Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema amewabaini baadhi ya askari polisi jijini humo wanaoshiriki biashara haramu...
READ MOREUONGOZI wa E-Master Entertainment unasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi wa0 aliyekuwa Meneja wa Matukio katika klabu ya Maisha Basement, Robert...
READ MORE# Sokabet inazinduliwa leo, anza kubeti sasa # Namba ya bahati ni 335757 BAADA ya ahadi ya wiki kadhaa...
READ MOREMtakumbuka Serikali katika mwaka wa fedha uliomalizika 2016/2017 iliahidi kutoa Ajira serikalini zaidi ya 52,000 kwa Watanzania, ambapo katika siku za hivi karibuni Serikali...
READ MOREKIKOSI cha Simba leo kimejinoa kwa mara ya mwisho kwa ajili ya kujiwinda na mchezo wao wa kwanza dhidi...
READ MOREMAHAKAMA nchini Korea Kusini imemhukumu bilionea anayetarajiwa kurithi Kampuni Samsung, Lee Jae-yong kifungo cha miaka mitano jela kwa makosa ya...
READ MOREMfanyabiashara na aliyekuwa mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji amekutwa na kesi ya kujibu katika shtaka la analotuhumiwa kutumia...
READ MOREMeya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob (Chadema) amesema kuwa baadhi ya madiwani waliojiuzulu na kukihama chama hicho...
READ MOREMUZIKI wa kizazi kipya maarufu kama Bongo Fleva hivi sasa ni kitu kikubwa barani Afrika. Ile shida ya waasisi wake...
READ MOREWAKATI siku zikiyoyoma kuelekea Septemba 2, mwaka huu katika kongamano la kihistoria lijulikanalo kama Meza ya Wazalendo litakalofanyika ndani ya...
READ MORENaibu Waziri Seleman Jafo, amefunga rasmi mkutano wa kitaifa wa Uhamasishaji wa Urutubishaji Chakula nchini, uliokuwa ukifanyika kwenye Ukumbi wa...
READ MOREDAR ES SALAAM: Ni historia! Harusi ya Mrembo aliyetinga Top Five ya Miss Tanzania 2007, Victoria Martin na mtoto wa...
READ MORESpika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai anazungumza na waandishi wa habari jioni hii kuhusu mambo...
READ MORERais John Pombe Magufuli amemuapisha Brigedia Jenerali John Julius Mbungo kuwa, Naibu Mkurugenzi wa TAKUKURU.
READ MOREUCHUNGUZI wa jeshi la polisi nchini umebaini kwamba pamoja na uwepo wa sheria ya makosa ya mtandao lugha ya matusi...
READ MOREKituo cha Sheria na haki za Binadamu (LHRC) kimelaani vikali vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu vinavyoendelea nchini. Pia...
READ MOREKamanda Mstaafu wa Jeshi la Polisi Tanzania, Suleiman Kova amefunguka mengi kuhusu maisha yake wakati akilitumikia taifa na baada ya...
READ MOREMkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Nyakoro Sirro amefanya mabadiliko ya makamanda wa polisi mikoani. Taarifa ambayo imetolewa...
READ MOREShirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limeomba radhi wanafamilia wote wa mpira wa miguu nchini kutokana na makosa ya...
READ MOREUPANDE wa utetezi katika kesi inayomkabili aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Sola nchini (TFF), Jamal Malinzi na wenzake, umeiomba Mahakama...
READ MOREGRACE Mwakipesile, mkazi wa UbungoKibangu jijini Dar, anadaiwa kuuawa kwa shoka, Amani lina mkasa kamili. Kwa mujibu wa chanzo makini...
READ MOREChama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) chini ya Baraza la Vijana (Bavicha), kinatarajia kufanya maandamano ya amani nchi nzima, Agosti...
READ MOREIKIWA imepita takribani miezi mitatu tangu wanafunzi wa Shule ya Lucky Vincent ya Mkoani Arusha wapate ajali na watu 35...
READ MOREJESHI la Polisi mkoani Arusha limemkamata Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema kwa madai ya kuzidisha muda wakati akihutubia kwenye...
READ MOREWAKATI klabu za soka mahasimu wa jadi nchini za Simba na Yanga zikichuana jana katika mchezo wa Ngao ya...
READ MOREMCHEKESHAJI mkongwe, Ulimboka Mwakisikye ‘Senga’ amesema kwa sasa sanaa imekuwa ngumu hivyo kitu pekee kinachomuingizia pesa ni kufanya vichekesho vya...
READ MOREJAMAA ambaye ndiye usingizi wa staa wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed, Ashrafu Uchebe, ameibuka na kumpa ruksa mpenzi wake ya...
READ MOREDAR ES SALAAM: Mungu tenda! Ikiwa ni siku chache tangu muigizaji mkongwe, Amri Athman Amri ‘King Majuto’ kupata unafuu kufuatia...
READ MOREMWANAFUNZI mmoja amefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa kufuatia ajali mbaya ya basi la abiria aina ya Coaster lililobeba wanafunzi...
READ MOREMWANADADA machachari Bongo, Lulu Eugen ‘Amber Lulu`ameamua kustaafu kazi ya u-video queen kutokana na watu wanavyoidharau kazi hiyo na...
READ MORETimu ya Simba imeibuka mshindi kwenye mchezo wa kufungua michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara (Ngao ya Jamii) baada ya...
READ MOREDaraja la Ubungo lililo nje ya stendi kubwa ya mabasi yaendayo mikoani na nje ya nchi lililopo Ubungo jijini...
READ MORETrump jeuri… RAIS Trump amewalaumu vikali wapinzani wa chama cha Democratic kuwa wanakwamisha ujenzi wa ukuta utakaotenganisha Marekani na...
READ MOREFULL TIME Simba imepata ushindi wa penati 5-4 baada ya matokeo ya 0-0. Waliokosa penati upande wa Yanga ni...
READ MORERais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, Wallace Karia amewateua Makamu wa Rais wa zamani wa TFF, Athuman Nyamlani...
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 23 Agosti, 2017 amemteua Luteni Kanali...
READ MOREWaziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amesema mtu yoyote asiyelipa kodi ya ardhi na kuendeleza ardhi...
READ MOREKlabu ya Simba imefanikiwa kunasa saini ya Kipa Bora wa Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2016/2017 aliyekuwa akiichezea Azam...
READ MOREJeshi la Polisi limemaliza zoezi la kufanya upekuzi katika nyumba ya Mwanasheria Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
READ MORESERIKALI imetoa tamko rasmi likiyataka magazeti na majarida yote hapa nchini kusajiliwa upya kuanzia leo Alhamisi, Agosti 23 hadi hadi...
READ MORE