×

Habari

Serikali Yalifungia Gazeti la Raia Mwema kwa Kuandika Taarifa za Uongo Kuhusu JPM

SERIKALI yalifungia gazeti la Raia Mwema kwa kuandika taarifa zisizo za kweli kumuhusu Rais John Magufuli.

READ MORE

Kituo cha Mabasi Ubungo Kuzalisha Ajira 20,000

  MSTAHIKI Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita amekutana na ugeni kutoka Jiji la Shanghai nchini China...

READ MORE

Kidoa: Nilibanwa Sana, Sasa Napumua

  MUUZA nyago kwenye video za Bongo Fleva ambaye pia ni msanii wa filamu, Kidoa Salum amesema kuwa mwanzoni mchumba...

READ MORE

Mahakama Yaagiza Seth Kutibiwa Muhimbili

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru kwa mara nyingine mshtakiwa Harbinder Sethi akatibiwe katika Hospitali ya Taifa Muhimbili ndani ya siku...

READ MORE

Mke wa Mzee Small: Nimetengwa Nateseka!

DAR ES SALAAM: Mke wa mwigizaji nguli, Said Ngamba ‘Mzee Small’, Fatuma Said amesema yupo kwenye kipindi kigumu cha maisha...

READ MORE

Bunge Lafafanua Kuhusu Kumnyang’anya Gari Mbowe

OFISI ya Bunge imesema Kiongozi wa Kambi ya Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe hajanyang’anywa gari. Taarifa iliyotolewa na Bunge...

READ MORE

Mbunge Lijualikali Akamatwa na Polisi

Mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali na viongozi watatu wa Chadema wilayani Malinyi wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kufanya kusanyiko...

READ MORE

Amuua Kaka Yake Kisa Makalio ya Mwanamke

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Pwani Kamishna Msaizidizi Jonathan Shanna Warioba, ametoa onyo kali kwa wananchi wenye tabia za udhalilishaji...

READ MORE

Benki ya Dunia Yatoa Magari 11 Mradi wa SWIOFish

BENKI ya Dunia leo imekabidhi magari 11 kwa wakurugenzi na wakuu wa taasisi za Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi...

READ MORE

Bunge Ladaiwa Lamnyang’anya Mbowe Gari Alilokuwa Akitumia Shughuli za Matibabu ya Lissu

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kimesikitishwa na hatua ya uongozi wa Bunge la Tanzania ya kulichukua gari la...

READ MORE

Mwigulu Afafanua Kuhusu Gari Liliyokuwa Ikimfatilia Lissu

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu amesema leo kuwa baada ya polisi kufuatilia gari hiyo wamegundua iliyokuwa inamfuatilia...

READ MORE

Mchungaji Msigwa Apandishwa Kortini kwa Madai ya Kutishia Kuua

MBUNGE wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa amepandishwa kizimbani leo Alhamisi katika Mahakama ya Mwanzo Mjini Iringa kwa madai ya...

READ MORE

Sakata la Bashite.. Meya wa Ubungo Atinga Katika Kamati ya Maadili (Video)

Sakata la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kudaiwa kughushi vyeti vya elimu, limechukua sura mpya baada...

READ MORE

Mwigulu Afafanua Kuhusu Watu Wasiojulikana

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba ameelezea maana ya watu wasiojulikana, akisema ni wanaofanya uhalifu na kutoweka...

READ MORE

Mwigulu: Serikali Haijui Kama Ben Saanane Amekufa au Yuko Hai

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba amesema Serikali haijui kama Ben Saanane alikufa au yuko hai, lakini...

READ MORE

Madereva Watukutu Yawakuta Mazito – Video

KAMANDA wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Fortunatus Musilimu amezifuta leseni za madereva saba ambao walikamatwa kwa makosa mbalimbali yakiwemo kuendesha...

READ MORE

Siri Nzito Yatawala Ndani ya Kamati Kuu CCM

KIKAO cha Kamati Kuu ya CCM kilianza jana chini ya Mwenyekiti wake, John Magufuli, lakini haikuweza kufahamika mara moja uamuzi...

READ MORE

Kitanda Changu Ndani ya Kaburi la Kanumba!

USIKU mtulivu. Kelele za mbu nje ya chandarua walionigasi kabla sijapitiwa na usingizi mnono, sizikumbuki na sasa niko kwenye ulimwengu...

READ MORE

Arusha: Moto Wateketeza Nyumba za Familia 13 za Polisi

FAMILIA 13 zenye watu 44 zimeathiriwa kwa moto ulioibuka kwenye nyumba wanazoishi askari polisi katika Kata ya Sekei mkoani Arusha...

READ MORE

Nyumba za Polisi Arusha Zateketea Kwa Moto

Habari ziliyonifikia kutoka Arusha usiku huu ni kuwa moto umezuka na kuteketeza nyumba za Polisi zilizopo Kata ya Sekei, Arusha,...

READ MORE

A-Z Ya Mshindi wa Shinda Nyumba Alivyopatikana (Video)

  Hatimaye Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba iliyokuwa ikiendeshwa kwa zaidi ya miezi 6 na Kampuni ya Global Publishers ikiwa...

READ MORE

Nassari, Lema Wakubali Kuipelekea Ushahidi TAKUKURU

WABUNGE wa Chadema, Godbless Lema (Arusha Mjini) na Joshua Nassari (Arumeru Mashariki) wamesema watapeleka kwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana...

READ MORE

Madereva, Waethiopia Kortini Kwa Makosa ya Uhamiaji

MADEREVA wa kampuni ya Dangote Cement inayomilikiwa na mfanyabiashara tajiri Afrika, Aliko Dangote, ambao ni Hussein Hassan na Juma Mtambo...

READ MORE

WATEJA WA CBA BENKI WAENDELEA KUNUFAIKA NA PROMOSHENI YA “WEKA AMANA USHINDE”

  MSHINDI wa droo ya tatu ya promosheni ya akiba inayojulikana kama ‘Weka Amana Ushinde’, mkazi wa Arusha amejishindia Sh....

READ MORE

Breaking News: George Majaba Ashinda Nyumba Ya Global Awamu ya Pili

Droo kubwa ya Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili, imechezeshwa leo Uwanja wa Las Vegas Mabibo, Dar mshindi...

READ MORE

PLO Lumumba Aukacha Ukurugenzi wa Kenya School of Law

MWANASHERIA maarufu nchini Kenya, Patrick Loch Otieno Lumumba, ajulikanaye kama PLO Lumumba, ameamua kutowania kipindi kingine akiwa Mkurugenzi wa Shule...

READ MORE

Rais Magufuli Aendesha Kikao Cha Kamati Kuu Ya CCM Ikulu Jijini Dar

RAIS na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo ameongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Ikulu jijini Dar es...

READ MORE

Mambosasa Asema Miili Iliyokutwa Kwenye Viroba Hajui Ilikotoka

KAMANDA wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema miili ya wanaume watatu iliyokutwa pembezoni mwa Bahari ya...

READ MORE

Patcho Amtimua Mwanamuziki Wake

PREZIDAA wa Bendi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’, Patcho Mwamba ‘Tajiri’ amemtimua mwanamuziki Redock Mauzo baada ya ‘kuzinguana’ kuhusiana...

READ MORE

Nuh Mziwanda Atoboa Kilichovunja Ndoa Yake

MSANII wa muziki wa kizazi kipya maarufu kama Nuh Mziwanda ambaye jina lake la kuzaliwa ni Naftal Mlawa, ni mmoja...

READ MORE

Askofu Niwemugizi Aamua Kukubali Kuitwa Mchochezi

ASKOFU wa Kanisa Katoliki Ngara, Severin Niwemugizi amesema yuko tayari kuitwa mchochezi endapo kundi la watetezi wa haki za binadamu...

READ MORE

Kubenea Aitaka Serikali Kulifungulia MwanaHalisi Ndani ya Siku 2 – Video

WAHARIRI wa Gazeti la MwanaHalisi linalomilikiwa na Mbunge, Saed Kubenea lililofungiwa na serikali wamekanusha taarifa ya serikali kuwa gazeti hilo...

READ MORE

Ngoma akifunga, Yanga Wana Pointi Moja

LICHA ya mshambuliaji wa Yanga, Mzimbabwe, Donald Ngoma kuoneka­na siyo lolote mbele ya mashabiki wa timu hiyo kutokana na kushindwa...

READ MORE

Shirika la Restless Lawataka Vijana Kuwa wabunifu wa Maendeleo

  Shirika la Restless Development Limewataka Vijana Kuwa wabunifu wa MaendeleoKongamano katika maeneo mbalimbali yanayowazunguka ili kuwawezesha katika fursa za...

READ MORE

DROO KUBWA YA SHINDA NYUMBA…MWISHO WA UBISHI LEO LAS VEGAS MABIBO

DROO kubwa ya Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili, itachezeshwa leo Jumatano katika Viwanja vya Las Vegas vilivyopo...

READ MORE

Basi La Tashriff Lateketea Kwa Moto Likitoka Tanga Kwenda Dar

Abiria waliokuwa wakisafiri kutoka Tanga kuelekea Jijini Dar es salaam wamenusurika kufa baada ya basi walilokuwa wamepanda la kampuni ya...

READ MORE

Maalim Seif Amtembelea Tundu Lissu Nairobi Kenya

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Mhe. Seif Sharif Hamad jana Septemba 26, 2017 ameingia jijini Nairobi Kenya kwenda...

READ MORE

Hukumu ya Yusuf Manji Oktoba 6

MAHAKAMA ya Hakimu ya Mkazi Kisutu, imepanga Oktoba 6, mwaka huu kutoa  hukumu katika kesi ya dawa za kulevya inayomkabili...

READ MORE

Sekretari wa Manji Amtetea Bosi Wake Mahakamani

  KESI ya dawa za kulevya inayomkabili mfanyabiashara na aliyekuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji, imeendelea leo wakati...

READ MORE

Muhimbili ya sasa usipime!

  IDARA ya Magonjwa ya Dharura na Ajali, ni idara huru ndani ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Ilianzishwa mwaka...

READ MORE