×

Habari

Gavana Kenya Apiga Marufuku Uuzaji Ng’ombe wa Tanzania

GAVANA wa Kajiado, Joseph Lenku, amefunga kabisa uuzaji wa ng’ombe katika kaunti hiyo kutoka Tanzania kutokana na visa vya maambukizi...

READ MORE

Mtoto wa Miezi 6 Akutwa na Virusi vya Corona

WIZARA ya Afya nchini Kenya imetangaza ongezeko la visa 25 vya #COVID19 baada ya sampuli 1,012 kufanyiwa vipimo na kufanya...

READ MORE

Tanzia: Dkt. Lamwai Afariki Dunia

MWANASIASA na mwanasheria mkongwe, Dkt. Masumbuko Lamwai amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Mei 5, 2020.   Dkt. Lamwai aliwahi...

READ MORE

Mbunge Aliyetangazwa Kuwa na #Coronavirus Anaendelea Vizuri

Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema Mbunge aliyetangazwa kuwa na maambukizi ya #CoronaVirus mwezi uliopita anaendelea vizuri na anasubiri vipimo...

READ MORE

RC Makonda: Kuhakiki Taarifa za Mpiga Kura Dar Mwisho Leo

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,  Paul Makonda leo Mei 3, 2020 amewataka wakazi wa Dar es Salaam ambao...

READ MORE

Bifu Kwisha! Kusaga Aagiza Nyimbo za Diamond Zipigwe Clouds

MKURUGENZI Mtendaji wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga amemaliza bifu lililokuwepo kati ya chombo hicho cha habari pamoja na msanii...

READ MORE

Wabunge Chadema Wakaidi Agizo la Mbowe, Watinga Bungeni

WABUNGE watatu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wapo bungeni leo wakiendelea na kazi ya kuwakilisha wananchi wao bungeni...

READ MORE

RC Makonda Atangaza Vita na Wanaopandisha Bei ya Sukari – Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda leo ametangaza vita na wafanyabiashara wanaouza sukari kwa bei ghali...

READ MORE

Ummy Amsimamisha Kazi Mkurugenzi Maabara ya Taifa

KUFUATIA hotuba ya Rais  John Magufuli aliyoitoa jana Mei 03, 2020, Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amemwagiza Katibu Mkuu wa...

READ MORE

Maambukizi Corona Yafikia Mil. 3.5 Duniani

MAAMBUKIZI ya virusi vya Corona duniani yamefikia watu milioni 3.5 leo Jumatatu, Mei 4, 2020, wakati idadi ya vifo vinavyosababishwa...

READ MORE

Wenye Virusi vya Corona Uganda Wafika 89

WIZARA ya Afya nchini Uganda imesema kuna ongezeko la mgonjwa mmoja wa corona na kufanya jumla ya maambukizi kufikia 89...

READ MORE

INFINIX NOTE 7 SIMU YENYE TEKNOLOJIA KALI KUZIDI ZOTE KWA MWAKA 2020.

Dar es Salaam, Tanzania-5/5/2020: Kupitia kurasa zao pendwa za mitandao ya kijamii @infinixmobiletz kampuni ya simu ya Infinix imezindua rasmi...

READ MORE

Aua Watoto Wake 2 Baada ya Kugombana na Mama Yake Mzazi

POLISI katika Kaunti ya Nairobi wanachunguza kisa ambapo mama mmoja mwenye umri wa miaka 24 aliwadunga kisu na kuwaua wanawe...

READ MORE

Corona: Hispania Yalegeza Masharti, Watu Waanza Kutoka Nje

WANANCHI nchini Hispania, wameruhusiwa kuanza kutoka nje baada ya kukaa ndani kwa siku 48 kufuatia mlipuko wa virusi ya Corona...

READ MORE

Korea Kaskazini na Korea Kusini Zashambuliana kwa Risasi

SERIKALI ya Korea Kusini imesema jana wanajeshi wake wamefyatuliana risasi na wanajeshi wa Korea Kaskazini katika eneo lisilo na shughuli...

READ MORE

Jamii Yashauriwa Kuwatumia Wasaidizi wa Kisheria

Jamii nchini imeshauriwa kutumia fursa ya wasaidizi wa kisheria ambao wapo nchi nzima ili kupata msaada na ushauri wa kisheria...

READ MORE

Wagonjwa wa Corona Kenya Wafikia 465

WIZARA ya afya nchini Kenya imethibitisha maambukizi mapya 30 ya virusi vya corona baada ya sampuli 883 kufanyiwa vipimo katika...

READ MORE

Mbunge Koka Akabidhi Baiskelii 95 Jimboni Kwake, Azungumza..

MBUNGE wa Jimbo la Kibaha Mjini, Slyvestry Koka, amekabidhi Baiskeli 95 zenye thamani ya Shilingi Milioni 25 kwa Viongozi wa...

READ MORE

Breaking: Mchungaji Peter Mitimingi Afariki Dunia

Mchungaji Dkt. Peter Mitimingi amefariki usiku wa kuamkia leo Mei 4, 2020  jijini Aruaha alikuwa ni kiongozi wa Kanisa la...

READ MORE

Teknolojia Inavyotuwezesha Kuendesha Maisha na Biashara

Hali inaonesha kwamba, nchi nyingi duniani zimeathirika na homa ya kirusi cha korona na athari hizi huenda zikabaki katika maisha...

READ MORE

Serikali Yatoa Tamko Mazishi Usiku

  Wizara ya Afya, Maendeleo Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesema hakuna haja ya maiti iliyofariki kwa Ugonjwa wowote ule...

READ MORE

JPM Amteua Brigedia Jen. Mhidize Kuwa Mkuu wa MSD

Rais Magufuli amemteua Brig.Jen Dkt.Gabriel Sauli Mhidize kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD) kuanzia leo Mai 03l 2020...

READ MORE

Niokoeni Nakufa Najiona

DAR: NI mateso na maumivu makali anayopitia Amina Mohamedi Mwiru (32) mkazi wa Mbagala Kiburugwa ambaye amepatwa na tatizo la...

READ MORE

Rais Magufuli Amuapisha Mwigulu Kuwa Waziri Wa Katiba Na Sheria (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo Mei 3, 2020 amuapisha Dkt. Mwigulu Lameck...

READ MORE

Video: Rais Magufuli “Fenesi, Mbuzi Nao Wana Corona”

 Rais Dk John Magufuli haamini usahihi wa majibu ya vipimo katika Maabara Kuu ya Serikali kuhusu ugonjwa wa corona....

READ MORE

Video: Rais Magufuli Aagiza Dawa ya Corona Madagascar

 Rais Dkt. John Magufuli leo Mei 3, 2020 amesema amefanya mawasiliano na nchi ya Madagascar ambayo imegundua dawa ya...

READ MORE

Rais Magufuli Amteua Mwigulu Kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

Rais Dkt. John Magufuli amemteua Dkt. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria kujaza nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa...

READ MORE

Maua Sama Ammwagia Sifa Zuchu

BAADA ya Zuchu kusajiliwa kwenye lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), msanii wa Bongo Fleva, Maua Sama ameibuka na kummwagia...

READ MORE

Sukari Kaa la Moto kwa Wafanyabiashara  

DAR: Licha ya kuwa ni bidhaa adimu yenye matumizi mengi kwa binadamu katika maisha ya kila siku, sukari imeendelea kuwa...

READ MORE

Makambo Amtaka Ibrahim Ajibu

STRAIKA wa Horoya AC ya Guinea, Mkongomani, Heritier Makambo, amefunguka kuwa beki Kelvin Yondani na straika Ibrahim Ajibu ni watu...

READ MORE

Marekani Yaidhinisha Dawa ya Dharura Kwa Wagonjwa wa Corona

MAREKANI leo Mei 2, 2020 imeidhinisha majaribio ya dawa ya dharura itakayotumika kwa wenye virusi vya corona, wakati majimbo zaidi...

READ MORE

Muhimbili, RRH-Dodoma Wapokea Msaada wa Magari ya Wagonjwa

  Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma (RRH) leo wamepokea msaada wa magari...

READ MORE

Tiba ya Dharura ya Corona Yapatikana, Marekani Yantangaza Dawa

MAMLAKA ya Dawa na Chakula (FDA) nchini Marekani imeidhinisha matumizi ya dharura ya dawa ya Ebola, remdesivir, ianze kutumika kutibu...

READ MORE

Mpinzani wa Trump Akwaa Skendo ya Udhalilishaji Kingono

MGOMBEA urais nchini Marekani katika tiketi ya chama cha Democratic, Joe Biden, amekanusha vikali madai ya kumdhalilisha kingono Tara Reade...

READ MORE

Mwili wa Dkt. Mahiga Wawasili Nyumbani Kwake – Video

Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Dkt. Augustine Mahiga, umefikishwa nyumbani kwake Gangilonga mjini Iringa kwa ajili...

READ MORE

Waziri Mkuu wa Urusi Akutwa na Corona

WAZIRI Mkuu wa Russia Mikhail Mishustin amesema amekutwa na maambukizi ya virusi vya Corona. Taarifa iliyotolewa na Makao Makuu ya...

READ MORE

Breaking News: Kim Jong-Un Aonekana Hadharani

KWA mujibu wa vyombo vya habari nchini Korea Kusini, Kim Jong-un, ameonekana hadharani kwa mara ya kwanza baada ya siku...

READ MORE

Pierre Alivyonusurika Kifo Cha Corona

DAR: MCHEKESHAJI kwenye mitandao ya kijamii Bongo, John Mollel ‘Pierre Liquid’ amesimulia jinsi alivyonusurika kifo baada ya kushambuliwa na Ugonjwa...

READ MORE

Mtaalam wa Tiba Asili, Dk Maneno Tamba Afariki Dunia

Mtaalam wa Tiba Asili Tanzania, Dk Maneno Tamba amefariki dunia leo Mei Mosi, jiji Dar es salaam, mdogo wake Sultan...

READ MORE