×

Habari

Huu Ndo Mti Mrefu Zaidi Kuliko Yote Duniani

WANASAYANSI nchini Uingereza na Malaysia wanasema kuwa wamegundua mti mrefu zaidi duniani wenye urefu wa zaidi ya mita 100.  ...

READ MORE

Picha: Balozi wa Rwanda Amuaga Spika Ndugai

Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura leo Agosti 20, 2019 amemtembelea Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ofisini...

READ MORE

Rais al-Bashir Mahakamani, Akiri Kupokea Rushwa ya USD 90m

Upande wa mashitaka katika kesi ya ufisadi inayomkabili rais wa zamani wa Sudan, Omar al-Bashir, umeiambia mahakama mjini Khartoum leo...

READ MORE

Msanii Amuua Mwenzake kwa Kumchoma Kisu Kifuani Kisa Maiki – Video

MSANII achomwa kisu wakati wakigombea maiki na wenzake, taarifa zinaeleza kuwa kijana huyo aliyejulikana kwa jina la Yusuph mwenye umri...

READ MORE

Mkurugenzi Aliyerudishwa Kazini na JPM Aachiwa Huru – Video

VIGOGO watano wa Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC), akiwemo Mkurugenzi Mtendaji wa shirika hilo, James Mataragio wameachiwa huru leo...

READ MORE

Shinyanga: Mbaroni kwa Kukutwa na Dhahabu Bandia

JESHI la Polisi mkoani Shinyanga linawashikilia watuhumiwa watatu kwa kukutwa na vipande 10 vya madini bandia aina ya dhahabu wakiwa...

READ MORE

Mwanafunzi Darasa la 3 Apigwa Mimba

NI maajabu! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mwanafunzi wa darasa la tatu wa Shule ya Msingi Pangatena kupata ujauzito. Mwanafunzi...

READ MORE

Kilichoonekana Kwenye Video ya Ushahidi Kesi ya Mbowe

VIDEO ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe na wenzake, iliyoibua mvutano katika Mahakama ya Hakimu...

READ MORE

Balaa la Maandamano ya Wananchi Hong Kong

LICHA ya mvua kali iliyokuwa ikinyesha Hong Kong, umati wa watu, wakiwamo wazee, walijiunga na wanaharakati vijana na watu wengine...

READ MORE

Kesi ya Mbowe, Wenzake: Ushahidi wa Video Kutolewa Mahakamani

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imeridhia kuonyeshwa video inayodaiwa kubeba matukio yanayomhusisha Mwenyekiti wa Chama cha...

READ MORE

Lori la Mafuta Lalipuka Uganda, Watu 9 Wafariki

MLIPUKO wa lori la mafuta nchini Uganda umesababisha vifo vya watu tisa na wengine kadhaa kujeruhiwa.   Tukio hilo limetokea...

READ MORE

Watu 63 Wafariki Bomu Likilipuka Harusini

WATU wapatao 63 wameuawa na wengine 182 kujeruhiwa baada mtu asiyefahamika, aliyekuwa na bomu kujitoa mhanga, jana Jumapili Agosti 18,...

READ MORE

Dkt. Tulia: 2020 Nitagombea

NAIBU Spika wa Bunge la Tanzania,  Dkt. Tulia Ackson, amesema ana mpango wa kugombea ubunge katika uchaguzi mkuu wa 2020,...

READ MORE

Kabendera Akwama Kortini, Arudishwa Rumande Siku 12 – Video

KESI ya uhujumu uchumi inayomkabili mwandishi wa habari za uchunguzi nchini Tanzania, Erick Kabendera, imeahirishwa kutokana na hakimu mkazi mwandamizi,...

READ MORE

Mwalimu Mkuu Ajiua kwa Kunywa Sumu

MWALIMU Mkuu wa Sekondari ya Mbalamaziwa iliyopo mkoani Iringa, Roida Mbalwa,  amefariki dunia kwa kunywa sumu baada ya kutuhumiwa kwenye...

READ MORE

Moto Wateketeza Soko la Githurai 45

MOTO mkubwa ulioibuka usiku wa kuamkia leo Jumatatu, Agosti 19, 2019, umeteketeza Soko la Githurai 45, lililopo Nairobi nchini Kenya...

READ MORE

Burundi Yakataliwa SADC

Ombi la nchi ya Burundi kujiunga na Jumuiya ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), limegonga mwamba baada kutokamilisha vigezo...

READ MORE

Manula Ampigia Saluti Kakolanya

KIPA namba moja wa simba, Aishi Manula amekiri kuwa kiwango cha kipa mwenzake, Benno Kakolanya kipo juu na anaamini atakuwa...

READ MORE

Madai Mazito Msanii Amuua Mwenzake Wakigombania Maiki

DAR ES SALAAM: Madai mazito; ndivyo unavyoweza kusema baada ya msanii wa Bongo Fleva aliyetajwa kwa jina moja la Daud...

READ MORE

VIDEO: MANENO YA BASHE WAKATI WA KUFUNGA MKUTANO WA SADC

 Naibu waziri wa kilimo Hussein Bashe amesema kuwa serikali haina mashamba “kama serikali tumepitia upya sera ya kilimo na...

READ MORE

JPM Ahitimisha Mkutano wa SADC, Ataja Mambo Mazito – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa SADC, Dkt. John Pombe Magufuli amesema kuwa wamekubaliana mambo kadhaa...

READ MORE

Jerry Muro Aibukia Tena Yanga

MKUU wa Wilaya ya Arumeru ambaye aliwahi kuwa ofisa habari wa Yanga Jerry Muro ameshangaa wanaodai timu yao ni dhaifu....

READ MORE

Waliofariki kwa Ajali ya Moto Moro Wafikia 95

Idadi ya waliokufa kutokana na ajali ya moto iliyotokea mkoani Morogoro imefikia 95 baada ya majeruhi mmoja aliyekuwa amelazwa Hospitali...

READ MORE

Madenti Vyuo Vikuu Wanavyoambukizwa UKIMWI

TUNAIMALIZIA ripoti yetu ya uchunguzi tuliyoianza wiki mbili zilizopita. Kama mnavyokumbuka, kwenye matoleo mawili yaliyopita tuliona jinsi ambavyo wanafunzi wa...

READ MORE

Passport Yamuondoa Balama

IDARA ya Uhamiaji Tanzania imemzuia kiungo mshambuliaji mpya wa Yanga, Mapinduzi Balama kujiunga na kambi ya kujiandaa na mchezo wa...

READ MORE

Lori la Mafuta Lateketea Kahama, Utingo Afariki, Dreva Mahututi!

Lori lenye shehena ya mafuta la kampuni ya Mount Meru Company  limeanguka na kuwaka moto   wilayani kahama mkoani Shinyanga  na kusababisha kifo...

READ MORE

Marais 11 Kati ya 16 Wahudhuria Mkutano wa SADC Tanzania – Video

MARAIS wa nchi 11 wamehudhuria mkutano wa kilele wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (Sadc) unaofanyika jijini...

READ MORE

JPM Akabidhiwa Uenyekiti SADC, Ahutubia – Video

MKUTANO wa siku mbili wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umeendelea jijini Dar es...

READ MORE

Dkt. Slaa Awaponda Watanzania Wanaoikosoa Serikali

BALOZI wa Tanzania nchini Sweden, Dkt. Wilbroad Slaa, amekemea tabia ya baadhi ya Watanzania kubeza miradi ya maendeleo inayotekelezwa na...

READ MORE

Mkutano wa SADC; Dar Yawa Moto

MKUTANO wa 39 wa wakuu na Serikali katika Nchi 16 za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) umeanza...

READ MORE

Kampuni ya Chakula, Simu Kumwaga Fedha Yanga

BAADA ya msoto wa muda mrefu wa kutawaliwa na hali ngumu ya kifedha hasa msimu uliopita, mambo mazuri yanaendelea kutokea...

READ MORE

SADC: Magufuli Ataka Zimbabwe Iondolewe Vikwazo – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli ameziambia nchi za Magharibi waondoe vikwako vya uchumi kwa...

READ MORE

Baba: Hakuna Straika wa Kumpita Yondani

BABA mzazi wa beki wa Yanga, Kelvin Yondani, mzee Patrick Yondani amefunguka kuwa kuelekea msimu mpya hana hofu na kiwango...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Jumamosi, Agosti 17, 2019

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Agosti 17, 2019. Ni yale ya...

READ MORE

Feisal Toto akubali yaishe Yanga

  KIUNGO wa Yanga, Feisal Salum Toto amefunguka kuwa kuongezeka kwa wachezaji katika idara ya kiungo kutamfanya azidishe juhudi ili...

READ MORE

Jokate kufungua Tawi la Yanga Kisarawe

MKUU wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo, kesho Jumamosi anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Tawi la Yanga Mlipo...

READ MORE

Rais Ramaphosa Atembelea Makaburi ya Wapigania Uhuru wa Sauz

Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa leo Ijumaa Agosti 16, 2019 ametembelea makaburi ya wapigania uhuru wa nchi hiyo yaliyopo...

READ MORE

Mama wa Mbalamwezi Asimulia Kifo cha Mwanae – Video

KUFUATIA mmoja wa wasanii wa Bongo Fleva wanaounda Kundi la The Mafik, aitwaye ‘Mbalamwezi‘ kufariki dunia usiku wa kuamkia leo,...

READ MORE