×

Habari

Simanzi Yatawala Mazishi ya Bilago, Kigoma – Pichaz

  SIMANZI na majonzi vimetawala wakati wa mazishi ya mwili wa aliyekuwa mbunge wa Buyungu (Chadema), Kasuku Samson Bilago aliyezikwa...

READ MORE

Mashabiki United Wazoa Jezi Orijino Spoti Xtra

KATIKA jezi tatu orijino zilizotolewa jana kwenye droo ya shindano la Spoti Xtra, mbili zimekwenda kwa mashabiki wa Manchester United...

READ MORE

Afariki, Azikwa, Arudi Nyumbani

ARUSHA: Hali ya taharuki imewakumba wakazi wa Kijiji cha Leto-Mamsera, Kata ya Makidi, Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro kufuatia tukio...

READ MORE

ALLY HAPPI AAGIZA ‘MWALIMU MPAPASAJI’ ST. FLORENCE AKAMATWE

MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Ali Salum Hapi ameliagiza Jeshi la Polisi kufanya uchunguzi wa kina kuhusu tuhuma za mwalimu...

READ MORE

RPC Afunguka Sakata la Mwalimu wa St. Florence ‘Kuwapapasa’ Wanafunzi – Video

KAMANDA wa polisi wa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Jumanne Muliro, ametoa ufafanuzi wa Jeshi la Polisi kuhusu Mwalimu wa Shule...

READ MORE

TECNO KUJA NA SIMU YA KISASA ZAIDI YA TECNO SPARK

  KWA  mara nyingine kampuni ya simu ya TECNO ipo mbioni kuachia simu mpya ambayo ni muendelezo wa toleo la...

READ MORE

WIZARA, TAASISI ZA SERIKALI ZITUMIE NISHATI MBADALA – WAZIRI MKUU

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza Wizara, mashirika na taasisi zote za Serikali na binafsi zianze kutumia nishati mbadala ili...

READ MORE

Madai: Mwalimu St. Florence Kuwaingilia Wanafunzi, Wabunge Wakinukisha – Video

SAKATA la tuhuma dhidi ya mwalimu wa shule ya St. Florence ya jijini Dar es Salaam kuwadhalilisha kingono wanafunzi wake...

READ MORE

MWANZA YAJIUNGA NA HUDUMA YA USAFIRI WA KIDIJITALI KUTOKA TAXIFY

Mwanza, Taxify, ambayo ni miongoni mwa Kampuni kubwa zinazotoa huduma ya usafiri kidijitali barani Ulaya na Afrika imezindua rasmi huduma...

READ MORE

‘NDUGU WA NEYMAR’ ATUA SINGIDA UNITED

KLABU ya Singida United, imemtangaza mshambuliaji wake mpya Felipe Olveira Dos Santos ambaye ni raia wa Brazil ambako anatokea Straiker...

READ MORE

‘NDUGU WA DROGBA’ ATAMBULISHWA SINGIDA UNITED

MBALI na kumtambulisha mchezaji wao mpya raia wa Brazil, Felipe Olveira Dos Santos, Klabu ya Singida United, hiyo imewatambulisha wachezaji wengine...

READ MORE

USTADHI: MO SALAH ALIUMIA KWA KUPUUZA MFUNGO WA RAMADHAN

MHUBIRI Mubarak al-Bathali wa nchini Kuwait amesema kwamba kuumia kwa mcheza soka wa klabu ya Liverpool Uingereza, Mo Salah, ni...

READ MORE

Mahakama Kenya Yazuia Matumizi ya Vifungu vya Sheria ya Mitandao

NAIROBI (Reuters) – Sheria mpya ya makosa ya mtandao imeanza kufanya kazi nchini Kenya jana (Jumatano), lakini ikiwa haikupiga marufuku...

READ MORE

ALICHOKISEMA KIKWETE KWA KINANA, JPM LEO

RAIS mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete,  amempongeza aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, kwa...

READ MORE

Mjeda, Kibinti Wanaswa Wakifanya Mchezo Hatari Usiku

HII ni aibu kubwa! Joseph Mbega ambaye amedaiwa kujifanya ni mwanajeshi (mjeda) pamoja na mrembo aliyefahamika kwa jina la Rebeca...

READ MORE

KIJANA ALIYEMWOKOA MTOTO, AJIUNGA NA JESHI UFARANSA – Pichaz

KIJANA shujaa mhamiaji kutoka nchini Mali, Mamoudou Gassama aliyemwokoa mtoto aliyekuwa amening’inia kwenye kibaraza cha ghorofa ya nne katika jengo...

READ MORE

Aliyemuua Mkewe na Kumfukia Alikusudia, Afunguka A-Z – Video

Simanzi bado imetawala katika Kijiji cha Mkwalia, Tarafa ya Mkuranga mkoani Pwani kufuatia tukio la kikatili la mwanadada Rosemary Magombora...

READ MORE

WAZIRI MKUU AIPONGEZA BENKI YA NMB KUCHANGIA HUDUMA ZA KIJAMII

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameipongeza Benki ya NMB kwa kuchangia huduma mbalimbali za kijamii zikiwemo elimu, afya na...

READ MORE

Mbwana Samatta Afanya Ziara Makka

Nahodha wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Mbwana Samatta,  anayekipiga katika timu ya Genk ya nchini Ubelgiji baada...

READ MORE

Kauli Ya Kitila Mkumbo Kuhusu Katibu Mpya wa CCM

Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema mhadhiri wa Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM), Dk...

READ MORE

NITAZINDUA KAMPENI YA KUPIMA VVU – WAZIRI MKUU

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema mwezi ujao, atazindua kampeni maalum ya upimaji wa virusi vya UKIMWI (VVU) ambayo imelenga kuwahamasisha...

READ MORE

Kimenuka! Fumanizi la Mwezi Mtukufu Laibua Ndoa Mpya!

  KUNA mambo ya ajabu ya kila aina ambayo hutokea kwa nyakati tofauti, lakini hili lililojiri katika kipindi hiki cha...

READ MORE

Kali ya Mwaka! Bibi Noma, Awahenyesha Polisi Wenye Silaha Nzito

MOROGORO: Shubaamit! HIVI ukitazama picha ukurasa wa mbele unaweza kufikiria nini hasa? Vyovyote utakavyofikiri; mwisho wa picha duniani kuna mambo...

READ MORE

Watanzania 11 Walioshitakiwa kwa Ubakaji Waachiwa Afrika Kusini

VIJANA 11 raia wa Tanzania waishio Johannesburg, Afrika Kusini,  walioshtakiwa kosa la ubakaji wameachiliwa huru na hakimu mkazi wa Mahakama...

READ MORE

Vodacom Yasherehekea Miaka 10 Ya Mafanikio Ya M-Pesa Nchini

  KAMPUNI  ya Simu ya Vodacom Tanzania imefanya hafla fupi ya kusherehekea na kuadhimisha mafanikio ya miaka kumi ya huduma...

READ MORE

RAIS WA MALI AMTAKA ALIYEMWOKOA MTOTO UFARANSA ARUDI NYUMBANI

RAIS wa Mali, Ibrahim Boubacar Keïta amemtaka kijana shujaa, mhamiaji kutoka nchini kwake, Mamoudou Gassama aliyemwokoa mtoto mdogo aliyekuwa amening’inia kwenye...

READ MORE

AKIMBIWA KISA, UGONJWA WA KIFUA KIKUU

  MKAZI wa Mbezi Makabe, jijini Dar es Salaam, Upendo William, amelalamikia kile alichodai kuwa kutelekezwa na mume wake wa...

READ MORE

BREAKING NEWS: DKT. BASHIRU ALLY APITISHWA NA NEC KUWA KATIBU MKUU WA CCM

Dkt. Bashiru Ally amepitishwa kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi(CCM) akichukua nafasi iliyoachwa wazi na Abdulrahman Kinana. Dkt. Bashiru...

READ MORE

MBOWE: KIFO NI UPATANISHO, SOTE TUTARUDI TULIKOTOKA – Video

WABUNGE waBunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mei 29, 2018 wamejumuika katika viwanja vya bunge jijini Dodoma kuuaga...

READ MORE

ZITTO KABWE Anena Mazito Kifo cha BILAGO – Video

SIMANZI na majonzi yametawala katika viwanja vya Bunge, jijini Dodoma wakati wabunge walipokuwa wakiuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Buyungu,...

READ MORE

MAMA WEMA ASEMA BINTI YAKE YUKO INDIA KWA UPASUAJI

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeshindwa kuendelea na kesi inayomkabili staa wa filamu nchini, Wema Sepetu,  anayekabiliwa na kesi ya...

READ MORE

NMB YATOA MSAADA VIFAA VYA HOSPITALI MIKOA YA KANDA YA ZIWA

    Benki ya NMB Tanzania kupitia Kitengo cha Masuala ya Uwajibikaji kwa Jamii (CSR) imetoa msaada wa vifaa vya hospitali, vifaa vya ujenzi wa madarasa...

READ MORE

BWAWA LA NYUMBA YA MUNGU LAFURIKA, SERIKALI YATOA TAARIFA

MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mughwira, ametoa taarifa ya kurufika kwa Bwawa la Mungu na kusababisha mafuriko makubwa katika...

READ MORE

Simanzi, Majonzi Wabunge Wakiaga Mwili wa Bilago – Pichaz + Video

Mwili wa Mbunge wa Jimbo la Buyungu wilayani Kakonko mkoani Kigoma, Kasuku Bilago (Chadema), umeagwa tena leo katika viwanja vya...

READ MORE

Watoto Sita Wafa Katika Ajali ya Gari Tanga

WATOTO sita wamefariki dunia leo na watatu kujeruhiwa vibaya baada ya gari lililokuwa limebeba majani ya chai kutoka kijiji cha...

READ MORE

Mugabe Agoma Kwenda Bungeni Kuhojiwa Upotevu wa Trilioni 34

RAIS wa zamani wa Zimbabwe, Robert Gabriel Mugabe, amepuuza wito wa Bunge la nchi hiyo likimtaka afike mbele ya kamati...

READ MORE

Kwa Pamoja Tunaweza Kuzuia Ukatili Wa Kijinsia Dhidi ya Wanawake

HII ni kampeni ya miaka mitano ya kuhamasisha umma ili kuondoa aina zote za ukatili dhidi ya wanawake nchini Tanzania....

READ MORE

CRDB Sasa Kutoa Mkopo Ndani ya Saa 24, Marejesho Hadi Miaka 7 – Video

MKURUGENZI Mkuu wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei, amesema benki hiyo imeamua kuongeza kiwango cha mkopo kutoka Milioni 50...

READ MORE

JOKA LA AJABU NDANI YA DALADALA LAZUA KIZAA ZAA!

DUNIA ina mambo! Joka la ajabu aina ya chatu, hivi karibuni lilizua tafrani ya aina yake ndani ya daladala na...

READ MORE