×

Habari

Jenerali Kingu Naye Awasili TAKUKURU Kuhojiwa – Video

ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Balozi Mteule, Meja Jenerali Jacob Kingu,  naye amefika katika ofisi za...

READ MORE

Waziri Mgumba Asema Mabwawa Yaliyopungua Kina Kutafutiwa Muarobaini

    Naibu Waziri wa Kilimo Mhe Omary Mgumba (Mb) amewahakikishia watanzania kuwa serikali imekusudia kuhakikisha kuwa mabwawa yaliyopungua kina...

READ MORE

Wakazi wa Mto wa Mbu Walia na Mafuriko

Wakazi wa mji Mdogo wa Mto wa Mbu wilayani Monduli mkoani Arusha eneo la Migungani ‘A’ wameiomba serikali kunusuru maisha...

READ MORE

Akitema Mate Sakafu Inachubuka, Ndani Miaka 3 – Video

ANNA Majaliwa, mkazi wa Tabata jijiji Dar es Salaam, ni mama wa watoto watatu ambaye yupo ndani tangu 2017 kutokana...

READ MORE

DCB Yatangaza Ukuaji wa Faida wa Asilimia 43 Kwa Mwaka 2019

Benki ya biashara ya DCB (DCB Commercial Bank Plc) imetangaza kupata faida ya shilingi bilioni 2.3 katika mwaka 2019, ikiwakilisha...

READ MORE

Ndugai: Tunataka Zitto Aeleze, Kwa Nini Amezuia Mkopo Benki ya Dunia

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai ameliambia Bunge kuwa watahitaji maelezo ya Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe kwa nini...

READ MORE

Sheria Mpya Washtakiwa wa Uhujumu Uchumi

SERIKALI imesema kuwa endapo mbunge ataona kuwa kuna haja ya kubadilishwa sheria ya makosa ya uhujumu uchumi ili watuhumiwa wa...

READ MORE

Breaking News: Lugola Awasili TAKUKURU Kuhojiwa

ALIYEKUWA Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, amefika ofisi za Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa...

READ MORE

Polisi Dar Yakamata Wauza Madini Bandia – Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Dar es Salaam, limewanasa watu wapatao sita kwa tuhuma za kufanya biashara haramu ya utapeli...

READ MORE

Maalim Seif Ajitosa Kugombea Uenyekiti wa ACT-Wazalendo

MSHURI Mkuu wa Chama cha siasa nchini Tanzania cha ACT- Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amechukua fomu ya kugombea nafasi...

READ MORE

NMB Bank Plc Records The Highest Profit In the Banking Industry

NMB Bank Plc Ag. Managing Director, Ruth Zaipuna NMB Bank Plc. (“NMB”) has recorded a 52% increase in Profit after...

READ MORE

CCM Nayo Kumhoji Kangi Lugola

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Mara kitamhoji aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, Kangi Lugola baada ya kutuhumiwa...

READ MORE

Lugola Amkabidhi Ofisi Simbachawene – Video

ALIYEKUWA Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola ambaye ni Mbunge wa Mwibara kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),...

READ MORE

Sakata la Ununuzi wa Sare Hewa, Bunge Lamkalia Kooni Lugola

Baada ya Kangi Lugola, kuwekwa chini ya ulinzi na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwa madai ya...

READ MORE

TAKUKURU Yaanza Kumshughulikia Kangi Lugola

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini Tanzania (Takukuru) leo inatarajia kuanza kuwahoji viongozi mbalimbali waliohusika na mkataba wa...

READ MORE

Yanga, GSM Watoa Msaada Kwa Anna Majaliwa Tabata

KLABU ya Yanga kupitia kwa mdhamini wao Kampuni ya GSM leo Januari 30, 2019 wamefanikisha kutoa masaada wa fedha mahitaji...

READ MORE

Bunge la Ulaya Lapitisha Uingereza Kujitoa EU

WABUNGE wa bunge la Umoja wa Ulaya (EU) wamepitisha kwa wingi sheria inayoruhusu Uingereza kuondoka kwenye umoja huo, maarufu kama...

READ MORE

Arusha: Polisi Yaua ‘Majambazi’ Watano – Video

POLISI mkoani Arusha imewaua watuhumiwa wa ujambazi sugu watano usiku wa saa 3:45, Januari 29, 2020, eneo la njia panda...

READ MORE

Kinondoni Ya Tumia Bilioni 1.5 Ujenzi Wa Madarasa

Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imetumia kiasi cha shilingi Bilioni 1.5 kwa ajili ya ujenzi na ukaratabati wa vyumba 107...

READ MORE

Msigwa Awasha Moto Bungeni “Tupeni Majibu” – Video

Mwenyekiti wa kamati ya Kudumu ya Bunge ya hesabu za serikali (PAC) amewasilisha taarifa ya kamati hiyo leo bungeni ambapo...

READ MORE

Mdee Avuruga Bunge Sakata la Lugola ‘Ni Ufisadi Mkubwa’ – Video

MBUNGE wa Kawe (Chadema), Halima Mdee amesema atawasilisha ombi bungeni ili chombo hicho cha Dola kuunda kamati kuchunguza mikataba mbalimbali...

READ MORE

Rugemarila Akabidhi ‘Nyaraka za Rushwa’ TAKUKURU

MFANYABIASHARA James Rugemarila ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa Januari 24, 2020,  alikutana na mwakilishi wa Taasisi ya Kupambana...

READ MORE

SBL YAWAPA SHAVU WANAFUNZI WA KILIMO

Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), jana imezindua mpango wa ufadhili wa masomo utakaowanufaisha wanafunzi 30 kutoka katika jamii ya...

READ MORE

Ronaldo: Tulipambana Ili Tuwaache Inter

STAA wa Juventus, Cristiano Ronaldo, amesema kitendo cha wao kushinda dhidi ya Parma kimezidi kuongeza gepu na wapinzani wao Inter...

READ MORE

Spika Ndugai Azindua Kitabu cha Ugonjwa wa Kisukari

SPIKA wa bunge Job Ndugai amezindua rasmi kitabu cha ‘UGONJWA WA KISUKARI NA SULIHISHO LAKE ‘chenye lengo la kuelimisha umma...

READ MORE

Afisa Mtendaji Ampa Mimba Binti Yake wa Kidato cha Pili

MKASA wa mwanafunzi wa Kidato cha Pili kukatiza masomo yake, umechukua sura mpya, baada ya baba wa kambo, Ignas Katula...

READ MORE

Amuua Mama’ke, Mpwa kwa Kula Mayai

WINGU la simanzi limetanda kijiji cha Makundi kaunti ya Machakos nchini Kenya baada ya jamaa mmoja wa miaka 28 kumuua...

READ MORE

Binti Auawa kwa Kipigo Akituhumiwa Kuchelewa kwa ‘Mchepuko’

POLISI  mkoani Njombe linamshikilia mwanamke aliyefahamika kwa jina la Apronia Mwinuka (35) mkazi wa mtaa wa Kikula kata ya Makambako...

READ MORE

Vodacom Tanzania yaungana na PAPU katika ujumuishwaji wa kifedha

Mkuu wa mauzo wa Vodacom kanda ya kaskazini, Brigita Stephen akizungumza jinsi ambavyo kampuni ya Vodacom inaweza kuwa mshirika na...

READ MORE

Rais Magufuli Amjulia Hali Waziri Mkuu Mstaafu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli amemtembelea na kumjulia hali Waziri mkuu Mstaafu Mhe....

READ MORE

PICHA: Kangi Lugola Bungeni Leo

Mbunge wa Mwibara(CCM) Kangi Lugola akiwa Bungeni hii leo jijini Dodoma akihudhuria vikao vya Bunge huku akitumia ‘ipad kusoma na...

READ MORE

Mtolea Aliamsha Dduee Bungeni, Waziri Amtuliza – Video

MBUNGE wa Temeke (CCM), Abdallah Mtolea ameiomba Serikali kulifanyia marekebisho gereza la Keko lililoko jijini Dar es Salaam kwa kuwa...

READ MORE

Zungu Akabidhiwa Rasmi Ofisi

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu amemtaka kila mtumishi katika Ofisi...

READ MORE

Mnyika Atangaza Kugombea Tena Ubunge Kibamba

KATIBU Mkuu wa Chadema, John Mnyika amesema atagombea tena ubunge Kibamba katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba, 2020.   Mnyika ambaye...

READ MORE

Mtoto Baraka Anaujua Moyo Utashangaa – Video

MTOTO mdogo aitwaye Baraka Shigongo (10) mwenye kipaji cha aina yake katika masuala mbalimbali hasa ya Sayansi, hapa yupo darasani...

READ MORE

Taliban Waua Watu 13 Afghanistan

Takribani wanajeshi 13 wa Afghanistan wameuawa na wengine kadhaa wamejeruhiwa wakati wapiganaji wa Taliban walipovishambulia vituo vya ukaguzi wa usalama...

READ MORE

Babake Amlawiti Akiwa na Miaka 3, Haja Kubwa Inatoka Yenyewe” – Mwamtoro

WAZAZI ndio walinzi wa kwanza na wakuu katika kuhakikisha usalama wa watoto wao hii inatokana na ukaribu na mahusiano yaliyopo...

READ MORE

Trump, Netanyahu Waja na Mpango wa Amani

Rais wa Marekani Donald Trump amewasilisha mpango kazi kuhusu Mataifa ya Mashariki ya Kati ambao ulikwa ukisubiriwa kwa muda mrefu,...

READ MORE

Heche Ahoji Mkataba wa Madini Kati ya Tanzania na Barrick – Video

  WAZIRI Kivuli wa Madini nchini Tanzania, John Heche amehoji mambo manne kuhusu mikataba tisa ambayo Serikali ya Tanzania imesaini...

READ MORE

Serikali Yatenga Maeneo Maalum Kutibu Virusi vya Corona

WAZIRI ya Afya nchini Tanzania, Ummy Mwalimu amesema mtu yeyote atakayepata virusi vya Corona nchini atatibiwa katika maeneo yaliyotengwa yaliyopo...

READ MORE