×

Habari

Wanafunzi Wenye Ueleo Hafifu Kuundiwa Mpango Maalum

Shule ya sekondari ya St Mark’s iliyopo Kongowe, Wilaya ya Temeke Jijini Dar es Salaam, imeandaa mkakati  wa  kuwatambua wanafunzi ...

READ MORE

Polisi Wapigwa Risasi Kwenye Maandamano

MAOFISA wawili wa polisi wamepigwa risasi huku maelfu ya watu wakiandamana katika mji wa Louisville nchini Marekani baada ya jopo...

READ MORE

Wanafunzi wa Kilimo Waula Ufadhili na SBL

Ikiwa ni muendelezo wa kusaidia sekta ya kilimo hapa nchini, Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) leo imetangaza kuwa itatoa...

READ MORE

Mpinzani Aliyenyweshwa Sumu Atoka Hospitali

KIONGOZI wa upinzani nchini Urusi, Alexei Navalny, ameonekana kwa mara ya kwanza hadharani baada ya kuruhusiwa kutoka hospitali ya mjini...

READ MORE

Mfahamu Mtu Mwenye Umri Mkubwa Zaidi Duniani Aliye Hai

KIKONGWE Kane Tanaka ndiye mwanamke anayetambuliwa kuwa na umri mkubwa zaidi duniani aliye hai. Hii ni kulingana na kitabu cha...

READ MORE

Masoko ya Madini Yaigusa Benki ya NBC

SERIKALI imesema uanzishwaji wa masoko ya madini hapa nchini imekuwa ni moja njia muhimu itakayoongeza kasi ya utoaji wa mikopo...

READ MORE

Botswana Kuanza Kutumia Lugha ya Kiswahili Shuleni

Serikali ya Botswana inakusudia kuanzisha matumizi ya lugha ya Kiswahili katika Shule za Msingi. Waziri wa Elimu ya Msingi, Fidelis...

READ MORE

Benki ya NMB Yakabidhi Mabati ya Mil. 17- Kwa Shule Kisarawe

  Benki ya NMB imekabidhi msaada wa mabati 565 yenye thamani ya Shilingo. Milioni 17 kwa shule tatu za msingi...

READ MORE

Marioo Aaanika Ukweli Kutaka Kujinyonga Kisa Mimi Mars

Msanii wa Bongo Fleva, Marioo amenyoosha maelezo kuhusu kutaka kujinyonga kisa kutendwa kwenye suala zima la mapenzi kama ambavyo alivyoashiria...

READ MORE

Mshindi wa Jackpot ya SportPesa Kuanzisha Biashara Kubwa

Turiani, Septemba 23, 2020. Kampuni ya Michezo na Burudani ya SportPesa Tanzania imemkabidhi mshindi wa Jackpot SportPesa , Lilian Ngitoria...

READ MORE

Kijiji kwa Kijiji! Shigongo Atua Kome Kuomba Kura – Video

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Buchosa kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo, amewaomba wanachama wa chama hicho...

READ MORE

Shoo ya Nandy Yaiteka Arusha NCBA ikizindua Matawi Mapya

Msanii wa kizazi kipya Faustina Charles Mfinanga maarufu Nandy mwishoni mwa wiki iliyopita alipiga bonge la shoo kwenye hafla ya...

READ MORE

Benki ya NCBA yazindua tawi jipya Zanzibar

Waziri wa Fedha na Mipango wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mh. Balozi, Mohamed Ramia Abdiwawa (katikati) akikata utepe kuzindua tawi...

READ MORE

40 Mbaroni kwa Tuhuma za Kuwakata Mapanga Viongozi wa CCM

POLISI inawashikilia watu 40 kwa tuhuma za kuwashambulia viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuwakata na mapanga Visiwani Pemba....

READ MORE

Wanafunzi Wafariki Katika Mlipuko wa Lori la Mafuta

WATU wapatao 25 wamefariki nchini Nigeria baada ya lori kumshinda dereva  na kukosa uelekeo kisha kugonga magari mengine na tenki...

READ MORE

Mtoto Mbongo, Adaiwa Mil. 80 za Matibabu Kenya

HURUMA kwa mtoto huyu! Ndivyo unavyotakiwa kusema kutokana na bibi mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Sada William, kujikuta katika wakati...

READ MORE

TGNP Yatoa Semina ya Kujadili Bajeti ya Mrengo wa Kijinsia

Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) umefanya semina kujadili ufahamu wa wadau kutoka kata mbalimbali jijini Dar, kuhusu bajeti yenye mrengo...

READ MORE

Mume Ajiua, Aacha Waraka Wenye Tuhuma kwa Mkewe!

UGOMVI wa mume na mke ndani ya nyumba, umemalizika baada ya mwanaume kuamua kujiua na kuacha waraka wenye tuhuma dhidi...

READ MORE

Sekondari ya St.Mark’s Yajivunia Maadili ya Wahitimu Wao

Uongozi wa Shule ya Sekondari  St.Mark’s iliyopo Kongowe Jijini Dar es Salaam kuwajenga kimaadili wanafunzi wao kumesaidia mpaka sasa takribani...

READ MORE

Shule za Kiislam Kuteketea, Bakwata Yaomba Ripoti

MFULULIZO wa matukio ya shule za Kiislam nchini kuungua kwa moto, bado yanawatesa baadhi ya viongozi wa dini hiyo, kiasi...

READ MORE

Mambo 10 Aliyoyasema Dkt. Abbasi Katika Mahojiano Na Times

Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas leo Septemba 23, 2020 amefanya mahojiano na kituo cha redio cha Times kuzungumza...

READ MORE

Kagera Yapunguza Udumavu wa Watoto Chini ya Miaka 5 Bukoba             

  Takwimu za udumavu kwa watoto chini ya miaka mitano mkoani Kagera zimeendelea kupungua kutoka 41% hadi 39% kwa mwaka...

READ MORE

Kessy Atumika Kuiua Yanga

ALIYEWAHI kuwa beki wa Yanga, Hassan Kessy anatarajia kutumika kuhakikisha anaimaliza timu yake hiyo ya zamani kutokana na jukumu alilopewa...

READ MORE

Waziri Hasunga Aipongeza Benki ya CRDB Kuongeza Tija Kwenye Kilimo

Waziri wa Kilimo, Mh. Japhet Hasunga ameipongeza Benki ya CRDB kwa hatua mbalimbali zinazochukuliwa na Benki hiyo katika kuunga mkono...

READ MORE

TV ya Zamani Yavuruga Internet Kijiji Kizima

KITENDAWILI cha kijiji kimoja kupoteza mawasiliano ya intaneti kila saa moja asubuhi kiliteguliwa baada ya wahandisi kugundua tatizo lilikuwa likisababishwa...

READ MORE

Bunge la Somalia Lamuidhinisha Waziri Mkuu Mpya

Bunge la Somalia, limemuidhinisha Mohamed Hussein Roble kuwa waziri mkuu mpya wa nchi hiyo baada ya wabunge wote 215 waliohudhuria...

READ MORE

Majanga Mengine! Fatma Karume Atimuliwa TLS

Kikao cha Kamati ya Maadili ya Mawakili kilichoitishwa na Chama cha Wanasheria wa Tanganyika, TLS kilichoketi leo, Septemba 23, 2020...

READ MORE

Wakenya Ruksa Kushiriki Maziko ya Waliokufa kwa Corona

RAIA wa Kenya kuanzia sasa wameruhusiwa kushiriki katika shughuli za mazishi ya wapendwa wao waliofariki kutokana na virusi vya corona...

READ MORE

Kambi ya West Ham Yaingiliwa na Corona

TAARIFA za ndani za klabu ya West Ham United maarufu kama ‘Wagonga Nyundo wa London’,  zinaeleza kuwa meneja wa timu...

READ MORE

Wamarekani Zaidi ya 200,000 Wafariki kwa Corona

  IDADI  ya waliokufa kutokana na janga la virusi vya corona nchini Marekani imepindukia watu 200,000, ikiwa ni kwa mujibu...

READ MORE

Gondwe Aanika Maajabu ya ‘One Stop Jawabu’ Temeke – Video

MKUU wa Wilaya ya Temeke, Godwin Gondwe,  amesema kuwa kampeni ya ‘One Stop Jawabu’ ni sehemu ya utekelezaji wa maagizo...

READ MORE

Msajili: Vyama Vinavyotaka Kuungana Vimechelewa

VYAMA vya Siasa ambavyo vinatarajia kushirikiana wakati wa uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu bila kufuata Sheria ya Vyama vya...

READ MORE

Benki ya NCBA Bank Tanzania Limited yakabidhi Maliwato ya kisasa kwa Klabu ya Gofu Lugalo Jijini Dar es salaam

Mkurugenzi wa Biashara na Huduma za Kidigitali NCBA Bank Tanzania Limited, Gift Shoko akikata utepe kuzindua rasmi Maliwato (Changing room)...

READ MORE

NBC Bank Yawagusa Wanafunzi Wenye Mahitaji Maalum Chalinze

Chalinze, Pwani: September 21, 2020: Wanafunzi wenye mahitaji maalum katika Shule ya Msingi ya Chalinze mkoani Pwani wamehimizwa kusoma kwa...

READ MORE

Masikhara ya Dk. Mollel Yanavyompa Wakati Mgumu Elvis – Siha

  Wana Siha huu si wakati wa kuongea lugha ya vyama, bali ni wakati wa kuweka mustakabali wa jimbo lenu...

READ MORE

Tajiri Mkosoaji wa Rais Jela Miaka 18

KORTI moja nchini China imetoa hukumu ya kifungo cha miaka 18 jela kwa tajiri mmiliki wa majengo, Ren Zhiqiang, ambaye...

READ MORE

JPM: Tunapeleka Umeme Hata Kwenye Nyasi

MGOMBEA urais kwa tiketi ya  Chama Cha Mapinduzi (CCM),  Dkt. John Magufuli,  amesema  serikali yake haibagui aina ya nyumba katika...

READ MORE

Mauzauza Kampeni! Gari ya Msafara UVCCM Songwe Yatumbukia Mtoni

Gari la msafara wa Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Songwe, Andrew Kadege limezama katika mto Momba wakati wakitokea katika kijiji...

READ MORE

Shigongo Ajiachia na Wazee wa Buchosa

  MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Buchosa wilayani Sengerema mkoani Mwanza kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo,  amejumuika na...

READ MORE