×

Habari

Breaking News: Tido Mhando Afikishwa Mahakamani

#BreakingNews: Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Tanzania (TBC), Tido Mhando, amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu,...

READ MORE

Gwajima Apiga Marufuku Waombolezaji Kulia Msiba wa Mama Yake – Video

ASKOFU wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Dk. Josephat Gwajima ameacha gumzo na mshangao baada ya kuzuia watu kulia kwenye...

READ MORE

Moto Waua 39 na Kujeruhi 100 Hospitalini

  WATU 39 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 100 kujeruhiwa katika ajali ya moto uliyotokea katika Hospitali ya Sejong,...

READ MORE

MAMA ALIA… NATESEKA ZAIDI YA WASTARA

  Hujafa hujaumbika! Wakati staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma akiendelea kuomba michango kwa Watanzania ili akatibiwe mguu nchini...

READ MORE

MAZISHI YA MAMA GWAJIMA YAACHA HISTORIA – VIDEO

HATIMAYE mama mzazi wa Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, Bi. Ruth Paulo Gwajima ameagwa na kuzikwa...

READ MORE

MPOTO: RAIS NAYE NI BINADAMU ANA NYAMA, DAMU NA NYONGO

MWIMBAJI wa muziki wa mashairi ya asili nchini, Mrisho Mpoto maarufu kama Mjomba amesema kuwa vijana wengi wa Kitanzania sio...

READ MORE

SERIKALI YASITISHA SHUGHULI ZA WAKALA BINAFSI WA HUDUMA ZA AJIRA WALIOKIUKA SHERIA

  SERIKALI  yasitisha Shughuli za Kampuni Tatu (3) za Wakala Binafsi wa Huduma za Ajira hapa Nchini kutokana na kukiuka...

READ MORE

JPM Akutana na Mjumbe Maalum wa Rais wa Rwanda

  Rais John Magufuli amekutana na mjumbe Maalum wa Rais wa Rwanda na aliyewahi kuwa Rais wa Benki ya Maendeleo...

READ MORE

MBUNGE AKABIDHI MISAADA YA CHAKULA KWA WAZIRI MKUU

MBUNGE wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mohammed Razar, amemkabidhi msaada wa chakula kwa Waziri, Kassim Majaliwa kwa ajili ya kuwasaidia...

READ MORE

ALIYEDAIWA KUTOROSHA DOLA AJIDHAMINI KWA FEDHA HIZO

MFANYABIASHARA  Boniface Mbilinyi (32) ambaye hivi karibuni alikamatwa na jeshi la polisi akitaka kusafirisha kiasi kikubwa cha Dola za Marekani...

READ MORE

Kisa Hakimu Kugoma Kujitoa, Mawakili wa Sugu Wajiengua

  HAKIMU Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya, Michael Mteite, amegoma kujitoa katika kusikiliza kesi inayowakabili Mbunge wa...

READ MORE

AMBAKA ASKARI MWENZAKE ‘AKIMRINGISHIA’ UUME MREFU

ASKARI wa Uingereza aliyewahi kuwa shujaa wa vita nchini Afghanistan, hivi majuzi alimbaka askari mwenzake wa kike baada ya kujigamba...

READ MORE

Lowassa, Membe Uso kwa Uso Nyumbani kwa Gwajima

    WAZIRI Mkuu wa zamani na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Edward Lowassa wamekutana na kuzungumza na Waziri...

READ MORE

Makonda: ‘Asiyekuwa na Bima ya Afya Hatotibiwa Dar’

  MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ametembelea Hospitali ya Mwananyamala ambapo amempongeza Mkuu wa Wilaya ya...

READ MORE

MWIGULU AFANYA MAAMUZI MAGUMU ‘SOKO LA WATUMWA’ WABONGO UGHAIBUNI

  WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba amezuia utoaji wa passport za kusafiria kwa makundi ya watu...

READ MORE

GLOBAL HABARI: Mbowe Atua Mbeya Kusikiliza Kesi ya Sugu

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Aikael Mbowe, amefika Mahakama ya Mkoa wa Mbeya kwa ajili ya...

READ MORE

MPOTO ATOA MISAADA KWA WATOTO YATIMA DAR

Mpoto akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa madrasa  ya Tidaiya iliyopoTandale. MWANAMUZIKI wa Muziki wa Asili nchini Tanzania, Mrisho...

READ MORE

Pingamizi la Sugu Lakataliwa Mahakamani, Arudishwa Rumande

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi jijini Mbeya imetupilia mbali pingamizi la upande wa utetezi la kutaka kutosikilizwa kwa ushahidi wa sauti...

READ MORE

TANZIA: Kocha wa Mwadui FC Afariki Dunia

Kocha msaidizi wa Mwadui FC inayoshiriki Ligi kuu Tanzania Bara, Jumanne Ntambi amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Jumatano, Januari...

READ MORE

Msigwa Kortini kwa Tuhuma za Kuchoma Nyumba ya Kiongozi UVCCM

MBUNGE wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa (CHADEMA) na wenzake 12 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Iringa na kusomewa...

READ MORE

JPM Atengua Uteuzi wa Mkurugenzi Halmashauri Butiama

  RAIS Dk. John Magufuli, ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Butiama, Solomon Ngiliule. Akitangaza uamuzi huo ofisini kwake...

READ MORE

Nabii Tito Alivyokutana na Kanumba

KAMA ulikuwa hufahamu, basi nakujuza kuwa Onesmo Machibya anayejiita Nabii Tito aliwahi kukutana na kufanya mazungumzo na aliyekuwa nyota wa...

READ MORE

Serikali Yavunja Mkataba na TBA kwa Kumdanganya Waziri Mkuu

SERIKALI imevunja mkataba na Wakala wa Majengo TBA baada ya kutoa taarifa za uongo kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuhusu...

READ MORE

Msekwa: Huwezi Kuizuia Rushwa kwa Matamko – Video

MWANASIASA mkongwe nchini, Pius Msekwa, amesema ni vigumu kuzuia na kuondoa rushwa nyakati za uchaguzi kwa sababu za ugumu wa...

READ MORE

TBC1: VITUKO! Mkandarasi Kasusia Ujenzi, RC Atangaza Kiama!

Mgogoro nwa kimaslahi kati ya halmashauri ya mji wa Njombe na mkandarasi Masasi Construction, unaeleza kukwamisha ujenzi wa kituo cha...

READ MORE

BREAKING NEWS: TAASISI YA MOYO YA JK YAZUNGUMZA NA WANAHABARI

Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete kwa kushirikiana na Shirika la Save the Heart’s Child kutoka nchini Israel na taasisi...

READ MORE

Museveni Amfagilia Rais Trump

RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni amesema anampenda Rais wa Marekani, Donald Trump kwa sababu anasema ukweli mtupu kuhusu matatizo ya bara...

READ MORE

Mamilioni ya Michango ya Wastara ‘Yapigwa’

  AMA kweli kuna watu hawana huruma! Wakati staa wa filamu Bongo, Wastara Juma akihangaika kutafuta msaada wa shilingi milioni...

READ MORE

TANZIA: Jaji Kisanga Afariki Dunia

#TANZIA: Jaji mstaafu, Robert Kisanga amefariki dunia jana jioni katika Hospitali ya Regency Dar. Rais wa Chama cha Majaji Wastaafu,...

READ MORE

Ajibu Awaomba Radhi Mashabiki Yanga SC

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Ibrahimu Ajibu amewataka wapenzi na mashabiki wa timu hiyo, kuendelea kuwaunga mkono msimu huu katika harakati zao...

READ MORE

Wagombea 27 wa Ubunge na Udiwani Wateuliwa Na NEC

Wagombea 27 wa ubunge na udiwani wameteuliwa kugombea nafasi hizo katika uchaguzi mdogo utakaofanyika Februari 17, mwaka huu katika majimbo...

READ MORE

KATE KAMBA AWAPOKEA WANACHAMA 200 WALIOJIUNGA CCM

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Bi Kate Kamba juzi Jumatatu aliwapokea wanachama zaidi ya...

READ MORE

Dereva wa Basi la New Force Mbaroni kwa Overtake

Dereva wa Basi la Kampuni ya New Force akamatwa na Jeshi la Polisi kwa kuvunja sheria za barabarani na kuhatarisha...

READ MORE

BALOZI ZA ISRAEL, UJERUMANI KUSHIRIKIANA NA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI)

  BALOZI za Israel na Ujerumani hapa nchini zimeahidi kuendelea kushirikiana na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ili kuhakikisha...

READ MORE