×

Habari

Airtel Money Yagawa Bilioni 14 Kwa Wateja

  Airtel Tanzania imetoa gawio linalofikia shilingi bilioni 14.8 hadi sasa kwa wateja wake na mawakala nchi nzima ikiwa ni...

READ MORE

Waliokamatwa kwa Kuhamasisha Maandamano Wafikishwa Kortini – Video

  Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limesema watuhumiwa waliokamatwa kwa kuhamasisha maandamano mitandaoni amefikishwa mahakamani leo Alhamisi, Aprili 5,...

READ MORE

Kumbukumbu ya Makaburi ya Wachina Yafanyika

Kumbukumbu ya wafanyakazi na mafundi wa kichina wapatao 65 waliopoteza maisha wakiwa katika ardhi ya Afrika wakati wa ujenzi wa...

READ MORE

Riziki Lulida: Maaskofu Mnacheza Mchezo Katika Dini – Video

Mbunge Viti Maalum kupitia Chama Cha Wananchi (CUF), Mhe. Riziki Rulida amewataka Maaskofu nchini wasijingize katika masuala ya siasa kwa...

READ MORE

Roma akubali Kibamia kufungiwa, asajiliwa rasmi Basata 

  RAPA Roma Mkatoliki, leo Alhamisi amekabidhiwa cheti cha usajili kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) baada ya kupewa...

READ MORE

Kheri: Wapinzani Wasahau Kuing’oa CCM Madarakani

MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana wa Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Kheri James amesema haitatokea chama hicho kikatolewa madarakani...

READ MORE

JOHN HECHE AUNGANISHWA KESI YA AKINA MBOWE

MBUNGE wa Tarime Vijijini (CHADEMA), John Heche amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Aprili 5, 2018 kisha kusomewa...

READ MORE

Aveva Afika Mahakamani Huku Hali Yake Ikiwa Tete – Video

Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva ambaye alikuwa akiugua kwa muda mrefu, leo Aprili 5, amefika katika Mahakama ya...

READ MORE

Majambazi Yavamia Kanisa Katoliki Mbezi, Yapora Sadaka za Pasaka

WATU wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wamevamia na kuvunja Kanisa Katoliki, Parokia ya Mtakatifu Theresia wa Mtoto Yesu, Mbezi Mwisho jijini...

READ MORE

Ndugai: Bashe Apeleke Hoja Yake Kwenye Chama Kabla ya Bungeni

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Yustino Ndugai amesema suala la Mbunge wa Nzega Mjini (CCM),...

READ MORE

Rais Jela Miaka 12 kwa Ufisadi

MAHAKAMA ya Rufaa nchini Brazil imeagiza kuwa aliyekuwa Rais wa nchi hiyo, Luiz Inacio Lula da Silva ni sharti aanze...

READ MORE

Zitto Kumsindikiza Nondo Uhamiaji, Awaita Wazee wa Ujiji Kumaliza Mambo

KIONGOZI WA Chama cha ACT Wazalendo na Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amesema atamsindikiza Mwenyekiti Mtandao wa Wanafunzi Tanzania...

READ MORE

HOJA YA BABA NA DNA ZA WATOTO WAO YAIBUKA BUNGENI

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile amesema watu wanaoenda kupima vinasaba (DNA) kwa mkemia, wanakuwa tayari wana wasiwasi....

READ MORE

HATIMA YA WEMA KESI YA MADAWA YAWADIA

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu inatarajiwa kutoa maamuzi kuhusu kesi ya matumizi ya madawa ya kulevya inayomkabili Muigizaji Wema Sepetu,...

READ MORE

MBOWE ATANGAZA MGOMO MPYA BUNGENI – VIDEO

Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe ametangaza mgomo mpya kwa wabunge wa upinzani akisema hawatasoma maoni yao...

READ MORE

MAJALIWA: SERIKALI YAAJIRI WAKAGUZI WA MAZINGIRA 450

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imeongeza idadi ya Wakaguzi wa Mazingira kutoka 62 hadi kufikia 512 ili kuimarisha ukaguzi wa...

READ MORE

Airtel Money Yatangaza kugawa gawio la bilioni 1.8 leo kwa robo Ya Mwaka

Airtel Tanzania imetoa gawio linalofikia shilingi bilioni 14.8 hadi sasa kwa wateja wake na mawakala nchi nzima ikiwa ni  sehemu...

READ MORE

Abdul Nondo Ahojiwa Uraia Wake na Uhamiaji

Mkurugenzi wa Idara ya Sheria ya Mtandao wa Wanafunzi nchini (TSNP) Paul Kisabo amesema  kwa takribani wiki sasa Mwenyekiti  wa...

READ MORE

WATEJA VODACOM KUENDELEA KUPATA HUDUMA YA LUKU KUPITIA M-PESA

Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Plc inapenda kuwataarifu wateja wake na Watanzania kwa ujumla kwamba, itaendelea kutoa...

READ MORE

Wabunge Upinzani Wakacha Bunge

Wabunge wa upinzani wakiwamo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ni kama wamesusia Mkutano wa 11 wa Bunge ulioanza...

READ MORE

Ripoti Inatisha: Waume Kuua Wake, Wapenzi Wao!

Tukio la mauaji ya mke, Leyla Mtumwa almaarufu Ndaya (36) (pichani), linalodaiwa kufanywa na mumewe, Kema Salum Kasam­bula ‘Belly’ (38),...

READ MORE

Kikwete Ajitosa Afya Tete ya Mzee Majuto

LICHA ya kufanyiwa upasuaji wa tezi dume bado hali ya staa wa filamu za Kibongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ ni...

READ MORE

Bosi wa Gesti Matatani Kifo cha Mfanyabiashara

SAKATA la kuuawa kwa mfanyabiashara Charles Nyanga Magesa (31) kisha maiti yake kutupwa katika kisima chenye maji machafu karibu na...

READ MORE

Mke wa Mtu Adai Kuruhusiwa Kuzaa Nje ya Ndoa, Afanya Kweli

NI aibu nzito! Mwanamke mmoja, Esta Msomi (26) (pichani), mkazi wa Kijiji cha Mwibagi kilichopo katika Kata ya Kyanyari Wilaya...

READ MORE

Ndugai Arejea Nchini Akitokea India kwa Matibabu

Spika wa Bunge la Jamhuri wa Muungano, Job Ndugai amerejea nchini leo Aprili 3, 2018 akitokea India alikokuwa amekwenda kwa...

READ MORE

MBOWE BAADA YA KUACHIWA: Nimeyaona Mengi Gerezani – Video

MAHAKAMANI KISUTU: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na viongozi wenzake sita wa chama hicho wameachiwa kwa dhamana leo. Viongozi hao wanakabiliwa...

READ MORE

MANDOJO KUVUNJIWA NYUMBA YA MAMILIONI… KUNA KITU!

BAADA ya msanii mkongwe wa Bongo Fleva, Joseph Francis Michael ‘Mandojo’ kuvunjiwa nyumba yake ya mamilioni iliyokuwa maeneo ya Mbweni...

READ MORE

Masogange Akwepa Jela Hukumu Kesi ya Madawa, Alipa Faini – VIDEO

MSANII wa muziki nchini, Agnes Gerald ‘Masogange’ amekwepa kifungo cha miaka mitatu jela baada ya kulipa faini ya Sh. milioni...

READ MORE

Mbowe na Wenzake Waachiwa kwa Dhamana, Mdee Auanganishwa – Video

Viongozi wa Chadema wakiongozwa na mwenyekiti wao, Freeman Mbowe wametimiza masharti ya dhamana na kuachiwa huru katika Mahakama ya Hakimu...

READ MORE

Chadema Wafurika Mahakamani Kusubiri Dhamana ya Mbowe – Pichaz

WAFUASI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), leo wamefurika katika viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar  wakiimba nyimbo...

READ MORE

Masogange Ahukumiwa Jela kwa Madawa ya Kulevya, Aachiwa – Video

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu kwenda jela miaka mitatu au kulipa faini ya Tsh. Milioni 1.5, msanii Agnes Gerald...

READ MORE

KISUTU: Mbowe na Wenzake Wafikishwa Mahakamani kwa Dhamana

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzanke watano wa chama hicho wameshafikishwa katika Mahakama ya Kisutu wakisubiri shughuli za kimahakama...

READ MORE

Rais Magufuli Akikagua Mtambo wa Kufua Umeme, Kinyerezi 2 (Video)

Rais Dkt. John Magufuli leo Aprili 3, anazindua mradi wa uzalishaji wa umeme kwa kutumia gesi asilia (Kinyerezi II) Jijini...

READ MORE

Mtulia, Mollel Waapishwa na Naibu Spika Bungeni

BUNGE la kumi na moja limeanza leo Aprili 3 ambapo Naibu Spika, Tulia Ackson, amewaapisha wabunge wawili, Dkt. Godwin Mollel...

READ MORE

Pasaka; Lulu, Akina Mbowe Watikisa Segerea

Wakati Wakristo wote na wasio Wakristo duniani wakishere­hekea Sikukuu ya Pasaka juzi na jana, muigizaji wa sinema nchini, Elezabeth Michael...

READ MORE

Kisa Kudaiwa na kaka yake, Gari la Waziri Tizeba Kupigwa Mnada – Video

Baraza la Ardhi na Nyumba Wilaya ya Geita, limetoa amri ya kukamata na kuuza gari lenye namba T 961 DEZ,...

READ MORE

Shuhudia Diamond Akiimba Mbele ya Magufuli – Video

Msanii nyota Diamond Platnumz kwa mara nyingine amepata fursa kuimba mbele ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli mapema leo jioni wakati...

READ MORE

Mtanzania Aliyedaiwa Kumuua Mkewe kwa Visu London, Full Story

  SIMULIZI ya Mbongo aliyetajwa kwa jina la Belly Kasambula (38), kudaiwa kumuua mkewe, Leyla Mtumwa almaarufu Ndaya (36), wote...

READ MORE

BREAKING NEWS: MKE WA RAIS MANDELA AFARIKI DUNIA

TAARIFA zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa, mke wa zamani wa Rais wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, Winnie Madikizel Mandela, amefariki...

READ MORE