×

Habari

Mzee Miaka 102 Mwenye Watoto 60, Wajukuu 70 Afungua Shule

MZEE Meshuku Mapi Mukari almaarufu mzee Laibon, kutoka jamii ya kifugaji, mwenye umri wa miaka 102 na wake wanane, watoto...

READ MORE

DC Sabaya Amsweka Ndani Kapteni wa Jeshi ”Unajifanya Kichaa?” – Video

MKUU wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, amerejesha Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) eneo lenye ukubwa wa ekari mbili...

READ MORE

Mrithi wa Aussems Simba ni Huyu

WAKATI Kocha Msaidizi akiwa Selemani Matola, jina la Kocha Mkuu wa AS Vita ya DR Congo, Jean-Florent Ikwange Ibengé limetajwa...

READ MORE

Dovutwa Avuliwa Uenyekiti UPDP

HALMASHAURI Kuu Taifa ya Chama cha United People’s Democratic Party (UPDP) imemvua uenyekiti Fahmi Dovutwa baada ya kubainika kufanya kosa...

READ MORE

Papa Francis Amteua Ludovick Kuwa Askofu Mpya Jimbo la Moshi

  Baba Mt. Francis amemteua Askofu Ludovick Joe Minde, kuwa Askofu mpya Jimbo la Moshi. Kabla ya uteuzi huo alikuwa...

READ MORE

Acb Yaendelea Kutoa Mbinu Za Mafanikio Kwenye Vicoba

Benki ya Akiba Commencial (ACB) jana iliungana na kikundi cha vicoba cha TEYOTA katika uzinduzi wa kikundi hicho uliofanyika jana...

READ MORE

Papaa Msofe Kortini kwa Tuhuma za Kuongoza Wahalifu – Video

Wafanyabiashara wanne akiwemo Marijan Msofe maarufu kama Papaa Msofe na Wakili wa Kujitegemea Mwesigwa Mhingo wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu...

READ MORE

Watano Washikiliwa na Jeshi la Polisi Mwanza kwa Mauaji

JESHI la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikilia watu watano kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya watu watatu katika tukio...

READ MORE

Wananchi Wampinga Mke wa Rais

Wananchi wa Nigeria wamepinga pendekezo la Mke wa Rais wan chi hiyo, Aisha Buhari, juu ya kutaka serikali kudhibiti mitandao...

READ MORE

TanEA Yaanika Tathmini Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

  TAASISI binafsi ya TanEA ambayo ni muunganiko wa Asasi mbili za kiraia, Action for Change (ACHA) na The Right...

READ MORE

Sasa Dar –> Moshi ni Kuteleza Tu – Video

 JANA Jumapili, Disemba 1, 2019, Ndg. Humphrey Polepole Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameshiriki safari...

READ MORE

Mch Msigwa Asema Hajui Akwilina Aliuawa Lini

MBUNGE wa Iringa Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mchungaji, Peter Msigwa amesema kuwa taarifa za kifo cha...

READ MORE

Kisutu: Kesi ya Aliyemchoma Mkewe kwa Magunia ya Mkaa

MAPEMA leo Jumatatu, Desemba 2, 2019, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Upande wa mashtaka katika kesi ya mauaji inayomkabili...

READ MORE

Trump Agoma Kushiriki Kikao cha Kumchunguza

WAKILI wa Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema Ikulu ya White House haitashiriki katika kikao cha uchunguzi kitakachofanyika bungeni Jumatano...

READ MORE

Watu 14 Wauawa kwa Shambulio Kanisani

ZAIDI ya watu 14 wameuwawa baada ya shambulio la kigaidi kutokea katika kanisa la Hantoukoura nchini Burkina Faso.   Waathirika...

READ MORE

Ajali ya Ndege Yaua Watu 9 Marekani

WATU tisa wakiwemo watoto wawili wamefariki katika ajali ya ndege ndogo iliyotokea katika jimbo la Dakota ya kusini nchini Marekani....

READ MORE

Heche Apigwa Chingi Chadema, Matiko Apeta

MBUNGE wa Tarime mjini, Ester Matiko ameshinda kiti cha Uenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Serengeti kwa kupata kura 44 na...

READ MORE

Ureno Yapangwa Kundi la Kifo Euro

MAKUNDI ya michuano ya Kombe la Euro yalipangwa juzi huku kukiwa na kundi la kifo ambalo lilizua gumzo. Michuano ya...

READ MORE

Liver Yanusa Ubingwa, Guardiola Agoma

LIVERPOOL wameingia kwenye kipindi cha mwezi Desemba wakiwa mbele kwa tofauti ya pointi 11 dhidi ya wapinzani wao wakubwa kwenye...

READ MORE

Nyalandu Atusua Uchaguzi Chadema

ALIYEKUWA Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu ameshinda nafasi ya Mwenyekiti wa Chadema, Kanda ya Kati kwa kupata kura 60...

READ MORE

Wiki Ya Ushindani Kuadhimishwa Desemba 3 Hadi 5, Dar

TUME ya Ushindani Tanzania (FCC) kwa kushirikiana na Mamlaka za EWURA, LATRA, PURA, FCT, TCAA, TCRA na TASAC wanawakaribisha Wananchi...

READ MORE

Canosa Waibuka Kidedea Shindano La Speling

Shule ya Msingi Canosa iliyopo Tegeta Nyuki, Dar imetunukiwa zawadi ya vifaa mbalimbali vya kujisomea (Library) na Oxford Universt Press...

READ MORE

Video: Mbunge LEMA Afunguka Baada Ya Kuwa Mwenyekiti Kanda Ya Kaskazini

Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa chama hicho kanda ya Kaskazini katika uchaguzi uliofanyikaJumamosi Novemba...

READ MORE

Infinix Yasherehekea Na Wateja

Kampuni ya Simu za mkononi ya Infinix imefanya sherehe ya pamoja na wateja wake kufuatia mapokeo mazuri yao aina ya...

READ MORE

Mwakyembe Azindua Mashindano ya Shimmuta Mwanza

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo hapa nchini, Dkt. Harrison Mwakyembe leo Jumamosi, Novemba 30, 2019 amezindua mashindano ya...

READ MORE

Mbowe Arejesha Fomu Chadema, Lissu Naye Achukua

MWANASHERIA Mkuu wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema atagombea Makamu Mwenyekiti wa chama hicho katika Uchaguzi unaoendelea kufanyika hivi sasa ndani...

READ MORE

Madiwani Watano CHADEMA Wajiuzulu, Watimkia CCM

MKURUGENZI wa Jiji la Arusha, Dk Maulid Madeni amesema amepokea barua za kujiuzulu za madiwani watano wa Chadema Jiji la...

READ MORE

Ufafanuzi wa NHIF Kuhusu Ongezeko la Michango ya Wanachama

Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umesema hakuna mabadiliko ya michango kwa watumishi kama ambavyo taarifa zinazosambazwa mitandao...

READ MORE

Sakata la Mbelgiji Simba Lafikia patamu

Mvurugano! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia filamu ya Kocha wa Simba, Patrick Aussems na mabosi wa timu hiyo kuonyesha kuvimbishiana ndani...

READ MORE

Mastaa Wasusia Maziko Ya Bi Cheka Bunju B, Dar (Picha +Video)

VILIO, majonzi na simanzi, jana Ijumaa Novemba 29, 2019 vilitawala katika kila kona maeneo ya Bunju B jijini Dar, wakati...

READ MORE

BoT Yaikana Pesa ya Mtandaoni, Yatoa Onyo

BENKI Kuu nchini imeonya kuacha mara moja kujihusisha na shughuli za fedha za kimtandao (Cryptocurrency) kunakofanywa na baadhi ya watu...

READ MORE

Rwanda Kutumia Sindano Kufubaza UKIMWI Badala ya Vidonge

TIBA ya sindano badala ya vidonge vya kila siku kwa wagonjwa wa ukimwi nchini Rwanda imeshika kasi na sasa iko...

READ MORE

Christmas Market Festival Kutikisa Dar

KWA mara ya kwanza Dar es Salaam itashuhudia festival ya soko lenye bidhaa zote za Msimu wa Krismas katika Viwanja...

READ MORE

SBL YASHAURI MFUMO WA KODI UARAKISHWE

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Mark Ocitti, ameshauri kuharakishwa kwa utaratibu wa kuoanisha mfumo wa kodi...

READ MORE

DC Kibaha, Mbunge Koka Wameongoza Harambee Uzinduzi Wa Filamu

MKUU wa Wilaya ya Kibaha, Assumpta Mshama na Mbunge wa Kibaha Mjini, Silvestry Koka, jana wameongoza harambee ya kuuza DVD...

READ MORE

Simbachawene Aiagiza TAREA Kutafiti Matumizi Nishati Jadidifu Dar

  WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), George Simbachawene, ameiagiza Jumuiya ya Wadau wa Nishati Jadidifu Tanzania...

READ MORE

Sabuni za King Limau na Marhaba Zaweka Rekodi Mitaani

KING Limau na Marhaba Soap ndiyo habari ya mjini! Hii ni kutokana na jinsi sabuni mpya za King Limau na...

READ MORE

Na Eric Shigongo: Njia Nyingine za Kukuwezesha Kuwa Tajiri

NDUGU zangu, baada ya wiki iliyopita kueleza siri ya namna ya kupata utajiri, leo nitakupa njia nyingine ambazo zinaweza kukuwezesha...

READ MORE