×

Habari

MWANZA: Afarikii Dunia Baada ya Kuigonga Ndege ya Fastjet

Mkazi mmoja wa mkoa wa Mwanza amefariki dunia baada ya kuigonga ndege ya Fastjet iliyokuwa ikiruka katika Uwanja wa Ndege...

READ MORE

WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA DARAJA MTO MARA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa daraja la mto Mara linalounganisha  wilaya za Tarime na...

READ MORE

Polisi Yakamata Bunduki Iliyofungwa kwa Skafu ya CHADEMA

  Jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga limefanikiwa kukamata silaha ya kivita aina ya AK-47 iliyotupwa na watu wanaodaiwa kuwa...

READ MORE

Dkt. Mashinji Akanusha Kuugua Ghafla na Kupelekwa Amana

  KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Dk. Vincent Mashinji  amekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni kuwa, ni mgonjwa...

READ MORE

Fuatilia Spoti Hausi leo Saa 10:00 Jioni Kuhusu Okwi Kugoma Kucheza Simba

  SpotiHausi ni kipindi cha #michezo kinacholetwa kwako na #GlobalTVOnline kila #Alhamisi saa 10:00 jioni leo usikose kutazama wachambuzi wa...

READ MORE

Serikali Yazifutia Usajili Meli Zilizopeperusha Bendera ya Tanzania

  Serikali imetangaza kuzifutia usajili meli mbili zilizokamatwa zikisafirisha dawa za kulevya na silaha na kuzitaka kushusha bendera ya Tanzania....

READ MORE

Mganga Mbaroni kwa Kuwapa Ujauzito Feki Wanawake

  POLISI nchini Guinea wamemkamata mganga wa kienyeji, N’na Fanta Camara kwa tuhuma za kuwalaghai mamia ya wanawake ambao ni...

READ MORE

Airtel Yagawa Bilioni 1.7 kwa Watumiaji wa Airtel Money

    KAMPUNI simu ya Airtel Tanzania leo Januari 18, mwaka huu imetangaza kugawa neema ya pesa za Kitanzania Shilingi...

READ MORE

Polisi Yafafanua Kamata Kamata ya ‘Vimini’ Dar

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limeeleza kuwa suala la kamata kamata ya watu waliovaa mavazi ambayo...

READ MORE

Viongozi 18 Watimka ACT Wazalendo, Polepole Adai CCM Itatawala Milele

SAKATA la kuhama hama vyama vya siasa hapa nchini bado linaendelea ambapo viongozi 18 wa chama cha ACT Wazalendo kutoka...

READ MORE

Walimu 28 wafukuzwa kazi

Serikali imewafukuza kazi waalimu 28 baada ya kubainikia walikuwa wakichukua mshahara muda mrefu bila kufanya kazi visiwani Zanzibar mbali na...

READ MORE

Kamati ya JPM ya Madini Yaanza Mazungumzo na Tanzanite One

Serikali imeanza mazungumzo na wawakilishi wa kampuni ya Tanzanite One ambayo yanalenga kuhakikisha Tanzania inanufaika ipasavyo na rasilimali ya madini...

READ MORE

Waliopeperusha Bendera ya Taifa Kwenye Meli Washtakiwa

  WATUHUMIWA wawili akiwemo Mkurugenzi wa Meli ya Lucky Shipping, Issa Haji (39) wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...

READ MORE

Awazika Watoto Wakiwa Hai Kisa Wameiba Mahindi

  MTU mmoja nchini Burundi aliyefahamika kwa jina la Nyandwi Elias wa eneo la Bubanza, anatafutwa na Polisi kwa kosa...

READ MORE

Breaking News: JPM Apiga Marufuku Michango kwa Wanafunzi – Video

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo Januari 17, 2018 amepiga marufuku aina yoyote...

READ MORE

Vodacom Yasaidia Kituo Cha Watoto Yatima Cha Sifa Mkoani Pwani

Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania Plc, pamoja na watoto wanaolelewa katika kituo cha Sifa Group Foundation Children Center wakiangalia mtanange wa...

READ MORE

Mstaafu Aliyejiunganishia Bomba la Mafuta Afikishwa Mahakamani

MFANYAKAZI Mstaafu wa Bomba Kuu la Mafuta la Tanzania na Zambia (TAZAMA), Samweli Nyakirang’ani anayedaiwa kutoboa bomba kuu la mafuta...

READ MORE

Mfungwa Aliyesamehewa na JPM Afariki Kimiujiza Akijiandaa Kwenda Ikulu

   MACHOZI yametawala kutoka kwa ndugu, jamaa na marafiki kufuatia kifo cha maajabu cha mfungwa aliyeachiwa huru hivi karibuni kwa...

READ MORE

Breaking News: Johari Afiwa na Mama Yake

  Muigizaji wa sinema za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amepata pigo kwa kuondokewa na mama yake mzazi. Mungu ailaze roho...

READ MORE

Juma Nkamia Azidi Kukomaa Muda wa Urais Uongezwe Kuwa Miaka 7

Mbunge wa Chemba kwa tiketi ya CCM, Juma Nkamia amefunguka na kusema amemsikia Rais kuhusu kutohitaji kufanya mabadiliko ya Katiba...

READ MORE

Mabinti wa Chibok Waliotekwa na Boko Haram Wagoma Kurudi Nyumbani

Kundi la Boko Haram limetoa video mpya ikionyesha wasichana 14 waliotekwa katika mji wa Chibok, Kaskazini mwa Nigeria mnamo mwezi...

READ MORE

Watuhumiwa wa Ugaidi Arusha Wavua Nguo Mahakamani

WATUHUMIWA katika kesi ya matukio mbalimbali ya ugaidi mkoani Arusha, Leo January 16, 2018 wamevua nguo na kubaki utupu wakati...

READ MORE

Biteko Autaka Uongozi wa Chuo cha Madini Dodoma Kujitathimini

Uongozi wa Chuo cha Madini Dodoma kilichopewa ithibati kamili ya kutoa mafunzo ya umahiri yaani Competence Based Education and Training...

READ MORE

Mambosasa: Baadhi ya Wafungwa Walioachiwa na JPM Wanafukua Silaha Zao

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limedai kuwa linazo taarifa kwamba baadhi ya wahalifu walioachiwa kwa msamaha...

READ MORE

BREAKING: Aliyewaua Mke na Kichanga kwa Jembe Akamatwa

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemtia mbaroni Ami Lukule, anayedaiwa kuwaua mke na mtoto wake kichanga...

READ MORE

KISA CHIRWA, YANGA YAWAJIA JUU TFF

Msemaji wa Yanga, Dismas Ten akieleza juu ya maandalizi ya kikosi chao kabla ya mechi na Mwadui FC, kesho Jumatano....

READ MORE

KIJANA ANAYETUNUKU PENZI VIBIBI!

Kijana Kyle na kibibi Marjorie wakiwa katika hisia za kimapenzi. KIJANA Kyle Jones (31) ana tabia isiyo ya kawaida. Yeye...

READ MORE

DARAJA LAANGUKA, LAUA WAFANYAKAZI TISA COLOMBIA

DARAJA liliokuwa linajengwa nchini Colombia limeanguka na kuua wafanyakazi tisa na kuwajeruhi wengine watano. Daraja hilo lililoko eneo la Chirajara...

READ MORE

MKE WA MUGABE ALIUNGA MKONO KUJIUZULU MUMEWE

GRACE MUGABE, mke wa aliyekuwa Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, ameripotiwa kwamba alimuunga mkono mumewe huyo katika hatua yake ya...

READ MORE

Polisi Wazuia Mkutano Wa Zitto Kabwe Kigoma

JESHI la Polisi limemzuia Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi Mkuu wa ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe kufanya mkutano katika Uwanja wa Mwanga...

READ MORE

Breaking News: Polisi Dar Yakamata Silaha Nzito – Video

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limekamata silaha mbalimbali zikiwemo bunduki kubwa, bastola na vifaa vingine vya...

READ MORE

Breaking: Mbunge Sugu Anyimwa Dhamana, Apelekwa Mahabusu Gerezani

  MBUNGE wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi amepelekwa mahabusu katika Gereza la Ruanda mkoani Mbeya baada ya kukosa dhamana katika...

READ MORE

Muonekano wa Kituo cha Kisasa cha Mabasi Dodoma Mjini – Pichaz

SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Ujenzi imejipanga kuanza utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa kituo...

READ MORE

Lowassa Afunguka Kilichompeleka Kwa JPM Ikulu

Mnano Januari 9, 2018 nilipokea mwaliko kutoka kwa Rais John Pombe Magufuli akiomba kwenda kukutana nae Ikulu siku hiyohiyo kwa...

READ MORE