×

Habari

SPIKA NDUGAI Aosha Magari ili Kupata Bilion 3 – Video

Spika wa Bunge, Job Ndugai ameendesha zoezi la kuosha magari ya wabunge ili kuhamasisha uchangiaji wa fedha kiasi cha Tsh....

READ MORE

TANZANIA YAZIPONGEZA ITALIA, EU KUPIGA VITA YA DAWA ZA KULEVYA

Wakibadilishana jambo. TANZANIA imezipongeza Italia na Umoja wa Ulaya (EU) kwa ushirikiano wa nchi hizo  katika kupiga vita dawa za...

READ MORE

Mbunge Auawa Kwa Kupigwa Risasi

  Mbunge wa Manispaa ya Arua nchini Uganda,  Ibrahim Abiringa, mmoja wa waliokuwa mstari wa mbele kushinikiza mabadiliko ya Katiba...

READ MORE

Simanzi! Bibi Aliyemlea Sam wa Ukweli Aachwa Mpweke – Video

  INAHUZUNISHA SANA! Hivyo ndiyo unavyoweza kusema kufuatia kifo cha aliyekuwa msanii wa Bongo Fkleva, Sam wa Ukweli, Bibi aliyekuwa...

READ MORE

Rais Kikwete Auangana na Wasanii Kumzika Sam wa Ukweli – Video

RAIS Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ameungana na familia, ndugu, wasanii na waombolezaji wengine...

READ MORE

Mkuchika: Wakurugenzi Kuhudhuria Vikao vya CCM Hakuna Tatizo – Video

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, George Mkuchika amesema hakuna ulazima na wala hakuna kanuni au...

READ MORE

Sakata la Ticha Ayubu wa St Florence, Msimamo wa Serikali ni Huu – VIDEO

WAZIRI wa Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako ametoa onyo kali kwa walimu wenye tabia kama aliyoionesha mwalimu Ayubu wa...

READ MORE

SAM WA UKWELI AZIKWA KIJIJINI KWAO KIWANGWA LEO

Mwili wa aliyekuwa Mkali wa Bongo Fleva, Sam wa Ukweli umezikwa kijijini kwao Kiwangwa wilayani Bagamoyo mkoani Pwani, maziko hayo...

READ MORE

Mjamzito Kujifungulia Kituo cha Polisi, Serikali Yatoa Kauli – Video

  Kufuatia tukio la mwanamke mjamzito kujifungua kwenye Kituo cha Polisi Mang’ula mkoani Morogoro, serikali imebanwa bungeni na kutakiwa kutoa...

READ MORE

MJENGO ULIOMPONZA MOBETO WANASWA

UMENASWA! Ndivyo unavyoweza kusema kwani kila mtu alikuwa na hamu ya kuuona mjengo unaodaiwa kusababisha ugomvi kati ya familia ya...

READ MORE

HII NDO’ NYUMBA SAM WA UKWELI ALIMJENGEA BIBI YAKE – PICHA

KUFUATIA kifo cha Mkali wa Bongo Fleva, Sam wa Ukweli ambaye leo anatarajiwa kuzikwa kijijini kwao Kiwangwa wilayani Bagamoyo mkoani...

READ MORE

Utata Mzito Ndugu wa Sam wa Ukweli Vs Mameneja Wake – Video

  KUFUATIA kifo cha msanii wa Bongo Fleva, Sam wa Ukweli kilichotokea usiku wa kuamkia jana Alhamisi, utata mzito umeibuka...

READ MORE

Sakata la Waraka wa KKKT, Mwigulu Amsimamisha Kazi Msajili wa Vyama – Video

  Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Idara ya Sheria na Usajili wa...

READ MORE

USIOMBE Yakukute! Mama na Mwanaye Wakiona Chamoto – Video

  DAR ES SALAAM: Mkazi wa Bunju B Kwa Baharia jijini Dar, Barbara Agustino na mama yake mzazi, Jumatatu iliyopita...

READ MORE

Mazishi ya MARIA na CONSOLATA; Iringa yazizima, ni vilio kila kona

IRINGA: PACHA walioungana Maria na Consolata Mwakikuti waliofariki dunia Jumapili iliyopita katika Hospitali ya Rufaa Iringa, wameifanya Iringa nzima kuzizima...

READ MORE

Gumzo Kauli ya Alikiba: Dini Yangu Hairuhusu Kumposti Marehemu ‘Sam wa Ukweli’

KAULI ya Msanii wa Bongo Fleva, Alikiba aliyofunguka kwa mara ya kwanza kuhusu kutowaposti wasanii au watu maarufu kwenye kurasa...

READ MORE

Mjomba wa Sam wa Ukweli Aanika Mazito – Video

  Kufuatia kifo cha msanii, Sam wa Ukweli, kilichotokea usiku wa kuamkia leo kwa tatizo linalodaiwa kuwa ni Ukimwi wa...

READ MORE

FAMILIA: Sam Waukweli Hajafa na UKIMWI Jamani! – Video

Kufuatia kifo cha msanii, Sam wa Ukweli, kilichotokea usiku wa kuamkia leo kwa tatizo linalodaiwa kuwa ni Ukimwi wa Kurogwa,...

READ MORE

MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA HOSPITALI YA CCBRT JIJINI DAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wanawake ambao wamepata matibabu ya...

READ MORE

WAZIRI MKUU AZIONYA ASASI ZISIZO ZA KISERIKALI

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezitaka asasi zisizokuwa za Serikali (NGOs) zitekeleze majukumu yake kama ambavyo zimesajiliwa na ziache kufanya shughuli...

READ MORE

ZIMAMOTO NCHINI YAPATA TUZO YA UTENDAJI BORA

JESHI la Zimamoto na Uokoaji limepokea tuzo ya cheti cha heshima kwa kutambua mchango wao katika kupambana na majanga ya...

READ MORE

INFINIX HOT 6: SIMU YENYE LADHA YA MUZIKI

  HIVI  karibuni kampuni ya simu ya Infinix ilifanikiwa kupenya katika soko la simu nchini Tanzania na kuweza kujitambulisha rasmi...

READ MORE

MAKUNDI Ligi la Vijana Under 20 (Uhai Cup 2018) Haya Hapa

  DROO ya upangaji wa makundi kwa timu 16 zitakazoshiriki ligi ya vijana wenye umri chini ya miaka 20 (U20)...

READ MORE

UPINZANI WAWATAKA KKKT, KANISA KATOLIKI KUTOIJIBU SERIKALI – VIDEO

  WABUNGE wa upinzani wamewataka viongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) na Kanisa Katoliki kutoijibu serikali kuhusu...

READ MORE

Kajala Aanika Kuvunja Ndoa ya P Funk, Adai Kuishi Naye Miaka 9 – Video

MKALI wa filamu za Kibongo, Kajala Masaja ‘Kay’amefungukia madai ya kuvunja ndoa ya mzazi mwenzake ambaye pia ni prodyuza maarufu wa Bongo Records,...

READ MORE

Shuhudia Video ya Majambazi 8 Walioteka Gari Walivyokamatwa

  JESHI la Polisi Mkoa wa Pwani wamefanikiwa kukamata majambazi nane waliohusika na tukio la utekaji wa gari lenye namba...

READ MORE

TANZIA: Msanii Sam wa Ukweli Afariki Dunia

MSANII wa Bongo Fleva, Sam wa Ukweli amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Palestina iliyopo Sinza jijini...

READ MORE

Prof. Ndalichako: Hakika Maria na Consolata ni Mashujaa wa Taifa

  WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako ameongoza waombolezaji  kutoa heshima za mwisho kwa Mapacha walioungana Maria...

READ MORE

Sangoma Awafanyia Watoto Tukio Baya

MGANGA wa kienyeji ‘sangoma’ ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja na wateja wake, Peter Msambili na Zawadi Juma wanashikiliwa...

READ MORE

Wosia wa Maria, Consolata Waliza Wengi!

KILA nafsi itaonja umauti, tuwaombeeni Maria na Consolata walale mahali pema peponi! Hicho ndicho kinachosemwa na kila aliyewafahamu pacha walioungana...

READ MORE

MARIA NA CONSOLATA WALIVYOPENDANA HADI KABURINI – VIDEO

  WATOTO mapacha Maria na Consolata Mwakikuti (20) waliofariki Jumamosi iliyopita Juni 2, 2018 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, wataendelea...

READ MORE

Rais Magufuli Atoa Maagizo Kufuatia Ajali Ya Kigoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salamu za rambirambi kufuatia vifo vya watu 10...

READ MORE

Mbunge Prof Majimarefu Afiwa na Mkewe, Spika Atoa Pole

Mbunge wa Korogwe Vijijini, Stephen Ngonyani maarufu ‘Profesa Majimarefu’ leo Jumatano Juni 6, 2018 amefiwa na mkewe, Mariam aliyekuwa akipatiwa...

READ MORE

MCHUNGAJI ATAFUNWA NA MAMBA AKIBATIZA ZIWANI

  MCHUNGAJI ambaye aliyekuwa akiendesha ibaada ya kubatiza waumini ufukweni mwa ziwa amefariki baada ya kushambuliwa na mamba wakati akibatiza...

READ MORE

Serikali Yalitaka Baraza la Maaskofu KKKT Kuufuta Waraka wa Pasaka

  SERIKALI ya Tanzania imelitaka Baraza la Maaskofu la Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT) Tanzania kufuta waraka lililoutoa...

READ MORE

KUTOKA IRINGA: Miili ya Maria na Consolata Yaagwa – Video

   MIILI ya mapacha Maria na Consolata Mwakikuti (20) waliofariki dunia Jumamosi iliyopita katika Hospitali ya Mkoa wa Iringa, imeagwa...

READ MORE

Harmonize Kufanya Show Babkubwa Dar Live Idd Pili

  MSANII kutoka kwenye kundi la Wasafi Class Baby (WCB), Rajabu Abdul Kahali ‘Harmonize’ kwa kushirikiana na Global Group, anatarajia...

READ MORE

Treni Yagongana na Basi, 7 Wafariki, 27 Wajeruhiwa

WATU saba wamefariki dunia na wengine 27 wamejeruhiwa vibaya baada ya basi la Kampuni ya Hamida kugonga treni ya mizigo...

READ MORE