×

Habari

Mbowe Alipa Faini ya Milioni 70, Kutoka Gerezani Leo

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amelipa faini ya 70,000,000 na muda wowote leo Ijumaa Machi 13, 2020 atatoka katika gereza...

READ MORE

Mmiliki Mabasi ya J4 Ahukumiwa Kifo kwa Kuwaua Wenzake

MAHAKAMA Kuu Mwanza imemhukumu adhabu ya kifo mfanyabiashara wa kampuni ya mabasi ya J4, Jumanne Mahende (45) baada ya kumtia...

READ MORE

Breaking: Mdee, Bulaya, Meya Jacob Wakamatwa Tena Segerea

WABUNGE wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima Mdee na Ester Bulaya, Meya wa Ubungo, Boniface Jacob, Katibu...

READ MORE

Polisi Yapiga Mabomu Chadema Waliomfuata Mbowe Segerea

POLISI wametumia mabomu ya machozi kuwatawanya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) waliofika gereza la Segerea leo jijini...

READ MORE

Bajaji 54 Kuuzwa Hadharani kwa Bei ya Ukwaju! – Video

Baada ya ule mnada wa Bajaji 146 za Wajasiriamali walioshindwa kulipa madeni ya mikopo yao, Kampuni ya udalali ya Yono...

READ MORE

Trump Agoma Kupima Corona, Waziri Mkuu Awekwa Karantini

WAZIRI Mkuu wa Canada, Justin Trudeau, na mke wake watabaki kwenye karantini kwa siku 14, baada ya mkewe, Sophie Gregoire Trudeau,...

READ MORE

Magufuli Aomba Watanzania Kujihadhari na Corona -Video

RAIS John Magufuli leo Machi 13, 2020 amewaomba Watanzania  kuzingatia tahadhari dhidi ya ugonjwa wa virusi vya Corona kwa kuwa hakuna...

READ MORE

Mwingine Akutwa na Corona Congo DR

KISA cha pili cha maambukizi ya ugonjwa wa Corona-virus kimethibitishwa nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo. Mtu huyo anadaiwa kuwa...

READ MORE

Breaking News: Corona Yatua Kenya, Mmoja Athibitika

  TUKIO la kwanza la virusi vya Corona limethibitishwa nchini Kenya. Wizara ya afya imethibitisha tukio hilo kulingana na waziri...

READ MORE

Bosi Anayedaiwa Kuua Binti wa Kazi Kisa Elfu 50, Akamatwa – Video

HATIMAYE bosi anayedaiwa kumshushia kipigo kikali binti yake wa kazi, Salome Zakaria Hoya, kumfungia ndani na kumnyima chakula kwa siku...

READ MORE

Binti wa Kazi Aliyeuawa Kisa Elfu 50, Aagwa! – Video

MKUU wa Mkoa wa Arusha, Mrisho  Gambo, jana Alhamisi, Machi 12, 2020, aliongoza mamia ya waombolezaji waliojitokeza kuaga mwili wa...

READ MORE

Mch. Msigwa Atolewa Gerezani, Azua Balaa – Video

RAIS  John Magufuli jana (Alhamisi) Machi 12, 2020, alimlipia Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa kiasi cha Tsh...

READ MORE

NBC Yazindua Klabu Ya Biashara Masasi, Yatoa Mafunzo ya Biashara

Meneja wa Bidhaa na Huduma za Kifedha wa NBC, Jonathan Wilson akizungumza na wafanyabiashara wa Wilaya ya Lindi wakati wa...

READ MORE

Eymael Kusajili Wapya Kumi Yanga

VIONGOZI wa Yanga wamempa kocha mkuu wa timu hiyo, Mbelgiji, Luc Eymael jukumu zito la kuamua usajili wa wachezaji kumi...

READ MORE

Mke wa Mjeshi Anaswa Akiiba Nyanya Gengeni!

UKIWA mume wa mtu, bila shaka utashangazwa kusikia; “Mkeo kanaswa akiiba nyanya gengeni!” Hicho ndicho kilichomtokea afande mstaafu wa jeshi...

READ MORE

Majaliwa: Watanzania Wanaosoma China Wanaendelea Kupiga Kitabu

WAZIRI MKUU Kassim Mjaliwa amesema wanafunzi wanaosoma katika vyuo vikuu mbalimbali nchini China waliozuiwa kutokana na mlipuko wa homa ya...

READ MORE

Halima Mdee Amwaga Machozi Akitoka Gerezani

MBUNGE Halima Mdee amemwaga machozi hadharani baada ya kutoka gereza la Segerea leo na kuwashukuru Watanzania kwa ushirikiano mkubwa waliouonyesha...

READ MORE

Yanga Yapigwa na KMC Bao 1-0, Yabaki Nafasi ya Tatu

Timu ya Yanga imefungwa bao 1-0 dhidi ya KMC leo Machi 12, 2020 katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es...

READ MORE

Kimanga Waapa Kuondoka na Ndinga Mpya ya Championi & Spoti Xtra

WASOMAJI wa magazeti ya michezo maeneo ya Tabata Kimanga jijini Dar es Salaam, leo Alhamisi, Machi 12, 2020, wamemiminika kama...

READ MORE

Magufuli Alipa Mil. 38 Kumtoa Msigwa Jela

RAIS John Magufuli leo Machi 12, 2020,  amemlipia Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa Sh. milioni 38  milioni...

READ MORE

UN Yaipongeza Tanzania Kudhibiti Dawa Za Kulevya

SHIRIKA la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Dawa za Kulevya (CND) limeipongeza Tanzania kwa jitihada madhubuti katika kudhibiti na kupambana na...

READ MORE

ATCL Yasitisha Safari za China

SHIRIKA la Ndege nchini ( ATCL) limetangaza kusitisha safari za ndege kuelekea China kutokana na kuwapo kwa ugonjwa wa virusi...

READ MORE

Kizimbani kwa Kufungua Simu Zilizofungwa na TCRA

WATU wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka matatu likiwemo la kujihusisha na kufungua simu zilizofungwa...

READ MORE

Familia Yafanya Maziko Bila Mwili wa Marehemu

FAMILIA moja ya huko Gatuikira, kaunti ya Kiambu, Knya,  ililazimika kufanya maziko kwa mtoto wao bila mwili wake baada ya...

READ MORE

Serikali Kutumia Tril 34.88 Mwaka 2020/21

JUMLA ya Tsh trilioni 34.88 zinatarajiwa kukusanywa na kutumika kutokana na mapato ya ndani, mikopo ya nje yenye masharti ya...

READ MORE

Vilio Safari ya Mwisho ya Baba Kanumba; “Msalimie Mwanao” – Video

VILIO, simanzi na majonzi vilitawala wakati wa mazishi ya baba mzazi wa aliyekuwa muigizaji maarufu wa Bongo Movies, Steven Kanumba,...

READ MORE

Rais Uhuru Awanunulia Maandazi Wafuasi Wake

RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta juzi aligeuka kuwa mchuuzi wa maandazi baada ya kukabidhiwa ndoo ya maandazi na mama mmoja...

READ MORE

Washiriki N.P.S.C Waendelea Kutoa Ushuhuda

WAKATI shindano la kusaka vipaji vya vijana wenye uwezo wa kuzungumza mbele ya hadhara likizidi kuchanja mbuga, baadhi ya washiriki...

READ MORE

Chadema Yalipa Mil. 110 Kuwatoa Mdee, Matiko na Bulaya Gerezani

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kimeanza mchakato wa kuwatoa gerezani Mbunge wa Kawe, Halima Mdee; Esther Matiko (Tarime...

READ MORE

Mtanzania Agundulika na Virusi vya Corona

  WIZARA ya Afya ya Falme za Kiarabu (U.A.E) imethibitisha kwamba raia mmoja wa Tanzania ni miongoni mwa watu 15...

READ MORE

Rais wa China Atembelea Mji Ulioathirika kwa Corona

RAIS wa China, Xi Jinping, ameutembelea mji wa Wuhan leo kwa mara ya kwanza tangu mji huo ulipokumbwa na janga...

READ MORE

Adam Castillejo Athibitishwa Kupona Virusi vya Ukimwi

MWANAUME mmoja kutoka London Uingereza amethithitishwa kuwa ndiye mtu wa pili kupona virusi vya HIV vinavyosababisha Ukimwi, wamesema madaktari.  ...

READ MORE

Katiba Yaanza Kubadilishwa, Putin Kubaki Madarakani Milele

RAIS wa Urusi, Vladimir Putin, ameanzisha mchakato wa mabadiliko makubwa ya katiba, ambayo yanampa nafasi ya kuendelea kubakia madarakani.  ...

READ MORE

Kauli ya Mashinji Baada ya Kutoka Jela – Video

CHAMA Cha  Mapinduzi (CCM) kimelipa faini ya Sh30 milioni aliyotakiwa kulipa mwanachama wa chama hicho, Dk Vicent Mashinji ili kutoka...

READ MORE

Exim Bank Yatangaza Washindi Droo ya Kwanza ya ‘Chanja Kijanja’

Dar esSalaam: Machi 12th, 2020: Benki ya Exim Tanzania hii leo imetangaza washindi watano wamwezi katika kampeni yake ya ‘ChanjaKijanja na Exim...

READ MORE

Waziri wa Afya Uingereza Aambukizwa Corona

WAZIRI wa afya na Mbunge wa Chama cha Conservative nchini Uingereza, Nadine Dorries, ametangaza kuwa ameambukizwa virusi vya Corona.  ...

READ MORE

Betika Lazidi Kuwapa Mchongo Wasomaji Wake

WASOMAJI wa gazeti la Betika maeneo ya Manzese jijini Dar es Salaam, wamesema   hawataacha kulichangamkia gazeti la hilo kwa sababu...

READ MORE

CCM Yamnasua Mashinji Jela, Yamlipia Mil. 30 – Video

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam,  kupitia  Katibu wa Itikadi na Uenezi Taifa,    Humphrey Polepole, leo...

READ MORE

Waziri Mkuu Arejea Ofisini Baada ya Jaribio la Kumuua

  WAZIRI Mkuu wa Sudan, Abdullah Hamdok, amerejea ofisini baada ya jaribio la kumuua kushindwa kwenye mji mkuu wa nchi...

READ MORE