×

Habari

Raila: Miguna Hajazuiwa Kurudi, ‘Anabweka Kama Mbwa’

  KIONGOZI wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga, amemzungumzia msaidizi wake wa zamani, Miguna Miguna, akisema  hakuna mtu aliyemzuia kurejea...

READ MORE

Sultani Qaboos wa Oman Afariki Dunia

SULTANI Qaboos bin Said wa Oman aliyeitawala nchi hiyo kwa karibu nusu karne amefariki dunia akiwa na umri wa miaka...

READ MORE

JPM Amuonya Mkandarasi, Ampiga Biti Katibu Mkuu – Video

    RAIS John Magufuli leo Jumamosi Januari 11, 2020,  anaendelea na ziara yake ya kikazi visiwani Zanzibar ambapo ameweka...

READ MORE

Breaking News: Aggrey Morris wa Azam FC Afiwa na Mkewe

NAHODHA  wa Azam FC, Aggrey Morris,  amefiwa na mkewe usiku wa leo jijini Dar es Salaam muda mfupi baada ya...

READ MORE

Mwanafunzi Aliyepata Div. 1 ya 7 Afariki Akitoka Kutazama Matokeo

MWANAFUNZI Honest Mulokozi Juventus aliyekuwa akisoma katika Seminari ya Rubya iliyopo Parokia ya Kasambya, Jimbo Katoliki la Bukoba mkoani Kagera, amefariki...

READ MORE

Habari Njema kwa Vijana Wenye Vipaji vya Public Speaking

KAMA wewe ni kijana na una kipaji cha kunena mbele za watu kwa lugha nyingine (PUBLIC SPEAKER) basi usikubali kupitwa...

READ MORE

Jokate, K-Lynn Wang’ara Afrika

DAR: Tanzania imeingia kwenye historia ya kipekee baada ya warembo wawili, Jacqueline Mengi Ntuyabaliwe ‘K-Lynn’ na Jokate Urban Mwegelo kung’ara...

READ MORE

Mama Rwakatare Kutoa Mtaji kwa Vijana Kesho Kanisani – Video

MCHUNGAJI wa Kanisa la Mikocheni B Assemblies of Gog ‘Mlima wa Moto’, Dkt. Getrude Rwakatare, ametangaza kutoa mitaji kwa waumini...

READ MORE

Lugola Awatimua Kazi Maofisa wa NIDA

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola amemuondoa madarakani Afisa wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) Mkoa...

READ MORE

Rasmi Samatta Aaga Genk

MSHAMBULIAJI wa KRC Genk ya Ubelgiji, Mtanzania, Mbwana Samatta amewaaga wachezaji na viongozi wa timu hiyo tayari kwa safari yake...

READ MORE

Mahakama ya Kisutu Yatupilia Mbali Ombi la Meya Mwita

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imetupilia mbali maombi ya aliyekuwa Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita...

READ MORE

Rais Magufuli Atua Zanzibar Kwa Ziara ya Kikazi ya Siku Tano

Rais Magufuli leo Ijumaa Januari 10, 2020 ameanza ziara ya kikazi ya siku tano visiwani Zanzibar. Rais Magufuli  ataweka jiwe...

READ MORE

Kidato cha 4 Anywa Sumu Baada ya Kupata Division Four

MWANAFUNZI Michael Aloni (20) Mkazi wa Kijiji Cha Ihanda mkoani Songwe amenusulika kifo baada ya kunywa sumu kufuatia kupata matokeo...

READ MORE

Wazazi Wamuua Mwalimu Kisa Matokeo Mabaya

WASHUKIWA wawili wamekamatwa baada ya kukashifiwa kwa kumuua mwalimu wa shule ya msingi kaunti ya Kitui. Wawili hao wanazuiliwa huku...

READ MORE

Bunge la Marekani Lazuia Vita Dhidi ya Iran

Bunge la Wawakilishi nchini Marekani limepitisha azimio linalolenga kumzuia Rais Donald Trump kupigana vita na Iran. Bunge hilo ambalo linafahamika...

READ MORE

Netflix Kuifuta Filamu Inayomwonesha Yesu Kama ‘Shoga’

Mahakama yaamuru mtandao maarufu wa kuonyesha filamu, Netflix kufuta filamu inayoonyesha Yesu kama mtu anayeshiriki mapenzi ya jinsia moja.  ...

READ MORE

Mwalimu Mbaroni kwa Kumuomba Rushwa ya Ngono Mwanafunzi Wake

Taasisi za ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Arusha nchini Tanzania, inamshikilia mwalimu wa shule ya Sekondari,...

READ MORE

Basi Lapinduka Morogoro, 9 Wajeruhiwa

  WATU 9 wamejeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria la kampuni Kidinilo kuacha njia jana Alhamisi Januari 9, 2020 na...

READ MORE

Ufalme wa Uingereza Wasikitishwa na Maamuzi ya Harry, Mkewe

FAMILIA ya kifalme ya Uingereza imesikitishwa na maamuzi ya mwanamfalme (Prince) Harry na mkewe Meghan kutangaza ‘kuacha’ kujihusisha na shughuli...

READ MORE

Tendo la Ndoa Lazua Tafrani Bakwata

NDOA usiichukulie poa ina sarakasi nyingi; kama hii ya mke na mume kufikishana Baraza la Waislam Tanzania (Bakwata) Wilaya ya...

READ MORE

Mtibwa Yaipiga Yanga, Yatinga Fainali Mapinduzi Cup, Leo Simba Vs Azam

  TIMU ya Mtibwa Sugar imetinga fainali ya Mapinduzi Cup 2020 baada ya kuiondoa Yanga SC kwa penalti 4-2, katika...

READ MORE

Tanzia: Prof. Euphrase Kezilahabi amefariki dunia

Mwandishi mashuri wa riwaya nchini Tanzania, Profesa Euphrase Kezilahabi ameaga dunia. Edmund makaranga Kangi, ambaye ni mpwa wa marehemu, amethibitisha...

READ MORE

Jangili Sugu Adaiwa Kumuua Askari – Video

POLISI mkoani Kagera inamshikilia kijana mmoja, Alfred Kamugisha, mkazi wa Kijiji cha Kishaanda, Kata ya Kibale wilayani Kyerwa kwa tuhuma...

READ MORE

Afumwa Akifukua Kaburi la Mtoto wa Dada Ake

KIJANA Devenja Kibotuo mwenye umri wa miaka 35, Mkazi wa Kijiji cha Uchau Kusini Wilayani Moshi, Kilimanjaro anadaiwa kufukua kaburi...

READ MORE

Simba Yawaacha Mastaa Dar

IMEFAHAMIKA kuwa kiwango kibovu ndiyo sababu ya mastaa wa Simba kuachwa kwenye msafara wa timu hiyo ulioelekea Pemba, kucheza michuano...

READ MORE

Waziri Ummy Mwalimu Kuzindua CT Scan Manyara

WAZIRI wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu anatarajiwa kuzindua mashine mpya ya CT Scan katika...

READ MORE

Dakika 50 za Papa Kuhusu Marekani na Iran

KIONGOZI wa kanisa katoliki Duniani Papa Francis amesihi Marekani na Iran wakae kwenye meza ya majadiliano ili wapate suluhu ya...

READ MORE

Iran Yaigomea Tena Marekani

SERIKALI ya Iran imesema kuwa haitakabidhi kisanduku cha kunakili safari ya ndege ama ”Black box” ya ndege ya Ukraine iliyopata...

READ MORE

Marekani Ipo Tayari Kufanya Mazungumzo na Iran

MAREKANI imesema iko tayari kujadiliana na Iran bila masharti baada uhasama uliozuka baina ya nchi hizo kufuatia mauaji ya jenerali...

READ MORE

Uamuzi wa Shauri la Meya wa Jiji la Dar, Kutolewa Kesho Kisutu

Uamuzi wa shauri la Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita wa kuomba Mahakama ya Hakimu Mkazi...

READ MORE

Sakata la Kumng’oa Meya wa Dar Lazua tafrani, Anyang’anywa Gari

MEYA Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita amejikuta njia panda baada ya kunyang’anywa gari alilokuwa akilitumia ambalo linamilikiwa na...

READ MORE

JPM Arejea Dar, Sasa Kuanza Ziara Zenji

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amerejea jijini Dar es Salamaa na kutua katika Uwanja...

READ MORE

Mama aua mwanaye kwa kipigo

INASIKITISHA! Mama mzazi wa Salome Pius Kahela (13) ambaye ni mwanafunzi wa darasa la tano katika Shule ya Msingi Iyela,...

READ MORE

Matokeo Kidato cha Nne: Wanafunzi 10 Bora Kitaifa, Shule 10 Bora

  Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) nchini Tanzania limetangaza matokeo kidato cha nne 2019 yakionyesha watahiniwa 340,914 sawa na...

READ MORE

Vurugu Zaibuka Kikao cha Kumng’oa Meya wa Dar – Video

KIKAO cha Baraza la Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania cha kujadili tuhuma zinazomkabili Meya wa jiji...

READ MORE

Breaking: Matokeo Kidato cha Pili Yatangazwa, Haya Hapa

  BARAZA la Mitihani la Taifa (NECTA) nchini Tanzania limetangaza matokeo ya mtihani wa upimaji darasa la nne, kidato cha...

READ MORE

Breaking: Matokeo Darasa la Nne Yatangazwa, Yasome Hapa

BARAZA la Mitihani la Taifa (NECTA) nchini Tanzania limetangaza matokeo ya mtihani wa upimaji darasa la nne, kidato cha pili...

READ MORE

Matokeo Kidato cha Nne, cha Pili & Darasa la Nne 2019

Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) leo Alhamisi, Januari 9, 2020 limetangaza matokeo ya mtihani wa upimaji darasa la nne,...

READ MORE

Waitara Amkabidhi Rungu DC Sabaya Kutumia ‘Pesa za Mbowe’ – Video

NAIBU Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mwita Waitara, amemwagiza Mkuu wa Wilaya (DC) ya Hai...

READ MORE

Kigwangalla, Mkenda Wakutana Mwanza, Sasa Kazi Tu!

BAADA ya kumaliza tofauti zao ndani ya muda uliotolewa na Rais John Magufuli, Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi...

READ MORE