×

Habari

LORI LA MAFUTA LILILOLIPUKA SEKENKE, KIFO CHA DEREVA YAANIKWA – VIDEO

NYUMA ya mlipuko wa lori la mafuta lililoteketea kwenye Mlima Sekenke mkoani Singida, kuna mapya yamefichuka juu ya kifo cha...

READ MORE

Mbowe na Wenzake Washtakiwa kwa Uasi, Maandamano & Kuhamasisha Chuki

  MWENYEKITI wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na viongozi wengine watano wa chama hicho wamefikishwa katika...

READ MORE

Breaking: Mbowe, Wenzake Wafikishwa Mahakamani Kisutu – Video

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Freeman Mbowe, na viongozi wengine waandamizi wa chama hicho, wamefutiwa dhamana katika...

READ MORE

Kanuni za Mitandao, Radio na Televisheni Tanzania Zatangazwa, Zisome Hapa

  WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe ametangaza kanuni mmbalimbali za sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta...

READ MORE

Mbowe, Mashinji, Mnyika na Wengine Wawekwa Mahabusu Sentro

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Freeman Mbowe na baadhi ya viongozi wengine waandamizi wa chama hicho...

READ MORE

JPM Awasimaisha Kazi Wakurugenzi Halmashauri Kigoma Ujiji, Handeni – Video

IKULU: Rais Magufuli amewasimamisha kazi Wakurugenzi wa Halmashauri za Kigoma Ujiji na Pangani baada ya kuandikiwa hati chafu kwenye Vitabu...

READ MORE

KHERI JAMES: MNAWAFUNGIA ROMA, DIAMOND, MTAIMBA NYIE? – VIDEO

Kufuatia sakata la kufungiwa kwa baadhi ya wasanii na nyimbo zao, akiwemo Roma Mkatoliki, Diamond Platnumz, Snura na wengine, Mwenyekiti...

READ MORE

HODI JIMBONI: Kutana na Daktari Huyu wa Kipekee – Video

HODI JIMBONI leo inaangazia zaidi katika sekta ya afya ambapo tumezunguka katika baadhi ya Vijiji katika Jimbo la Kibaha vijijini...

READ MORE

CAG Akabidhi Ripoti kwa Rais Magufuli, Aanika Mdudu – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli, leo Machi 27, 2018, anapokea ripoti kutoka kwa Mdhibiti na...

READ MORE

MAJIBU YA DAKTARI SIMBA BAADA YA MKUDE KUUMIA JANA

Kiungo mchezaji wa Simba, Jonas Mkude, aliumia jana wakati kikosi hicho kikijiandaa na mazoezi kuelekea mchezo ujao wa ligi dhidi...

READ MORE

Breaking: Abdul Nondo Asimamishwa Masomo Chuo Kikuu

  Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa William Anangisye, amemsimamisha masomo Mwenyekiti wa Mtandao wa...

READ MORE

Aliyemuua Mkewe na Kumficha Mbuyuni… Undani ni Huu!

UNDANI wa mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina Bernard Shumba mkazi wa Singida kugundulika na jeshi la polisi mkoani humo kuwa...

READ MORE

Nabii Mtoto Asema Hajafungiwa Huduma

  KIONGOZI wa Kanisa la Bethel Ministry nchini,Nabii Daniel Daniel Shilla anayedaiwa ana utajiri mkubwa wa fedha ambaye habari zilienea...

READ MORE

WATU 6 WA FAMILIA MOJA WALIOKUFA MKURANGA WAZIKWA DAR – VIDEO

WATU sita ambao ni ndugu wa familia moja wakiwa miongoni mwa watu 26 waliofariki kwa ajali ya gari usiku wa kuamkia...

READ MORE

Luundo atoka Canada kumfuata Bushoke Dar  

  STAA wa Muziki wa Harakati, Luundo Dunia amemfungia safari upya mkali wa Bongo Fleva, Bushoke kwa ajili ya kufanya...

READ MORE

TANZIA: MWANDISHI NANA MOLLEL AFARIKI DUNIA

MWANDISHI wa habari wa siku nyingi, Nana Steven Mollel amefariki dunia leo jioni Jumatatu, Machi 26, 2018 akiwa Hospitali mkoani...

READ MORE

Niyonzima, Mbonde Waanza Mazoezi Rasmi

KIUNGO machachali wa Simba, Haruna Niyonzima ambaye alikuwa ameingia kwenye hofu ya kukosa msimu kucheza mzima amejiunga na wachezaji wenzake...

READ MORE

MWIGULU: WAMEANDAA WATU WENGINE WAFYATUE RISASI – VIDEO

WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Dk. Mwigulu Nchemba amesema kuwa Serikali inazuia kuwepo kwa maandamano ili kutoruhusu watu wachache wanaotamani Tanzania...

READ MORE

Maalim Seif Apongeza Waraka wa Maaskofu, Amjibu Prof. Lipumba

KATIBU Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amelipongeza Baraza la Maaskofu la Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT)...

READ MORE

RAIS MAGUFULI AWATAJA VIONGOZI ‘VILAZA’ – VIDEO

RAIS  John Magufuli amefunguka na kuwaambia viongozi wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kuwa ni...

READ MORE

UTAJIRI WA KIFO! MAMA YAMKUTA MAZITO KWA SANGOMA!

KUTAFUTA utajiri kwa njia za mkato hapa duniani kumewaponza wengi! Mama ambaye ni mfanyabiashara, Tabu Mwelege, mkazi wa Kijiji cha Kijiweni...

READ MORE

DOZI ZA MFARANSA ZAMTIA KIWEWE KOCHA NJOMBE MJI

BENCHI la Ufundi la Njombe Mji ya Njombe chini ya kocha mkuu, Ally Bushiri ‘Benitez’, limeibuka na kumwaga siri kuwa...

READ MORE

Baada ya Waraka Wao, JPM Awataka Maaskofu Wahubiri Viwanda – Video

IKIWA ni siku tatu baada Baraza la Maaskofu wa KKKT kutoa waraka kwa Taifa, Rais Dkt. John Magufuli amewaomba maaskofu...

READ MORE

Breaking News: Abdul Nondo Aachiwa Iringa

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Iringa leo Jumatatu, Machi 26, imemuachia Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania(TSNP), Abdul Nondo...

READ MORE

SIMBA WAGOMA KUMUUZA OKWI KWA WAARABU

  UONGOZI wa Simba, umedai kuwa hauwezi kumuuza mchezaji wao Mganda, Emmanuel Okwi kwa timu ya Al Masry na umesisitiza...

READ MORE

KIJANA ADAIWA KUUAWA KWA KIPIGO CHA POLISI

Kijana Allen Mapunda mkazi wa Kata ya Iyela anadaiwa amefariki jana Machi 25, 2018 saa chache baada ya kuachiwa kutoka...

READ MORE

Breaking News: Mwenyekiti UVCCM Taifa Atengua Uteuzi wa Jokate Mwegelo

Kamati ya Utekelezaji ya Umoja wa Vijana wa CCM iliyokutana kwa dharura leo mchana chini ya Mwenyekiti UVCCM, Kheri James...

READ MORE

WATU 26 Wafariki Ajali ya Lori na Hiace Mkuranga

WATU 26 wamefariki dunia na wengine tisa kujeruhiwa baada ya  gari dogo (Hiace) lililokuwa  likitoka Mkuranga kuelekea Kimanzichana mkoani Pwani,...

READ MORE

VIFO VYA WATU 26: JPM Amtumia Salam Mkuu wa Mkoa wa Pwani

Rais John Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Evarist Ndikilo, kufuatia vifo vya watu 26...

READ MORE

TECNO YAZINDUA DUKA JIPYA LA ‘EXPERIENCE CENTER’ SAMORA DAR (Picha + Video)

KAMPUNI ya simu za mkononi, TECNO inayofanya kazi chini ya TRANSSION HOLDINGs imezidi kutanua wigo  wa soko la simu nchini...

READ MORE

RAIS MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA JUMAPILI YA MATAWI KANISA LA MTAKATIFU PETRO, DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli na mke wa Waziri...

READ MORE

Lowasa na Mbowe Wasali Ibada Ya Jumapili KKKT Azania Front Posta

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Mbunge wa Hai, Mhe Freeman Mbowe na Mjumbe wa Kamati Kuu...

READ MORE

Ushirikiano wa Minara Tanzania Imewesha Huduma za ‘Live Streaming’

 Ufumbuzi wa ushirikiano wa minara Tanzania imewesha huduma za ‘live streaming’. Pata maelezo zaidi kwa kutazama video hii @VodacomTanzania...

READ MORE

Harusi Binti wa Bilionea Dangote Yatikisa, Kikwete, Bill Gates Wahudhuria

Sherehe ya kifahari ya binti wa Bilionea namba moja Afrika, Aliko Dangote aitwaye Fatima Dangote, yazua gumzo nchini humo kutokana...

READ MORE

MAALIMU SEIF AMTOLEA UVIVU PROF LIPUMBA

  KATIBU Mkuu wa Chama Cha wanachi (CUF) , Maalif  Seif Sharif  Hamad amemtolea uvivi Mwenyekiti wa Chama hicho anayeungwa...

READ MORE

Askari Dodoma Wafanya Mazoezi ya Nguvu

ASKARI na maafisa wa vyombo vya ulinzi na usalama mkoani Dodoma, leo Machi 24, 2018 wamefanya zoezi la utayari kwa...

READ MORE

Waraka Mzito wa Baraza la Maaskofu kwa Taifa Watikisa, Usome Hapa

BARAZA la Maaskofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) wametoa waraka mzito wa Sikukuu ya Pasaka ambao umesainiwa...

READ MORE

Marekani: FBI Aliyetambua Shambulio la Osama Afariki kwa Sumu

SHIRIKA la Uchunguzi la Marekani (FBI) limesema limempoteza mwanamama mmoja ambaye ni miongoni mwa waliotambua shambilizi la kigaidi la Septemba 11,...

READ MORE

‘Mwanamke’ Ampa Mimba ‘Mwanaume’, Ajifungua

INAFAHAMIKA dunia nzima kwamba wanawake ndiyo wanaobeba ujauzito, lakini je, umewahi kudhani kwamba inawezekana kwa mwanaume kubeba ujauzito kwa miezi...

READ MORE