MASHABIKI wa Rais Donald Trump wa Marekani, wamemwashia moto rapa ASAP Rocky kwa kutomshukuru rais huyo baada ya kumsaidia kwenye...
READ MOREUMATI wa watu umejitokeza leo Agosti 28, 2019, nje ya ofisi za Ubalozi wa Afrika Kusini jijini Dar, uliopo kwenye...
READ MORETIGO-Tanzania ni kampuni inayoongoza katika kubuni, na kuleta huduma na bidhaa bora zinazokata kiu ya Watanzania. Pamoja na hayo, kutana...
READ MOREKILA Jumamosi, ndinga mpya za bei chee zinaanikwa! Kampuni ya Udalali ya Tambaza Auction Mart and General Brockers Ltd iliyopewa...
READ MORETaasisi ya Coconut (Coconut Foundation) ambayo ni asasi isiyo ya kiserikali kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu na TAMISEMI imeaandaa...
READ MOREHapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Agosti 28, 2019. Ni yale ya...
READ MOREJumla ya Mashauri 14 yamefunguliwa na kusikilizwa na Mahakama inayotembea ‘mobile court’ mkoani Mwanza. Kwa mujibu wa...
READ MOREKIONGOZI wa umoja wa Wanyarwanda waishio nchini Msumbiji (diaspora), Louis Baziga, mepigwa risasi na kuuawa katika mji mkuu wa nchi...
READ MORENAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhandisi Hamad Masauni amesema kuna kila sababu ya kuendelea kutolewa...
READ MOREBRAZIL imekataa msaada wa fedha wa dola milioni 20 wa kusaidia kuzima moto katika msitu wa Amazon kutoka kundi la...
READ MOREWANAFUNZI waliofanya vizuri katika mitihani mbalimbali ya taifa watatunukiwa tuzo siku ya Agosti 31, mwaka huu katika Ukumbi wa Mlimani...
READ MOREHAMISI LUWONGO, mtuhumiwa anayedaiwa kumuua na kumchoma moto aliyekuwa mkewe, Naomi Marijani, amezua kioja kingine mahakamani baada ya kuiomba mahakama...
READ MORESERIKALI imekuja na mkakati wa kuundwa kwa mamlaka moja ya kusimamia sekta ya sanaa na ubunifu katika kuboresha na kuleta...
READ MOREMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameipongeza Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kuendelea kusaidia wahitaji mara baada...
READ MOREBILIONEA mmoja nchini Saudi Arabia amenunua ndege mbili aina ya Airbus A350-1000 kwa bahati mbaya wakati akitafuta zawadi ya ‘birthday’...
READ MOREWAKATI bado Watanzania wakiendelea kuomboleza vifo vya watu 102 kufuatia ajali ya moto wa ya lori la mafuta iliyotokea mjini...
READ MOREWAIMBAJI nane wa nyimbo za Injili nchini Tanzania akiwemo mwimbaji chipukizi, Abby Chams wameibuka washindi wa Tuzo za Maranatha Gospel...
READ MOREALIYEKUWA Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu, ameshinda pingamizi la Serikali ya Tanzania dhidi ya maombi yake ya kibali...
READ MOREFAMILIA ya mzee Humphrey Mongi, mkazi wa Kihonda jini Morogoro hivi karibuni ililazimika kuanua matanga waliyoyaweka baada ya kugundua kwamba...
READ MOREIDADI ya watu waliofariki kutokana na ajali ya moto wa lori la mafuta mkoani Morogoro imefikia 102 baada ya majeruhi...
READ MOREMWANARIADHA Mkenya, bingwa wa mbio za mita 800 anayeshikilia rekodi ya dunia, David Rudisha, jana Jumapili 25, 2019, alfajiri amepata...
READ MORERAIS Félix Tshisekedi ametangaza baraza jipya la mawaziri katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo baada ya kusubiriwa kufanya hivyo kwa...
READ MOREMAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo inatarajiwa kutoa uamuzi endapo maombi yaliyowasilishwa na aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki,...
READ MOREMSEMAJI wa Serikali, Dk. Hassan Abbas amesema sababu ya kushikiliwa ndege ya Air Tanzania aina ya Airbus A200-300 ni kesi...
READ MORERais Dkt John Pombe Magufuli ameitisha mkutano na Maafisa Watendaji wa Kata Tanzania Bara, unaotarajiwa kufanyika Ikulu, Dar es Salaam...
READ MOREBIBI kikongwe mwenye umri wa Miaka 114 ambaye ni mke wa Chifu Mareale, Veronica Mareale ameiangukia Serikali akiomba msaada ya...
READ MORESerikali imeitaja benki ya NMB kuwa miongoni mwa taasisi zilizofanikisha makusanyo ya fedha kwa mwaka 2018/19 kwa kuwa benki...
READ MOREMAWAKILI wa Serikali 15 wakiongozwa na Wakili Mkuu wa Serikali, Dk. Clement Mashamba wamewasilisha pingamizi katika Mahakama Kuu kupinga maombi...
READ MOREASKOFU Dkt. Frederick Shoo ametangazwa mshindi usiku wa kuamkia leo dhidi ya wagombea wengine katika uchaguzi wa viongozi wa Kanisa...
READ MORENDEGE ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) iliyokuwa inatoka Afrika Kusini kwenda jijini Dar es Salaam, Tanzania, imezuiwa kuruka...
READ MOREHUENDA huu ukawa msimu wa kipekee kwao licha ya kwamba, tayari wameshuhudia wakiyakosa mataji mawili kabla ya kuanza kwa Ligi...
READ MOREWAPINZANI wa Yanga, Township Rollers kutoka Botswana, watatumia kilevi cha pombe kama kishawishi cha kuwavutia mashabiki wao kujitokeza uwanjani kuisapoti...
READ MOREWAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Selemani Jaffo, ametangaza Novemba 24 mwaka huu...
READ MORETIMU ya Polisi Tanzania, imetamba kuibuka na ushindi mnono dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu...
READ MOREMCHECHETO! Ndivyo utakavyoweza ni baada ya wapinzani wa Yanga, Township Rollers kupeleka maombi kwenye Shirikisho la Soka Afrika (CAF), kuomba...
READ MOREDENI la shilingi milioni tano kati ya Shilingi 5,364, 814.2 ambalo Rais Dkt. John Pombe Magufuli aliahidi kulipa ikiwa ni...
READ MOREMWANAFUNZI wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Osanyui jijini Arusha, Eribariki Lekini (12) mkazi wa mtaa wa FFU...
READ MORE