×

Habari

Nyumba ya Shehe Yavunjwa, Uchawi Watajwa – Video

MZEE mmoja anayejulikana kwa jina la Sheikh Muhammed, mkazi wa Vingunguti jijini Dar es Salaam amelalamika kuvunjiwa nyumba yake bila...

READ MORE

Simba Yashusha Mtaalam Kuiua Yanga

INAELEZWA uongozi wa Simba umeamua kuongeza nguvu katika kitengo cha afya baada ya kumuongeza kimyakimya mtaalam wa viungo ‘fizisio’ aliyefahamika...

READ MORE

Boti Yazama, 50 Wanusurika Kifo

ABIRIA zaidi ya 50 wamenusurika kufa baada ya boti yao iliyokuwa ikisafiri kutoka Kilindoni – Mafia kwenda Nyamisati – Kibiti...

READ MORE

Simba Ilivyoipindua Yanga Kwa Winga Mamelodi

  WAKATI Yanga wakiwa wanafanya usajili wao wa dirisha dogo, mabosi wa Simba wenyewe walikuwa wanazunguka huku na kule kwa...

READ MORE

Ofisa Habari, Dereva wa Mnyika Wakamatwa Mwanza – Video

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Mwanza ACP.Muliro Jumanne amekanusha taarifa zilizokuwa zinasambaa katika mitandao ya kijamii zikieleza kuwa kuna wanachama...

READ MORE

Kiongozi wa Wajane Tanzania Aolewa

  Mkurugenzi wa Umoja wa Wajane Tanzania (TAWIA), Rose Sarwatt, amefunga ndoa na mchumba wake, Haron Mpole, katika Kanisa la...

READ MORE

Bashiru Asema ‘Kazi na Bata’ ni Kudhalilisha Wanawake

  KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bashiru Ally, amewataka wananchi kupuuza kauli ya kufanya kazi na kula bata...

READ MORE

Polisi Adaiwa Kumuua Aliyekataa Kumpa Rushwa

OFISA mmoja wa polisi amekamatwa akituhumiwa kumuua kwa kumpiga risasi dereva wa gari aina ya Probox baada ya dereva huyo...

READ MORE

Anaswa na Dawa za Ukimwi Akisema Alitaka Kuwapa Ng’ombe

  POLISI wilayani Igunga mkoani Tabora wanamshikilia mfamasia wa Hospitali ya Wilaya hiyo, Francis Mlesa (33), kwa tuhuma za kuiba...

READ MORE

Faru Vicky Atangazwa Kuwa Mrithi wa faru Fausta

KUFUATIA kifo cha Faru Fausta ambaye alikuwa Faru mwenye umri mkubwa zaidi Duniani wa miaka 57, Mamlaka ya Hifadhi ya...

READ MORE

Huu Ndiyo Mji Wenye Paka Wengi Kuliko Binadamu

MJI wa Kafr Nabl uliopo nchini Syria kwa sasa umebakiwa na idadi kubwa ya paka kuliko watu, baada ya miezi...

READ MORE

6 Wafariki Lori na Basi Yakigongana Dodoma – Video

WATU sita wamefariki dunia na wengine 12 kujeruhiwa baada ya lori na basi dogo la abiria kugongana jana Jumapili, majira...

READ MORE

Shamsa Ateswa na Dola 100 za Chid Mapenzi

MUIGIZAJI Shamsa Ford amesema japo muda mrefu kidogo umepita tangu aachane na mumewe, Rashid Said ‘Chid Mapenzi’, lakini bado anakumbuka...

READ MORE

Polisi Yamdaka Aliyemuua Mkewe Kwa Shoka – Video

Jeshi la Polisi mkoani Arusha limefanikiwa kumkamata muimba kwaya Moses Pallangyo (28), aliyemuua mke wake Mary Mushi, kwa kumkata na...

READ MORE

Mbelgiji Simba Azinasa Siri za Yanga

KOCHA mpya wa Simba, Mbelgiji, Sven Vanderboeck, amejitamba tayari ameshawajua wapinzani wake, Yanga kutokana na kuwasoma vilivyo kupitia video huku...

READ MORE

Mnyika Asimikwa Kuwa Chifu wa Wasukuma – Video

  Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambaye pia ni Mbunge wa Kibamba, John Mnyika jana Desemba...

READ MORE

Binti Aliye-trend Kuolewa na Babu Mzungu- “Anajua Mapenzi”

  DAR: Baada ya kuwepo kwa kasumba ya mastaa wa kiume Bongo kuchukua na kuwa na uhusiano na wanawake wa...

READ MORE

Lulu Diva amefichua Siri Ya Kuwachapa Wanaume

KWELI hii kali! Mrembo kutoka Bongo Flevani, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amefichua siri kwa kusema katika maisha yake haongeagi na...

READ MORE

Kifo Cha Faru Fausta: Madaktari, Askari Wazungumza – Video

 Faru Fausta (57) ambaye ndiye alikuwa Faru mzee duniani amekufa  Ijumaa Desemba 27, 2019. Faru huyo ambaye alikuwa amehifadhiwa...

READ MORE

Vanessa Awabipu Basata!

LICHA ya kwamba anaonekana anajiheshimu, msanii wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ‘Vee Money’ amekwenda kinyume na alivyozoeleka na kuwabipu Basata...

READ MORE

JPM Arejesha Fomu ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma -Video

Rais John Magufuli leo Jumapili Desemba 29, 2019 amewasilisha fomu ya tamko kuhusu Rasirimali na Madeni katika ofisi ya Sekretarieti...

READ MORE

Mbunge Ndumbaro Awaomba Wawekezaji Kuwekeza Jinboni Kwake

  Mbunge wa jimbo la Songea mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk.Damas Ndumbaro amewataka wawekezaji waendelee kuwekeza...

READ MORE

Faru Mzee Zaidi Duniani Afariki Ngorongoro Tanzania

  Faru Fausta (57) ambaye ndiye alikuwa Faru mzee duniani amekufa jana usiku Ijumaa Desemba 27, 2019. Faru huyo ambaye...

READ MORE

Niyonzima Ampa Kiburi Yondani Yanga

BEKI mkongwe wa kati wa Yanga, Kelvin Yondani ameusifu usajili mpya wa timu hiyo ambao anaamini utaimarisha kikosi chao katika...

READ MORE

76 Wafa Kwenye Mlipuko wa Bomu Mogadishu

BOMU la kutegwa ndani ya gari limelipuka leo asubuhi katika kituo kimoja cha ukaguzi wa usalama chenye shughuli nyingi katika...

READ MORE

Sakata la Kuzima Laini za Simu, Serikali Kupoteza Mapato

  DAR: Wakati zikiwa zimesalia siku nne kabla ya kumalizika kwa muda kusajili laini za simu kwa alama za vidole,...

READ MORE

Undani Mume, Mke Kuchinjwa Kikatili

  KATAVI: WAKATI Watanzania wakiwa kwenye shamrashamra za kuadhimisha sikukuu ya krismasi, ukatili wa aina yake umeutikisa mkoa wa Katavi...

READ MORE

Mwanafunzi Kidato cha Kwanza Ampa Mimba wa Kidato cha 3

MWANAFUNZI wa kike (17) aliyekuwa anatarajia kuingia kidato cha tatu mwakani katika Shule ya Sekondari Bunambiyu, anadaiwa kupewa ujauzito na...

READ MORE

Nabii Kiboko ya Mapepo Kufanya Miujiza ya Funga Mwaka 2019 – Video

NEEMA na Baraka za Mungu kwa mwaka mpya 2020! Kwa mara nyingine tena, Kanisa la Christ Mandate and Power Ministries...

READ MORE

Mastaa Hawa Wamefanya ‘Wandaz’ 2019

  KILA mwaka unakuwa na maajabu yake kwenye maeneo mbalimbali. Kwa upande wa burudani hasa kwenye soko la Bongo Fleva,...

READ MORE

Katika Kuhitimisha Krismasi, Shigongo Asherehekea Na Wakazi Wa Pupandwa

Wakati sikuku ya Krismasi ikiwa imemalizika jana, Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo amesherehekea sikukuu hiyo kwa...

READ MORE

NBC Yawapongeza na Kuwaaga Washindi wake Wa Kampeni Ya “Ibuka Kidedea”

  Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imefanya hafla maalumu ya kuwapongeza na kuwaaga wateja walioibuka washindi katika Kampeni yake...

READ MORE

Zawadi Wanazozitoa Infinix Kwa Wateja Wao

Msimu wa sikukuu ni kipindi ambacho watanzania na watu wa mataifa mbalimbali hupenda kufanya manunuzi makubwa bila kusahau zawadi kwa...

READ MORE

Ndege Yaanguka Yaua 15, Majeruhi 34 Nchini Kazakhistan

NDEGE aina ya  Bek iliyokuwa imebeba abiria 95 na wahudumu watano  ilianguka uwanja wa ndege wa Almaty nchini Kazakhistan muda...

READ MORE

JPM Asajili Laini ya Simu Kwa Vidole, Aongeza Siku 20 – Video

Rais John Magufuli leo Desemba 27, 2019 amefanya usajili wa laini yake ya simu kwa kutumia alama za vidole mjini...

READ MORE

Vera, Daktari Bongo… Mahaba Kama Yote – Pichaz

   AMKENI, amkeni jamaniii! Habari ya mjini ni penzi zito la mwanamitindo maarufu nchini Kenya, Vera Sidika na daktari Mbongo...

READ MORE

Chondechonde; Baada ya Sikukuu Kuna Januari

MSIMU wa sikukuu za mwisho wa mwaka za Krismasi na Mwaka Mpya mara nyingi hazituachi salama mifukoni. Katika kipindi hiki...

READ MORE

Siri ya Jokate, Makonda kwa Kung’ara Hii Hapa

  TANGU Rais Dk John Magufuli aingie madarakani Novemba 5, 2015 amekuwa akiteua vijana kushika nyadhifa mbalimbali za uongozi serikalini...

READ MORE