×

Habari

TRA Yaanza Kuonesha Makali kwa Wasiodai Risiti

DODOMA: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeonesha ukali wake kwa wasiodai risiti kwa kumtoza faini dereva mmoja wa bodaboda baada...

READ MORE

BASATA YAUFUNGIA WIMBO WA SUGU #219

Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) imeupiga marufuku wimbo wa #219 ulioimbwa na Mbunge wa Mbeya (CHADEMA), Joseph Mbilinyi “Sugu.”

READ MORE

MTAZAMO WA WADAU KUHUSIANA NA Infinix HOT 6

Baada ya ujio wa Infinix HOT 6 na kufanya vizuri sokoni kutokana muonekano na uwezo wake lakini pia wadau wameweza...

READ MORE

Kauli ya Ridhiwani Kikwete Baada ya Kushuhudia Ofisi Yake Ilivyoteketea

KUFUATIA Jengo la Ofisi yake kuteketea kwa moto juzi Jumapili jioni, Mbunge wa Chalinze (CCM), Ridhiwani Kikwete, leo Jumanne, Juni...

READ MORE

WEMA SEPETU AANZA KUJITETEA MAHAKAMANI

  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imeaza kusikiliza utetezi wa mshtakiwa ambaye ni muigizaji, Wema Sepetu...

READ MORE

MBOWE ARUHUSIWA KUTOKA HOSPITALI

IKIWA ni takribani saa 24 tangu alazwe katika Hospitali ya Taifa Kitenngo cha Dharula, Afya ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman...

READ MORE

MMILIKI MGAHAWA WA BUNGE ADAKWA NA SAMAKI HARAMU

WIZARA ya Mifugo na Uvuvi, imekamata samaki aina ya sato (wasiofikia kiwango cha kuvuliwa) kiasi cha kilo mbili kati ya...

READ MORE

Mwenyekiti CHADEMA Ashambuliwa kwa Mapanga na Mishale

MWENYEKITI wa Serikali ya Kijiji cha Mwikatsi wilayani Babati mkoani Manyara, Simon Lala (CHADEMA) ameshambuliwa na kujeruhiwa kwa mishale na...

READ MORE

Daktari Ashtakiwa kwa Kuiba Moyo wa Polisi

HII ni hatari sana! Hivi ndivyo unavyoweza kusema baada ya daktari mstaafu nchini Kenya Dkt. Moses Njue ameshtakiwa katika Mahakama ya Meru...

READ MORE

Mwanamke Amuua Mumewe, Amzika Kimyakimya!

MWANAMKE mmoja nchini Uganda, Dina Ainomugisha (45) amekamatwa na Polisi kwa tuhuma za kumuua mume wake, Gordon Ahimbisibwe na kumzika kwa...

READ MORE

KAFULILA: NILIVYOKUTANA NA MZIMU WA ESCROW

KUANZIA leo tutakuwa tunakuletea mfululizo wa tukio baya la kifisadi la Tegeta Escrow, litasimuliwa na mbunge wa zamani wa Kigoma...

READ MORE

Mo Afuata Mastraika Wawili Matata

UONGOZI wa Simba chini ya mwekezaji, Mohamed Dewji ‘Mo’, umepanga kufunga usajili kwa kusajili washambuliaji wawili profesheno kutoka nchi za...

READ MORE

NABII  OLIVIA, ELISHA   WATIMIZA MWAKA MMOJA WA HUDUMA

  MWANAMUZIKI wa nyimbo za injili, Upendo Nkone, amewapongeza Nabii Olivia na mume wake Elisha Mtangirwa kwa kutimiza mwaka mmoja...

READ MORE

JPM Ampa Mtoto Mlemavu Milioni 5, Hatembei Wala Kukaa

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametoa msaada wa Tsh. Milioni tano baada ya kuguswa...

READ MORE

Rais Magufuli Ampa Shavu Jaji Lubuva

Mhe. Rais Magufuli amteua Jaji Mstaafu Damian Zefrin Lubuva kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

READ MORE

MUME ANAYETUHUMIWA KUMUUA MHADHIRI UDOM AKAMATWA

JESHI la Polisi mkoani Dodoma linamshikilia mtuhumiwa wa mauaji ya aliyekuwa mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Rose Manfredy...

READ MORE

KIBOKO ALIYEZUA TAHARUKI MORO, WANANCHI WAGAWANA NYAMA YAKE

KIBOKO aliyezua taharuki kwa saa kadhaa karibu na  makazi ya watu maeneo ya Kihonda-Mbuyuni karibu na Kanisa la Mangwea nje...

READ MORE

Tanzia: Profesa wa Upasuaji Chuo Kikuu Muhimbili Afariki Dunia

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), Prof. Adrea Pembe anasikitika kutangaza kifo cha Prof....

READ MORE

CHIDI BENZ ANASWA NA MZIGO WA BANGI DODOMA – PICHAZ & VIDEO

STAA wa Bongo Fleva, Rashidi Makwiro maarufu kama ‘Chid Benz’ amekamtwa na Jeshi la Polisi jijini Dodoma kwa tuhuma za...

READ MORE

VOLKANO YAIBUKA HAWAII, YAHARIBU NYUMBA 467

VOLKANO imeibuka jana asubuhi katika visiwa vya Hawaii, Marekani, na kuharibu nyumba 467. Kuibuka kwa volkano hiyo ambapo ni pamoja...

READ MORE

Mbowe Apata Pigo, Aanguka Ghafla, Akimbizwa Muhimbili

MWENYEKITI wa CHADEMA, Freeman Mbowe amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kuanguka ghafla alfajiri ya leo Jumatatu,...

READ MORE

BREAKING: BAJETI YA UPINZANI YAZUIWA BUNGENI, WENYEWE WASUSA

#GLOBALHABARI: Hotuba ya Bajeti mbadala ya Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni imekataliwa bungeni kutokana na kuwasilishwa nje ya utaratibu. Wabunge...

READ MORE

KIBOKO AZUA TAHARUKI MORO – (Picha na Video)

MNYAMA aina ya Kiboko aliyeibuka na kuzua taharuki kwa saa kadhaa jirani na makazi ya watu maeneo ya Kihonda Mbuyuni,...

READ MORE

BREAKING: OFISI YA RIDHIWANI KIKWETE YATEKETEA KWA MOTO

Ofisi ya Mbunge jimbo la Chalinze (CCM), Ridhiwani Kikwete iliyopo eneo la Msolwa, Chalinze imeungua kwa moto jioni hii ya...

READ MORE

TCRA Yafafanua Kuhusu Watumiaji wa Facebook, Twitter, Instagram

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema mtumiaji mmoja mmoja wa mitandao ya Facebook, Instagram na Twitter hatakiwi kujisajili.   Taarifa...

READ MORE

Basi la Msukuma Lapata Ajali Buhalahala Geita

BASI lla Msukuma ambalo linamilikiwa na Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku ‘Msukuma’, limegongana na uso kwa uso na gari...

READ MORE

Columbia Global Centers yawakutanisha wasanii kuzungumzia Maendeleo ya jamii

Mwanamuziki wa Bongo Fleva Frida Amani akiongea wakati wa mjadala uliondaliwa na taasisi ya Columbia Global Centers kwa wanamuziki wa...

READ MORE

SIKUKUU YA EID EL FITR ILIVYOFANA COCO BEACH, DAR

Sehemu ya wakazi wa maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam wakiwa kwenye ufukwe wa Coco Beach jioni ya...

READ MORE

Breaking News: WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO, VYUO VYA UFUNDI 2018

Wanafunzi 70,904 waliohitimu kidato cha nne mwaka jana wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano, vyuo vya ufundi na vya elimu...

READ MORE

MAMA Ajifungua, Amkimbia Mtoto Kimaajabu

MARA: Inasikitisha! Wakati watu wengi wakilia kukosa mtoto, Maria Samsoni (18), mkazi wa Kijiji cha Ogembo nchini Kenya, amekamatwa na...

READ MORE

Taarifa Mpya ya TCRA Kuhusu Usajili wa Huduma za Maudhui Mtandaoni

Taarifa toka TCRA kuhusu kuongeza muda wa usajili wa watoa huduma za maudhui kwa njia ya mtandao.

READ MORE

Mapya Yaibuka, Zari Kujenga Hospitali ya Wanawake Dar

MIONGONI mwa mambo ya kumfanya staa akumbukwe hata baada ya kifo chake ni pamoja na kurudisha kwa jamii (to give...

READ MORE

Namna Bora a Kusherehekea Sikukuu na Umpendaye

  NDUGU zetu Waislamu, baada ya kupitia katika kipindi cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhan, hatimaye Sikukuu wa Eid el Fitr imewadia...

READ MORE

Ili Kuweka Video Facebook, Instagram Unatakiwa Usajili – Video

Mhandisi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Francis Mihayo, amezungumza na vyombo vya habari na kuelezea mabadiliko ya sheria mpya...

READ MORE

MAPENDEKEZO YA BAJETI YA SERIKALI MWAKA 2018/19

1.0 UTANGULIZI 1. Mheshimiwa Spika, kutokana na taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lako Tukufu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu...

READ MORE

MZEE MWINYI AONGOZA SWALA YA EID EL FITR DAR

RAIS Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi, mapema leo Ijumaa amewaongoza waumini wa Kiislamu katika kusherehekea Sikukuu ya...

READ MORE

Global Publishers Inawatakia Eid Njema

Wafanyakazi wote wa Kampuni ya Global Publishers & Ent. Ltd inayochapisha Magazeti ya Amani, Championi, Ijumaa, Risasi na Uwazi na...

READ MORE

KOMBE LA DUNIA: URUSI YAINYUKA SAUDI ARABIA 5-0 (VIDEO)

MCHEZO wa ufunguzi wa michuano ya fainali ya Kombe la Dunia umemalizika Uwanja wa Luzhniki kwa wenyeji Urusi kuibuka na...

READ MORE

MJAMZITO AWALAANI MADAKTARI AKIKATA ROHO!

DAR ES SALAAM: Binadamu anapofariki dunia akiwa na kinyongo na mtu huku akimwachia maneno yamtakiayo mabaya, wahenga waliita hali hiyo...

READ MORE