×

Habari

Askofu Ruwa’ichi Aipongeza ACB Kuiwezesha Shule ya Mary Mother of Mercy

MHASHAMU Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu Dar es Salaam, Jude Thadeus Ruwa’ichi ameipongeza Benki ya ACB na wadau...

READ MORE

Conde Atangazwa Mshindi Katika Uchaguzi Mkuu

Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Guinea, jana Oktoba 25, 2020 imemtangaza Rais Alpha Conde kuwa mshindi katika uchaguzi mkuu...

READ MORE

Live: Mwili wa Elisha Elia Watolewa Muhimbili Kwenda Kuagwa

MWILI wa mtangazaji Elisha Elia, umetolewa katika hospitali ya Taifa Muhimbili, na kufikishwa nyumbani kwao Tabata Segerea kwa ajili ya...

READ MORE

Mbowe: Lissu Atakuwa Rais, Mimi Waziri Mkuu

Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe, amesema ndani ya saa 72 zijazo, mgombea wao wa Urais, Tundu Lissu anakwenda...

READ MORE

Membe Arejeshwa CCM, Dkt. Bashiru Afunguka!

DAR: Wakati ikiwa imesalia siku moja kabla ya Watanzania kufikia kilele cha Uchaguzi Mkuu Oktoba 28, mwaka huu, Mgombea Urais...

READ MORE

NEC Yakanusha Madai ya Vituo na Wapigakura Hewa

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imewataka wanasiasa na wagombea wanaodai kuwepo kwa vituo na wapigakura hewa kupeleka ushahidi na...

READ MORE

Membe Akiri Kuandika Barua Kujitoa Kugombea Urais

MGOMBEA wa Urais kupitia chama cha ACT Wazalendo, Bernard Membe, ametoa sababu ya kuandika barua iliyokuwa ikisambaa mitandaoni ikieleza kuhusu...

READ MORE

Wajasiriamali Nchini Waanzisha Umoja wa HAYET kujikomboa Kiuchumi

WAJASIRIAMALI nchini wameanzisha umoja wao walioupa jina la HAYET (Have You Eaten Today?) wakimaanisha umekula leo? Lengo la umoja huo...

READ MORE

Nunua Magazeti Ya Global Kupitia GlobalApp Ujishindie Mkwanja

Nunua magazeti kupitia globalapp.co.tz au Application ya GlobalApp Ujishindie Mkwanja hadi Tsh. 100,000/= Baada ya kununua jaza fomu hii bila...

READ MORE

Babati: Rais Magufuli Aamrisha Watu 4000 Waunganishiwe Umeme -Video

MGOMBEA Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Babati mkoani Manyara katika...

READ MORE

Vodacom Walivyozindua Duka Jipya Kariakoo

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Vodacom imefanya jambo lao Mtaa wa Msimbazi, Kariakoo jijini Dar, mkabala na Kituo cha...

READ MORE

Video: Sheikh wa Mkoa Dar NA Sheikh Muhammad Idd Wamaliza Tofauti Zao

Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Alhad Musa, pamoja na Sheikh Muhammad Idd, wamekutana na kuzungumza na kusameheana...

READ MORE

Sekta Ya Mawasiliano Ya Simu Ilivyo Nguzo Muhimu Kuleta Mabadiliko Ya Kiuchumi Tanzania

Dunia inaendelea kushuhudia maabadiliko makubwa ya kiteknolojia sehemu mbali mbali kwa kasi ya ajabu. Sehemu kubwa ya matunda ya teknolojia...

READ MORE

GSM yawamwagia mamilioni mastaa Yanga

BAADA ya ushindi wa michezo mitano mfululizo ya Ligi Kuu Bara, wadhamini wa Yanga ambao Kampuni ya GSM jana jioni...

READ MORE

Tanzia: Mtangazaji wa TBC, Elisha Elia Afariki Dunia

Mtangazaji wa Shirika la Habari Tanzania (TBC), ELISHA ELIA MWAKAGALI amefariki Dunia hii leo Jumamosi, Oktoba 24, 2020 katika Hospitali...

READ MORE

Watumishi wa Afya, Wadau Wakutana Karimjee

  Watumishi wa Idara ya Afya na wadau mbalimbali wa Afya jioni hii wamekutana na kupongezana kwa kazi kubwa wanayoendelea...

READ MORE

Breaking: Watu 13 Wafariki kwa Ajali, Ngara – Video

WATU  13 wamefariki dunia na wengine 11 wamejeruhiwa mkoani Kagera kufuatia ajali ya basi la Emirates ambalo hufanya safari zake...

READ MORE

JPM Azungumza Na Wananchi Wa Kisongo Na Makuyuni Arusha – Video

MGOMBEA Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais, Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kisongo na Makuyuni mkoani...

READ MORE

JPM: Baada ya Uchaguzi Serikali Kununua Vichwa vya Treni 39 -Video

RAIS Magufuli  amesema baada ya uchaguzi kukamilika Serikali imejipanga kununua vichwa vya treni 39 kwa njia kuu na vingine 18...

READ MORE

Harmonize Alizwa Mamilioni YouTube

Staa wa Bongo Fleva ambaye pia ni bosi wa lebo kubwa ya muziki nchini Tanzania ya Konde Gang Music Worldwide,...

READ MORE

Msikiti wa JPM Chamwino Wakamilika

MWONEKANO wa Msikiti wa Chamwino mkoani Dodoma ulioahidiwa na Rais John Pombe Magufuli, ukiwa umekamilika.

READ MORE

Beyonce na Kauli Yake Iliyozua Jambo Sakata la Nigeria

RIHANNA, Kanye West na Nicki Minaj ni miongoni mwa watu mashuhuri ambao wamejitokeza kuunga mkono maandamano dhidi ya ukatili wa...

READ MORE

Mbwa wa Ajabu Azaliwa

Mbwa wa Cristian Mallocci alimuonesha mmiliki wake maajabu baada ya kuzaa mbwa asie wa kawaida. Mbwa huyo aliyepewa jina Pistachio...

READ MORE

RC Kunenge Afanya Ziara ya Kushtukiza Bandari -Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Abubakar Kunenge amefanya ziara ya kushtukiza kwenye bandari ya Dar es salaam...

READ MORE

Meneja Kampeni Mgombea Ubunge Afariki, Chanzo Hiki Hapa…

POLISI mkoani Mwanza wanachunguza chanzo cha kifo cha Deogratias Medard (42) mkazi wa Sengerema aliyefariki dunia muda mfupi baada ya...

READ MORE

Shigongo Na Mgombea wa Chadema Wakutana – Video

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo James, akiwa na Mgombea Ubunge wa Jimbo...

READ MORE

Kafulila: Chadema Kuweka Rehani Madini ya Nchi ni Ufisadi – Video

KARIBU katika ‘KIPINDI MAALUM’ kutoka Global Radio, ambapo mwanasiasa Mkongwe, David Kafulila, anazungumzia masuala mbalimbalu kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka...

READ MORE

Afariki Kwa Kula Makande!

POLISI Mwanza wanachunguza chanzo cha kifo cha Deogratias Meded (42) Mkazi wa Sengerema aliyefariki dunia muda mfupi baada ya kudaiwa...

READ MORE

Mahakama ya Juu Nigeria Yachomwa Moto

Waandamanaji nchini #Nigeria wamechoma moto jengo la mahakama ya juu nchini humo wakati wakiendelea na maandamano kupinga ukatili wa polisi....

READ MORE

Bil.136 Kukarabati Viwanja Vinne Vya Ndege

KATIBU Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dotto James, amewaagiza wakandarasi waliopewa kazi ya ujenzi wa viwanja vya ndege katika...

READ MORE

NMB Yashinda Tuzo ya Benki Salama Zaidi Nchini Kwa Mwaka 2020

Benki ya NMB imeshinda tuzo ya umahiri baada ya kuibuka benki salama zaidi Tanzania kwa mwaka 2020. Tuzo hizo zilitolewa...

READ MORE

Stamico Yazidi Kupaa Kwenye Sekta Ya Madini

Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limezidi kupaa kwenye sekta ya madini baada ya Wizara ya madini kushirikiana na shirika...

READ MORE

Kisa Baba Kutaka Kumuoa Mchumba’ke, Kijana Atoroka na Mahari

MVULANA wa miaka 17 katika Kaunti ya Tana River, nchini Kenya ametorosha mahari iliyokusudiwa kutumiwa na baba’ke kuoa mke wa...

READ MORE

‘Bwege’ Wa Act-Wazalendo Atinga Kusikiliza Kampeni za CCM Kilwa

  MGOMBEA UBUNGE wa jimbo la Kilwa Kusini kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Bw. Selemani Bungara maarufu kwa jina la...

READ MORE

Waziri Kijaji Ashuhudia Benki ya CRDB Ikiwekeza Sh. Bilioni 7 Ndani ya KCBL

Waziri kijaji akizungumza kwenye hafla hiyo. Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji amiepongeza Benki ya CRDB kwa...

READ MORE

Magufuli Akoshwa na Gazeti la Marekani

RAIS  John Magufuli amesema kuwa ameona takwimu za dunia nzima kuhusu maambukizi ya virusi vya Corona zilizotolewa na gazeti la...

READ MORE

‘Bwege’ Atua Kwenye Mkutano wa Majaliwa

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Kilwa Kusini kwa tiketi ya ACT WAZALENDO, Selemani Bungara, maarufu kwa jina la Bwege (aliyeshika...

READ MORE

Global Yawapa Tuzo Wanafunzi Tumaini, UDSM

  UONGOZI wa Kampuni ya Global Publishers umetoa tuzo maalum kwa kundi la wanafunzi 30 kutoka katika Chuo Kikuu cha...

READ MORE

Haijawahi Kutokea, Mnada wa Hardwares kwa Bei Chee!

TAMBAZA AUCTION MART & GENERAL BROKERS LIMITED inawatangazia mnada wa hadhara wa vitu mbalimbali vya majumbani kwa bei chee.  ...

READ MORE

Mwambe: Bungeni Umefunga Plasta Midomo, Utaombaje Umeme?

WAGOMBEA wawili wa Ubunge wa majimbo ya Ndanda na Tandahimba, waliokuwa vyama vya upinzani na kuhamia Chama Cha Mapinduzi, (CCM),...

READ MORE