Mlipuko wa Volkano DR Congo

WANASAYANSI wametahadharisha kuhusu hatari ya Mlima Nyiragongo uliopo Goma, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia Kongo kulipuka.   Mlima huo ulilipuka...

READ MORE

Raja Casablanca Yamtaka Prince Dube

MTANDAO maarufu wa Soccer24 umeripoti kwamba, vigogo wa Morocco, Raja Casablanca wameweka ofa ya dola za Kimarekani milioni moja (US...

READ MORE

NEC Yakabidhi Nakala Ya Daftari La Wapiga Kura Kwa Vyama Vya Siasa

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) leo Oktoba 15, 2020 imekabidhi vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi mkuu nakala tepe ya daftari...

READ MORE

Mtuhumiwa Uvamizi Studio za S2Kizzy Akamatwa – Video

Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam wanamshikilia Mtu mmoja kati ya 17 waliovamia Studio ya @s2kizzy kwa kujifanya Polisi jamii...

READ MORE