×

Habari

Atembea Kwa MIGUU Mikoa 8 Akimuenzi Nyerere – Video

KIJANA anayejulikana kwa jina la Ramadhani Salum Mohamed mkazi wa Mbeya amewka Historia ya aina yake na ya kizalendo baada...

READ MORE

MATATIZO YA KINAMAMA WAJAWAZITO SASA BAAAS

Shirika la kimataifa la Amref Health Africa kwa kushirikiana na Benki ya Azania (ABL) leo waliandaa matembezi ya hisani chini...

READ MORE

Amuua Mdogo Wake, Kisa Anaitwa Sana Jikoni

JESHI la Polisi mkoani Mara linamsaka Mniko Chacha (20) mkazi wa Kijiji cha Kitagutiti Kata ya Mbogi Wilaya Tarime mkoani...

READ MORE

‘Shule ya Nape’ Yateketea kwa Moto Usiku

MABWENI ya Shule ya Sekondari Mtama, mkoani Lindi,  yameteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo ambapo  taarifa za awali zinasema...

READ MORE

BREAKING: BoT Yakabidhiwa Madini Yaliyokamatwa Yakitoroshwa – Video

Benki kuu ya Tanzania (BOT), leo Juni 29, imekabidhiwa madini, fedha na vito mbalimbali viliyotaifishwa na serikali vilipokuwa vinatoroshwa nje...

READ MORE

Watanzania 9 Wauawa Mpakani na Msumbiji, Sirro Atoa Tamko – Video

RAIA tisa wa Tanzania  na raia wawili wa Msumbiji wameuawa na watu wasiojulikana huku Watanzania wengine sita wakijeruhiwa vibaya katika...

READ MORE

Lissu: Hakuna Mwenye Mamlaka ya Kunivua Utanganyika

BAADA ya Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai,  kusema Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu, amepoteza sifa za...

READ MORE

BREAKING: Tundu Lissu Avuliwa Ubunge, Spika Ndugai Atangaza – Video

Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ameliambia Bunge hilo leo Ijumaa Juni 28, 2019 kuwa amewandikia Mwenyekiti wa Tume...

READ MORE

GARI LA PESA LAZUA BALAA

MOROGORO: Gari linalodaiwa kusafirisha pesa kutoka Hazina na kuzisambaza kwenye mabenki mjini Morogoro mwanzoni mwa wiki hii likiwa katika mwendo...

READ MORE

CCM Yafanya Maamuzi Haya

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinapenda kuujulisha umma wa wana CCM na watanzania kwamba Halmashauri Kuu ya Taifa (HKT) imeketi leo...

READ MORE

Bashe Awaka Baada ya Kutajwa Kutimkia ACT Wazalendo

MBUNGE wa Nzega Mjini (CCM) Hussein Bashe ameonesha kutofurahishwa, baada ya yeye, Januari Makamba pamoja na Mbunge wa Mtama Nape...

READ MORE

PAKA WAAJABU AMTIKISA MCHUNGAJI

MOROGORO: Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni! Tukio la kushangaza lililotikisa mkoani Morogoro mwishoni mwa wiki iliyopita ni la paka...

READ MORE

Kisa ‘Kumpongeza’ JPM…. Nape, ACT Wazalendo, ‘Wamkana’ Zitto

MBUNGE wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amedaiwa kusema kuwa licha ya yeye kuwa mpinzani lakini...

READ MORE

NEC Taifa Yatembelea Miradi Mikubwa Ya Serikali – Video

Ujumbe wa Kamati Kuu Taifa wa CCM, umefanya ziara ya kutembelea miradi mikubwa ya inayotekelezwa na serikali ya awamu ya...

READ MORE

Jaguar Afikishwa Mahakamani, Anyimwa Dhamana

MBUNGE wa Jimbo la Starehe nchini Kenya, Charles Jaguar,  amefikishwa mahamani kwa tuhuma za uchochezi. Jaguar ambaye pia ni mwanamuziki...

READ MORE

Zitto: Bunge Liibane Serikali Kuhusu Mikopo – Video

MBUNGE wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe, amesema kuna umuhimu wa Bunge kuipangia serikali ya kiasi cha fedha inachotakiwa kukopa...

READ MORE

ARUSHA: Shehena ya Madini Yanaswa Ikitoroshewa Kenya

SHEHENA ya madini ya vito aina mbalimbali ikiwepo madini ya Tanzanite imekamatwa ikiwa inasafirishwa kinyume na taratibu kwenda nchi jirani...

READ MORE

MAKONDA AZIDI KUUNGWA MKONO KAMPENI UPASUAJI MOYO WATOTO

Kampeni ya Matibabu ya upasuaji wa moyo kwa watoto 60 kutoka familia zenye maisha duni iliyoanzishwa na Mkuu wa Mkoa...

READ MORE

WALIOKUFA KABLA YA NDOA, MABWANA HARUSI WAO WAPEWA TAHADHARI

DAR ES SALAAM: Hii inauma sana! Ndani ya wiki mbili zilizopita yametokea matukio mawili ya kusikitisha ya wasichana waliokuwa kwenye...

READ MORE

M-pawa kuongeza faida mara mbili wateja wake kwa kuwazawadia washindi wa droo ya 3

CBA na Vodacom wametangaza leo washindi wa droo ya 3, kwa ajili ya promosheni yao ya kuadhimisha miaka 5 ya...

READ MORE

Mantrac Tanzania Yaunga Mkono Sera ya Serikali ya Viwanda

WAKATI serikali ikipiga chapuo kwa ajili ya kuwa nchi ya viwanda na yenye uchumi wa kati, Mantrac Tanzania Limited imeweka...

READ MORE

MAMA AMCHINJA MWANAYE LIVE NA KUMCHEMSHA SUPU UNYAMA ULIOJE?

NI unyama ulioje! Mtu kumuua mtoto wa kumzaa mwenyewe kisha kuchukua kisu na kumkatakata vipande vidogovidogo kisha nyama yake kuitia...

READ MORE

MWENYEKITI WA CCM RAIS MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU LUMUMBA

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli...

READ MORE

Dk. Shein Aongoza hitma ya Kumuombea Dk. Badriya

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj, Dk. Ali Mohamed Shein ameongoza hitma ya kumuombea Dk. Badriya...

READ MORE

Salasala, Tegeta, Bunju huwaambii kitu kwa Betika

WASOMAJI wa Gazeti la Betika maeneo ya Salasala, Tegeta na Bunju jijini Dar es Salaam, huwaambii kitu kuhusu Gazeti la...

READ MORE

Basi Laingia Dukani Kahama, Abiria Saba Wanusurika

ABIRIA saba wilayani Kahama mkoani Shinyanga wamenusurika kifo baada lori la mizigo aina ya Fuso lenye namba  za usajili T...

READ MORE

Makonda Awasili Misri Ataka Ushindi Kwa Taifa Stars – VIDEO

  Mwenyekiti wa Kamati ya Ushindi ya Stars na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewasili jijini...

READ MORE

Watu Kujizolea Magari ya Bure Dar, ushindwe Wewe Tu! – Video

JAMAA wapo kila Jumamosi, wanahakikisha unapata unachokitaka! Kampuni ya Udalali ya Tambaza Auction Mart and General Brockers Ltd iliyopewa idhini...

READ MORE

Wazee wa ‘Nitumie kwa Namba Hii’ Wanaswa Dodoma

JESHI la Polisi Mkoa wa Dodoma limefanikiwa kuwakamata watu kumi wanaojihusisha  na usajili laini za simu kwa kutumia vitambulisho vya...

READ MORE

Samia Ashiriki Dua Msiba wa Mke wa Dkt. Mabodi

Makamu wa Rais, Samia Hassan,  jana  Juni 25, 2019,  alishiriki katika dua ya pamoja na familia ya Naibu Katibu Mkuu...

READ MORE

JPM Ateua Kamishna Mamlaka Ya Usimamizi Wa Bima

Rais Magufuli amemteua Dkt. Mussa C. Juma kuwa Kamishna wa Mamlaka hiyo (TIRA) kuanzia Jana Juni 25, 2019 – Anachukua...

READ MORE

Tigo Yazindua Mtandao wa 3G Longido, Arusha

Meneja wa Tigo Kanda ya Kaskazini, Lilian Mwalongo hivi karibuni amezindua Mnara mpya ulio ongezewa uwezo kutoka 2G kwenda 3G...

READ MORE

Ngo’mbe Anavyochinjwa, Kuchunwa Hadi Kutolewa Utumbo! – Video

Wengi wetu tunaishiaga kuona nyama ya Ngo’mbe ikiwa Buchani tunanunua na kwenda kupika majumbani, lakini hatujui mnyama huyu anaandaliwaje mpaka...

READ MORE

Mrembo Auza Mikoba, Anunulie Pedi Wasichana Maskini – Video

BINTI aliyejitambulisha kwa jina la Tatu, kutoka jijini Arusha ameamua kuuza mikoba yake yote ili apate fedha zitakazosaidia kununua taulo...

READ MORE

RAIS MAGUFULI AZINDUA GHALA NA MITAMBO YA GESI KIGAMBONI, VIJIBWENI, DAR – Video

       RAIS John Magufuli amemruhusu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kwenda nchini Misri...

READ MORE

Watumishi Wawili TARURA Wafariki Ajalini Songwe

WATUMISHI wawili wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (Tanzania Rural and Urban Road Agency – TARURA) wamefariki dunia...

READ MORE

Rostam Afunguka Kilichomrudisha Nchini, Amtaja Magufuli- Video

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Taifa Gas Tanzania Ltd. mfanyabiashara Rostam Aziz, amemshukuru Rais John Magufuli kwa...

READ MORE

VIDEO: WASAFI FESTIVAL KUZINDULIWA JULAI 12, MULEBA, BUKOBA

  MKURUGENZI wa Wasafi Media, Naseeb Abdul (Diamond Platnumz) ametangaza leo Juni 25, 2019, kuzinduliwa rasmi kwa msimu wa pili...

READ MORE

Mbunge Jaguar: Wachina, Watanzania Waondoke Kenya, Tutawapiga Mawe – Video

KENYA: Mbunge wa Jimbo la Starehe, Charles Njagua ‘Jaguar’,  amesema hataki kuwaona wafanyabiashara kutoka China, Tanzania na Uganda kwenye jimbo...

READ MORE