×

Habari

PAPA FRANCIS ABUSU MIGUU YA KIIR NA MACHAR

KIONGOZI  wa kanisa Katoliki dunian,i Papa Francis, amefanya tendo la unyenyekevu na ambalo halikutarajiwa baada ya kupiga magoti na kubusu...

READ MORE

Baba Atiwa Mbaroni kwa Tuhuma za Kuzaa na Binti Yake

Mkazi wa kijiji cha Mwanzamiso wilayani Misungwi mkoa wa Mwanza, Jacob Shabani (30) amefikishwa katika Mahakama ya wilaya hiyo kwa...

READ MORE

Mwalimu Apelekwa Jela Miaka 30 kwa Kumbaka Mwanafunzi

MAHAKAMA ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, imemhukumu Mwalimu Abubakari Katakweba (32) wa Shule ya Msingi Mwafa wilayani humo, kwenda...

READ MORE

Mbunge Sugu Amuomba JPM Afanye Hili

Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi maarufu kama ‘Sugu’ amemshauri Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John...

READ MORE

Mnyika Ataka Ripoti ya CAG Kupewa Wabunge – Video 

Mbunge wa Kibamba (CHADEMA), John Mnyika amehoji ni kwanini Wabunge hawajagawiwa ripoti ya uchunguzi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa...

READ MORE

SHIGONGO AWAPA SIRI YA KUPATA ‘DIVISION ONE’ WANAFUNZI FORM 6

MKURUGENZI Mtendaji wa Global Group na Mwalimu wa Ujasiriamali, Eric Shigongo,  leo amezungumza na wanafunzi wa kidato cha sita wa...

READ MORE

Ushahidi Kesi ya Mauaji Mwanafunzi wa Shule ya Scholastica, Ilivyokuwa

SHAHIDI Irene Mushi (35) ambaye ni wa kwanza kwenye kesi ndani ya kesi ya Msingi ya Mauaji ya kukusudia namba...

READ MORE

DAR: MAITI YA OFISA WA MADINI YAFUKULIWA, YADAIWA KUBAKWA

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, mwili wa aliyekuwa Ofisa wa Wizara ya Madini,  MERY MKWAYA MARAMO, aliyefariki mwanzoni mwa wiki...

READ MORE

Bonga Yai Kamusi Kitaa: COMMON EXPRESSION IN ENGLISH

(Misemo ya kawaida ya kiingereza) Kamusi Sanifu NI siku nyingine tunapokutana katika ukurasa huu, leo nataka tujadiliane kuhusu misemo ya...

READ MORE

Mwanzilishi wa Mtandao wa WikiLeaks Atiwa Mbaroni Uingereza

MUASISI wa mtandao wa WikiLeaks, Julian Assange, jana alitolewa kwa nguvu kutoka ubalozi wa Ecuador jijini London na kutiwa kwenye...

READ MORE

DStv Yawasha Moto Kuelekea AFCON U17 2019 (Picha +Video)

  Dar es Salaam- Alhamisi Aprili 11, 2019; Katika kuhakikisha kuwa Tanzania inaendeleza wimbi la ushindi katika michuano ya kimataifa...

READ MORE

WAZAZI KAENI CHONJO.. SIRI NZITO UTEKAJI WATOTO

WAKATI janga la watoto kuibwa na kutekwa katika mazingira ya kutatanisha likitikisa maeneo mbalimbali nchini huku wengi wakihoji kulikoni, binti...

READ MORE

NYANGWINE AWAASA WAHITIMU KIDAO CHA SITA KUSOMA KWA BIDII

  Mbunge wa zamani wa Tarime, Nyambari Nyangwine ambaye pia ni mwandishi wa vitabu vya riwaya leo amewaasa wanafunzi wanaohitimu...

READ MORE

Wateja Halotel kuongea bure

  Kampuni ya Mawasiliano ya simu ya Halotel, imeendelea kuongeza thamani na ubunifu katika mawasiliano kwa kuzindua huduma mpya iliyoboreshwa...

READ MORE

Homa ya Dengue Yaingia Nchini, Naibu Waziri Athibitisha – Video

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Faustine Ndugulile, amethibitisha kuwepo kwa homa ya dengue...

READ MORE

JPM Awaweka Mtu Kati, Mkurugnzi & Mhandisi Njombe – VIDEO

Rais Dkt John Magufuli amewaweka mtu kati Mkurugenzi wa Halmashauri ya Njombe na Mhandisi wa halmashauri hiyo kutokana na mradi...

READ MORE

MJADALA HOT; UNA LIPI JUU YA RIPOTI YA JANA YA CAG?

Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali nchini, (CAG) Professa Musa Juma Assad, jana alitoa ripoti yake kuhusu hesabu...

READ MORE

TTCL YAZINDUWA KITUO CHA HUDUMA KWA WATEJA KIJITONYAMA

  SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL Corporation), leo limezinduwa Kituo cha Huduma kwa Wateja katika eneo la Kijitonyama jijini Dar es...

READ MORE

Waziri Kama Unaweza ‘Kaivute Bangi’ ya Njombe – Video

Rais Dkt Magufuli ahitimisha ziara yake ya mkoa wa Njombe kwa kuhutubia maelfu wa wananchi uwanja wa Polisi Makambako leo...

READ MORE

Utawala wa miaka 30 wa Al Bashir wa Sudan wang’olewa!

  BAADA ya maandamano makubwa ya wiki kadhaa nchini Sudan yaliyokuwa yakimtaka Rais Omar Al Bashir kujiuzulu, habari zisizothibitishwa zinasema...

READ MORE

EXCLUSIVE: Kijana Atengeneza GARI la UMEME – Video

Unaweza usiamini lakini ni ukweli usiokuwa hata na chembe ya uongo kuwa kijana, Gabriel Jeremiah, ambaye ni Mwanafunzi wa Chuo...

READ MORE

Yatima Muuza Maji Aliyewajengea Vikongwe Masikini Nyumba! – Video

KIJANA mmoja mkazi wa Kijiji cha Twabagondozi wilayani Kibondo mkoani Kigoma, ameonyesha kuwa si lazima kuwa na pesa nyingi ili...

READ MORE

NMB ‘kusomesha’ wafanyabiashara 10 China 

  KATIKA kuwaongeza uelewa, maarifa na elimu ya kujenga nidhamu ya fedha kwenye biashara zao, Benki ya NMB imeahidi kuwapeleka...

READ MORE

Sala ya Toba Iliyomrejesha Kazini OCD Aliyetumbuliwa na JPM – Video

RAIS Dkt John Magufuli amemtumbua na kumrudisha kituo cha kazi OCD wa Njombe alasiri hii ya leo baada sala ya...

READ MORE

AMA KWELI HUJAFA HUJAUMBIKA…MAMA AOZA HUKU AKITEMBEA

HICHO ndicho anachokutana nacho mwanamama Rhobi Mwita Chacha, mkazi wa Sirari-Tarime mkoani Mara ambaye amejikuta akioza huku akitembea.  Rhobi hana...

READ MORE

MSHANGAO HAUSIBOI ANASWA LIVE AMEVAA NGUO ZA BOSI WAKE WA KIKE

HEE! Ndivyo unavyoweza kupata mshangao baada ya kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Jack, Mkazi wa Mikocheni A jijini Dar,...

READ MORE

HALOTEL YAKABIDHI MSAADA KWA NAIBU WAZIRI WA MIPANGO NA FEDHA

    Kampuni ya simu za mikononi ya Halotel imetoa msaada wa madawati 55 kwa ajili ya shule za Sekondari...

READ MORE

JPM ‘Awakaanga’ Hadharani MKURUGENZI, Mhandisi na Naibu Waziri – Video

Rais Dkt John Magufuli, leo Jumatano, Aprili 10, 2019 ameendelea na ziara yake ya siku tatu mkoani Njombe na kubaini...

READ MORE

JPM Alia na Mauaji ya Watoto Njombe, Atoa Tamko Zito – Video

Rais Dkt. John Magufuli leo Aprili 10, amewahutubia wananchi wa Mkoa wa Njombe ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya...

READ MORE

CAG AANIKA RIPOTI YAKE, “TUTAENDELEA KUTUMIA NENO ‘DHAIFU'”

MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad,  ametangaza kuwasilisha ripoti ya ukaguzi bungeni na kusema...

READ MORE

Mke wa Kisena wa UDART Akamatwa na Takukuru – Video

Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) imemkamata na kumfikisha katika Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu, Mkurugenzi wa...

READ MORE

RIPOTI YA CAG KUWASILISHWA BUNGENI LEO

Leo Jumatano Aprili 10, 2019 Bunge la Tanzania litawasilishiwa hati ya Ripoti  ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za...

READ MORE

MADAI MAZITO BOSI AFANYA UKATILI RPC

MBEYA : Ni ukatili mzito! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya watu wanne akiwemo bosi mmoja kushikiliwa na Jeshi la Polisi...

READ MORE

WAZIRI WA UJENZI, MAWASILIANO NA USAFIRISHAJI ZANZIBAR AIPONGEZA TTCL

  WAZIRI wa AUjenzi, Mawasiliano na Usafirishaji wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Dkt. Sira Ubwa Mamboya, amepongeza juhudi kubwa...

READ MORE