×

Habari

SHINYANGA: Mtoto Afariki kwa Kukanyagwa na Gari

Habari zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa, mtoto wa kiume anayekadiriwa kuwa na umri wa mwaka mmoja amefariki dunia papo hapo...

READ MORE

TRA Yaidai Acacia Tsh. Trilioni 425.4

Kampuni ya ACACIA imepokea makadirio ya kodi ambazo hazijalipwa zilizotokana na ripoti za kamati za Rais kuhusiana na makinikia. TRA...

READ MORE

Amber Lulu Hatasahau Kuchangia Penzi na Gigy

  MUUZA sura kwenye video za Kibongo ambaye kwa sasa anatamba na Wimbo uitwao Watakoma, ‘Amber Lulu’ amefunguka kuwa katika...

READ MORE

Dogo Janja: Bila Mimi Young Killer Atakufa Njaa

MWANAMUKIZI anayefanya vizuri kwenye Tasnia ya Bongo Fleva na wimbo wake uitwao Kidebe, Abdulazizi Chende, ‘Dogo Janja’ amefunguka kuwa bila...

READ MORE

ZARI ROHO NGUMU AISEE!

  Kifo cha mama mzazi wa staa ambaye ni mjasiriamali Afrika Mashariki, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, Halima Matovu...

READ MORE

MH! KWA PICHA HIZI LULU NI KIBOKO!

Staa wa filamu nchini, Elizabeth Michael maarufu kwa jina la Lulu, ameingia kwenye rekodi ya mastaa wenye picha kali kwenye...

READ MORE

VIDEO: Shuhudia Maajabu ya Daraja la Mungu

Daraja la Mungu ni miongoni mwa vivutio vya kipekee vya utalii mkoani Mbeya ambapo kila mwaka, maelfu ya watalii kutoka...

READ MORE

VIDEO: Tundu Lissu Apandishwa Kizimbani, Kesi Yake Ngoma Nzito

Baada ya kuwekwa mahabusu kwa siku nne, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA na Mbunge wa Singida Mashariki,  Tundu  Lissu leo amefikishwa Mahakama...

READ MORE

LIVE: ‘Marehemu’ Aibukia Nyumbani Akiwa Hai

Tazama tukio zima LIVE kupitia Global TV Online HAPA   NI mshtuko! Hicho ndicho kilichotokea kufuatia tukio la hivi karibuni...

READ MORE

Lipumba Atangaza Kuwavua Uanachama Wabunge 8 wa CUF

  Baraza Kuu la Uongozi la Taifa la Chama cha Wananchi (CUF) limewavua uanachama wabunge wanane wa chama hicho kwa...

READ MORE

Rah P, jitahidi utoke mafichoni gemu bado linakuhitaji

Ukizungumzia miongoni mwa marapa wa kike waliokuwa wanachangamsha gemu ya Bongo Fleva kwa miaka ya nyuma basi huwezi kuacha kumtaja...

READ MORE

GlobalNews: Uwoya, Kelvina Hapatoshi!

  SIFA ya ubuyu wenye rangi nyekundu ni kuacha rangi midomoni vivyo hivyo penzi ni kikohozi kulificha huwezi! Wamama wawili...

READ MORE

DAR: Mtoto wa Miaka 11, Adaiwa Kubakwa Kisha Kunyongwa

  Mtoto wa miaka 11 amekutwa amekufa katika mazingira ya kutatanisha huku kukiwa na madai kwamba alibakwa kisha akanyongwa.  Mtoto...

READ MORE

Tanzania, Kenya Zaondoleana Vikwazo vya Kibiashara

SERIKALI za Tanzania na Kenya zimekubaliana kuondoa vikwazo vya kibiashara zilizokuwa zimewekeana kuhusu bidhaa kutoingizwa katika nchi hizo.   Akizungumza...

READ MORE

Mboto: Mzee Majuto Hajafa Jamani!

MSANII wa filamu nchini, Haji Salum maarufu kama Mboto, amekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni zinazodai kuwa nguli wa vichekesho katika tasnia...

READ MORE

Mbasha, Flora Waliamsha Dude Upyaa!

  Waimba Injili Bongo ambao walikuwa wanandoa kabla ya kutalikiana mahakamani, Flora Daud Kusekwa ‘Madam Flora’, zamani alikuwa akitambulika kama...

READ MORE

Muumini Apigwa Risasi Akisubiri Ibada Ubungo

Muumini wa kanisa Katoliki, Adrian Mpande amepigwa risasi mbili akiwa anasubiri kuingia  kanisani katika Parokia ya Kibangu wilaya Ubungo jijini...

READ MORE

Ruby Ajazwa Kibendi

JAZA ujazwe! Habari ya mjini kwa sasa inamhusu sexy lady wa Bongo Fleva, Hellen George ‘Ruby’ kujazwa kibendi na staa...

READ MORE

Man U Yaitwanga Real Madrid, Sasa Kukutana na Barcelona

Manchester United imeshinda kwa penalti 2-1 dhidi ya Real Madrid katika mechi za michuano ya ICC iliyopigwa jijini California, Marekani....

READ MORE

Chris Brown kumshtaki promota Mfilipino

  STAA wa Muziki wa R&B, Christopher Maurice ‘Chris Brown’ amejipanga kumshtaki promota kutoka Ufilipino, Jose Victor Los Banos kwa...

READ MORE

Barakah The Prince: Alikopita Ameacha Shida!

  JINA Barakah The Prince si geni kwenye Muziki wa Bongo Fleva. Ni miongoni mwa wasanii wa R&B wanaofanya vizuri....

READ MORE

Kikwete Aongoza Mazishi ya Jaji Msuya Dar

    RAIS Mstafu wa Serikali ya Awamu ya Nne, Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete amewaongoza waombolezaji waliofika katika makaburi ya Kinondoni...

READ MORE

Acacia Yatangaza Kupata Hasara Tsh. 391.9 Bilioni

ACACIA: Kampuni ya uchimbaji madini nchini, Acacia imetangaza kuwa imepata hasara ya takribani Tsh bilioni 391.9 kwa kipindi cha miezi...

READ MORE

Mabondia wapima uzito, kupasuana kesho

  JUMLA ya mabondia sita  mapema leo wamepima uzito kwa ajili ya mapambano ya kimataifa ya ubingwa wa Global TV,...

READ MORE

Rais Magufuli: Siogopi Kufungwa

  RAIS Dkt. John Pombe Magufuli ‘JPM’ amesema yeye kama kiongozi mkuu wa nchi haogopi vitisho vya kufungwa ama kushtakiwa...

READ MORE

Jaji Msuya Alivyoagwa Dar

KAIMU Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Khamis Juma mapema leo amewaongoza waombolezaji kutoa heshima zao za mwisho kwa aliyekuwa...

READ MORE

RWANDA 0-0 TANZANIA ‘LIVE’ FULL TIME, KUFUZU CHAN 2018

FULL TIME Dakika ya 90 +3: Mwamuzi anamaliza mchezo. Mtokeo ni 0-0, Taifa Stars inaondolewa kwenye mbio za kuwania kufuzu...

READ MORE

Ndege Zagongana Angani, B-52 Yaangusha Mabomu ya Nyuklia

  NI miaka ipatayo 50 iliyopita wakati wa Vita Baridi baina ya nchi za Mashariki na Magharibi, yaani baina ya...

READ MORE

Wawili Wafariki kwa Ajali ya Daladala Kugonga Treni, Dar

  Watu wawili wamekufa na wengine 36 kujeruhiwa katika  ajali iliyotokea leo asubuhi ikihusisha gari ya abiria aina ya coaster...

READ MORE

Dude: Hali Ngumu Imenipoteza Nimeamua Kulima

STAA wa filamu za Kibongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ ameeleza kuwa kutokana na hali ngumu ya maisha na soko la filamu...

READ MORE

Maajabu ya Dunia: Afanyiwa Upasuaji wa Ubongo Huku Akipiga Gitaa

  ABHISHEK PRASAD mwenye umri wa miaka 37 ambaye alifanyiwa upasuaji katika ubongo wake wakati akipiga gitaa, hivi majuzi ameonyesha...

READ MORE

Sanchi Anunua Kiwanja cha Milioni 70!

  VIDEO Queen Jane Rimoy ‘Sanchi’ baada ya kufanya kazi zake za mitindo na upigaji picha amenunua kiwanja cha shilingi...

READ MORE

Wahuni wa Mwanza Wamng’oa Kucha Kajala

  STAA wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja hivi karibuni yalimkuta makubwa jijini Mwanza baada kunyofolewa kucha na wahuni alipokuwa...

READ MORE

Ndonga za Global TV… Balozi wa Malawi Mgeni Rasmi

  BALOZI wa Malawi nchini, Hawa Ndilowe anatarajia kuwa mgeni rasmi katika Mapambano ya Ubingwa wa Global TV, Afrika Mashariki na...

READ MORE

Justin Bieber Yamkuta China

  Nyota wa muziki wa Pop duniani kutoka nchini Canada, Justin Bieber amepigwa marufuku kutumbuiza nchini China, kwa mujibu, katazo...

READ MORE

Katibu wa Habari Ikulu Ajiuzulu Kupinga Uamuzi wa Rais Trump

Msemaji wa Ikulu ya Marekani, White House, Shawn Spicer, amejiuzulu wadhifa wake kwa madai ya kupinga mabadiliko ya Timu ya...

READ MORE

Jerry Muro Aiponda Yanga, Adai Kuna Wanafiki

  Aliyekuwa msemaji wa Klabu ya Yanga, Jerry Muro amesema kuwa ilikufanikiwa katika utendaji ndani ya uongozi wa mabingwa hao...

READ MORE

Breaking News: Bodi ya Shirika la Masoko Kariakoo Yavunjwa

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, George Simbachawene amevunja rasmi Bodi ya Shirika...

READ MORE