×

Habari

Safari za Treni Zasitishwa Ukanda wa Kaskazini

SHIRIKA la Reli Nchini limewataarifu wateja wake na kuwaomba radhi kutokana na kusitishwa kwa huduma za usafirishaji mizigo katika ukanda...

READ MORE

Unahitaji Milioni 10 Fasta? Tazama Video Hii!

 BENJAMINI Fernandez mtanzania mjasiriamali amekuja na mbinu mbadala ambayo ni tiba kwa tatizo sugu la ajira linalowakabili watanzania. Fernandez...

READ MORE

Samia Afungua Semina ya Wabunge Wanawake Afrika

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo  Jumapili Oktoba 2019 amefungua Semina ya...

READ MORE

Wenye Ndoto za Ujasiriamali Wapata Mkombozi ‘NALA’ (Picha +Video)

ULE wakati wa watu kuilalamikia Serikali kuhusu suala la ugumu wa kupatikana kwa ajira nchini umefikia tamati sasa, kwa sababu...

READ MORE

JPM Ashiriki Misa Katika Kanisa Katoliki la Mt. Petro – Oysterbay

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo Jumapili Oktoba 27, 2019 ameungana na  Waumini...

READ MORE

PanAfrican Energy kusaidia watoto wenye saratani Lindi

Kampuni ya uzalishaji gesi ya PanAfrican Energy Tanzania Limited (PAET) imesaini mkataba wa makubaliano (MoU) na Shirika la kuhudumia watoto...

READ MORE

JPM Aongoza Maelfu ya Watanzania Kupokea ‘Chombo’ – Video

RAIS Dkt. John Magufuli amesema Tanzania itaendelea kutekeleza kwa kasi kubwa miradi ya maendeleo nchini kwa kuwa Serikali imeimarisha nidhamu...

READ MORE

Makonda Awachana Mdee, Mnyika & Kubenea Amwomba JPM Bil 1.5

Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam, Paul Makonda amemuomba Rais Dk. John Magufuli ampatie Tsh Bilioni 1.5, kwa ajili ya...

READ MORE

Kununua Dreamliner Marekani, Rais Trump Ampongeza JPM – Video

RAIS  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amewaongoza Watanzania kupokea ndege mpya ya Shirika la Ndege...

READ MORE

Mzungu Anayejiita Magufuli, Ajenga Visima 100 Mkuranga

Mwanamama maria kutoka nchini selisheli Amekuwa akifanya Maendele katika maeneo mbali mbali nchini Tanzania zaidi Wilayani Mkuranga Ambako  Amejenga zaidi...

READ MORE

Mafuriko Tanga: Noah Yatumbukia Mtoni, Wanane Wafariki – Video

WATU nane wamefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumamosi, Oktoba 26, 2019 baada ya gari aina ya Noah walilokuwa wakisafiria...

READ MORE

Meli Mpya MV Victoria Yaanza Kujengwa

WAKATI Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais John Pombe Magufuli inaendelea kujenga miradi mikubwa ya kimkakati ya kuelekea...

READ MORE

JPM Kupokea Dreamliner Nyingine Mpya Leo

Ndege mpya ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) aina ya Boeing 787-8 Dreamliner, iliyonunuliwa na Serikali imeondoka nchini Marekani jana...

READ MORE

Viongozi Waandamizi NMB Wawahudumia Wateja Matawini

  Benki ya NMB imeendelea kuadhimisha mwezi wa huduma kwa wateja kwa kuwafikia kwa ukaribu zaidi wateja wao. Viongozi Waandamizi...

READ MORE

JPM, Mama Janeth Watoa Pole kwa Familia ya Mapalala

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsalimia Bi. Hannah Mapalala Mke wa Marehemu James Mapalala...

READ MORE

Mama Kanumba: Watanzania Msaidieni Mwangu Seth Bosco Anaumwa Amepooza – Video

Mama Kanumba, Flora Mtegoa, leo Ijumaa, Oktoba 25, 2019 amefika katika kipindi cha Front Page cha +255 Global Radio na...

READ MORE

Kesi ya Balali: Wakuu wa Polisi Wafika Mahakamani Kutoa Maelezo

WAKUU wa vituo vya polisi Kijitonyama na Oysterbay leo Ijumaa Oktoba 25, 2019 wameitikia wito wa Mahakama ya Hakimu Mkazi...

READ MORE

Hakimu Kesi ya Aveva, Kaburu… Akwama!

MAHAKAM ya Hakimu Mkazi Kisutu ameahirisha kesi inayomkabili aliyekuwa Rais wa klubu ya Simba Evans Aveva na aliyekuwa makamu wa...

READ MORE

Kocha Simba Ataja Ushirikina wa Mabao ya Kagere

KOCHA Mkuu wa Simba, Kocha Simba ataja ushirikina wa mabao ya Kagereamefunguka kuwa hana imani kuwa ushirikina unahusika kwenye mabao...

READ MORE

Davido, Chioma Wakianika Kichanga Chao

Mchumba wa Davido, Chioma Rowland ameamua kuufichua hadharani uso wa wao wa kiume baada ya kuanika picha za mtoto huyo...

READ MORE

Mume Amkata Masikio Mkewe kwa Kupoteza Simu

MKAZIwa Kijiji cha Mesaga Wilayani Serengeti Mara, aitwaye Magori anadaiwa kumkata masikio yote mawili Mke wake Mkami Mwitonyi mwenye umri...

READ MORE

Aliyekaa Jela Miaka 43 Akakatwa Mguu, Asimulia Mazito! – Video

Ni SIMULIZI za wazee wafungwa wa maisha jela walioachiwa huru na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John...

READ MORE

Kilichowakuta Wahamiaji Hawa Mikononi mwa Muroto, Hawatasahau!

Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia Raia wanne kutoka nchini za Somalia na Ethiopia Kwa kuingia nchini bila kibali...

READ MORE

Wafanyakazi Benki ya NMB wachangia Damu kwa Wagonjwa 240 Ocean Road

Taasisi ya Saratani ya Ocean Road inakabiliwa na uhaba wa damu hali inayosababisha wakati mwingine huduma kushindwa kutolewa kwa ufanisi....

READ MORE

Mapya Mvutano Mfano Mali za Bilionea Msuya!

SAKATA la wanandugu wa familia ya marehemu bilionea Erasto Simon Msuya, wakazi wa Arusha wanaodaiwa kugombea mali za marehemu, limechukua...

READ MORE

Tamasha Kubwa La Vijana Kulindima Tena

Wanachuo na vijana kutoka pande mbalimbali za jiji la Dar Novemba 15 mwaka huu wanatarajiwa kupata burudani kukusanyika kwenye mkesha...

READ MORE

Harmonize: Nimeuza Nyumba 3 Kuwalipa WCB 500m, JPM Amenipigia Simu Usiku

MSANII aliyekuwa akimilikiwa na Lebo ya WCB, Harmonize amesema kuwa amelazimika kuuza nyumba zake tatu pamoja na mali zake nyingine...

READ MORE

Muuza Matunda Wa Chamazi Ajishindia Mil 100 za Gal’s Sports Betting

Kampuni ya Gal Sports Betting inayojighulisha na ubashiri wa matokeo ya mechi mbalimbali imemkabidhi hundi ya Mil.100 mshindi aliyeibuka na...

READ MORE

Kamwelwe Aagiza Kukamatwa kwa Anayeendesha Aviation TV

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano nchini Tanzania, Isack Kamwelwe ameagiza anayeendesha mtandao wa ATCL Aviation TV kukamatwa kwa kutangaza...

READ MORE

Kassim Majaliwa Akutana na Rais Putin wa Urusi

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimaiana na Rais wa Urusi, Vladimir Putin katika hafla ya kuwakaribisha Wakuu wa Nchi na Serikali...

READ MORE

Vodacom yanyakua tuzo DSE

Kampuni inayoongoza kwa teknolojia ya mawasiliano nchini Tanzania, Vodacom imeshinda tuzo ya soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE)....

READ MORE

Wakandarasi Wakamatwa Na Polisi Kwa Agizo La RC Makonda – Video

Wakandarasi wa Kampuni za CHICCO Engineering na Nyanza Road Work leo wamekamatwa na Jeshi la Polisi Kanda maalumu ya Dar...

READ MORE

Hakimu ‘Akwama’ Kesi ya Kabendera

KESI ya Uhujumu uchumi inayomkabili mwandishi wa Habari za Uchunguzi, Erick Kabendera, imeshindwa kuendelea katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu...

READ MORE

Bosi Pyramids Atua Mwanza

BOSI wa Pyramids ya nchini Misri ametua jijini Mwanza jana pamoja na baadhi ya wajumbe wa timu hiyo kwa lengo...

READ MORE

Dun & Bradstreet Yazindua ‘Alama ya Mkopo’

Taasisi inayoongoza kuandaa taarifa za mikopo nchini Dun & Bradstreet Credit Bureau Tanzania Ltd. imezindua mfumo wa alama ya kwanza ya...

READ MORE

Mtoto Miaka 14 Kuolewa, Serikali Yashindwa Kesi

MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Msichana Uwezo na mwanaharakati wa haki za mtoto wa kike nchini, Rebeca Gyumi,  ameshinda rufaa...

READ MORE