×

Habari

Watu 123 Wafariki Dunia Baada Ya Lori Kulipuka

Watu 123 wamefariki dunia baada ya lori la mafuta kupinduka na kulipuka katika mji wa Ahmedpur Sharqia, Punjap nchini Pakistan....

READ MORE

Wanyama Anyang’anywa Mtaa Aliopewa Jana Ubungo

Bango lenye kuonyesha Mtaa wa Victor Wanyama, mchezaji mashuhuri wa soka katika Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) ambao ulipewa jina...

READ MORE

Sikukuu ya Idd 2017

SIKUKUU ya Iddi el Fitri nchini, kama ambavyo imekuwa ikitokea kila mara,  kwa waumini wa Kiislam,  baada ya kumalizika kwa...

READ MORE

Global TV Online Yatoa Msaada Kwa Watoto Yatima Magomeni (Pichaz + Video)

Global Tv Online inayomilikiwa na Kampuni ya Global Publishers, leo imetoa msaada wa vitu mbalimbali kikiwemo chakula, vinywaji na sababu...

READ MORE

Vigezo vya Kupewa Kitambulisho Cha Uraia Maonyesho Ya Sababa

Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imewatangazia wananchi wote wakazi wa Dar es salaam kuwa watapatiwa ofa maalum ya...

READ MORE

Baada ya Nyoshi Kung’olewa Uongozi, Mpasuko Mkubwa FM Academia

  Baada na Nyoshi el Sadaat kuondolewa urais wa bendi ya FM Academia huku nafasi hiyo ikichukuliwa na Patcho Mwamba,...

READ MORE

Amini: Bila Malipo Siandikii Mtu Wimbo

  MWANAMUZIKI anayeta­mba na Ngoma ya Yamoyoni, Amini Mwinyimkuu ameeleza kuwa kutokana na hali ya maisha kuzidi kuwa ngumu kwa...

READ MORE

Wolper Ampiga Kigogo Mil. 100

  NANI kasema Rais Dk. John Magufuli kabana kwenye su­ala la mkwanja? Kama wewe unaamini hivyo basi habari ikufikie kuwa,...

READ MORE

Mama Amkata Uume Mtoto

  UKATILI wa kutisha! Hakuna lugha ny­ingine unayoweza kuzungumza zaidi ya kusema hivyo, baada ya mama mmoja, mkazi wa Sinza...

READ MORE

R.O.M.A Ahama Na Kijiji Cha Bodaboda Mbagala

Roma akiongea na waandishi wa habari kwamba ataandika historia mpya siku ya Idd Mosi atakapofanya shoo ya kufa mtu Dar...

READ MORE

Prof. Lipumba: Osifi ya Maalim Seif Ipo Wazi, Kama Atakiri Makosa Yake Tutampokea

  MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi CUF, Prof. Iblahim Lipumba amesema kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho Zanzibar, Maalim Seif...

READ MORE

Mary Mawigi Aumizwa na Jini Kabula

  MSANII wa filamu za Kibongo, Mary Mawigi ameeleza kuumizwa kwake na msanii mwenzake ambaye alikuwa rafiki yake pia, Miriamu...

READ MORE

Yusuf Manji Atii Agizo la JPM, Asitisha Mpango wa Kuiendeleza Coco Beach

MWENYEKITI wa Makampuni ya Quality Group, Yusuf Manji amesitisha mpango wake wa kuliendeleza eneo la ufukwe wa Coco (Coco Beach)...

READ MORE

Hii Ndiyo Sababu ya SportPesa Kusitisha Udhamini kwa Ligi Kuu ya Kenya

  KAMPUNI ya mashindano ya bahati nasibu ya kubashiri matokeo ya mechi, SportPesa imetangaza kwamba itasitisha udhamini wake kwa Ligi...

READ MORE

Tambwe Naye Mbioni Kuikacha Yanga

Sekeseke la usajili wa wachezaji wa Kimataifa unamuhusu pia Amissi Tambwe. SIKU chache baada ya uongozi wa Yanga kutangaza rasmi...

READ MORE

Picha: Hatimaye Ben Pol na Ebitoke Wakutana Live!

Hatimaye Ben Pol na Ebitoke wakutana Live! Ni baada ya mwanadada huyo wa kwenye tasnia ya uchekeshaji hivi karibuni kufunguka...

READ MORE

Uwoya, Itel Watoa Msaada kwa Watoto Kuelekea Sikukuu ya Eid

  Itel mobile mapema leo imeungana na watoto wenye mahitaji maalum kwa kuonyesha upendo katika kuelekea msimu wa sikukuu za...

READ MORE

Ajira Mpya 535 Serikalini

Serikali yatoa kibali cha ajira mpya 535 za wasaidizi wa hesabu katika vituo vya afya kwenye mamlaka za Serikali za...

READ MORE

Watoto wa Kikwete, Nkamia Wang’ara na Medali za Gold Marekani

Watoto wa Kikwete, Nkamia na Rubeya wameng’ara katika mashindano ya Kimataifa na kuibuka na Medali za dhahabu nchini Marekani na kuiletea sifa...

READ MORE

Rais Magufuli Atoa Msaada wa Vitanda, Magodoro na Mashuka Katika Hospitali ya Levolosi

  Mbunge wa viti maalumu ccm Mkoa wa Arusha  Catherine Magige akitoa nasaha mara tu baada ya kukabidhi msaada huo...

READ MORE

Breaking News: Polisi Dar Waua Watuhumiwa Wawili wa Ujambazi, Mmoja Ajeruhiwa

    JESHI LA POLISI Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewaua watu wawili wanaodaiwa kuwa ni majambazi huku mmoja...

READ MORE

Bunge lapinga ongezeko la ushuru vinywaji baridi

DODOMA: Serikali  imewasilisha bungeni Muswada wa Sheria ya Fedha wa Mwaka 2017 wenye marekebisho ya sheria 15 ikiwamo Sheria ya...

READ MORE

Wateja Wa Vodacom Waletewa Bando La Red

  Wateja wa Vodacom Tanzania kuanzia sasa watakuwa na furaha zaidi kwa keletewa huduma mpya ya RED. Huduma hii ni...

READ MORE

Kauli ya Jux Baada ya Ku-Graduate China

Msanii wa Bongo Fleva, Jux amesema haikuwa kazi rahisi hadi yeye kumaliza masomo yake ya elimu ya juu nchini China....

READ MORE

Hivi Ndivyo Wauaji Kibiti Walivyochoma Gari, Pikipiki

Licha ya kuwaua askari wawili wa kikosi cha usalama barabarani jana wakiwa kazini karika eneo lililo kati ya Bungu na...

READ MORE

JPM: Mtu Afungwe, Halafu Anunuliwe Chakula? Nimechoka, Nataka Wafungwa Wakalime

Rais John Magufuli amesema ni vizuri magereza yakawa na maeneo mengi ili wafungwa walime na wajue maana ya kufungwa ni...

READ MORE

MBUNGE WA CHALINZE ASHIRIKI ZIARA YA RAISI CHALINZE

Mbunge wa Chalinze ameshiriki kwenye Ziara ya Mheshimiwa Raisi Dr.John Magufuli alipofika Wilaya ya Bagamoyo. Ziara hiyo ya Raisi ambayo ilikuwa...

READ MORE

(VIDEO) JPM: Ndani ya Utawala Wangu, Hakuna Atakayepewa Mimba na Kuruhusiwa Kurudi Shule

PWANI: Rais John Magufuli amesema ndani ya wa utawala wake kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hakuna mwanafunzi...

READ MORE

LIVE: Rais Magufuli Azindua Barabara ya Msata – Bagamoyo

PWANI: Hafla ya Rais Dkt. John Magufuli kuzindua Barabara ya Msata – Bagamoyo, Pwani imeanza kufanyika eneo katika eno la...

READ MORE

PICHAZ: Mazishi ya Ally Yanga, Shinyanga

SHINYANGA: Aliyekuwa shabiki maarufu wa Yanga, Ally Mohammed ‘Ally Yanga’ amezikwa leo nyumbani kwao mkoani Shinyanga baada ya jana kuagwa...

READ MORE

Wakazi Wa Pwani Waifurahia Huduma Ya Ukarimu Ya Vodacom

Wakazi wa kanda ya Pwani wameipokea kwa furaha kubwa huduma mpya ya Ukarimu inayotolewa na Vodacom Tanzania wakati huu wa...

READ MORE

PICHAZ: Mwili wa Ali Yanga Alivyoagwa Dodoma

MWILI wa aliyekuwa shabiki maarufu ya Klabu ya Yanga, Ally Mohammed maarufu kama Ali Yanga jana uliagwa wilayani Mpwapwa mkoani...

READ MORE

Pichaz: Maisha Basement Wafuturisha Dar

IKIWA ni mwezi mtukufu wa toba kwa waumini wa Dini ya Kiislam ambao kwa sasa wapo kwenye mfungo duniani kote,...

READ MORE

Denti UDSM Aliyeuawa na Polisi kwa Ujambazi… Ndugu Washusha Kisomo Kizito

DAR ES SALAAM: Ndugu wa aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Salum Almas (pichani) aliyeuawa na...

READ MORE

Mke wa Mtu Afanyiwa Kitu Mbaya Mwezi Mtukufu

  DAR ES SALAAM: WAKATI Waislamu ulimwenguni kote wakiwa kwenye mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, wengine wameonekana kuendeleza matukio...

READ MORE

Rais Magufuli Amtaka Kigogo Dawasa Kuachia Ngazi

PWANI: Rais John Magufuli amemtaka Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka (Dawasa) Archado Mtalemwa ajiandae kustaafu...

READ MORE

Mapya Kifo cha Mke wa Mzee Yusuf.. Leilah, Khadija Yusuf Wachefua Ndugu!

 DAR ES SALAAM: Siku chache tu tangu kufariki dunia kwa mke wa pili wa aliyekuwa Mfalme wa Taarab Bongo, Alhaj...

READ MORE

Kibiti: Askari Wawili Wauawa, Gari Lao Lachomwa Moto

MAUAJI KIBITI. Askari Polisi wawili wa kikosi cha usalama wa barabarani wilayani Kibiti ambao majina yao bado hayajatambulika wapigwa risasi...

READ MORE