×

Habari

Rais Magufuli Amefanya Uteuzi Mwingine Leo Mei 4, 2017

IKULU: Rais Magufuli amemteua Prof. Egid Beatus Mubofu kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS). Uteuzi umeanza Mei...

READ MORE

Ripoti ya Vyeti vya Madaktari, Wauguzi Dar… Wagonjwa Hali Mbaya

Na Waandishi Wetu, AMANI | DAR ES SALAAM: Inatisha! Kufuatia tamko la Rais Dk. John Pombe Magufuli kuwataka watumishi wa...

READ MORE

BUNGENI: Prof. Jay Akipaza Sauti kwa Niaba ya Wananchi wa Kilosa (VIDEO)

Mbunge wa Jimbo la Mikumi, Joseph Haule ‘Prof Jay’ (Chadema) amepaza sauti Bungeni mjini Dodoma akihoji kuhusu mradi wa bwawa...

READ MORE

Mahojiano ya Nay wa Mitego na Polisi Kuhusu Wapo

NA BONIPHACE NGUMIJE | AMANI | MAKALA TAKRIBAN mwezi mmoja umekwishakatika tangu mkali wa michano ya Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki...

READ MORE

EFM Radio Yatua Kanda Ya Ziwa 91.3

KATIKA kuhakikisha watanzania wengi wanapata matangazo yake, Kituo cha Utangazaji cha Efm kimetanua matangazo yake kwa kuongeza masafa ya 91.3...

READ MORE

Prof. Lipumba Aanika Aliyemuunganisha na Lowassa, Ishu ya Kutumika na CCM

Prof. Ibrahim Lipumba DAR ES SALAAM: Mwenyekiti wa CUF anayetambulika na msajili wa Vyama vya Siasa Prof. Ibrahim Lipumba leo...

READ MORE

Lukuvi Amtumbua Kigogo wa Ardhi kwa Kughushi Nyaraka na Kunyang’anya Ardhi Wanakijiji

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi ameamuru kusimamishwa kazi Afisa Mipango Miji wa Lindi Ndugu...

READ MORE

Mil 300 Zatengwa Kumung’oa Mwakifwamba Urais Bongo Muvi

Na Gladness Mallya | AMANI |Dar es Salaam Wakati mambo yakizidi kupamba moto kutokana na maandamano yaliyofanywa hivi karibuni na...

READ MORE

Pam D, Gigy Money Kukalishana Dar Live

  GAZETI LA AMANI | SHOWBIZ EXTRA | DAR LIVE WAKATI ikiwa imesalia siku moja kufikia Mei 6, King of...

READ MORE

Sajent Aingia Mtego wa Kujiuza

STORI: MWANDISHI WETU | AMANI | DAR ES SALAAM Kumekuwa na skendo nzito kwa baadhi ya mastaa wa kike Bongo...

READ MORE

Supu ya Kichwa cha Samaki

LEO tutaongelea jinsi ya kupika supu ya kichwa cha samaki, inaweza kuwa aina yoyote ile ya samaki. Kuna wasiopenda kichwa...

READ MORE

Amanda Awashangaa Wanaume Kuhonga

GABRIEL NG’OSHA GAZETI LA AMANI, HABARI SEXY lady kunako tasnia ya Bongo Muvi, Tamrinah Poshi ‘Amanda’ ameshangazwa na tabia ya...

READ MORE

Scene za Mapenzi Zamtesa Mwanaheri

 MAYASA MARIWATA, GAZETI LA AMANI, HABARI MWIGIZAJI wa Bongo Muvi, Mwanaheri Ahmed, amefunguka kuwa, suala la kucheza ‘sini’ (scene) za...

READ MORE

Msanii wa Chuz Apandisha Mashetani

 MAYASA MARIWATA, GAZETI LA AMANI, HABARI MWIGIZAJI aliye chini ya mkongwe wa filamu za Kibongo, Tuesday Kihangala ‘Chuz’, Angel Jackson...

READ MORE

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Alhamisi ya Mei 4, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Mei 4, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Mwakyembe Apiga Marufuku Magazeti Kusomwa Redion na Katika Television

GABRIEL NG’OSHA GAZETI LA AMANI, HABARI MWANZA: Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe, jana kwenye Maadhimisho...

READ MORE

Kukosa Msisimko wa Tendo la Ndoa kwa Wanawake

Kukosa msisimko wa tendo la ndoa kwa wanawake- (Female Sexual Arousal Disorder -Fsad) WANAWAKE wengi wanasumbuliwa na tatizo la kukosa...

READ MORE

Haki za Binadamu Yazindua Taarifa Yake ya 2016

KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu nchini (LHRC) leo kimezindua taarifa kuhusu hali ya haki za binadamu nchini katika...

READ MORE

Video: Mbunge Atema Cheche Siku ya Uhuru wa Habari

Na Elvan Stambuli DAR ES SALAAM: Mbunge wa Viti Maalum (CUF) Mkoa wa Dar es Salaam, Salma Mwasa ametema cheche...

READ MORE

Dereva Aliyesababisha Vifo vya Wanafunzi Wawili Akamatwa

KAMISHNA wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, Simon Sirro, amethibitisha kutokea kwa vifo vya wanafunzi wawili, Itlamu Athumani (mwanafunzi...

READ MORE

Media Day: Wanahabari Walaani Vitendo vya Kunyanyaswa na Viongozi na Wanasiasa

Bi Salome Kitomari akizungumza wakati wa kongamano hilo. Mwenyekiti wa MISA Tanzania, Bi Salome Kitomari amelaani vitendo vya baadhi ya...

READ MORE

VIDEO: NEC Yatangaza Nafasi Iliyoachwa na Mbunge Elly Macha

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza nafasi  ya mbunge wa viti maalumu kwa tiketi ya Chadema Nafasi hiyo imetangazwa...

READ MORE

AVEVA LIVE: Sakata la Pointi 3 za Kagera, Simba Kuishtaki TFF kwa FIFA

LEO May 3, 2017 katika Makao Makuu ya Klabu ya Simba, Kariakoo jijini Dar es Salaam, Rais wa timu hiyo...

READ MORE

Shinda Nyumba: Pikipiki, Phantom 6, Dinner Set Vyakabidhiwa Washindi

NA MWANDISHI WETU | GLOBAL PUBLISHERS | SHINDA NYUMBA WASHINDI wanne wa droo ndogo ya tatu ya Shinda Nyumba Awamu...

READ MORE

Himid Mao Kasepa Zake Denmark

Musa Mateja | CHAMPIONI | Dar es Salaam KIUNGO mkabaji wa Azam FC, Himid Mao, juzi Jumatatu alikwea pipa na...

READ MORE

Bella Kuwa Refa Gigy Money vs Pam D, Dar Live

  WAKATI zikiwa zimesalia siku mbili kufikia Mei 6, King of The Best Melodies, Christian Bella ‘Obama’ anatarajiwa kuwa refa...

READ MORE

Breaking News: Hatimaye Serikali Imesikia Kilio cha Watumishi Wenye Vyeti Feki

NA MOHAMMED ZENGWA | GLOBAL PUBLISHERS | DODOMA DODOMA: Serikali imetoa nafasi kwa watumishi wanaodhani kuwa wameonewa, baada ya kutajwa...

READ MORE

JB, Ray, Rich Wabanwa Kuhongwa Viwanja

STORI: GLADNESS MALLYA NA ERICK EVARIST | RISASI MCHANGANYIKO DAR ES SALAAM: Baada ya kuwepo kwa madai kuwa mastaa wa...

READ MORE

Cristiano Ronaldo Atupia bao 3-0 dhidi Ya Atletico Madrid UEFA

MADRID, HISPANIA | CHAMPIONI JUMATANO | LIGI YA MABINGWA ULAYA REAL Madrid wameendeleza umwamba kwa wapinzani wao wakubwa Atletico Madrid,...

READ MORE

Shilole Apata Mwanaume wa Kumuoa

STORI: GLADNESS MALLYA NA HAMIDA HASSAN | RISASI MCHANGANYIKO DAR ES SALAAM: Baada ya sarakasi nyingi za kubadili wanaume huku...

READ MORE

Meneja: Mo Ibrahim Anaondoka Simba

Sweetbert Lukong | CHAMPIONI | Dar es Salaam WAKATI Simba ikiwa katika harakati kabambe za kuhakikisha msimu huu inatwaa ubingwa...

READ MORE