×

Habari

Mwele Malecela Ateuliwa Kuwa Mkurugenzi Mkuu wa WHO Afrika

Dk. Mwele Macelela ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kanda ya Afrika na kwa hiyo atakuwa mtu...

READ MORE

MAJALIWA AKUTANA NA RAIS WA MAKAMPUNI YA CHINA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Aprili 8, 2018 amekutana na Rais wa Makampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC),...

READ MORE

DKT. AKWILAPO ATUNUKU MEDALI MDAHALO WA WANAFUNZI

  WANAFUNZI mbalimbali kutoka Shule za Sekondari za serikali na shule binafsi hapa nchini wamepambanishwa na wanafunzi wengine kutoka nchi...

READ MORE

Watatu Kati Ya Sita Waliotekwa Na Wasiojulikana, Waonekana

  WATU watatu kati ya sita waliotoweka katika mazingira ya kutatanisha usiku wa kuamkia Ijumaa,  Aprili 6, 2018 katika Kijiji...

READ MORE

JPM, Mkewe Washuhudia Kusimikwa Askofu Mkuu Arusha (Video)

RAIS John Magufuli na mkewe Janeth Magufuli leo wamehudhuria kusimikwa kwa Askofu Mkuu wa Jimbo la Katoliki la Arusha, Isaac...

READ MORE

Breaking News: Mwandishi Aokotwa Akiwa Hajitambui, Jijini Dar

Mwandishi wa gazeti la The Guardian, Finnigan  Simbeye ameokotwa  asubuhi ya leo kwenye eneo la Bunju Dar akiwa hajitambui na...

READ MORE

Mwanamke wa Kwanza Kupata Degree Tanzania Atunukiwa Tuzo

KAMA ulikuwa hufahamu basi naomba hii uiweke kwenye ubongo wako, Dkt Maria Kamm ndiye  mwanamke wa kwanza wa Tanzania kupata Shahada ya...

READ MORE

Man U Yaitungua Man City 3-2 Nyumbani Kwao, Pogba Atupia 2

KLABU ya Manchester United wakiwa ugenini wameitwanga timu ya Man City kwa jumla ya bao 3-0 kwenye mchezo wa Ligi...

READ MORE

Aeshi Hilaly: Itafika Mahali Tutashikana Mashati Humu Bungeni – VIDEO

Mbunge wa Sumbawanga Mjini kupitia tiketi ya CCM, Aeshi Hilaly amesema kwamba kitendo cha serikali kuzuia wakulima wa mahindi kuuza...

READ MORE

Mtulia: Nimeingia kwa Dirisha Dogo Bungeni – Video

Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, Maulid Mtulia ametoa ushari kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) ambacho ni Chama kikuu cha...

READ MORE

Mbunge: Hatukuungana Kugawana Umaskini, Zanzibar Iheshimike – Video

Mbunge wa Malindi, Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), amesema kwamba muungano kati ya Tanzania Bara na Zanzibar,...

READ MORE

NI UNYAMA! MAMA ASIMULIA MWANAYE ALIVYOBAKWA – VIDEO

  INAUMA! Mama mmoja, Zalijah, mkazi wa Keko-Mwanga, Wilaya ya Temeke jijini Dar amesimulia jinsi mwanaye wa kike, (jina linahifadhiwa)...

READ MORE

Mama, Wasanii Wamkumbuka Kanumba Kaburini Kwake – Video

IKIWA ni mwaka wa sita tangu tasnia ya filamu nchini impoteze staa wa filamu, Steven Kanumba, ‘The Great’,  wanafamilia, ndugu, jamaa...

READ MORE

RAIS MAGUFULI: POLISI MSICHOME MASHAMBA YA BANGI – VIDEO

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewataka maofisa wa Jeshi la Polisi na Makamishna wake...

READ MORE

Jeshi la Polisi Lilimpa Rais Magufuli Mke – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Maguli amesema jeshi la polisi ndilo lilimpa mke aliye naye ...

READ MORE

Bombadier Mpya Yatikisa Bunge, Povu la Mbunge Laacha Watu Hoi – Video

Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Rukwa, Aida Joseph Kenan amehoji bungeni mjini Dodoma kuhusu ununuzi wa ndege mpya ya...

READ MORE

Magufuli Aagiza Nyumba Mpya Wapewe Polisi Walionguliwa – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametoa agizo kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini,...

READ MORE

MAGUFULI AZINDUA KITUO CHA POLISI CHA KIDIPLOMASIA NA UTALII -VIDEO

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo Aprili 7, 2018 anazindua Kituo cha Polisi cha...

READ MORE

JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI LAFUNGA MAFUNZO MAALUM BAHARINI

  JESHI  la Zimamoto na Uokoaji nchini limefanikiwa kupata wataalamu wa maokozi ya majini waliopatiwa mafunzo na wataalamu wa maokozi...

READ MORE

Msemaji wa Serikali Atoa Pongezi Kwa Wafanyakazi wa Global

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) ambaye pia ni Msemaji wa Serikali Bw. Hassan Abbas, leo ametembelea Ofisi za Global...

READ MORE

House for Rent/Sale at Ukuni- Bagamoyo

The House is 3 bedrooms with its toilets, One Spacious Master Bed Room, Kitchen, Sitting Room, Dining Room, A garage,...

READ MORE

Rais Jacob Zuma Afika Mahakamani Kusikiliza Kesi Yake

Kesi ya rushwa ya aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma anayekabiliwa na tuhuma 16 zikiwemo za udanganyifu, ufisadi na kutakatisha...

READ MORE

MLINGA AHOJI ‘BIBI’ KUVAA WIGI KWENYE NEMBO YA TAIFA

MBUNGE wa Ulanga, mkoani Morogoro (CCM), Goodluck Mlinga ameiomba Serikali ipige marufuku matumizi ya Nembo ya Taifa yenye picha ya...

READ MORE

Rais Magufuli Atengua Uteuzi Wa Mkurugenzi Mpwapwa

Rais John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa Mohamed Maje kuanzia leo kwa kilichoelezwa kushindwa...

READ MORE

Musukuma Ataka Watumishi Darasa la 7 Warudishwe Kazini – Video

MBUNGE wa Geita vijijini, Joseph Kasheku (CCM), ‘Musukuma’, ameitaka serikali iwarudishe kazini watumishi wote wenye elimu ya darasa la saba...

READ MORE

Rais Magufuli Ampa Sh Milioni 100, Mgunduzi wa Madini ya Tanzanite

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameahidi kumpatia pesa kiasi cha Tsh. Milioni 100, Mgunduzi...

READ MORE

UZINDUZI WA UKUTA KUZUNGUKA MIGODI YA TANZANITE MEREARNI

               

READ MORE

Cecilia Pareso: Futeni tu Vyama vya Upinzani Kama Mnataka – Video

Mbunge wa Viti Maalum Chadema, Cecilia Pareso amesema kama serikali ina lengo la kuwabana na kuwanyima haki wapinzani, basi ni...

READ MORE

MUME AMPASUA KICHWA MKEWE KWA SHOKA!

DAR ES SALAAM: Ukatili dhidi ya wanawake unaendelea! Siku chache baada ya Mtanzania Leyla Mtumwa kudaiwa kuuawa kwa kuchomwa visu...

READ MORE

Staa wa Bollywood, Salman Khan Apelekwa Jela kwa Ujangili

Mahakama moja iliyoko Jodhpur, India imemhukumu nyota wa sinema za Bollywood, Salman Khan,  miaka mitano jela kwa ujangili baada ya kuua...

READ MORE

MSEMAJI ZIMAMOTO AFANYA ZIARA GLOBAL GROUP

    MSEMAJI wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Inspekta Joseph Mwasabeja akiambatana na ofisa habari wa jeshi hilo, Sajenti...

READ MORE

Mwigulu Aagiza Watu Hawa Wakamatwe, Wasiachiwe! – Video

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt. Mwigulu Nchemba ameliagiza Jeshi la Polisi kuwatoza faini, kuwaweka ndani madereva wanaovunja...

READ MORE

Mtanzania Mahakamani Uingereza Akidaiwa Kumuua Mkewe

  RAIA wa Tanzania Kema Salum (38) amefikishwa mahakamani nchini Uingereza akidaiwa kumuua mkewe, Mtanzania pia, aitwaye Leyla Mtumwa.  ...

READ MORE

Mwalimu Alamba Mil 260/= Za Tatu Mzuka

Mshindi wa Sh. milioni 260 wa Tatu Mzuka, James Msengi (kulia), akipokea hundi yake kutoka kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano wa...

READ MORE

JPM Awalilia 12 Waliokufa Ajalini Tabora, Ataka Polisi Kujitathmini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli ametuma salamu za rambirambi kufuatia vifo vya watu 12 vilivyotokea...

READ MORE

Airtel Money Yagawa Bilioni 14 Kwa Wateja

  Airtel Tanzania imetoa gawio linalofikia shilingi bilioni 14.8 hadi sasa kwa wateja wake na mawakala nchi nzima ikiwa ni...

READ MORE

Waliokamatwa kwa Kuhamasisha Maandamano Wafikishwa Kortini – Video

  Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limesema watuhumiwa waliokamatwa kwa kuhamasisha maandamano mitandaoni amefikishwa mahakamani leo Alhamisi, Aprili 5,...

READ MORE