×

Habari

Wasiojulikana Wamchukua Kiongozi wa Maandamano Belarus

KIONGOZI  wa maandamano nchini Belarus, Maria Kalesnikava, amechukuliwa na watu wasiojulikana waliovalia barakoa na kumtia kwenye gari katika eneo la...

READ MORE

Waliomuua Khashoggi Waondolewa Adhabu ya Kifo

  MAHAKAMA nchini Saudi Arabia imeondoa hukumu ya kifo iliyotolewa dhidi ya watu watano waliopatikana na hatia ya mauaji ya...

READ MORE

Polisi Manyara Yakamata Bangi na Mitambo ya Gongo.

Polisi mkoani Manyara wameripoti kuwatia mikononi watuhumiwa 6 wa madawa ya kulevya aina ya Bangi misokoto 36 na wengine 11...

READ MORE

Wezi Wavunja Mahakama, Waiba Sukari…

POLISI mkoani Njombe imewakamata watu  wawili kwa tuhuma za kuvunja Mahakama ya Wilaya ya Njombe na  kuiba vitu mbalimbali ikiwemo...

READ MORE

Shigongo: Nitakuwa Mbunge wa Taifa

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Buchosa mkoani Mwanza, Eric Shigongo amesema akishinda hatakuwa mbunge wa jimbo hilo pekee bali atakuwa...

READ MORE

Magufuli: Tizeba Njoo Umwombee Kura Shigongo – (Picha +Video)

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),  na mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia chama hicho, Dkt. John...

READ MORE

Breaking: NEC Yaamua Rufaa 55 Wagombea Ubunge – Video

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inaendelea na zoezi la kupitia, kuchambua na kuzifanya uamuzi rufaa za wagombea ubunge zilizowasilishwa...

READ MORE

Mbunge Akamatwa Kwa Kumkashifu Rais

Mbunge wa Jimbo la Emurua Dikirr nchini Kenya, Johanna Ng’eno amekamatwa na polisi kwa tuhuma za kumkashifu Rais Uhuru Kenyatta...

READ MORE

Magufuli Ampigia Laivu Injinia Mfugale, Afanya Maamuzi Magumu Buchosa – Video

RAIS MAGUFULI amempigia simu LIVE, Mkurugenzi Mkuu wa TANROADS, Mhandisi Patrick Aron Nipilima Mfugale na kumtaka kuanza kuijenga Barabara ya...

READ MORE

Watumiaji Mabando Ya Tigo Sasa Waula

Kampuni ya Simu za Mkononi ya Tigo leo imezindua huduma yake mpya iitwayo Chukua Kilicho Chako ambayo itamuwezesha mtumiaji wa...

READ MORE

Magufuli: Shigongo Ameanza Kunisumbua, Nampa Lami – Video

MGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),  John Magufuli, ameahidi kujenga barabara ya kutoka...

READ MORE

JPM Aeleza Kitwanga Alivyomsumbua Ujenzi wa Barabara -Video

MGOMBEA urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM),  John  Magufuli, amekumbuka jinsi aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Misungwi, Charles Kitwanga, alivyomsumbua...

READ MORE

Balozi wa Heshima wa Visiwa Vya Shelisheli Atembelea Ofisi za OSHA

  Balozi wa Heshima wa Seychelles nchini, Bi. Maryvonne Pool, ameipongeza Tanzania kwa hatua kubwa iliyofikiwa katika usimamizi wa sheria...

READ MORE

Takukuru Songwe Yaokoa Nyumba ya Mama Mjane

Taasisi ya Kuzuia na Kudhibiti Rushwa mkoani Songwe, (Takukuru) imefanikiwa kumrejesha Mama mjane hati yake ya nyumba iliowekwa rehani kwa...

READ MORE

Wakinukisha Baada ya Kuporwa Fedha na Sungusungu

KAIMU Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga, Carolius Misungwi,  ameagiza kusimamishwa kwa shughuli za Sungusungu katika kata ya Mfinga iliyopo bonde...

READ MORE

Magufuli Avua Kofia Hadharani, Amvisha Mondi – Video

MGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John  Magufuli ameshindwa kujizuia...

READ MORE

Mbaroni Akituhumiwa Kuchoma Moto Basi Lake

POLISI mkoani Morogoro inawashikilia watu watatu akiwemo mmiliki wa basi la kampuni ya HBD lenye namba za usajili T 321...

READ MORE

Breaking: Moto Wateketeza Maduka Sinza-Mapambano

MADUKA  matatu yaliyopo maeneo ya Sinza-Mapambano jijini Dar es Salaam karibu na Ofisi za  Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) yameteketea...

READ MORE

Tanzia: Rais wa Ngumi za Kulipwa Tanzania Afariki

RAIS wa Oganaizesheni ya Ngumi za Kulipwa nchini Tanzania (TPBO), Yassin Abdallah ‘Ustadhi’, amefariki dunia asubuhi ya leo, Septemba 7,...

READ MORE

Kubenea Akamatwa kwa Tuhuma za Utakatishaji Fedha

ALIYEKUWA Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea, amekamatwa na Jeshi la Polisi katika mpaka wa Tanzania na Kenya, Namanga, akidaiwa kuvuka...

READ MORE

Shonza Awataka Tunduma Kumchagua Silinde

Mteuliwa wa Ubunge viti maalumu Mkoa wa Songwe, Juliana Shonza ambaye pia ni Naibu Waziri wa Habari Utamaduni, Sanaa na...

READ MORE

Shigongo: Kura za Magufuli Zitavunja Rekodi Oktoba 28 – Video

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo James,  amewaomba Watanzania wote kujitokeza siku ya...

READ MORE

Vodacom Tanzania PLC yawajengea uwezo wa masomo ya sayansi wanafunzi wa kike nchini.

Mkurugenzi  wa Rasilmali Watu, Vodacom Tanzania Plc, Vivianne Penessis  (Kulia) akiongea na wanafunzi  wa shule mbalimbali za sekondari wakati wa kuhitimu mafunzo ya ...

READ MORE

Teknolojia ya Kidijitali ilivyo Fursa ya Kukuza Uchumi Endelevu Tanzania

Katika miaka ya hivi karibuni, teknolojia ya kidijitali nchini Tanzania imezidi kukua na kulisaidia taifa hili kuwa moja ya taifa...

READ MORE

Zaidi ya Wanariadha 3,000 Kushiriki Mbio za NMB Bima Marathon!

  Benki ya NMB inatarajia kukusanya zaidi ya Sh. milioni 100 kwa ajili ya matibabu ya watoto wenye saratani katika...

READ MORE

Mawakala wa Benki ya NMB wapewa elimu kujiepusha na utakatishaji fedha

  Benki ya NMB imetoa mafunzo maalum kwa mawakala wake kuhusiana na namna ya kuzuia utakatishaji fedha; pia mbinu za...

READ MORE

Si Nyingine ni Infinix Zero 8 Kinara wa Kampuni Mbioni Kutambulishwa

Kampuni ya simu ya Infinix mbioni kuzindua Infinix ZERO 8, inasadikika kwa mwaka huu wa 2020 Infinix ZERO 8 ndio...

READ MORE

Rungwe Aahidi Kujenga Daraja Dar Hadi Zanzibar

MGOMBEA urais kupitia chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA), Hashim Rungwe, amesema akipata ridhaa ya kuongoza nchi katika uchaguzi mkuu...

READ MORE

JPM: Mwanza Nichagulieni Wabunge, Madiwani wa CCM -( Picha +Video)

MGOMBEA Urais kupitia CCM, Dkt John Magufuli leo Septemba 6, 2020 amewataka wananchi kuhakikisha endapo wakichagua Rais kutoka chama hicho,...

READ MORE

Wakulima Washauriwa Kutumia Vodacom M-Kulima

Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe (kulia)akiteta jambo na Kaimu Mkuu wa Mauzo Vodacom Kanda ya Ziwa, Ahmed Akbarali na...

READ MORE

Ota Benga: Kijana Mkongo Aliyetekwa na Kugeuzwa Maonyesho Marekani

Ota Benga alitekwa nyara huko ambako sasa kunafahamika kama Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo mwaka 1904 na kupelekwa Marekani, lengo...

READ MORE

Mwili wa Agnes Almasy wa ITV Waagwa Dar – Video

MWILI wa aliyekuwa mwandishi wa habari na mtangazaji wa ITV, Agnes Almasy aliyefariki dunia gafla juzi umeagwa katika Kanisa la...

READ MORE

Samia Suluhu Alivyofanya Kampeni Dar, Ataja Miradi Itakayotekelezwa 2020,25

Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan akizungumza  wakati wa mkutano wa Kampeni uliofanyika Tabata...

READ MORE

Afariki Akiongeza Makalio

Daktari mmoja nchini Marekani, Donna Francis ameshtakiwa mara baada ya kusababisha kifo cha mwanamke wa miaka 34 aliyekuwa anamfanyia upasuaji...

READ MORE

TBC na Chadema Wamaliza Mgogoro Wao -Video

Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) jana Ijumaa Septemba 4, 2020 limefanikiwa kumaliza mgogoro uliokuwapo kati ya Chama cha Demokrasia na...

READ MORE

Ratiba Kampeni Wagombea Urais, Makamu Hii Hapa

TUME ya Taifa ya Uchaguzi nchini  (NEC) leo Septemba 1, 2020 imetoa ratiba ya kampeni za wagombea wa urais na...

READ MORE

Agnes Almasy wa ITV Kuagwa Leo

ALIYEKUWA mwandishi na mtangazaji wa ITV, Agnes Almasy, anatarajiwa kuagwa leo Septemba 5, 2020, jijini Dar es Salaam na baadaye...

READ MORE

Mbwa Watumika Kugundua Covid-19

CHUO Kikuu cha Namibia, kitengo cha dawa ya mifugo, kinawafundisha mbwa kubaini virusi vya corona kwa kunusa. Mpango wa nchi...

READ MORE

CAMFED Yatoa Elimu Ya Biashara Kwa Wasichana Toka Wilaya Tano

      SHIRIKA la CAMFED Tanzania limetoa mafunzo ya elimu ya biashara na ujasiriamali kwa wasichana kutoka katika Wilaya tano...

READ MORE