×

Habari

Taarifa Timu Iliyomchunguza Meya Dar Kuanikwa Leo

MKUTANO maalumu wenye ajenda ya kupokea taarifa ya timu iliyochunguza tuhuma dhidi Meya wa Jiji la Dar es Salaam nchini...

READ MORE

Kisa Yanga… Hans Poppe Amvaa Manula

ALIYEWAHI kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba ambaye kwa sasa ni mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa klabu...

READ MORE

Trump Kuiwekea Iran Vikwazo Vya Kiuchumi, Hatolipiza Kisasi -Video

RAIS wa Marekani, Donald Trump,  ametangaza kuweka vikwazo vipya vya kiuchumi dhidi ya Iran, lakini amesema nchi hiyo haitolipiza kisasi...

READ MORE

NBC Yawaasa  Watanzania Kutumia Malengo Akaunti Kama Suluhisho ya Changamoto

  BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imewahamasisha watanzania  kutumia akaunti ya malengo ya benki hiyo kama suluhisho ya changamoto...

READ MORE

Moto Wateketeza Matanki ya Mafuta ya Lake Oil Kigamboni – Video

Moto mkubwa umezuka usiku wa leo Jumatano Januari 8, 2020 katika hifadhi ya mafuta inayomilikiwa na kampuni ya Lake Oil...

READ MORE

Makamanda wa Polisi Waipongeza Global Kuwaanika Wahalifu – Video

Mkuu wa Utawala Jeshi la Polisi nchini, Naibu Kamishna (DCP), Lucas Mkondya leo amemuwakilisha Inspekta Jeneral (IGP), Simon Sirro kutembelea...

READ MORE

MREMA: Walinigombea Kama MPIRA wa Kona, Wakataka KUNIMALIZA

Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP) Dkt Augustine Mrema amemwandikia barua Mhe. Rais John Pombe Magufuli kumuomba serikali...

READ MORE

Meya Dar Atua Kortini, Apinga Kuvuliwa Umeya

MSTAHIKI  Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita,  amewasilisha pingamizi la maombi mawili likiwemo la kuweka zuio la...

READ MORE

Wafanyabiashara Kariakoo Waendelea Kunufaika na ‘Betika’

  IKIWA ni Jumatano ya kwanza ya Januari 8, 2020, timu ya maofisa masoko ya Global Publishers Ltd  imeendelea na...

READ MORE

Molinga Aondoka Yanga Kisa Utovu wa Nidhamu

STRAIKA wa Yanga, raia wa DR Congo, David Molinga, ametimkia nchini na kwenda zake Ufaransa kwa madai ya kwenda kutatua...

READ MORE

Sanchi apigwa stop nguo za kubana

D AKTARI wa mwanamitindo mwenye umbo matata Bongo, Jane Rimoy ‘ Sanchi’ amempiga stop mrembo huyo kuvaa nguo za kubana...

READ MORE

Halima Mdee: Sijaona Wakuniondoa Kawe – Video

Mbunge wa Kawe kupitia Chadema, ambaye pia ni Mwenyekiti wa BAWACHA Tifa, Halima Mdee amesema mpaka sasa bado hajaona mtu...

READ MORE

Cameroon: Bomu Laua 9 na Kujeruhi 30

MLIPUKO katika mji wa Fotokol mpakani mwa Cameroon na Nigeria umesababisha vifo vya watu tisa na kujeruhi wengine 30.  ...

READ MORE

Miguna Atolewa Kwenye Ndege ya Ufaransa kwa Amri ya Serikali

SHIRIKA la Ndege la Ufaransa (Air France) jana limemshusha kwenye ndege Mwanasheria Miguna Miguna aliyekuwa akielekea Nairobi likidai ni kwa...

READ MORE

Gari Dogo Lagonga Treni Vingunguti

Gari Dogo limeigonga Garimoshi lililokuwa linatoka Dar es Salaam kuelekea Mpanda, Kigoma, Mwanza na Tabora.   Ajali hiyo imetokea leo...

READ MORE

Mtoto Apania Kumfunga Baba Yake Kwa Ubakaji

BABA mzazi wa mtoto anayedaiwa kubakwa (jina linahifadhiwa); Mbwana Said (42), ameeleza kusudio la kumfunga jela baba yake mzazi, Said...

READ MORE

Iran Yashambulia Kambi za Jeshi la Marekani

IRAN imerusha makombora zaidi ya kumi ikilenga majengo ya Marekani yaliyopo kaskazini mwa Iraq ikiwemo kambi ya jeshi ya Ain...

READ MORE

Dkt Shika Hoi, Aanguka Ghafla, Akimbizwa Hospitali – Video

IKIWA ni siku chache zilizopita picha za Dkt Louis Shika zikimuonesha maisha magumu anayoishi, taarifa zilizotufikia zinaeleza kuwa, Shika yupo...

READ MORE

Ndege ya Ukraine Yaanguka Iran Ikiwa na Abiria 180

NDEGE ya Ukraine iliyokuwa imebeba watu 180  na wafanyakazi wake, imeanguka karibu na mji mkuu wa Iran, Tehran, dakika tatu...

READ MORE

Aliyedai Kutajirishwa na Freemason Anaswa, Aanika Ukweli – Video

  Mwanamke aliyedai kutajirishwa na Freemason amefikwa na mazito ambayo hatoyasahau maishani mwake. Mwanamke huyo ambaye wiki iliyopita alijitambulisha kwa...

READ MORE

Qasem Soleimani: Nyota ya Iran Iliyozimwa na Marekani – Video

Januari 3, 2020, tukio lisilo la kawaida lilitokea nchini Iraq, likimhusisha kiongozi wa ngazi za juu wa jeshi la Iran!...

READ MORE

Full Video: Jengo la Serikali Lilivyoteketea kwa Moto Mwanza – Video

Jengo la ghorofa tatu la shirika la nyumba (NHC) lililopo Isamilo wilayani Nyamagana usiku wa leo limeteketea kwa moto ambapo...

READ MORE

Dodoma: Mwanafunzi Chuo Kikuu Anaswa Akihonga Aongezewe Ufaulu

TAKUKURU mkoani Dodoma inatarajia kumfikisha Mahakamani James Kwangulija, mwanafunzi wa Mwaka wa Tatu wa Shahada ya Kwanza ya Ualimu Chuo...

READ MORE

Mloganzila Yajibu Tuhuma za Wagonjwa Wengi Kufariki Hospitalini Hapo

Hospitali ya Mloganzila leo imejibu tuhuma zilizoenea katika mitandao ya Kijamii ambapo watu wengi walilalamikia vifo vingi vinavyotokea katika Hospitali...

READ MORE

Miguna Miguna Azuiwa Berlin

WAKILI wa Upinzani nchini Kenya, Miguna Miguna ameshindwa kurejea nchini humo baada ya kuzuiliwa kupanda ndege na Mamlaka ya nchini...

READ MORE

Iran Yaitaja Wizara ya Ulinzi Marekani Kama Kundi la Kigaidi

SHIRIKA la habari la Iran limesema, bunge la nchi hiyo leo limeitaja wizara ya ulinzi ya Marekani kuwa ni kundi...

READ MORE

Waziri Mkuu Apendekeza Siku Nne za Kufanya Kazi Kwa Wiki

Waziri Mkuu mpya wa Finland Sanna Marin amependekeza nchi hiyo iwe na siku nne tu za kufanya kazi ili wananchi...

READ MORE

SIMIYU YAPATA UHABA WA CHANJO YA HOMA YA INI

Uongozi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Simiyu, umesema kasi kubwa ya Wananchi wanaojitokeza kupima na kupatiwa chanjo ya ugonjwa...

READ MORE

7 Wakamatwa Mwanza Wakidai Watumishi Ikulu

POLISI mkoani Mwanza wanawashikilia watu saba kwa tuhuma ya kujifanya watumishi kutoka ofisi ya rais (Ikulu) kwa kinachodaiwa kufanya utapeli...

READ MORE

Magoti, Mwenzake Wazidi Kusota Rumande

UPANDE wa Jamhuri umeieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu katika kesi inayimkabili Ofisa Elimu kwa Umma wa Kituo cha Sheria...

READ MORE

Hulk Amtosa Mkewe, Aanzisha Mahaba na Ndugu Yake

STRAIKA wa Kibrazil, Hulk, ametoa kali ya kufungia mwaka, baada ya kuamua kuachana na mkewe wa ndoa iliyodumu kwa miaka...

READ MORE

Mauaji ya Jenerali Qasem, Iran Yataka Kichwa cha Trump

MAELFU ya waombolezaji wamekusanyika mitaani nchini Iran ili kuomboleza kifo cha Jenerali Qasem Soleimani aliyeuawa na Jeshi la Marekani katika...

READ MORE

Viongozi, wachezaji Simba wajifungia Taifa

  KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, viongozi na wachezaji wa Simba, walijifungia kwa dakika 30 kwenye vyumba vya kubadilishia nguo...

READ MORE

Mchungaji Amuua Mkewe Kanisani

MCHUNGAJI mmoja nchini Kenya amemuua mkewe, Ann Mghoi,  kwa kumchoma visu, kisha na yeye kujiua. Mchungaji huyo aliyefahamika kwa jina...

READ MORE

Kauli ya Marekani kuhusu Kuondoa Majeshi Yake Iraq

WAZIRI  wa Ulinzi wa Marekani, Mark Esper, amekanusha madai kuwa majeshi yake yanataka kuondoka Iraq baada ya barua kutoka kwa...

READ MORE

Safari ya Mwisho ya Mama Kabendera Yawaliza Wengi

SAFARI ya mwisho hapa dunia ya Verdiana Mujwahuzi ambaye ni mama mzazi wa mwandishi wa habari nchini Tanzania, Erick Kabendera...

READ MORE

Kisa Simba, Bilionea Aimwagia Yanga Mamilioni Dar

SARE ya mabao 2-2 waliyoipata Yanga walipocheza na Simba katika mchezo wa watani wa jadi, imewafanya wapate Sh milioni 50...

READ MORE

Unyama! Baba Awakeketa Wanaye, Awajeruhi Sehemu za Siri – Video

Mkazi wa Kivule jijini Dar es Salaam, Cosmas Chacha (45) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka...

READ MORE

Kocha Yanga: Wachezaji Simba ni wavivu

CHARLES Boniface Mkwasa, Kaimu Kocha Mkuu wa Yanga, amesema kuwa kilichowaponza Simba kushindwa kulinda mabao yao mawili waliyofunga juzi Uwanja...

READ MORE