×

Habari

Magufuli Amfariji Aliyekatwa Mapanga Msikitini – Video

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi,  John Magufuli,  ambaye pia ni mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama...

READ MORE

Vodacom Yazindua API za M- Pesa Kwa Wabunifu wa Programu za Kompyuta

  Kampuni ya simu za mkononi inayoongoza kidijitali, teknolojia na mawasiliano nchini, Vodacom Tanzania PLC leo imetangaza ufunguzi wa Application...

READ MORE

NEC Yamfungia Lissu Kufanya Kampeni kwa Siku 7

KAMATI ya Maadili ya Kitaifa ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemsimamisha mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa...

READ MORE

JPM Aipa Pole Familia ya Marehemu Mollel (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. John  Magufuli  leo Oktoba 2, 2020 amefika kutoa pole  kwa familia ya marehemu...

READ MORE

Wahitimu Victory Secondary Walivyoonesha Umahiri Katika Ujasiriamali

Wahitimu wa Shule ya Sekondary ya Victory iliyopo Vikindu mkoani Pwani wameonesha umahiri wao katika somo la Ujasiriamali ambalo walifundishwa...

READ MORE

Carlinhos, Lamine Wana Jambo lao Yanga

CARLOS Carlinhos raia wa Angola, nyota mpya ndani ya Yanga, ameonekana kuivana na beki wa timu hiyo, Lamine Moro.Wawili hao...

READ MORE

Mapokezi ya Magufuli Zanzibar ni Balaa! – Video

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe ameshawasili Zanzibar leo, Ijumaa,...

READ MORE

Polisi Yasitisha Wito kwa Lissu Yasema Aendelee na Kampeni

POLISI Kanda Maalum ya Dar es Salaam leo Ijumaa Oktoba 2, 2020, imesitisha wito wa kumtaka mgombea urais wa Jamhuri...

READ MORE

Trump, Mkewe Wakutwa na Corona

RAIS Donald Trump wa Marekani amesema  yeye na mke wake, Melania Trump, wamepatikana na virusi vya corona na wako kwenye...

READ MORE

Shigongo Atikisa Buchosa: Lami Inapita Hapa – Video

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo James, ameendelea na kampeni za kunadi sera...

READ MORE

Lissu Agomea Wito wa IGP Sirro

MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amekataa kuitikia wito uliotolewa na Mkuu wa...

READ MORE

Hofu Yatanda Mtoto wa Mwaka Mmoja Kutoweka

PWANI: Hofu imetanda baada ya mtoto Shadra (1), mkazi wa Kijiji cha Mwanzo Mgumu, Chanika mkoani Pwani kutoweka ghafla kwenye...

READ MORE

Infinix Yaja na Kitu Kikali Zaidi Kuwahi Kutokea Katika Matoleo Yao

“Betri yenye uwezo mkubwa kwa matumizi mbalimbali kama vile kucheza games, kuangalia video pasipo hofu ya kuzima ndio mategemeo makubwa...

READ MORE

Benki ya CRDB Yaboresha Huduma kwa Wastaafu Sasa Kuhudumiwa Kidijital

Benki ya CRDB imezindua mpango maalum wa uwezeshaji kwa wastaafu ambao unatoa fursa mbalimbali zinazolenga katika kuboresha maisha yao. Akizungumza...

READ MORE

Mwanajeshi: Niliwaua Warembo Sababu Nilionewa Nikiwa Mdogo

MWANAJESHI wa kitengo maalum cha makombora, Alexey Alexandrov (35), amekiri kuwaua kwa pamoja warembo wawili, Ksenia Soltanova na Rafiki yake...

READ MORE

Wabunge Wakataa Msaada wa Kondomu

WABUNGE nchini Malawi wamekataa kupokea msaada wa  kondomu zaidi ya 200,000 walizopewa na shirika moja la kutoa misaada. Mipira hiyo...

READ MORE

Mshukiwa Mauaji ya Kimbari Kushtakiwa Tanzania

MAHAKAMA ya rufaa nchini Ufaransa imekubali kumpeleka mshukiwa wa mauaji ya kimbari nchini Rwanda, Felicein Kabuga, kushtakiwa nchini Tanzania.  ...

READ MORE

Kijana Awaua Wazazi Wake Kisa Corona

Raia wa China Huang Mouyang (22) anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za mauaji ya Wazazi wake wote wawili ambao inadaiwa...

READ MORE

Sirro Aagiza Lissu Aripoti Polisi – Video

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, amemtaka mgombea urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu...

READ MORE

Msajili Awaonya ACT na Chadema Kuungana Oktoba 3

Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa nchini Sisty Nyahoza, ameviasa vyama vya siasa vinavyotaka kuungana siku ya Oktoba 3 mwaka...

READ MORE

Mfahamu Nala, Paka Aliyesafiri Nchi Nyingi Zaidi Duniani

WAKATI mchezaji wa mchezo wa raga Dean Nicholson (31) alipofungasha virago vyake ili kusafiri duniani, alitumai kwamba safari hiyo itabadilisha...

READ MORE

Benki ya NBC Yazindua Mwezi wa Huduma kwa Wateja

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) hii leo imezindua mwezi wa Huduma kwa Wateja wake huku ikisisitiza kuendelea kuzingatia weledi...

READ MORE

Maziwa Matatu Yagunduliwa Sayari ya Mars

MAZIWA matatu ya chini ya ardhi yamegunduliwa karibu na eneo la kusini mwa sayari ya Mars. Wanasayansi pia wamethibitisha uwepo...

READ MORE

Aliyemzuia Makonda Kuingia Marekani Azuiwa Kukutana na Papa

VATICAN imemkatalia Waziri wa Mambo ya nje wa Marekani, Mike Pompeo, kuonana na Papa Francis. Kiongozi huyo wa juu wa...

READ MORE

Mtu wa Kwanza Kutibiwa HIV Afariki kwa Saratani

MTU  wa kwanza kutibiwa virusi vya ukimwi (HIV), Timothy Ray Brown, amefariki kutokana na saratani. Brown ambaye pia alijulikana kama...

READ MORE

Maalim Seif Aahidi Muungano Serikali Tatu

MGOMBEA urais wa Zanzibar kupitia chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, ameendelea na kampeni zake katika kisiwa cha Pemba...

READ MORE

Mch. Mashimo Aomba Msaada Kumnasua Amber Rutty Jela

MCHUNGAJI WA Kanisa la Pentekoste, Mbezi jijini Dar es Salaam, Daudi Mashimo, ambaye ni mlezi wa msanii Amber Rutty amesema...

READ MORE

Nyumba Yateketea kwa Moto Keko – (Pichaz + Video)

MOTO mkubwa umeibuka na kuteketeza nyumba za watu na vibanda vya biashara katika maeneo ya Keko jijini Dar es Saalam...

READ MORE

Kocha Zambia Afunguka Sababu ya Kumsajili Juma Abdul

KOCHA mkuu wa Klabu ya Indeni ya Zambia, David Chilufya, amesema haikuwa bahati mbaya kwake kumpa mkataba wa miaka miwili...

READ MORE

Shigongo Awaambia Buchosa: Nitajitolea kwa Ajili Yenu – Video

KAMPENI zikiwa zinaendelea kupamba moto katika jimbo la Buchosa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema, mgombea ubunge kwa tiketi ya Chama...

READ MORE

Wahamiaji Haramu 32 Wanaswa Wilayani Pangani

ASKARI wa Hifadhi ya Taifa ya Saadani kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi wilayani Pangani wamefanikiwa kuwakamata wahamiaji haramu 32...

READ MORE

Mwongozo BoT Wawanufaisha Wanachama wa NMB Business Club

Kongamano la wanachama wa Klabu za Biashara ‘NMB Business Club’ Wilaya ya Ilala limefanyika jijini Dar es Salaam, huku Benki...

READ MORE

Gereza Wafungwa Hawapewi Chakula, Wanatoka Kujitafutia

KATIKA gereza la Sanganer, lililopo katika Mji wa Jaipur nchini India, wafungwa hupewa mahali pa kulala lakini hawapewi chakula na...

READ MORE

Waliomuua Kada wa CCM Njombe Wadaiwa Kukiri

WATU wanne ambao wametiwa mbaroni kutokana na mauaji ya kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Njombe, Emmanuel Mlelwa, wamedaiwa kukiri...

READ MORE

HESLB Yatoa Siku Tano Kwa Wanafunzi Waliomaliza Mafunzo ya JKT

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) inawajulisha wanafunzi waliomaliza mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT)...

READ MORE

Mahakama Kuamua Museveni Agombee Tena au La!

MAHAKAMA ya Haki ya Afrika Mashaki inatarajiwa kuamua kesi inayopinga uhalali wa Yoweri Museveni kugombea tena urais wa Uganda katika...

READ MORE

Flyover ya Ubungo (Mwenge – Buguruni) Yaanza Kutumika – Pichaz

BARABARA za juu eneo la Ubungo Interchange upande wa Mwenge – Buguruni, jijini Dar es Salaam imeaanza kutumika rasmi baada...

READ MORE

Rais JPM Afanya Uteuzi Mzumbe University

Rais John Magufuli leo Septemba 30, amemteua Prof. Metthew Luhanga kuwa mwenyekiti wa Baraza la chuo kikuu Mzumbe. Prof. Luhanga...

READ MORE

Ubabe, Matusi Vyatawala Mdahalo wa Trump, Biden

ZIKIWA zimesalia siku 35 kuelekea  uchaguzi mkuu wa urais nchini Marekani utakaofanyika Novemba 3 mwaka huu, wagombea urais,  Donald John...

READ MORE