×

Habari

MAGAZETI YA TANZANIA LEO JUMANNE, DEC 5, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Dec 5, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Mambosasa: Polisi Haina Taarifa ya Kukamatwa kwa Aliyesambaza Picha za Nyufa UDSM

JESHI la Polisi Kanda ya Dar es Salaam, limesema halina taarifa za kukamatwa kwa mwanafunzi wa mwaka wa tatu wa...

READ MORE

Chama Cha Maofisa Uhusiano Chazinduliwa Dar

CHAMA Cha Maofisa Uhusiano wa Umma (PRST) kimezinduliwa jijini Dar es Salaam, ambapo maudhui makubwa ya kuundwa kwa umoja huo...

READ MORE

Denti UDSM Aliyetuma Picha za Nyufa Mabweni ya Magufuli Adakwa na Polisi

KIJANA Kumbusho Dawson Kagine ambaye ni Mbunge katika Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (DARUSO) amekamatwa na...

READ MORE

Mwandishi wa Mwananchi Adaiwa Kupotea Kibiti Tangu Novemba 21

Mwandishi wa Habari wa Mwananchi, Azory Gwanda anadaiwa kupotea baada ya kuchukuliwa na watu ambao hawajajulikana tangu Novemba 21 mwka...

READ MORE

Pigo Jingine Chadema, Katibu wa Chama Wilaya ya Kahama Atimkia CCM

KATIBU wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga amejivua uwanachama wa chama hicho na na...

READ MORE

Mahakama Yagoma Kufuta Mashtaka 20 ya Gugai wa Takukuru

MAHAKAMA ya Hakimu Mkuu mkazi Kisutu imekataa kuyafuta mashtaka 20 ya utakatishaji fedha kati ya 43 yanayomkabili aliyekuwa mhasibu wa...

READ MORE

Mtulia Rasmia CCM, Awajibu Wanaomtuhumu Kusaliti Upinzani

ALIYEKUWA Mbunge wa Kinondoni kupitia Chama Cha Wananchi (CUF), Maulid Mtulia leo Jumatatu Desemba 4, 2017 amekabidhiwa rasmi kadi ya...

READ MORE

JPM, MPOTO KUKUTANA KAMPENI YA UZALENDO NA UTAIFA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Mgufuli anatarajia kuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa Kampeni ya...

READ MORE

CUF ya Lipumba Yamlipua Mtulia, Yaanika Alichokifanya Kabla ya Kuhamia CCM -(VIDEO)

CHAMA cha Wananchi upande wa Prof. Ibrahim Lipumba, leo Desemba 4, 2017 kimetoa ufafanuzi huu aliekuwa Mbunge wa Kinondoni (CUF),...

READ MORE

Majeshi ya Polisi Tanzania na Rwanda Waungana Kupambana na Wahalifu

TANZANIA na Rwanda Zimeunganisha nguvu kupitia Majeshi yao ya Polisi chini ya wakuu wake IGP Simon Sirro wa Tanzania na...

READ MORE

Kajala Alia Mwisho wa Mwaka!

MKALI wa Bongo Movies, Kajala Masanja ‘Kay’ amefunguka kuwa, anaona mwaka ndiyo unaisha, lakini bado hajatimiza malengo yake aliyojipangia, jambo...

READ MORE

TBA Yakiri Kubomoka kwa Mabweni Mapya ya UDSM Yaliyozinduliwa na JPM

MKURUGENZI wa Wakala wa Majengo nchini (TBA), Mhandisi Elius A. Mwakalinga, amekiri picha zinazosambaa mitandaoni zikionyesha majengo mapya ya mabweni...

READ MORE

Bora Uchebe Afe Kuliko Kumkosa Shilole

  MCHUMBA wa staa wa mduara Bongo, Zuwema Mohamed ‘Shilole’, Uchebe Ashiraf amefunguka kuwa kuliko kumkosa Shilole kwenye maisha yake...

READ MORE

Usiku wa 900 Itapendeza, Dk. Shika Kuungana na Ebitoke, Nature Dar Live

‘BILIONEA’ aliyejizolea umaarufu baada ya kuibuka mshindi katika mnada wa nyumba za mfanyabiashara, Said Lugumi, Dk. Louis Shika anatarajiwa kuungana...

READ MORE

Siku Chache Kabla ya Ndoa, Shilole Hoi, Atundikiwa Dripu

WAKATI akisubiri kufunga ndoa na mchumba wake, Uchebe Ashraf siku chache zijazo, staa wa muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ yu...

READ MORE

Jengo la Ghorofa 10 la Tanesco Ubungo Litakavyoporomoshwa Mwezi Mzima

IKIWA ni kutekeleza agizo la Rais John Magufuli kwa Shirika la Tanesco nchini kubomoa sehemu ya jengo lake lililo kwenye...

READ MORE

Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, Maulid Mtulia Atangaza KUhama CUF, Ajiunga CCM (Video)

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya CUF, Maulid Mtulia amejiuzulu uanachama wa CUF na kujiuzulu nafasi zake...

READ MORE

Kaka wa Messi Mbaroni Baada ya Bunduki Kukutwa Kwenye Boti Yake Iliyotapaa Damu

  KAKA mkubwa wa nyota wa soka, raia wa Argentina, Lionel Messi, amekamatwa baada ya kukutwa na bunduki isiyokuwa na...

READ MORE

LIVE GLOBAL HABARI: JESHI LA POLISI LATOA TAMKO KUFUATIA NASSARI KUVAMIWA

KUFUATIA tukio la Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari kuvamiwa na watu wasiojulikana nyumbani kwake usiku wa kuamkia leo na...

READ MORE

Nyerere Afunguka Wema Kuhamia CCM, Ataja Sababu za Kumjibu Polepole – (Video)

Muigizaji maarufu nchini, Steve Nyerere ambaye pia ni kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amesema kuwa amefurahishwa sana na maamuzi...

READ MORE

Mama Amlipua Wema LIVE, Adai Steve Nyerere ni Bomu (Video)

IKIWA ni takribani saa 15 tangu mwanaye ambaye ni Queen wa Filamu za Bongo na aliyewahi kuwa Miss Tanzania 2006,...

READ MORE

LIVE: CHADEMA Watoa Kauli na Maamuzi Mapya Baada ya Patrobas Kuhamia CCM

KAMATI Tendaji ya Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), BAVICHA wamefanya uteuzi wa viongozi wake ngazi...

READ MORE

Mbunge Nassari Anusurika Kuuawa Kwa Risasi Na Watu Wasiojulikana – Video

  MBUNGE wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari usiku wa kuamkia leo yeye na  familia yake walivamiwa nyumbani kwao ...

READ MORE

Kisa Wema, Nyerere Amvaa Polepole: Hiki Chama Hujakiunda… Wewe ni Nani?

HEADLINE inayobamba mitandaoni na kwenye vyombo vya ahabri kuanzia jana jioni ni kuhusu Malkia wa Filamu Bongo, Wema Sepetu kuhama...

READ MORE

Polepole: Chama Chetu Sio Daladala….. Ni Heri Akabaki Hukohuko (Video)

BAADA ya Msanii maarufu wa Bongo Movie, Wema Sepetu kutangaza rasmi kukihama Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kurudi...

READ MORE

Wema Sepetu Atangaza Rasmi Kurudi CCM -(Video)

MSANII maarufu wa Bongo Movie, Wema Sepetu leo Ijumaa, Desemba 1, 2017 ametangaza rasmi kukihama Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

READ MORE

Mapenzi Ya Jinsia Moja Yamkamatisha Mtumishi wa Mgodi wa GGM

Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linamshikilia mtumishi wa mgodi wa GGM, Milembe Suleiman anayetuhumiwa kujihusisha na mapenzi ya jinsi...

READ MORE

HEINEKEN WAZINDUA BIDHAA YA AMSTEL TANZANIA

KAMPUNI ya Vinywaji baridi ya Heineken jana (Novemba 30) walizindua bidhaa mpya aina ya Amstel (ya chupa) katika soko la...

READ MORE

Stamina: Wanaosema Kiba_100 ni Tusi Wanakosea

RAPA anayekimbiza kwa sasa kutoka pande za Morogoro, Stamina amesema kwamba ngoma yao mpya walioimba na Roma Mkatoli (ROSTAM), wakimshirikisha...

READ MORE

RC Makonda, IGP Sirro, Mo Dewji, Bakhresa na Kigwangalla Wateuliwa TFF

MBALI na Kamati Kuu ya Kuratibu Michuano ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON U17/2019) kwa vijana wenye...

READ MORE

Tanesco Waanza Kuondoa Vifaa Kwenye Jengo Lao Ubungo

Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) ambaye amepewa kazi ya kubomoa jengo la Tanesco Ubungo, leo Ijumaa ameanza kusimamia shirika hilo...

READ MORE

VP Samia Suluhu Awaonya Vikali Machangudoa

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Desemba 1, 2017 amewaongoza wakazi wa Dar...

READ MORE

Baraza la Mawaziri la Mnagangwa Ajaza Wajeda Waliomuondoa Mugabe

RAIS mpya wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa ametangaza Baraza jipya la Mawaziri, ambalo ndani yake amewaweka maofisa wa Jeshi la Ulinzi...

READ MORE

Ukweli Kuhusu Gari Linalodaiwa Kuzama Baharini Dar (Video)

TAARIFA na video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii asubuhi hii zinaeleza kuwa gari dogo aina ya Toyota Land Cruiser (Prado)...

READ MORE

Matukio Haya Yametikisa 2017, Tumekuwekea Hapa

TANGU mwaka huu uanze kumekuwa na matukio mengi yaliyojitokeza kwa mastaa, ambayo yalileta mshtuko kwenye jamii hususan kwa watu wanaofuatilia...

READ MORE

MADAI YA KUSIKITISHA, BABA AZAA NA BINTIYE!

Dunia imekwisha! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia jamaa mmoja mkazi wa Mabibo-Mahakama ya Ndizi kudaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi...

READ MORE

STRAIKA MPYA WA SIMBA HUYU HAPA, NI HATARI TUPU!

HARAKATI za usajili wa wachezaji katika vilabu vya soka la Tanzania, zinaendelea kwa nguvu huku Klabu ya Simba ikikaribia kumsajili...

READ MORE