×

Habari

Rais Magufuli Akabidhi Uenyekiti wa SADC Msumbiji – Video

Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Dkt. John Pombe Magufuli, leo Jumatatu, Agosti...

READ MORE

Naibu Waziri Waitara Azindua Maadhimisho Ya Juma la Elimu

    NAIBU Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mh. Mwita Waitara ameupongeza Mtandao wa Elimu Tanzania (TENMET) kwa jitihada inazozifanya pamoja...

READ MORE

Safari ya Kwanza ya MV New Victoria, Acha Kabisa!

MKUU wa Mkoa wa Kagera, Brigedia Jeneral Marco Gaguti, ameongoza wakazi wa manispaa ya Bukoba na viunga vyake katika mapokezi...

READ MORE

Simbachawene Aagiza Polisi Kuwadhibiti Wanasiasa Watakaoleta Vurugu Uchaguzi

   WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, amevionya vyama vya siasa nchini ambavyo vina wagombea katika ngazi...

READ MORE

Hatimaye Messi Aomba Kuondoka Barcelona

Mshambuliaji wa Klabu ya Barcelona ya nchini Hispania, Lionel Messi, ameiambia klabu hiyo kuwa anataka kuondoka kutafuta maisha mengine, huku...

READ MORE

Takukuru Yamnasa Mfanyabiashara Tuhuma za Kukwepa Kodi Bil 6.3

TAKUKURU inamshikilia kwa mahojiano Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya White Star Investment Taalib Karim Mbowe, inayofanya biashara ya usafirishaji ndani...

READ MORE

Kenyatta Ataka Mawaziri Kuchukua Likizo ya Lazima

RAIS Uhuru Kenyatta wa Kenya amewataka mawaziri wote pamoja na makatibu katika wizara kuchukua likizo ya mapumziko ya lazima huku...

READ MORE

Wafanyabiashara Wahimizwa Kujiunga Mtandao wa Wateja wakubwa wa Benki ya NMB

  Benki ya NMB imewahimiza wafanyabiashara nchini kujiunga na Mtandao wa wateja wakubwa (NMB Business Executive Network) kujua na kunufaika...

READ MORE

Mr. Kuku Kufikishwa Kortini, A-Z Sakata Zima Kumbe Liko Hivi!

NI vilio tupu, ndivyo vimetawala miongoni mwa Watanzania waliowekeza katika Kampuni ya Mr Kuku Farmers Ltd ambayo inamiliki mradi wa...

READ MORE

Mume Amkata na Shoka Mkewe kwa Tuhuma za Kutoa Mimba

POLISI mkoani Rukwa wanamtafuta kijana mkazi wa mtaa wa Kanisa Katoliki Manispaa ya Sumbawanga, Joseph Kalolo ‘Mwamba’ (35) kwa tuhuma...

READ MORE

Mfanyabiashara Taalib Mbowe Mikononi Mwa Takukuru

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inamshikilia kwa mahojiano Mfanyabiashara ambaye ni mmiliki wa Kampuni ya White Star...

READ MORE

Aliyetoka kwa Msamaha wa Rais, Anaswa Wizi wa Ng’ombe

JESHI la polisi wilaya ya Igunga mkoani Tabora kwa kushirikiana na wananchi, wamemkamata Hamisi Juma (29) anayedaiwa kuwa mwizi sugu...

READ MORE

Binti wa Rais Putin wa Urusi Amepewa Chanjo ya Corona

Urusi imeanza uzalishaji wa chanjo mpya ya ugonjwa COVID-19, taarifa hiyo ni kwa mujibu wa Shirika la habari la Interfax,...

READ MORE

Vodacom Tanzania PLC yapongezwa kwa uwekezaji mkubwa walioufanya nchini

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri mkuu (Uwekezaji), Mhe. Angela Kairuki (katikati) akizungumza na waandishi wa habari leo alipoitembelea kampuni...

READ MORE

Mgombea Asiyekuwa na ‘Jinsia Yoyote’ Afunguka Mazito – Video

Dar: Baby John (26) mkazi wa Kivule-Msongola wilayani Ilala jijini Dar es Salaam ambaye hivi karibuni aligombea uteuzi wa nafasi...

READ MORE

Video: Rais JPM Ashiriki Ibada ya Misa Kanisa Katoliki Parokia ya Chamwino

 Rais Dkt.John Pombe Magufuli ameshiriki katika Ibada ya MisaTakatifu ya Dominika ya 20 ya Mwaka A katika Kanisa Katoliki...

READ MORE

Vodacom Tanzania PLC yazindua duka kubwa la kisasa mjini Lindi

  Mkuu wa wilaya ya  Lindi,Shaibu Ndemanga amepongeza kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania PLC kwa kuwasogezea huduma...

READ MORE

Wakulima Acheni Kuanika Mahindi Chini Kuepusha Sumukuvu: Mgumba

    Naibu Waziri wa Kilimo Omary Mgumba amewashauri wakulima wa mazao ya mahindi nchini kuacha kuanika mazao yao chini...

READ MORE

Tanzia: Mtangazaji Wasafi TV ‘Kungwi’ Afariki Dunia

MTANGAZAJI wa Wasafi TV, Fatma Abdallah maarufu kwa jina la Kungwi Mkata Shombo amefariki dunia leo Jumamosi, Agosti 15, 2020....

READ MORE

Halima Mdee Kuanza Kujitetea Mahakamani

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, Septemba 7, 2020, itasikiliza utetezi katika kesi ya uchochezi inayomkabili aliyekuwa Mbunge...

READ MORE

Yanga: Wachezaji wa Ndani Basi, Zinakuja Mashine Mpya 4 za Kimataifa

KLABU ya Yanga kupitia Mkurugenzi wa Uwekezaji wa GSM ambao ni wadhamini wa Klabu hiyo, Hersi Said imethibitisha kuwa wamebaki...

READ MORE

Dkt Abbas: Tutaweka Rekodi ya Umeme Vijijini – Video

MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Dkt Hassan Abbas, leo Agosti 15, 2020, amesema ifikapo Juni 30 mwakani, vijiji vyote vitakuwa na...

READ MORE

Kampuni ya Vodacom Tanzania na Smartlab Watangaza Fainali ya mchakato wa ‘Vodacom Digital Accelerator’

Mkurugenzi wa Dijitali na Huduma za Ziada Vodacom Tanzania PLC, Nguvu Kamando akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es...

READ MORE

Vodacom M-Kulima inavyowezesha wakulima kupata huduma mbalimbali

Mrajisi wa vyama vya Ushirika, Dkt. Benson Ndiege, akizungumza kwenye banda la Vodacom katika viwanja vya Nyakabindi kwenye maonesho ya...

READ MORE

Vodacom Tanzania Foundation yaunganisha wanafunzi maeneo ya pembezoni kupitia program ya Instant School

Meneja ruzuku na mawasiliano wa Vodacom Tanzania Foundation, Sandra Oswald akizungumzia namna mradi wa Vodacom Instant Schools unavyounganisha intaneti na...

READ MORE

Wahukumiwa Kunyongwa Hadi Kufa kwa Mauaji

WATU wawili wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kukutwa na hatia  ya mauaji ya mtu mmoja katika eneo la Kitendaguro...

READ MORE

Dawa ya Madagascar Yashindwa Kudhibiti Corona

HOSPITALI nchini Madagascar zimekuwa zikikabiliana na ongezeko la maambukizi ya Covid-19, huku rais akiendelea kunadi dawa ya mitishamba anayodai ina...

READ MORE

Ndege ye Jeshi la Marekani Yaangushwa na Watu Wasiojulikana

SHIRIKA la Ujasusi la Marekani limeanzisha uchunguzi baada ya helikopta ya kijeshi kupigwa risasi ilipokuwa inafanya mazoezi ya kawaida katika...

READ MORE

Polisi Yabaini Haya Ofisi za Chadema Zilizoteketea

Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kuwa moto uliounguza Ofisi za CHADEMA, Kanda ya Kaskazini usiku wa kuamkia leo,...

READ MORE

Polisi Yafafanua Kisa cha Mbunge Sugu Kukamatwa

MGOMBEA wa Ubunge Jimbo la Mbeya Mjini kupitia CHADEMA Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu pamoja na wanachama 15 wa chama...

READ MORE

JPM Awaasa Viongozi wa Dini Uchaguzi Mkuu 2020

RAIS John P Magufuli, ametoa wito kwa viongozi wote wa dini nchini kutumia nafasi waliyonayo kuwahimiza waumini wao kushiriki katika...

READ MORE

Basi la Digidigi Lapata Ajali Buchosa Wilaya ya Sengerema

Basi la abiria mali ya Kampuni ya Digidigi lililokuwa likitokea katika Kijiji cha Kahunda kwenda Mwanza Mjini limepata ajari leo...

READ MORE

Mahakama Yamwamuru Lissu Kufika Mahakamani

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemwamuru kufika mahakamani mbunge wa zamani wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na wenzake watatu, wanaokabiliwa...

READ MORE

‘Jahazi’ Chafungiwa, Vituo 3 vya Redio Vyaonywa

KAMATI ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekifungia kipindi cha Jahazi kinachorushwa na redio ya Clouds FM kuanzia...

READ MORE

Breaking: Magufuli Apewa Tuzo ya Heshima na TAG -Video

RAIS John Magufuli leo Agosti 14, 2020, amepewa tuzo maalum ya heshima na Baraza Kuu la Kanisa la Tanzania Assemblies...

READ MORE

Kijana wa Miaka 19 Ajitosa Kugombea Urais

MIEZI  kadhaa kuelekea uchaguzi mkuu wa Uganda utakaofanyika mwaka 2021, kijana mwenye umri wa miaka 19 amejitokeza na kuchukua fomu...

READ MORE

Arusha: Ofisi za Chadema Zateketea kwa Moto

OFISI za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Kaskazini za Arusha mjini usiku wa kuamkia leo Agosti 14,...

READ MORE

Teknolojia ya Kidijitali Ilivyo na Fursa Kwa Watanzania

Ni wazi kuwa mapinduzi ya kidigitali yamekuwa na mabadiliko makubwa katika namna watu wanavyoishi kwenye miaka ya karibuni. Kwa bahati...

READ MORE

Dodoma: Takukuru Yawafikisha Kizimbani Watatu Akiwemo Diwani

TAKUKURU inawatuhumu aliyekuwa Diwani wa Ntyuka, Theobald Maina; aliyekuwa Mtendaji wa Ntyuka, Benedict Mazengo na aliyekuwa Mwenyekiti Mtaa wa Chimala,...

READ MORE