×

Habari

Namungo Yazitaka Pointi Tatu za Simba

HITIMANA Thiery, kocha mkuu wa timu ya Namungo amesema kuwa leo ataingia na mbinu mpya itakayompa nguvu ya kupata pointi...

READ MORE

Mafanikio ya Startimes Kwa Mwaka 2019

Tangu kuingia katika soko la Afrika Mwaka 2018,StarTimes inajitahidi kufikia Malengo yake, ili Kuhakikisha kwamba kila Familia ya Kiafrika inapata...

READ MORE

Betika Latua kwa Wafanyabiashara wa Mabati & Mbao Buguruni

MAPEMA leo Jumatano, Oktoba 29, timu ya maofisa masoko ya Global Publishershers imetembelea wafanyabiashara wa mabati eneo la Buguruni jijini...

READ MORE

KMC Yawapa Wanajeshi Dili La Uwanja Wao

HALMASHAURI ya Manispaa ya Kinondoni (KMC), juzi Jumatatu imetiliana saini na Jeshi la Wananchi kikosi cha 361 KJ kilichopo Lugalo...

READ MORE

Lugola Achunguzwa na Takukuru kwa Ufisadi

ALIYEKUWA Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola yupo chini ya ulinzi unaomfanya asiweze kusafiri sehemu yoyote bila...

READ MORE

UFISADI TRIONI MOJA…LUGOLA TAA NYEKUNDU JELA YAWAKA

UNAWEZA kusema jela inaweza kuanza kumuita aliyekuwa Waziri wa Mambo wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola baada ya...

READ MORE

Anne Makinda: Sikustahili Kuwa Spika, Niliazima Nguo ya Kuapishwa – Video

SPIKA wa mstaafu wa bunge, Anne Makinda, amelieleza bunge jinsi alivyoazima nguo kwa ajili ya kuapishwa ubunge kwa mara ya...

READ MORE

TMA Yatoa Tahadhari ya Mvua Kubwa

MAMLAKA ya Hali ya Hewa nchini  (TMA) imetoa tahadhari kwa wananchi wanaoishi katika mikoa ya Kanda ya Ziwa, Kaskazini na...

READ MORE

Wakonta: Daktari Kaniambia Naweza Kutembea

MUNGU mkubwa! Ndivyo unavyoweza kutamka kutokana na daktari kueleza kuwa binti mrembo, Wakonta Kapunda ambaye ni mlemavu aliyepooza kiwiliwili yaani...

READ MORE

Selasini Aimwagia Sifa Serikali, Wabunge CCM Shwangwe!

PONGEZI kwa Serikali zilizotolewa na Mbunge wa Rombo (Chadema), Joseph Selasini bungeni mjini Dodoma zimeibua shangwe kutoka kwa wabunge wa...

READ MORE

Bulaya Akabidhiwa Mikoba ya Tundu Lissu Bungeni

KIONGOZI wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe (Mb) amemteua Mbunge wa Bunda (Chadema), Ester Bulaya kuwa Mnadhimu wa...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Jumatano, Januari 29, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Januari 29, 2020. Ni yale ya...

READ MORE

Lusinde: Hakuna Kitu Kabisa, Barabara Nyingi Zimeoza

Mbunge wa Mtera (CCM), Livingstone Lusinde amesema hali ya barabara kuelekea hospitali ya Mvumi imeoza hivyo ni hatari kwa maisha...

READ MORE

Taharuki: Anayedhaniwa Kuwa na Virusi vya Corona, Atua Kenya

ABIRIA wa ndege mwenye dalili za virusi vya homa ya corona amepelekwa katika Hospitali ya Taifa Kenya baada ya kuwasili...

READ MORE

Mgonjwa wa Virusi Vya Corona Ahofiwa Ivory Coast

Maofisa wa afya nchini Ivory Coast wamesema wanahofia kuwa na mgonjwa mwenye virusi vipya vya Corona.   Waziri wa Afya...

READ MORE

Waziri Zungu Akutana na Makamu wa Rais Samia Suluhu – Video

  MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungnao wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo Jumatatu, Januari 28, 2020, amekutana...

READ MORE

Marekani Yathibitsha Ndege Yake ya Kijeshi Kuanguka Afghanistan

Jeshi la Marekani limekiri kuanguka kwa ndege ya kijeshi chapa E-11A katika eneo la Ghazni nchini Afghanistan, huku likipinga madai...

READ MORE

TCRA Kusaka Waliowasajilia Wenzao Laini za Simu

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetangaza kufanya uhakiki wa laini zote za simu zilizosajiliwa ili kuondoa wale waliosajili kwa kutumia...

READ MORE

Game ya Kwanza ya Samatta Uingereza Leo, Wabongo Macho Kwake

MACHO yote ya Watanzania leo ni kwa Mbwana Samatta wakati atakaposhuka dimbani majira ya saa 4:45 usiku kuichezea timu yake...

READ MORE

Ndege Nyingine ya Kijeshi ya Marekani Yaangushwa Afghanistan

Jeshi la Marekani limekiri kuanguka kwa ndege yake moja ya kijeshi katika eneo la Deh Yak, jimbo la Ghazni huko...

READ MORE

Tamasha la KAN Lamalizika kwa Kishindo

MSIMU wa pili wa tamasha la Knowldge Art and Networking (KAN) umemalizika jana kwa kishindo na kuacha wapenzi wa burudani...

READ MORE

Kigoma: Mganga Ahukumiwa Kifungo cha Maisha

MAHAKAMA ya Wilaya ya Kigoma imemhukumu mganga wa kienyeji, Venance Edward, kwenda jela kifungo cha maisha baada ya kumkuta na...

READ MORE

Tanzia: Mwandishi Aliyekutwa Ndani Amefariki, Polisi Yaeleza

MWANDISHI  wa habari, Douglas David, amekutwa amefariki dunia chumbani kwake eneo la Vingunguti Mji Mpya, jijini Dar es Salaam, huku...

READ MORE

Jipange na Pepa Yawaamsha Wanafunzi Sekondari ya Makumbusho

Shangwe za nguvu zimetawala katika Shule ya Sekondari ya Makumbusho iliyopo Kijitonyama jijini Dar es Salaam baada ya timu ya...

READ MORE

KMC Yawapa Wajeda Dili la Ujenzi wa Uwanja Wao – Video

MANISPAA ya Kinondoni leo Jumatatu, Januari 27, 2020, imetiliana saini na Jeshi la Wananchi kikosi cha 361 KJ kilichopo Lugalo...

READ MORE

Ubalozi wa Marekani Nchini Iraq Washambuliwa Tena

MAREKANI imeitolea mwito Iraq kulinda majengo yake ya kidiplomasia baada ya ubalozi wake mjini Baghdad kushambuliwa kwa maroketi matatu.  ...

READ MORE

Rais JPM Mgeni Rasmi Wiki ya Sheria Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. John Pombe Magufuli anatarajia kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Wiki...

READ MORE

Waziri Mkuu na Mkewe Wakabiliwa na Tuhuma za Mauaji

Waziri Mkuu wa Lesotho Thomas Thabane pamoja na mkewe, Maesaiah Thabane wanatakiwa kuhojiwa kuhusiana na mauaji yaliyotokea mwaka 2017 ya...

READ MORE

Rais JPM: Unanunua Drone Kwani Inazima Moto? – Video

Rais Dkt. John Pombe Magufuli, leo Jumatatu, Januari 27, 2020, amewaapisha, George Simbachawene kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Mussa...

READ MORE

Corona: China Kujenga Hospitali Siku 6 Kuokoa Waathirika

MJI wa Wuhan nchini China unaharakisha kujenga hospitali mpya kusaidia kutibu wagonjwa waliokumbwa na virusi vya Corona ambavyo vimeshaua watu...

READ MORE

Kabendera Aendelea Kusota Mahabusu

  KESI ya uhujumu uchumi inayomkabili mwandishi wa habari za uchunguzi, Erick Kabendera imeahirishwa baada ya Jamhuri kudai upelelezi bado...

READ MORE

Tanzia: Mtoto wa Mzee Kawawa Afariki Dunia

FAMILIA ya marehemu Rashid Mfaume Kawawa inasikitika kutangaza kifo cha kaka yao mkubwa, Alhaji Mfaume Rashid Kawawa, kilichotokea leo Jumatatu,...

READ MORE

Mwanamke Afariki Baada ya Kuruka Kwenye Ambulance

MWANAMKE Naiso Leslie (26) amefariki baada ya kuruka kutoka kwenye gari la wagonjwa baada ya mtoto wake Solomon Lesie (2)...

READ MORE

Waliofariki Ajali ya Kobe Bryant Waongezeka, Mawasiliano Yanaswa

TAARIFA za vyombo vya usalama nchini Marekani zinasema kuwa waliofariki mpaka sasa  katika ajali ya helikopta iliyotokea jana huko Los...

READ MORE

Ndege Yaanguka Barabarani

ZAIDI ya watu 100 wamenusurika kufa baada ya ndege ya abiria kuanguka katikati ya barabara katika mji wa Mahshahr nchini...

READ MORE

Breaking: Kobe Bryant Afariki Katika Ajali Ya Helikopta – Video

MCHEZAJI maarufu wa mpira wa kikapu kwenye Ligi ya NBA ya Marekani, Kobe Bryant (41),  amefariki katika ajali ya helikopta...

READ MORE

Iraq Wafanya Maandamano Makubwa Kuyaondoa Majeshi ya Marekani

MAMIA ya watu wameandamana katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad, wakidai vikosi vya Marekani viondoke Iraq. Kiongozi mwenye ushawishi wa...

READ MORE

Tetemeko la Ardhi Uturuki: Watu 19 Wafariki, 300 Wajeruhiwa

Watu 14 wafariki katika tetemeko la ardhi katika eneo la Mashariki mwa Uturuki. Tetemeko la ardhi ambalo lilikuwa na ukubwa...

READ MORE

Kijana Ajisalimisha Polisi Baada ya Kumuua Baba’ke

MWANAFUNZI wa shule ya sekondari katika kaunti ya Kericho nchini Kenya amejisalimisha kwenye kituo cha polisi mara baada ya kumchoma...

READ MORE

Mtoto Aliyesombwa na Mafuriko, Siku ya 5 Hajapatikana

JESHI la Zimamoto na Uokoaji mkoani Manyara kwa siku ya tano sasa bado linaendelea kumtafuta mtoto Salimu Muhazar (12) aliyekuwa...

READ MORE