×

Habari

Mbowe Aongoza Viongozi Chadema Kuripoti ‘Central’

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe na viongozi wengine wa chama hicho leo wamekwenda kuripoti Kituo...

READ MORE

FATUMA KARUME, BOB WANGWE KUISHTAKI SERIKALI

  WAKILI Fatma Karume  na Bob Wangwe  watafungua kesi mahakamani kupinga wakurugenzi kusimamia uchaguzi nchini.   Akizungumza na wanahabari leo,...

READ MORE

BREAKING: MBOWE AISHUTUMU NEC, JESHI LA POLISI

  MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe ameishutumu Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuwa walishindwa...

READ MORE

Mwanamke Aweka Rekodi Kuendesha Ndege ya Kivita

AVANI Chaturvedi (24), ameweka rekodi ya kuwa mwanamke wa kwanza kuendesha ndege ya kivita akiwa peke yake nchini India baada...

READ MORE

Majaliwa Aiagiza Kuwakamatwa Aliyekuwa Mkugenzi wa Masasi

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza kamanda wa TAKUKURU mkoa wa Mtwara Bw. Stephen Mafipa  kumtafuta popote alipo na kumkamata aliyekuwa...

READ MORE

Kamanda wa Jeshi la Polisi Arusha Apata Ajali

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo amepata ajali katika eneo la Mdori mkoani Manyara baada ya gari alilokuwa...

READ MORE

ANAYEDAIWA DEREVA BODABODA AUAWA, MWILI WATUPWA! – VIDEO

MTU mmoja ambaye jina lake halijafahamika mara moja amekutwa ameuawa huku mwili wakwe ukiwa umetupwa vichakani katika eneo la Oysterbay...

READ MORE

Wafanyabiashara wa Tanzania, Korea wakutana kujadili sekta ya ujenzi

  Baadhi ya wafanyabiashara wa Tanzania na Korea, wamekutana na kujadili namna ya kukuza sekta ya ujenzi hapa nchini.  ...

READ MORE

Kamanda wa Polisi Arusha Apata Ajali

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo amepata ajali katika eneo la Mdori mkoani Manyara baada ya gari alilokuwa...

READ MORE

Mastaa Walivyoguswa na Kifungo cha Sugu

KUFUATIA Mbunge wa Mbeya Mjini (CHADEMA), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na Katibu wa Chadema Kanda ya Nyasa, Emmanuel Masonga kuhukumiwa jela...

READ MORE

MAHAKAMA YAITUPA KESI YA MCHUNGAJI MWINGIRA

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeitupilia  mbali kesi ya madai iliyofunguliwa na Dkt. William Morris, raia wa Marekani dhidi...

READ MORE

Chadema Kukata Rufaa Kumnasua Sugu Jela

CHAMA cha Demkorasia na Maendeleo (Chadema) kimekusudia kukata rufaa ya kupinga hukumu iliyotolewa leo dhidi ya Mbunge wa Mbeya Mjini,...

READ MORE

Polisi: Wema Aliniambia Anatumia Bangi Kujistarehesha Tu!

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeendelea na kesi inayomkabili muigizaji Wema Sepetu ambapo Ofisa wa Polisi WP Mary ameieleza mahakama kuwa mnamo Februari...

READ MORE

‘Freemasonry Mnyonya Damu’ na Tapeli Akamatwa na Polisi Dar

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia, Rajabu Mohamed(25) anayejifanya ni Freemason na amekuwa akifanya ukatili,unyanyasaji wa...

READ MORE

Breaking News: Sugu, Masonga Wahukumiwa Jela kwa Kumkashifu JPM

Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na Katibu wa Chadema Kanda ya Nyasa, Emmanuel Masonga, wamehukumiwa kifungo cha miezi...

READ MORE

Shy-Rose Bhanji Akanusha Kupinga Utawala wa JPM

ALIYEWAHI kuwa Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shy-Rose Bhanji amekanusha taarifa ilisambaa...

READ MORE

Taharuki: Lori Lenye Shehena ya Sementi Nusura Liue

LORI la mizigo  lililokuwa limebeba sehena ya saruji limezua taharuki kwa wakazi wa Jiji la Mbeya baada ya kushindwa kupandisha...

READ MORE

SportPesa Kukarabati Nyumba ya Madaktari Zanzibar

  KAMPUNI ya Michezo ya Kubashiri nchini ya SportPesa Limited, imekubali kufanya ukarabati wa nyumba kwa ajili ya madaktari wawili...

READ MORE

Updates: Hukumu ya Sugu Mahakani Mbeya

Mahakama ya Hakimu Makazi Mbeya leo inatarajia kutoa hukumu ya kesi ya kumkashifu Rais Dkt. Jonh Magufuli inayowakabili Mbunge wa Mbeya...

READ MORE

Ajali Mbaya ya Basi la Abiria Yatokea Kimara

Basi la abiria (Daladala) linayofanya safari zake kati ya Mbezi na Makumbusho jijini Dar es Salaam limepinduka leo Jumatatu, Februari...

READ MORE

Hatima ya Sugu Kortini ni Leo Feb 26

HATIMAYE ya Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na Katibu wa Chadema Kanda ya Nyanda za Juu Kusini,...

READ MORE

Magufuli Ashiriki Misa Kigango Cha Mlimani, Chato (Picha + Video)

Rais John Magufuli akishiriki misa Parokia  ya Mlimani Wilaya ya Chato,  Geita, leo. …Akisali. …Akipiga makofi baada ya mahubiri kutoka...

READ MORE

JAQUELINE WOLPER AFANYA KUFURU ‘BABY SHOWER’ YA GIGY MONEY!

  MSANII wa Bongo Muvi, Jaqueline Wolper, usiku wa kuamkia leo alifanya kufuru ya aina yake baada ya kumtunza minoti...

READ MORE

WANAFUNZI MWENYEHERI ANUARITE WAPEWA MBINU ZA KUJIAJIRI

  WANAFUNZI  wa Shule ya Sekondari ya Mwenyeheri Anuarite iliyopo Kimara jijini Dar es Salaam, wamezipongeza mbinu mbalimbali za ziada...

READ MORE

JPM Apongeza Kigango cha Chato kuwa Parokia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli leo tarehe 25 Februari, 2018 ameungana na waumini wa Parokia ya...

READ MORE

‘BABY SHOWER’ YA GIGI MONEY USIPIME!

SHEREHE ya maandalizi ya kumpokea mtoto wa msanii wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ ambayo hujulikana kama’baby shower’ ilikuwa...

READ MORE

Carol Ndosi: Barua Kwa Rais Wangu Mpendwa Dkt. John Pombe Magufuli

Mheshimiwa Rais wangu mpendwa Dr John Joseph Pombe Magufuli, Shikamoo. Natumai ni mzima wa afya na unaendelea kutimiza wajibu wa...

READ MORE

MAKUNDI YA WATUMIAJI WA UMEME NA BEI ZAO

Kuna makundi manne ya watumiaji wa umeme -D1 (UNIT 0-75) BEI NI TSH 100 KWA UNIT IKIZIDI UNIT 75 INAKUWA...

READ MORE

JPM Arejea Nchini Kutoka Uganda

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amerejea nchini leo, Feb 14, akitokea nchini Uganda alipokuwa...

READ MORE

Polisi Yakiri Kuwashikilia Waliojeruhiwa Kwenye Maandamano ya Chadema

JESHI la Polisi kupitia Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Muliro Jumanne limethibitisha kuwashikilia watuhumiwa watatu wenye majeraha ya...

READ MORE

Kisa Kuwalima Barua Chadema… Tundu Lissu Amvaa Jaji Mtungi

MBUNGE wa Singida Mashariki (CHADEMA), Tundu Lissu amefunguka na kumtaka Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini, Jaji Francis Mtungi ajitafakari,...

READ MORE

Polisi Yafunguka Kisa cha Diwani Chadema Kukatwa Mapanga

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Urich Matei amefunguka na kusema kuwa kifo cha Diwani wa Kata ya Nawala tarafa...

READ MORE

Hapa Ndipo Alipolala Akwilina Akwilini- Video

MWILI wa aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwilini umepumzishwa jana Ijumaa nyumbani kwa wazazi wake...

READ MORE

Ajali ya Basi Yaua Kagera

BASI la abiria Kampuni ya Fikoshi Investment linayofanya safari zake kati ya Kaisho, Bukoba na jijini Mwanza limepata ajali katika...

READ MORE

SANCHI AFUNGUKIA VAZI LAKE TATA LA HOSPITALI

MWANAMITINDO maarufu ndani na nje ya Bongo, Jane Ramoy ‘Sanchi’ ambaye kila kukicha anatingisha kwenye mitandao ya kijamii kutokana na...

READ MORE

WATANO MAHAKAMANI MAUAJI YA WAYNE LOTTER

    WATU watano akiwemo Ofisa wa Benki ya NBC wamepandishwa  kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na...

READ MORE

Picha za Mazishi: Pumzika kwa Amani Akwilina

MWILI wa aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwilini umezikwa nyumbani kwa wazazi wake kijiji cha...

READ MORE

KESI YA TIDO MHANDO YAAHIRISHWA HADI FEBRUARI 28

  MAHAKAMA  ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirisha kesi ya uhujumu uchumi ya kuisababisha serikali hasara ya Sh, milioni 887 inayomkabili...

READ MORE