×

Habari

Samia Aongoza Kikao Maalumu cha Kamati Kuu ya CCM Zanzibar, Wagombea wa Umeya na Uenyekiti Wateuliwa

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza...

READ MORE

Exim, Simba Developers Waingia Makubaliano Kurahisisha Umiliki wa Nyumba Tanzania

Benki ya Exim Tanzania na Simba Developers Limited wametia sahihi ya makubaliano ya kimkakati yanayolenga kurahisisha upatikanaji wa makazi kwa...

READ MORE

Benki Ya Absa Yakabidhi Msaada Wa Mahitaji Muhimu Katika Kituo Cha Kulelea Watoto Yatima

Mahitaji hayo ni pamoja na  Vyakula, Sabuni, Vinywaji Na Cherehani Kwa ajili ya  Watoto Yatima Na Wanaoishi Katika Mazingira Magumu...

READ MORE

Shinda Simu Mpya Kabisa ya Samsung Galaxy A26 na Meridianbet

Je, uko tayari kwa burudani na zawadi kemkem? Meridianbet inakuletea sababu ya kubashiri kupitia promosheni kabambe. Watumiaji wote walio jisajili...

READ MORE

TPSF Kuongoza Uwekezaji Utakaozalisha Maelfu ya Ajira

Shirikisho la Sekta Binafsi Tanzania TPSF limepanga kuhamasisha uwekezaji kwa kiwango kikubwa ili kupanua biashara zao kwa lengo la kuongeza...

READ MORE

Waziri Kikwete Asisitiza Uweledi na Uwajibikaji kwa Wahitimu wa Chuo cha Utumishi wa Umma

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete ameielekeza Bodi ya Ushauri...

READ MORE

Juhudi za Kimataifa Hazitasimama Sudan Hadi Vita Iishe

Licha ya jeshi lililoko Port Sudan kusisitiza kuendeleza vita ya Sudan, juhudi za kimataifa zinaendelea kusukuma mbele mipango ya kumaliza...

READ MORE

Mfahamu Azzan Zungu Spika wa Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mussa Azzan Zungu ndiye Spika mpya wa Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mwaka 2025 mpaka...

READ MORE

Hakutekwa! Polisi Wathibitisha Winfrida Malembeka Kukamatwa kwa Tuhuma za Uchochezi – Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Rufiji limesema mwanamke anayesambazwa mitandaoni akidaiwa kutekwa na watu wanaodaiwa kujitambulisha kama askari wa...

READ MORE

Nafasi 14 za Ajira Zafunguliwa Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara, Mwisho wa maombi Disemba 03

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi kumi na nne (14) za ajira baada...

READ MORE

Kizazi cha Gen-Z Chatajwa na Kagame Kama Changamoto Mpya kwa Serikali Afrika

Rais wa Rwanda, Paul Kagame, amesema kuwa Bara la Afrika linaweza kushuhudia wimbi jipya la mapinduzi endapo viongozi wake hawatashughulikia...

READ MORE

Tanzania Kuendeleza Ushirikiano wa Kidiplomasia na Jumuiya ya Kimataifa

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) Waziri wa Mambo ya Nje...

READ MORE

DART Yarejesha Huduma Za Mabasi Yaendao Haraka Awamu Ya Kwanza

WAKALA wa Mabasi yaendayo Haraka Dar es salaam (DART) imerejesha huduma za usafiri wa umma katika awamu ya kwanza, kuanzia...

READ MORE

Nmb Yatoa 500Mil Kusaidia Matibabu ya Moyo ya Watoto 125 Nchini

Benki ya NMB tayari imetoa nusu ya TZS bilioni 1 ilizoahidi mwaka jana kwa ajili ya kuiwezesha Taasisi ya Moyo...

READ MORE

Waziri Kombo Apokea Magari Mawili kutoka Qatar

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imepokea magari mawili aina ya Land Cruiser Prado kutoka Taifa...

READ MORE

Mahakama Kuu Yatupilia Mbali Kesi dhidi ya Viongozi wa CHADEMA – Video

Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam kesi ya kudharau amri ya Mahakama iliyokuwa imefunguliwa na aliyewahi...

READ MORE

Dkt. Migiro Aongoza Kikao cha Sekreterieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro akiongoza Kikao cha Sekreterieti ya Halmashauri Kuu ya CCM...

READ MORE

BoT yauza dola milioni 20 katika Soko la Jumla la Fedha za Kigeni

Benki Kuu imeuza Dola za Marekani milioni 20.00 kupitia mnada wa ushindani kwa kiwango cha wastani cha kubadilisha fedha za...

READ MORE

Dkt. Mwigulu Awataka Wakuu wa Mikoa Kuimarisha Utekelezaji wa Majukumu Nchini

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, Novemba 27, 2025 ameongoza kikao kazi maalum kilichowakutanisha Wakuu...

READ MORE

Mkama: Mazingira Wezeshi Yachochea Rekodi Mpya ya Uuzaji wa Hisa Tanzania

  Ofisa Mtendaji Mkuu wa CMSA, CPA Nicodemus Mkama, amesema Kampuni ya Saruji Tanga imeweka rekodi ya kuwa kampuni ya...

READ MORE

Maswali 7 magumu kwa Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba kuhusu vurugu za Oktoba 29 Tanzania

Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba Novemba 25, 2025 alikutana na wahariri wa vyombo vya habari jijini Dar es Salaam, na maswali...

READ MORE

Puma Yatangaza Mshindi Wa Drop ya Vilainishi, Atwaa Elite Card ya SH Million 5

Puma Energy imemtangaza mshindi wa droo ya vilainishi, ambapo Boaz Aywayo ameibuka na Elite Card yenye thamani ya shilingi milioni...

READ MORE

Sanlam Allianz Yaendelea Kuwashukuru Mawakala Wake.

Kampuni ya Bima ya SanlamAllianz imewashukuru mawakala wao kwa kufanya kazi nao Akizungumza wakati wa halfa ambayo imefanyika Novemba, 28,2925...

READ MORE

Dkt. Homera Aridhishwa RITA Kuwajengea Uwezo Wadhamini Katika taasisi ili kuepusha migogoro

Waziri wa Katiba na Sheria Dkt.Juma Zuberi Homera afungua Mkutano WA wajumbe amefurahishwa na mpango wa Wakala wa Usajili Ufilisi...

READ MORE

Msimu Wa Sikukuu Waanza Rasmi: Vodacom Yaiburudisha Magomeni kwa Zawadi na Upendo

Vodacom Tanzania PLC imezindua rasmi Msimu wa Sikukuu za Mwisho wa Mwaka kwa kushirikiana na wateja wake na wafanyabiashara, wakiwasilisha...

READ MORE

Benki Ya Stanbic  Yatoa Vifaa Tiba Vyenye Thamani  Ya  Shilingi Milioni 27.2 Katika Hospitali Ya Rufaa Bombo Mkoani Tanga

Mkuu wa mkoa wa Tanga, Balozi Dkt. Batilda Burian (wapili kushoto) na Meneja wa Benki ya Stanbic Tawi la Tanga,...

READ MORE

Bunge la Tanzania, UAE Kuanzisha Kamati Maalum ya Ushirikiano

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu akiwa na Balozi wa Tanzania katika Umoja wa...

READ MORE

Benki Ya Stanbic Yatoa Misaada Ya Vifaa Tiba Mkoani Mwanza

Mwanza Novemba 27,2025. Benki ya Stanbic imekabidhi vifaa tiba ikiwemo vitanda, mashuka na viti mwendo vyenye thamani ya zaidi ya...

READ MORE

Sababu 8 Zinazowafanya Watu Wapende Magari ya Toyota Zaidi ya Magari Mengine

Toyota imejijengea jina la ubora, uthabiti, na thamani ya muda mrefu, hali inayowafanya wengi kuipendelea ikilinganishwa na makampuni mengine ya...

READ MORE

Trump Acharuka Baada ya Shambulio kwa Wanajeshi karibu na Ikulu ya White House

Wanajeshi wawili wa Ulinzi wa Kitaifa (National Guard) wamejeruhiwa vibaya baada ya kushambuliwa kwa risasi karibu na Ikulu ya White...

READ MORE

Ushindi na Burudani Yote Katika Mikono Yako kupitia Gates of Halloween Ya Meridianbet

Meridianbet inakupeleka moja kwa moja kwenye ulimwengu wa Gates of Halloween, mchezo ambao unachanganya hofu, shangwe, na ushindi mkubwa. Hapa,...

READ MORE

Vodacom M-Pesa Yazindua Huduma ya Malipo ya Kimataifa

Vodacom M-Pesa Yazindua Huduma ya Malipo ya Kimataifa Popote Ulimwenguni! Kuleta mapinduzi katika biashara na urahisi wa malipo kwa wateja...

READ MORE

Video: Jeshi la Polisi Laanza Uchunguzi Dhidi ya Kauli ya OCD Chunya

Jeshi la Polisi Tanzania limesema linafanya uchunguzi kuhusu taarifa inayoenea kwenye mitandao ya kijamii ikidaiwa kutolewa na Mkuu wa Polisi...

READ MORE

Mfanyabiashara Chipukizi Pedima Ang’ara Katika Ubunifu na Uongozi

Mfanyabiashara chipukizi, Peter Didas Mallya maarufu kama PEDIMA, ameendelea kuibua mvuto mkubwa katika tasnia ya biashara nchini kutokana na ukuaji...

READ MORE

Vodacom Tanzania Yazindua Msimu wa Sikukuu: Yagawa Makapu 600

Dar es Salaam, Tanzania – 26 Novemba 2025: Vodacom Tanzania PLC leo imezindua msimu wa sikukuu kama kipindi cha kusherehekea...

READ MORE

Waziri Simbachawene Atembelea Vituo Vya Polisi Vilivyochomwa Moto Oktoba 29 Dar

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. George Simbachawene, amewasihi wananchi kudumisha amani na kushirikiana na Jeshi la Polisi...

READ MORE

Vodacom Tanzania Yarejesha Furaha Kwa Jamii Dodoma

Mkuu wa Kanda ya Kati wa Vodacom Tanzania PLC, Chiha Nchimbi (wa pili kushoto), akikabidhi kapu la zawadi kwa Rehema...

READ MORE

Naga Games Kuwa Mlango Mpya Wa Ushindi Ndani Ya Meridianbet

Meridianbet inaendelea kutunisha misuli yake na awamu hii imepiga hatua nyingine kubwa kwa kukuletea Naga Games, mtoa huduma mpya anayekupa...

READ MORE

Trump Atangaza Ziara ya Beijing Baada ya Mazungumzo na Rais Xi Jinping

Rais wa Marekani, Donald Trump, amethibitisha kwamba anakubali kutembelea Beijing mwezi Aprili, na pia kumwalika Rais wa China, Xi Jinping,...

READ MORE

Niffer na Mika Chavala Warudishwa Gerezani, Kesi yao Kutajwa Desemba 3

Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) ameondoa mashtaka dhidi ya washtakiwa 20 waliokuwa wakikabiliwa na shtaka la uhaini katika Mahakama ya...

READ MORE