×

Habari

Mwambe: Bungeni Umefunga Plasta Midomo, Utaombaje Umeme?

WAGOMBEA wawili wa Ubunge wa majimbo ya Ndanda na Tandahimba, waliokuwa vyama vya upinzani na kuhamia Chama Cha Mapinduzi, (CCM),...

READ MORE

Tamko la BASATA Kuhusu Kufungiwa Wimbo wa Jide

BARAZA la Sanaa Tanzania (BASATA) limekanusha taarifa zilizotolewa na Meneja wa mwanamuziki Lady Jaydee (Jide) kwamba limeufungia wimbo wake wa ...

READ MORE

JPM Azindua Kiwanda cha Ngozi: Nimesahau Namba za Mke Wangu – Video

RAIS John Magufuli, leo Oktoba 22, 2020,  amezindua kiwanda cha bidhaa za ngozi kilichopo mkoani Kilimanjaro.  TAARIFA FUPI YA MRADI...

READ MORE

TMA Yataoa Tahadhari Juu ya Msimu wa Mvua

Mamlaka ya hali ya hewa nchini (TMA), imetoa muelekeo wa mvua za msimu za mwezi Novemba 2020 hadi Aprili mwaka...

READ MORE

Chadema Wadaiwa Kukutwa na Vitambulisho vya Kura – Video

JESHI la Polisi linawashikilia viongozi watano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)  kata ya Gwanumpu wilayani Kakonko kwa tuhuma...

READ MORE

TACC: Drones Zinahatarisha Usalama Angani

RAIS wa Chama cha Waongoza Ndege Tanzania (TACC), Shukuru Nziku, amesema, ndege-nyuki (drones) ni miongoni mwa changamoto wanazokabiliana nazo waongoza...

READ MORE

IGP Sirro: NEC, ZEC Ndio Watangaze Matokeo Sio Mwingine

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini  IGP Simon Sirro, amewahimiza askari wa Jeshi hilo kutimiza wajibu wao kwa kuhakikisha wanatenda...

READ MORE

Sheikh Mkuu: Tuheshimiane Katika Tofauti za Dini Zetu

MWENYEKITI  wa Kamati ya Amani na Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhadi Mussa Salum, amesema ni vyema kila...

READ MORE

Mawakala 12 Chadema Wakataliwa Kuapishwa Chato

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imekataa kuwaapisha mawakala 12 kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa kile ilichobainisha...

READ MORE

Mawakala Wanne Chadema Wafariki Ajalini

WATU  wanne ambao ni mawakala wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamefariki dunia na wengine watano kujeruhiwa, katika ajali...

READ MORE

Nabii Bushiri, Mkewe Wakamatwa Kwa Utakatishaji Fedha

KITENGO  cha Uchunguzi wa Makosa ya Jinai nchini Afrika Kusini (Hawks),  kimemkamata ‘Nabii’ maarufu Shepherd Bushiri na mkewe Mary kwa...

READ MORE

Sirro Awaonya Watakaojitangazia Matokeo

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro,  pamoja na kuwahimiza askari wa jeshi hilo kutimiza wajibu wao kwa...

READ MORE

NEC: Kura za Urais Zitahesabiwa Dar, Si Dodoma

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imevitaka vyama vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi mkuu kuhakikisha leo Oktoba 21, 2020, vinakabidhi orodha...

READ MORE

Benki ya CRDB Yazindua Kampeni ya “Jipe Tano”

Benki ya CRDB imetenga Shilingi milioni 100, kama zawadi kwa wateja ambao watakuwa wakiweka akiba mara kwa mara katika akaunti...

READ MORE

Rais wa Zamani wa Burundi Ahukumiwa Maisha Jela

Rais wa zamani wa Burundi, Pierre Buyoya amehukumiwa na mahakama kuu ya nchi hiyo kifungo cha maisha jela baada ya...

READ MORE

Gramu 35.99 za Madawa Ya Kulevya Zateketezwa Tanga

Mahakama Kuu Kanda ya Tanga kwa kushirikiana na wadau wake imeteketeza kiasi cha gramu 351.99 za madawa ya kulevya aina...

READ MORE

Mazars Wiscon Associates Yabadili Chapa Yake Rasmi

  Kampuni ya kimataifa inayotoa huduma za ushauri wa kodi, ukaguzi wa mahesabu na ushauri wa mambo ya fedha. Leo...

READ MORE

Mpinzani wa Kiduku Kutua Nchini

Mbabe wa masumbwi mwenye rekodi, Sirimongkhon Iamtuam atawasili nchini Oktoba 24 mwaka huu akiwa na wasaidizi wake wakitokea nchini kwao...

READ MORE

Magufuli Apiga ‘Push-Ups’ Korogwe Tanga -( Picha +Video)

MGOMBEA  urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John  Magufuli,  baada ya kumaliza kampeni...

READ MORE

Tanzia: Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu Afariki Dunia

MKE wa Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Balozi Ahmed Salim Ahmed, Bi Amne Rifai Salim,  amfariki dunia leo, Jumanne, Oktoba...

READ MORE

Maalim Seif: ‘Mzee wa Ubwabwa’ ni Bora Kuliko Membe

MGOMBEA urais wa chama cha ACT Wazalendo visiwani Zanzibar ambaye pia ni mwenyekiti wa chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad,...

READ MORE

Mugalu Aitaka Rekodi ya Straika wa Yanga

AKIENDELEZA rekodi ya kutupia mabao, straika wa Simba, Mkongomani Chris Mugalu, ametamba kwamba anaweza kuivunja rekodi ya straika wa zamani...

READ MORE

Askofu Gwajima: Nina Jina la Kiislam, Naitwa Rashid

MGOMBEA ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya CCM, Askofu Josephat Gwajima, amesema ana jina la Kiislamu ambalo ni Rashid...

READ MORE

NEC Yaruhusu Vitambulisho Mbadala kwa Wapiga Kura

Tume ya Taifa ya Uchaguzi katika kikao chake cha tarehe 12 Oktoba, 2020 imefanya maamuzi ya kisera ya kuruhusu vitambulisho...

READ MORE

Membe: Nilipanga Kukipindua CCM Kiuongozi, wakanifukuza

Mgombea Urais kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Bernard Membe, amesema kuwa kabla hajafukuzwa na chama chake cha awali cha CCM, alikuwa...

READ MORE

Mimba za Mobeto kwa Mondi Zamshtua Zari

    KAULI ya mwanamitindo maarufu Bongo, Hamisa Mobeto aliyoitoa hivi karibuni kuwa, alinasa mimba tatu za mpenzi wake Nasibu...

READ MORE

Vodacom Tanzania yatoa Msaada wa vifaa vya matibabu kwa kituo cha afya Inyonga B mkoani Katavi

Mkurugenzi wa Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation, Rosalynn Mworia (kulia) akikabidhi moja ya mashine kwa ajili ya watoto wanaozaliwa kabla...

READ MORE

Maendeleo Ujenzi Daraja la Wami – Picha

Taswira ya daraja la sasa la Wami linalotumika lenye urefu wa mita 88.75, lililopo mkoani Pwani. Daraja hilo ni kiungo...

READ MORE

Watano Familia Moja Waliokufa Dar Wazikwa Buchosa

WATU watano wa familia moja akiwemo mama, watoto wake watatu na wifi yake, waliopoteza maisha baada ya nyumba yao kuwaka...

READ MORE

Baada ya Kupotea kwa Siku 60, Bifu za Dudubaya Zaibuliwa

HOFU inazidi kutanda juu ya kupotea na kutoonekana kwa msanii mtata wa Bongo Fleva, Godfrey Tumaini almaarufu kama Dudu Baya...

READ MORE

Membe: Hata Mninyonge, Wabunge 32 Siwataji

MGOMBEA urais kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Bernard Membe, amesema  kabla hajafukuzwa na chama chake cha awali cha CCM, alikuwa anao...

READ MORE

Mafuriko Kampeni za Shigongo Bupandwa – Video

MAFURIKO ya wananchi wa Kijiji cha Bupandwamhela wakimpokea kijiji hapo mgombea ubunge wa Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi...

READ MORE

Membe: Nitaing’oa CCM Dakika ya 89 – Video

BERNARD Kamilius Membe amesema yeye bado ni mgombea halali wa urais kupitia ACT-Wazalendo katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28...

READ MORE

Tume Yaamuru Manji Kuwalipa Sh Mil 232 Waandishi 23 Waliowaachishwa Kazi

Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) Kanda ya Dar es Salaam- Temeke imeiamuru kampuni ya Quality Group Limited kuwalipa waandishi...

READ MORE

Wadau Wataka Watoto wa Kike Kulindwa Dhidi ya Changamoto

    TAASISI mbalimbali zimepaza sauti zikiwataka wazazi na jamii kwa ujumla kumlinda mtoto wa kike dhidi ya changamoto anuai zinazowakabili...

READ MORE

Watuhumiwa wa Kuchoma Shule Wanaswa – Video

JESHI la Polisi wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro limefanikiwa kukamatwa kwa watu watatu kwa tuhuma za kuchoma moto bweni la kulia...

READ MORE

Baba Aliyefiwa Familia ya Watu Watano – Video

BABA mzazi aliyejitambulisha kwa jina la Edward Jeremiah Katemi, amejikuta katika wakati mgumu, baada ya familia yake ya watu watano,...

READ MORE

Vikwazo Vya Silaha Iran Vyafikia Tamati

VIKWAZO  vya Umoja wa Mataifa (UN) vilivyopiga marufuku kuiuzia au kununua silaha kutoka Iran vimefikia tamati jana jumapili kama ilivyoafikiwa...

READ MORE