×

Habari

Madee Ampa Neno Kali Mchumba Mpya wa Dogo Janja

RAPA maarufu nchini, Hamad Ally ‘Madee’ amemweleza mpenzi mpya wa kijana wake, Dogo Janja aitwaye Quenlinnah kwa kumwambia ategemee mengi...

READ MORE

SKENDO MAFUTA YA UPAKO

MWANGWI wa mafuta ya upako bado unavuma kila uchwao, skendo za kila aina zinazungumzwa, Uwazi linakuhabarisha.  Uchunguzi unaonesha kuwa wapo...

READ MORE

Wabunge wapongeza uwekezaji unaofanywa na SBL

Wajumbe wa Kamati ya Bajeti ya Bunge wamepongeza uwekezaji unaofanywa na Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL)unaohusisha upanuzi wa kiwanda...

READ MORE

NMB Yakabidhi Vifaa Tiba, Madawati ya Sh. Milioni 35 Kanda ya Magharibi

    KATIKA kuhakikisha inasaidia na kutatua baadhi ya changamoto zinazoikumba Sekta ya Afya na Elimu Mkoani Shinyanga, Benki ya...

READ MORE

Serikali Yamuomba Kabendera

KESI ya uhujumu uchumi inayomkabili Mwanadishi wa Habari za Uchunguzi, Erick Kabendera, jana Februari 11, 2020 iliendelea kusikilizwa katika Mahakama...

READ MORE

Senzo ampiga stop Sven

Mkuu wa Simba, Senzo Mazingisa, amepiga mkwara kwamba kikosi hicho kinachoongozwa na kocha Mbelgiji, Sven Vandenbroeck, kwa sasa hakitakiwi kupoteza...

READ MORE

Eymael: Sisi Siyo Maroboti

LUC Eymael ambaye ni kocha mkuu wa Yanga, ameshangazwa na jinsi mwenendo wa ratiba yao ya ligi ambapo ameweka wazi...

READ MORE

DC Temeke Azindua Kisima Shule ya Wasioona

Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Felix Lyaniva, mapema jana alizindua kisima cha maji safi kwenye shule ya msingi Toa Ngoma,...

READ MORE

Jackie Chan Amwaga Mamilioni kwa Atakayegundua Kinga ya Corona

NYOTA wa filamu za kichina, Jackie Chan ametangaza donge nono la Yuan milioni moja (wastani wa milioni 330 za kitanzania)...

READ MORE

Jaji Warioba Azungumzia Kinachoendelea CCM, Ataja Katiba Mpya

Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba amesema yanayotokea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa sasa si kitu kipya, na...

READ MORE

Mkapa na Kikwete Wawasili Kenya Kumzika Rais Moi

  MARAIS wastaafu wa Tanzania, Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete ni miongoni mwa wageni mashuhuri, watakaoshiriki mazishi ya kitaifa ya...

READ MORE

China: Wanafunzi wa Tanzania Waomba Warudishwe Nchini

BAADHI  ya Watanzania waishio China wameomba kurudishwa nyumbani wakisema tatizo si kukosa nauli ila wamezuiwa kutoka ili kudhibiti #CoronaVirus na...

READ MORE

Yanga Kumenoga, Mreno Apewa Jukumu

ACHANA na ushindi walioupata juzi, unaambiwa uongozi wa Klabu ya Yanga umefikia katika sehemu nzuri kuelekea kwenye mabadiliko ya mfumo...

READ MORE

JPM Amfuta Kazi Aliyechana Quran – Video

RAIS  John  Magufuli amemfukuza kazi kijana aliyechana kitabu kitakatifu cha Quran mkoani Morogoro, Daniel Maleki,  na amemuagiza Waziri was Tamisemi,...

READ MORE

Staa wa Zamani Brazil ‘Pele’ Hoi

MTOTO wa mchezaji soka wa zamani wa  Brazil, Edson Cholbi do Nascimento, amesema baba yake, Edson Arantes do Nascimento ‘Pele’,...

READ MORE

Makonda: Mkajiandikishe Siku ya Wapendanao – Video

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza kuanzia Februari 14 hadi 20, 2020, uhuishwaji wa Daftari la kudumu la Wapiga...

READ MORE

Magufuli: Mliojenga Mabondeni Msilie Mafuriko – Video

RAIS John  Magufuli amewataka wananchi wote wote wanaojenga kwenye mabonde waache na waondoke wenyewe, wayaachie maji yapite na mabonde yatumike...

READ MORE

Wakenya Kunywa Soda, Maziwa na Vitafunio Mazishi ya Moi

WAOMBOLEZAJI katika mazishi ya rais wa zamani wa Kenya, Daniel arap Moi, wamehimizwa kuwahi mapema kwenye mazishi ili wapate maziwa...

READ MORE

Aliyenaswa wizi wa watoto atoa kioja kortini

BAADA ya mwishoni mwa mwaka jana kunaswa kwa wizi wa watoto wawili jijini Mbeya, Hawa Ally Mkalipa (40), mkazi wa...

READ MORE

Mashabiki 30,000 wamvaa Mondi!

DAR: Zaidi ya mashabiki 30,000 wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, wamemvaa jamaa huyo wakimtaka aachie wimbo...

READ MORE

MAMBO 12 USIYOYAJUA Kuhusu Moi

Stori: GABRIEL MUSHI NA AMINA SAID, Ijumaa WAKATI Wakenya na dunia kwa jumla wakiomboleza kifo cha aliyekuwa Rais wa Pili...

READ MORE

RC Mghwira Athibitisha Nzige Kuonekana Kilimanjaro – Video

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira, amesema kundi la nzige limeonekana jana Jumapili Februari 09, 2020 Wilaya ya Moshi...

READ MORE

Moi Alivyoitawala Kenya Miaka 24 kwa Mkono wa Chuma

MAPEMA wiki iliyopita rais wa pili wa Kenya, Daniel Arap Moi, ameaga dunia. Kifo chake kilitangazwa na Rais Uhuru Kenyatta,...

READ MORE

Umempa Sababu ya Kuwa na wWewe?

UKITAKA mpenzi wako akuchoke au umchoke, wewe ndiye mwamuzi, lakini pia ukitaka mpenzi asikuchoke au usimchoke wewe ndiye mwenye uamuzi...

READ MORE

Dembele nje msimu mzima

BARCELONA, Hispania | OUSMANE Dembele anatarajiwa kuwa nje ya uwanja msimu mzima baada ya kuumia tena mazoezini. Katika mazoezi ya...

READ MORE

Makamba, Kinana Wafika Kwenye Kamati ya Maadili Kuhojiwa

Makatibu wakuu wastaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuf Makamba na Abdulrahman Kinana wamefika katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu...

READ MORE

Rais Magufuli Kuzindua Wilaya ya Kigamboni Kesho – Video

Rais Dkt. John Pombe Magufuli kesho February 11 kuanzia Saa Mbili Asubuhi anatarajiwa Kuzindua Rasmi Wilaya Mpya ya Kigamboni ambapo...

READ MORE

Aliyeiba Watoto Asema “Nilipewa na Kunguru” – Video

Baada ya mwishoni mwa mwaka jana kunaswa kwa wizi wa watoto wawili Jijini Mbeya. Hawa Ally (40) Mkazi wa Tegeta...

READ MORE

Tanzia: Nizar Khafan Afiwa na Mkewe

Mchezaji wa Rhino Rangers ya Tabora Nizar Khalfan amefiwa na mke wake (Pichani) jana Jumapili, Februari 9, 2020, mchana jijini...

READ MORE

Breaking: Hatimaye Sumaye Arejea CCM

WAZIRI Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye,  leo Februari. 10, 2020, ametangaza kurudi katika Chama Cha Mapinduzi (CCM). Desemba 4, 2019, Sumaye...

READ MORE

Tanzania Yalia na Mzigo wa Wakimbizi

TANZANIA imetaka Umoja wa Afrika na Jumuiya za Kimataifa kuongeza jitihada na nguvu katika kuleta amani katika maeneo yenye migogoro...

READ MORE

Serikali Yatoa Tamko Nzige Kuvamia Nchini

WAZIRI wa Kilimo, Japhet N. Hasunga (Mb) jana Jumapili anawafahamisha wakulima na wananchi kwa ujumla kuwa taarifa zinazoenea kwenye baadhi...

READ MORE

Wanajeshi Wavamia Bunge Wakishinikiza Kuidhinishiwa Mkopo

    WANAJESHI na maofisa wa polisi wenye silaha nchini El Salvador wamevamia bunge, wakitaka kuidhinishwa kwa mkopo wa dola...

READ MORE

Chuo Kikuu cha Colorado Kuanza Kutoa Digrii ya Bangi

    Chuo Kikuu cha Jimbo la Colorado eneo la Pueblo nchini Marekani kitaanza kutoa digrii katika masuala ya bangi...

READ MORE

Mchungaji Auza Mafuta ya Kuzuia Corona

Kiongozi wa Kanisa la International God’s Way la Ghana, Askofu Daniel Obinim ametangazia wafuasi wake kuwa anauza mafuta yanayoweza kuwakinga...

READ MORE

Waliofariki kwa Virusi vya Corona China Wafikia 811

IDADI ya waliokufa kutokana na maambukizi ya virusi vya Corona nchini China imeongezeka kwa vifo 89 na kufikia watu 811....

READ MORE